Falsafa: Thank You for Watching The Official Video. Keep Streaming the audio in All DIGITAL PLATFORMS LINK bfan.link/sio-kwa-ubayaFeatHarmonize
@denisyekonia77422 жыл бұрын
KOH KOH JESHI FALISAFA🤞🤞🐘🐘
@emmanuelsamweli91132 жыл бұрын
Jeshiiiiii
@saidnasihu5402 жыл бұрын
Choir Master ✌️
@lillianbarongo28072 жыл бұрын
I have done all platforms. Bonge la ngoma 👏👏
@youngupper6452 жыл бұрын
YOUNG UPPER
@MichaelMwakibolwa2 жыл бұрын
SIO KWA UBAYA pita hapa na weka likes Kwa miamba hii miwili. FA na KONDE BOY!🔥
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@inogelapixels2 жыл бұрын
Mawe yameiva mkaa bado umebaki
@MichaelMwakibolwa2 жыл бұрын
@@inogelapixels haha kaka mkubwa
@beatusdadus25512 жыл бұрын
Konde tu kabug apo
@yusufmahfudh30232 жыл бұрын
Mwamba mmoja tu hapo mwana FA usimfananishe mwana na harmo harmo bado mdogo sana kwa mwana
@gaudenciamallya97792 жыл бұрын
Aliyeisikiliza hii ngoma zaidi ya mara 5 ajitokeze. Goma la ukweliii!
@njetiipaul59042 жыл бұрын
Njetii hapa
@CyimSky2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gJPdeIGClLyIrJo
@beleoneo83952 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2akpIyEnctrhck
@nelootz93222 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKrcnHajj8RlsK8
@kitaraabdi95297 ай бұрын
Nomaa
@abubakarimsere2 жыл бұрын
Mwana F.A ni zaidi ya darasa muziki wake unafaida kubwa kwa jamii yasasa na vizazi vijavyo!! Wangapi tunakubaliana na hili♥️🇹🇿🙏
@mugadimon35632 жыл бұрын
HILO LIPO WAZI HALIITAJI KUKAZA KICHWA
@heartkidvevo2 жыл бұрын
Mbn
@lovemusicnoreen91852 жыл бұрын
Kabisaaaaaaa he’s my fav musician since I was young this man knows how to sing and educate the society
@azizauheche59442 жыл бұрын
Abubakar
@athumansaid7962 жыл бұрын
Huyuuu mbunge wetu mungu anamuona sio bungen sio mziki wanakaaa2
@denisyekonia77422 жыл бұрын
Jeshiiiiiiii 🤞 🐘🐘 Like za jeshi kwanz kisha mwana FA 📞
@denisyekonia77422 жыл бұрын
🐘🐘
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@marthinethomas30202 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥👹
@rashidingole15882 жыл бұрын
FA kapita humo balaa, kamficha kabsa konde
@sanchostylist...97192 жыл бұрын
@@rashidingole1588 Heri alivyomficha maana angechamba huyo 😂
@nassmapande86742 жыл бұрын
Harmonize now ni msanii ambaye nimemfatilia mwez huu kila mtu ambaye amefanya nae collaboration lazima iende nomber one on trending hii Sasa inamaanisha ndio msanii anayependwa zaid Tanzania 🇹🇿
@tonyjimmy89262 жыл бұрын
true
@emmanuelbunyema95492 жыл бұрын
🤣🤣Fikiria kwanza kabla ya kuropoka..
@beatusdadus25512 жыл бұрын
Mwana ata akiinba na bb ake n salute toooosha,,, ulchokoenda kwa konde, n kutocheza ngoma za wenzie?
