NDOA YANGU 💞 Love story | DONTA TV

  Рет қаралды 251,436

Donta Plus

Donta Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 220
@sarahnjeri-tz8eu
@sarahnjeri-tz8eu 8 ай бұрын
Davik alimwona Loveness mtoto kumbe yupo na dawa ya kumkomesha mumewe😂😂😂kama umefurahia give me a thumb👍👍👍keep it up DONTA Tv❤❤❤
@mahammedabdurahmaan5665
@mahammedabdurahmaan5665 9 ай бұрын
Salute kwa mbali loveness umecheza vizuri upande wako Alafu isitoshe daviki ulimnyamazisha ka mtoto wako😂😂
@GloriaMtana
@GloriaMtana 9 ай бұрын
Donta tv mnapambana sana mnajitahidi hongera zenu❤❤
@MiriamMaphie
@MiriamMaphie 9 ай бұрын
Jamn na Mimi Leo nimewai naomba like ata kumi jamn
@INYASIHUMAY
@INYASIHUMAY 9 ай бұрын
Loveness dadangu nimekupenda buree KAZI nzurii saan
@RespichMrema
@RespichMrema 7 ай бұрын
Ila vick hiz muvi zitakutoa roho kila muvi kilio😂
@lucyrif-np8ik
@lucyrif-np8ik 9 ай бұрын
😂😂😂😂Loveness umeweza kiukweli nimefurahi chukuwa mauwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yako kwa mpigo nawapenda nyote wana donta tv
@ChristopherLucky-m5h
@ChristopherLucky-m5h 9 ай бұрын
Movie nzuri kwawale wanaume wenye tabia hazieleweki Tupo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Chebet254
@Chebet254 9 ай бұрын
😂😂😂noma sana inabidi mujirekebishe
@NassormsuruzyaRupia
@NassormsuruzyaRupia 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AnasterPeter
@AnasterPeter 9 ай бұрын
Mwajina wang unanikosha mbaya love upewe Maua yako ❤🎉
@jamnipozzedhetarrikks6222
@jamnipozzedhetarrikks6222 9 ай бұрын
Atleast today nimewahi ebu gonga like hapo tukisonga
@FrankkeyaemanuelEmanuel-mt2ub
@FrankkeyaemanuelEmanuel-mt2ub 9 ай бұрын
Nmeipenda
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 9 ай бұрын
Loveness ngoja nikupe maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 9 ай бұрын
Katika Ndoa Zote za ndonta Tv nilipenda Ndoa ya victoria alivo kuwa dada wa kazi akajaa olewq na Kelvin Nyingine ilee ndoa ya victoria na James kisha James akampaa Kelvin amuoe victoria,, na alikuwa kama amuoe na walivaa mavz ya harusi ila James alimpa Kelvin ❤❤❤ Hizo Ndio Ndoa nilizo penda
@AssaneAssumane-pn4zi
@AssaneAssumane-pn4zi 9 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊
@AssaneAssumane-pn4zi
@AssaneAssumane-pn4zi 9 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊
@mussaluhwago
@mussaluhwago 8 ай бұрын
Waooooo the same to me
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 8 ай бұрын
@@mussaluhwago💕💕💕💕💕💕❤️❤️❤️❤️❤️ hakika
@joanbwahama-rx3tc
@joanbwahama-rx3tc 7 ай бұрын
Zinaitwaje?
