Kitatange mtoto wa mjini ❤ lakini nilipata taarifa unamtaka dada yangu lakini umekaa kimya au ulikua unasafisha nyota 😂😂😂😂😂😂
@asmaabubakar92815 ай бұрын
Nimeipenda bure 😘hii movie kwa hakika 🤗
@DelightfulMacawBird-tl5hf5 ай бұрын
Kitatange umetisha
@Zindumovies5 ай бұрын
Kitatange hakoseagii wengi tunamkubali
@salimallypeduu6 ай бұрын
Nice work. We need to do more than that
@Riziki-kb1of4 ай бұрын
Masha alllah mungu awaongoze
@user-fh3ii1wg9h5 ай бұрын
Asante kitatange ww unajuwa sio siri yaan
@AyishaOman-cw4xs22 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@FaziliJuma-od3kr4 ай бұрын
Movie msuri sana lkn kdg sijapenda kwa badhi ya wengine wanachanganya matamshi yaaan wanazungumza kimjini zaid mara chache ndy wanangumza km tulivozoea
@OMIRY285 ай бұрын
Aisee nyny noma nawafatilia udom
@Zindumovies5 ай бұрын
Sweet home sweet vikram mohabbat 😂❤❤nipe no ya lumna nimempenda jaman 😊
@rahmamuharami-wi9rh5 ай бұрын
😂😂😂
@Zindumovies5 ай бұрын
@@rahmamuharami-wi9rh vip au ww ndio lumna jamnii 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@user-ct8kv9gs8s6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila kitatange
@user-gn2fg3mx2e5 ай бұрын
Nshapajua anapoficha ufunguo
@user-ju5zl8zk9b6 ай бұрын
Wow❤❤❤
@nassznz20246 ай бұрын
Nimeisubir sn hii movie😊
@user-og6jy1lq7w6 ай бұрын
😂😂🤔😂😂
@mrdayssaidnahrrel67735 ай бұрын
Alooo nyie mbona hatuoni muendelezo wa fungate au mshazinguana 😢
@user-wb2yr2kh3v7 күн бұрын
Duuh 😂😂 umemkumbuka fungate imeisha mudaa😅
@mwanajumakomar38316 ай бұрын
❤❤❤❤🎉😊
@PoliteKind-df8kw6 ай бұрын
Na kitatange anavo penda nyimbo za kihid bas apo meno yote njee
@smairara58025 ай бұрын
wajomba mlikuwa wapi mtoto alipokuwa na shida za skuli na nyumbani iwe saivi kashaharibu mnataka kupija makwaju
@binthkhamis80425 ай бұрын
Baadae..na fungate ya ndoa😅😅
@khamisali59785 ай бұрын
Muwe mnatafautisha kt ya beach na Jangwa😅😅😅
@Business_opportunites6 ай бұрын
Haaapo beeaaach saaasa 😂😂😂😂
@aminahhuawei11335 ай бұрын
Hivi kitatange unaugomvi na viatu wewe😂😂😂😂😂😂😂
@kadkadzo75435 ай бұрын
Hiyo beach 😂😂
@khamisali59785 ай бұрын
Wewe mwenye kikoi je?😂😂😂
@user-zy7xb4ok5y5 ай бұрын
Huyu kitatange anamaradh na wadosi
@nurdinmatula80205 ай бұрын
Hhh dah ety songi😅
@saidjumaa14505 ай бұрын
Mbona fungate kimya
@AyishaOman-cw4xs21 күн бұрын
😂😂😂😂😢😢😢😢😮😮😮😅😅
@AwatifAly-gw9qo5 ай бұрын
Hhhh kitatange
@RamadhaniMussa-xs5uk5 ай бұрын
Miaka 30
@PrettyMasha-cs8iv5 ай бұрын
😅😅😅😅😅❤❤❤❤
@PrettyMasha-cs8iv5 ай бұрын
𝕂𝕨𝕒𝕛𝕦 𝕝𝕒 𝕡𝕦𝕒😂
@user-dg8qj5zx8v6 ай бұрын
😂😂😂❤❤
@user-cq3bl5mw2n4 ай бұрын
😂😂😂😂
@jumamkali83076 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@anwaralimuhammed14816 ай бұрын
Hhhhhhhhhh
@user-wv1ro3ry2l5 ай бұрын
wahindi kutoka pemba dah
@abuuaidh65005 ай бұрын
Hapo ndio mumeharibu kila kitu wakona nyie ndio mafunzo gani hayo
@HemedAmourHemed-jk3nm5 ай бұрын
We mjinga ndio utukane au? Hujui kama unakosea? Kwani hii movie umeandaliwa ww?