@florianminja11272 жыл бұрын
Kabisa
@florianminja11272 жыл бұрын
@@emmanuelbunyema9549 we ndio ufikirie kabla ya kupinga
@khamismaganga4652 жыл бұрын
Ngoma kali sana kama umeikubali gonga like
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@mohamedslh54782 жыл бұрын
Ridhiki atoi babako itakufata uliko 🔥🔥
@mickiemontana39532 жыл бұрын
@Mwanafa ili goma ni la kufungia Mwaka.Much love from +254
@Carrymastory2 жыл бұрын
HARMONIZE Akitulia Anafanya Kitu kweli 🙌🔥🔥
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@browntzmauzo46852 жыл бұрын
🤝🌟🌟
@beatusdadus25512 жыл бұрын
Pwa apo hajakaa mkao
@kibandachasimu2 жыл бұрын
Umefka😅😅😅
@zakwetustudios2 жыл бұрын
Falsafa 💯👊👊
@Blackjesus99962 жыл бұрын
mbarikiwe nyote mliohakikisha kabla hamjalala mmetazama kazi hii nzuri yenye inspiration, Mungu akabariki kazi za mikono yenu mana mmeitazama SIO KWA UBAYA💪
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@latifasebelo43682 жыл бұрын
Wanaume kazini 😘😘😘
@tshishimohamed90862 жыл бұрын
Mm kila nikipata mda tu naskiliza 💣💣
@peterdavid42302 жыл бұрын
Mafundi wawili katika mechi moja🙌🙌the song is superb it deserved to be played more than once✌
@CyimSky2 жыл бұрын
Ameshavunja record kilakitu hiki hapa kzbin.info/www/bejne/gJPdeIGClLyIrJo
@salomefelix2052 Жыл бұрын
Mess na mbappe
@AinaRik93 Жыл бұрын
Hujawahi bugi FA,nakukubali sana.Ila hili nalo kwa sisi ma hustlers ni bonge la goma!
@sadockyohane8792 жыл бұрын
"Hela sio mat..ko kwamba kila mtu anazo, pambna mwana ziwe zako" ngoma kali sana best collabo ever
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@abdilahijuma33732 жыл бұрын
Nomaaaaaah
@DandyStarMusic2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bF6riayviq-KjK8
@CyimSky2 жыл бұрын
Ameshavunja record kilakitu hiki hapa kzbin.info/www/bejne/gJPdeIGClLyIrJo
@nelootz93222 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKrcnHajj8RlsK8
@kelvinabere71692 жыл бұрын
Hela c Matako, kila mtu ako naZo ''aiii noma
@isaacbarnabas96082 жыл бұрын
MITIHANI YA MAISHA HUFAULU KWA KWENDA TUITION #MwanafA issa Real Lryical Master 💥✊🏿
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@millicentmaranga41152 жыл бұрын
"Ati unaimba sana watakuchoka",nyoo..,nani atamchoka harmonize kama nyimbo zinaachiwa kalikali ivi kila!!
@monjemghalu17342 жыл бұрын
Wooow ngoma iko sawa nwangapi wameipenda mje tu lake hapa show love wanangu
@davabackup77672 жыл бұрын
Hii kubwaa mno
@habibukitimla44412 жыл бұрын
Tukijaliwa kesho aitoboi I ngoma inashika namba 1, bonge Moja la goma #siokwaubaya 🔥🔥🔥
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@berryxmsanii Жыл бұрын
Wangapi wanakubali kwamba hela sio matako Eti Kila mtu anazo Mimi nakimbiza pesa mademu nimewaachia nyinyi Nimekuwa kwa kikao huu muda wote na king wa Rap Afrika Mzima Khaligraph Jones🇰🇪🇰🇪🇰🇪 na akasema Mwana FA🇯🇲🇯🇲🇯🇲 ndo anamfuata kwa Rap,nimepitisha hicho kikao. Kama umekubali wacha tuone alama.
@richardsaidi24482 жыл бұрын
Hii ngomaa nimeisubirii sanaa.
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@giddion47682 жыл бұрын
Wote wawili nakubal
@SwahiliHouse1 Жыл бұрын
Inatutia moyo san ma faita tunao faiti for life Kam na wew inakutia moyo baada majukum ukirudi nyumbani pend sikiza inaujumbe mzur san inakupa nguvu ya kuongeza akilin na nguvu ya kufany kazi
@saidmagati5887 Жыл бұрын
Hongera mheshimiwa Naibu waziri wizara ya tamaduni sanaa na michezo Kwa uteuzi
@deusdedit7892 жыл бұрын
Guys mimi sii wa mziki huu sana ila huu wimbo una kitu chakujifunza sana...alaf kuna kitu ina bidii wasani wa bongo jifunze WAJIFUNZE KUIMBA VITU VINAVYO ISHI NA SIO KUIMBA TU...