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 8 ай бұрын
Movie ninzuri sana ila loveness nimependa wazo lako la kumshauri dadaako kurudi nyumbani😊imekuwa kama dawa ya wanaume wakorofi lakini lazima ukiwa na mume mkorori tumia akili kama loveness 😂Safi sana nice 🎉🎉🎉❤ 👍 👌 👏 nimeipenda 😂😂😂😂😂😂
@Vai-p3t
@Vai-p3t 9 ай бұрын
Wa kwanza leo 🎉🎉🎉🎉🎉
@MohamedShekihiyo
@MohamedShekihiyo 9 ай бұрын
😂😂😂loveness muoneee shemeji yako huruma maana sio Kwa kichambo hichooo😂 love moree loveness
@FatumaBakari-c4m
@FatumaBakari-c4m 9 ай бұрын
Hunger wana don't TV loveness chukua maua yko🎉🎉🎉
@goodluckemanuelnnko4456
@goodluckemanuelnnko4456 9 ай бұрын
Donta tv ni fire
@shadyazitueni5338
@shadyazitueni5338 9 ай бұрын
Waooo loveness umecheza vizur san jins mwanamke anavyotakiwa kuwa big up
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 9 ай бұрын
Enyewe nyinyi mmekua walimu wetu sasa, mnatufunza mengi Mungu awabariki ❤ from Kenya 🇰🇪
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 9 ай бұрын
Hakuna series nililipenda hili jibrown ata act series ya roho nzur..jimwanaume linamakasiriko na maneno ya shombo
@JamimaZ
@JamimaZ 2 ай бұрын
Loveness hongera mauwa ❤❤❤❤🎉🎉 nakupenda Kwa karata uliomuonya Shemeji iko cku atampa Saluti
@MwanaeshaOmary-bd6dn
@MwanaeshaOmary-bd6dn 9 ай бұрын
loveness nakukubal ukiendeleaaa ivooooo itakuw pw alaf victoria uvumiliv gan huw jmn mpak nakwazikwaaaa
@sumaidazuraiyh
@sumaidazuraiyh 9 ай бұрын
dah nimeikubar kinoma hii move pngezi kwenu wana donta tv
@mkacibeiib7278
@mkacibeiib7278 9 ай бұрын
kazi vzr sana love ukweli uwezi ongea maneno ukachangany wazazi bana😢😢😢😢🎉🎉
@Amina-i4r
@Amina-i4r 9 ай бұрын
Nawapenda sana wana don't tv🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@AsmaRamadhani-ok6iv
@AsmaRamadhani-ok6iv 9 ай бұрын
Imejirudia ndoa yangu si aliingiza brawn na love Leo vik na brown nimeishiwa vya kuingiza mshaaza kukela
@mussaluhwago
@mussaluhwago 8 ай бұрын
Anza na ww kama unaweza pia kuziona sio lazima
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 9 ай бұрын
Mandonga mtu kazii et Leo umekujaa mpigia hapa kwao😂😂😂😂😂😂
@PriscaKagendo-w7q
@PriscaKagendo-w7q 9 ай бұрын
Ongera sana loveness maneno mazuri ya kujenga, AAA kumbe unakuwanga mstarafu ivi!
@NassormsuruzyaRupia
@NassormsuruzyaRupia 9 ай бұрын
Hahaha bora vipande vifupi vyakuisha kuliko miendelezo inabowaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NeemaMasimba-f2w
@NeemaMasimba-f2w 9 ай бұрын
Jamani hii ni channel ya donta plus siyo donta tv though waigizaji ni walewale
@Danielngoiva
@Danielngoiva 9 ай бұрын
Mandonga mtu kaxi amekuja😂😂😂😂
@kokenye9003
@kokenye9003 9 ай бұрын
Mapenzi ww oooooooiiiiiiii mungu anakuona mapenzi walai
@ZAHARASALUMU-l6m
@ZAHARASALUMU-l6m 9 ай бұрын
Loveness umeongea point ya maana
@AbdallahalmasMikidadi
@AbdallahalmasMikidadi 9 ай бұрын
Nawapenda zana jamani❤❤❤ tunainjoy na mafunzo juuu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@RespichMrema
@RespichMrema 7 ай бұрын
Lovenesss nmekupenda bureee😂😂😂brown vick arudi mwanamke sio ngoma yakupiga pumbavu zako😂😂
@JescarGeorge
@JescarGeorge 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂❤ Ahsante DONTA TV Tuna frahii
@IreneMbeoma
@IreneMbeoma 3 ай бұрын
Mmmhmm loveness good girl umejua kunifurahisha❤🎉🎉🎉🎉
@MoureenMagret
@MoureenMagret 4 ай бұрын
Donta tv hongera hendelea mbele mnapamba sana
@RaheemaOmani
@RaheemaOmani 5 ай бұрын
Donta tv mnafanya kazid nzur sana ❤❤❤❤❤❤
@DicksonKimoso-ds4xw
@DicksonKimoso-ds4xw 9 ай бұрын
Kwa kweli hili igizo ni moja ya funzo katika Jamii mean ndoa nyingi zinahitaji uvumilivu kwa kweli
@MarthaAlly-y7s
@MarthaAlly-y7s 9 ай бұрын
Mizimu ya lushoto haya watu WA Tanga lushoto tujuane❤
@NibarutaChristine-n9d
@NibarutaChristine-n9d 9 ай бұрын
Nakubali san ravines nikorofi❤❤❤
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 7 ай бұрын
Ravines ni nn nawe?