@magidachimija55992 жыл бұрын
HUU WIMBO UPIGWE KWENYE MSIBA WANGU NIKIFA 💥💥💥💥💥
@officialmadoshi58242 жыл бұрын
Pumbavu zako ukifa itakuwa Ni uzembe wako kaka
@magidachimija55992 жыл бұрын
@@officialmadoshi5824 😁😂🤣🤣 Sawa
@ndayishimiyeelias96922 жыл бұрын
Hahhhhh
@magidachimija55992 жыл бұрын
@@ndayishimiyeelias9692 😂
@rahiyayousaf30932 жыл бұрын
😄😄😄😄
@muddythedone4224 Жыл бұрын
Yaan wewe siwezi kukataa nyimbo Yako upo juu sana brother #sio kwaubaya
@hermanmwachuya83272 жыл бұрын
Mwana FA..is back ..like he never left. Kweli hiki kiti chako..kifute ukalie Mwana
@ElephantBBoy2 жыл бұрын
Duh Harmonize ushakuwa niga ..kama nijambazi basi ni SUGU .kama nimfungwa basi ni NYAMPALA
@MrDonriz7 ай бұрын
Yeah! Word mshiko tu hapa Goma kali next...... remix ft J-Z.😅
@irakoze012 жыл бұрын
Uko fundi kabisa baba 🙏🏿❣️karibu 🇩🇪utupe show🤲🏿🥲🥰
@adrianybilantanye41342 жыл бұрын
Jeshiii mwaka n wakoo mwAna Fa bi g up🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MTEMI_MUKI2 жыл бұрын
Mia kwa Mia Aisee! SALUTE!!!
@checheblessum83432 жыл бұрын
Mwana fA mungu akubariki umenitia nguvu kupitia Huu wimbo,,, nyimbo Kali Kila kitu respect bwana muhesh! ✊
From our very own choirmaster. Ahsante sana kwa muziki classy kwa mara nyingine.
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@kimanithings56032 жыл бұрын
Wezaa mbaya
@ely9282 жыл бұрын
Huenda zikatoka nyingi mwisho wa mwaka lakn hii ndo nyimbo Bora ya mwsho wa mwaka,🔥🔥🔥🔥🔥
@thomascharles85352 жыл бұрын
Inaweza lkawa kwer brother
@Don_Will.i.am072 жыл бұрын
Hizi ndo punch line za mabrother tunazotaka… bro umeuwaaaaaaaaaaa laaaaaanaaaaa
@barackj67732 жыл бұрын
Mwana FA and AY = Nas and Hov. Dope collab . Feels great to have FA back. FA did justice. Lyricals ziko on point@Harmonize did justice to the lyrics
@kabasonmabongo84652 жыл бұрын
Nakuamini mwana fa ❤ ❤
@djumamfaume50842 жыл бұрын
Fa umetisha san kk 🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@TheNdege12 жыл бұрын
Utafunzwa na nani kama si Mwana Falsafa
@bensonmero89192 жыл бұрын
Huo ndo wakati nilkuwa nasbiri mda mrefu hatimaye imekfika, Big up sana legend Mwana F, A, umevunja kinoma plus Kondeboy ni 🔥🔥🔥 , That's we call fantastic collable,.
@davabackup77672 жыл бұрын
Jeshi 💥💣💣
@jovaniamasasi29482 жыл бұрын
Mwana FA haujawahi kukosea kwenye ngoma zake zote BIG UP sana kaka big up sasa again with konde boy
@maulidi84792 жыл бұрын
Mwanamziki wangu bora Wa kipindi chote Mwana FA anaimba maisha ya watz
@rehemafredrick77942 жыл бұрын
Mwana FA legend 🙌 😎 👏 combination yako na jeshiii mashallah ♥
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@rensonmumba60022 жыл бұрын
Top miamba wa TZ
@imanyustaz49692 жыл бұрын
Hiii nyimbo Tami sana
@farajalongo45282 жыл бұрын
Vyote vinaweza kutengenezwa kwa pamoja Hela + Historia. Hii ndo maaana kamili ngoma ya aaaafuuu tatuuuuu kabisaa 🙌🙌🙌🏆💪
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@officialmadoshi58242 жыл бұрын
😂 Unamaana ya Aftatu au Nini maana Kuna ngoma ,Kuna nyimbo na Kuna Aftatu🤣
@abdibilali41862 жыл бұрын
Aaaaafu tatu hihiii ya chombo ya kanali
@dejaevevents2 жыл бұрын
Mashairi kwelikweli..FA NAKUFUATILIA SANA mhesh
@mariammnono52472 жыл бұрын
Hasa wenzangu na mimi ambao hatukuzaliwa nazo 🔥🔥 nyimbo nzuri mafundi wawili wamekutana
@bundalahamza89022 жыл бұрын
Harmo kabugi...kolas imepoa......Angekaa Kiba hapo ingekuwa 🔥
@matengo3a2 жыл бұрын
Featuring ya harmonize Huwaga haiffeliii siku zote I like this good song 🎵 🎶🇲🇿🇲🇿
@ahmadothuman1902 жыл бұрын
Ngoma ya mtu siwezi cheza!
@samwelotieno45222 жыл бұрын
I wish one day youtube sample my comment😊🙏
@hamisahodari92292 жыл бұрын
Nikisikia t koh koh koh...Konde boy call m number one....ua namalizia mwenyew Bakhresaaaaa....🤣🤣🤣🤣🙌
@vansmorryog2 жыл бұрын
This collabo is so amazing ukiangalia content za verse ni bora big up konde na Mwana Afa🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
@hashimuramadhan27062 жыл бұрын
Saiv kwa harmo ni kawaida sanaa kukaa 1 on trend
@kanambajospin61542 жыл бұрын
Asante sana kwa hii goma kali sana 🙏🔥🔥🔥🔥
@kinyongasmartboy-wg4rf Жыл бұрын
Pesa hatoi babayako kaka nakuewa sana
@dianasamson93112 жыл бұрын
Yaaani... yaaani Mwana FA... nakuogopa Baba. LEGENDARY.. Much Love to you Bro.
@mwesigwakabyemela61122 жыл бұрын
Mwana FA kama kawa kafanya unyama mwingine
@julien65532 жыл бұрын
Ngoma inaeleweka kweli Nimeipenda sana. Big up kwa Jeshii bonge la korasi.
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@muksinimbaruku12332 жыл бұрын
Yes
@sajadztuen38842 жыл бұрын
Hii ngoma ya huyu mtanga mixer na huyu mmakonde ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥 halafu makonde kasaundi kama yule mtoto wa morogoro ( belle 9) nani kasikiliza vizur anaejua waimbaji?? Anyooshe dole la kati
@issapeter80682 жыл бұрын
HARMO NDO MSANII NAMBA MOJA TZ GONGA LIKE KAMA UNAMKUBARI.
@enosndinadyo5593 Жыл бұрын
Hip hop will never fade up. Mwana FA kichwa hicho hakina matongotongo kabisa
@allfine.279110 ай бұрын
Goats!! 🐐🐐
@batulisunna74632 жыл бұрын
Wow wow! Hizi sio habari za mjini,habari zangu mimi! ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@bahozisaidiradjab49022 жыл бұрын
Narudi kuskiza mara 7 . nyimbo nzuri
@thomasgonnah74522 жыл бұрын
Director Kenny appears in current videos he's filming,so nice my dear. FA along side harmonise🔥🔥
@yuslaelias9532 жыл бұрын
Tufike 1million Kwa siku kumi jamanii🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Binamu ft konde 🥰🥰
@killergravityyt2 жыл бұрын
Sio kwa ubaya, ngoma kali sana🔥💪naiskiza nkiwa 🇰🇪
@ahmadidilawa86272 жыл бұрын
Goma bora la kufungia mwaka hilii. 🤝🔥
@ShakuriMohamadi-n9w4 ай бұрын
Nakubali kak
@falsafayohana88112 жыл бұрын
#Siyo kwa ubaya, haitakuja kutokea tanzania tukapata msanii kama huyu✊ @Mwanafa..yaani hii nyimbo unatamani isifike mwisho
@berthatz2 жыл бұрын
Kabisa..MwanaFA ana meseji kali na kiswahili kitamu kabisa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@sulemanharoub86652 жыл бұрын
Pesa siyo matako kweliiiiii
@georgebidance13992 жыл бұрын
Two kings. Mwana Fa never disappointed
@macdee_tv7622 Жыл бұрын
moyo wa champion mitihani ya maisha haufaulu kwa kuenda tuition
@silversindjalabakeni25332 жыл бұрын
Binamu mwana afa and kode boy to the world 🔥🔥🔥🔥🔥🔥good music and good sound kwapamoja sana
@ahutamorris2 жыл бұрын
Mwana FA eeeeh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mbona hivi bado uko mkali kwa hii miaka yote mkubwa wangu....... Much love FA, nakutambua kutoka Kenya, Nairobi
@mahmoudaziz47172 жыл бұрын
Mwana FA legend Big up mzee dude kali tumelipokea kwa mikono yote Angusha like wadau wangu.🎶🥁🎺🎻🎧🇹🇿🇰🇪.