@MussaMwalim-w5m
@MussaMwalim-w5m 9 ай бұрын
Jaman munatugusa hapo wanawake tunateseka San mwende ndoa zetu
@everlinekenga437
@everlinekenga437 9 ай бұрын
Nawakubali watu wngu ❤❤❤❤
@KudraEliasa
@KudraEliasa 9 ай бұрын
Love nimekupenda San ushauli mzuli San jmn paka kajifunza san
@MalkaNinik
@MalkaNinik 9 ай бұрын
Loveness lovenesss 🎉🎉🎉🎉 nimekupenda sana
@christine7744
@christine7744 9 ай бұрын
Gd job loveness shemegi mkorofi astahili hivyo😂😂😂❤❤❤
@CizaFrancine-
@CizaFrancine- 9 ай бұрын
Ndoa kama izi bora nikae single myaka yangu yote mimi siwezani kabisa na manyanyaso 😢
@yasintaJoseph-c1z
@yasintaJoseph-c1z 9 ай бұрын
Nimewapenda bure wana donta tv
@GolaEspe
@GolaEspe 6 ай бұрын
Nakupenda kabisa moyoni loveness ❤
@AsendeAndre
@AsendeAndre 9 ай бұрын
ndio iyo nikweli lovenes safi sana ondoka ivyo❤
@AsendeAndre
@AsendeAndre 9 ай бұрын
lovenes safi sana ongereni sana ❤❤❤❤❤❤❤❤nikweli kabisa ❤❤❤❤❤
@MarionSalama-b7w
@MarionSalama-b7w 3 ай бұрын
Mauwa kwa love 🎉🎉🎉🥰🥰 umecheza kma ww ❤️ ♥️
@Halima-f7z
@Halima-f7z 9 ай бұрын
Donta tv nawapenda lkn mjitahd kubadilisha maudhui ya hiz move mana naona kama yanajirudia
@جاسرالخمشي
@جاسرالخمشي 9 ай бұрын
Ongera sana kwa kazi nzuri
@NdereyimanaLucien
@NdereyimanaLucien 9 ай бұрын
Lakini kunambi unapenda kupata maamuzi Kwa Nelly❤❤😂😂😂😂
@Annemumbe-r2z
@Annemumbe-r2z 2 ай бұрын
Km wewe n mwana donta nimpee maua yangu 💕💕💕 donta yafunza jamen karibu
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 9 ай бұрын
Loveness umecheza kma wwe ❤❤❤❤
@isackmwakanyuma8725
@isackmwakanyuma8725 9 ай бұрын
Good work❤
@ILAGOMABULA
@ILAGOMABULA 9 ай бұрын
Mmh lovuness mzul jamen
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 9 ай бұрын
Huyu brown ata akiact series ya roho nzur Huwa hapendezi..juu jisura lake limezoeya kuact na roho mbaya.