@stevegita1044 Жыл бұрын
Best rapper in Tz mwanafa 🇰🇪 tumekubali
@rescojimmy32072 жыл бұрын
Konge boy na mwana FA pongezi kwao Ngoma nzuri nimeipenda sana hii Ngoma good collaboration 👍👍
@2116-n2 жыл бұрын
Dudeeeee jingine kutoka falsafa, gwiji👏👏👏🙌
@jaydeboy27892 жыл бұрын
Lyrics 90%, Choreography 80% Inspiration 90% And 100% percent sweetness this is 🔥 🔥 🔥
@gudwanricky61832 жыл бұрын
Kama unapenda hii banger nifikishe 500 subscribers kzbin.info_bZCCFWs4q4?feature=share
@tracebackmassawe74322 жыл бұрын
The beats thou 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🐐🐐
@jacksaidi67042 жыл бұрын
Hela sio matako🔥🔥🔥
@DandyStarMusic2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bF6riayviq-KjK8
@CyimSky2 жыл бұрын
Ameshavunja record kilakitu hiki hapa kzbin.info/www/bejne/gJPdeIGClLyIrJo
@josephngaila25832 ай бұрын
Mitiani ya maisha hufaulu Kwa kwenda tuition 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@nakecha_ke2 жыл бұрын
Nimeipenda hapa tunaongelea mula 💰 💵 Alafu Mwana FA wanenepa bana 😍
@safigushu73112 жыл бұрын
Pesa sio matako kila mtu anayo💥💥💥...mwana FA 1 TU.
@dianasamson93112 жыл бұрын
Director Kenny... ur the GIANT DUDE EVER.😍😍😍😍
@innocentmolla42992 жыл бұрын
For Sure.
@ahmedmudric95462 жыл бұрын
Funika mwaka pia fungua mwaka
@stanleymuriithi10172 жыл бұрын
Ngoma kali sana.....Salute to Director Kenny....high level of creativity!!!
@cheptooemmahtowett6612 жыл бұрын
Next year me I go for the money machali nawachia nyinyi..🔥🔥🔥🔥🔥
@byvinsktk272 жыл бұрын
This is my 2023 and beyond hustling anthem. Damn Mwana FA , you sir is a certified legend. If anybody disagree , argue with your uncle
@willygraphics360 Жыл бұрын
Me 2 bro, nimeisikia juzi hapa nikaifanya hivyo!
@kaisamjunior36922 жыл бұрын
Hii ngoma itaishi pale kilelen miez mpaka February 🤟💥💥💥 ila siyo kwa ubaya
@ezrabett42962 жыл бұрын
Lyrics on a top level, "mtihani wa maisha haufaulu kwa kuenda tuition"
@nelootz93222 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKrcnHajj8RlsK8
@eliofootz65192 жыл бұрын
Nimependa Director Kenny alivo maliziaa na ndinga hapo 🙌🏼
@Clarenceozoku2 жыл бұрын
Harmonize had two roles in this song and that is to kill the chorus and to be a video vixen💪