@user-ls8rn4tz5m
@user-ls8rn4tz5m 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 7 ай бұрын
Movie nzuri za roho nzuri huwa anacheza na sura ya upole sana
@AminaNgumba
@AminaNgumba 3 ай бұрын
Mimi sijawah kumpend t brown ktk movie zake zote mbili
@theresareed8537
@theresareed8537 9 ай бұрын
Yes Ra Love ns ni Mimi Michael kutoka America Arizona
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 9 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@helinasubila987
@helinasubila987 9 ай бұрын
Nakubali sana love Ness sana
@VailethRichard-bf4fy
@VailethRichard-bf4fy 3 ай бұрын
Love upewe mauwa yako kwa mpango mzur 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@AsendeAndre
@AsendeAndre 9 ай бұрын
Unaona nyumba ishakuwa kubwa sana utajua uhukuwi
@ebacharaphael7500
@ebacharaphael7500 8 ай бұрын
Hongera dada vick ungemuonyesha loveness. By angel kibaho❤❤❤❤❤❤❤
@ZeanaKilungi
@ZeanaKilungi 8 ай бұрын
Jmn lavu upewe mauwa yako🎉🎉🎉🎉 unaakili sana nakupwnda lavu
@nzigirakeka3690
@nzigirakeka3690 9 ай бұрын
Ema mmezidi Sasa jamani mpaka tunaichoka hiyo nyumba mnayoigizia, ni ushauri tuu jamani badilisheni Location mazingira yamezoeleka sana
@veronicawilliam7276
@veronicawilliam7276 9 ай бұрын
😂😂😂😂 lovenes umejua kunifurahisha mama hapo nayeye ajifunze kuwa malipo ni hapa dunian
@SwaibaAmry-fk8no
@SwaibaAmry-fk8no 7 ай бұрын
Loveness 🌹🌹🌹💐💐💐💐🌹🌹
@JamimaZ
@JamimaZ 2 ай бұрын
Furaha Kwa Brown Vicky karudi Kwa mumeo hlo Ni funzo Kwa Brown
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 9 ай бұрын
Nice movie ❤❤❤
@YunisiMwasumbi
@YunisiMwasumbi 8 ай бұрын
Lovenesss bigup kamata maua hayooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@samiraKassimu
@samiraKassimu 9 ай бұрын
Brown ana roh mbaya asaa na ww vick unasubiria nin apo kwauyo mh pole atakuuw😢
@clariszawadi2010
@clariszawadi2010 9 ай бұрын
Kunambi jamani kila kitu hutaki😂😂😂😂 Vicky afanye
@GilbertKimathi
@GilbertKimathi 8 ай бұрын
Loveness hongera sana.umemsaidia sana dadako
@asiasalim9323
@asiasalim9323 3 ай бұрын
Naijua hiyo nilichimbiwa mkwara hata sikumleta mdogo wangu 😂😂😂😂
@MariamRashid-r5m
@MariamRashid-r5m 4 ай бұрын
❤ness wanifanyia io kazi yangu❤❤❤❤❤❤❤
@AngelMoris-cb5rf
@AngelMoris-cb5rf 7 ай бұрын
Mbona siwaeli iyo ndoa yangu part1 David ameuo lovenes part 2 David amemuoa dada wa Love mbona mnatuchanya watazamaji
@JamimaZ
@JamimaZ 2 ай бұрын
Brown yamekukuta upewe kitabu chko Na Loveness usome u jiondoke polepole ukirud nyumban mwako Brown unajutia makosa yko
@Luckness-u1n
@Luckness-u1n 4 ай бұрын
Nakupenda sana Loveness ❤❤❤
@BrigitNamarome
@BrigitNamarome 9 ай бұрын
Love ness kweli!!! ana roho ngumu kwa shemejie brown
@Fauziabeja-uy8ty
@Fauziabeja-uy8ty 8 ай бұрын
Loveness umenikera Hapo ulikua wamueka mbao brown.yani nimetamani nko Hapo 😂ningepigana Nae huyo
@ZinhaZinha-w7d
@ZinhaZinha-w7d 9 ай бұрын
Mandonga MTU kazi😂😂😂
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 9 ай бұрын
Nelly Baba Mipango Nakupenda
@EmanuelDavid-v5h
@EmanuelDavid-v5h 9 ай бұрын
Katika kitu mnashindwa wajomba n finishing2 jamani
@MonicahKerubo-i6u
@MonicahKerubo-i6u 8 ай бұрын
Brown needs someone like loveness. Victoria na wewe acha uoga, na ungoje mume akukujie kwenu.
@MohdAli-sp2wq
@MohdAli-sp2wq 9 ай бұрын
Love Ness mambo sanaa
@ZakaboyMusa
@ZakaboyMusa 9 ай бұрын
Pongezi kwenu
@DivinahMoranga-i9f
@DivinahMoranga-i9f 9 ай бұрын
Good advice loveness
@Mebo-o9y
@Mebo-o9y 9 ай бұрын
Hii ndoa walai😂😂😂😂
@MussaMwalim-w5m
@MussaMwalim-w5m 9 ай бұрын
Ndy hiyo wanaume walivyo wte hakiamungu
@BrigitNamarome
@BrigitNamarome 9 ай бұрын
Nami ua nawapa kweli mwenzenu natokea Kenya lakini mnanibamba vinoma🎉🎉🎉🎉🎉
@marietolerence
@marietolerence 4 ай бұрын
Aki loveness uko namatusi 😮😮😮kutukana chmj wako duuuu😂😂😂😂😂😂
@FailaQueen-qm4dt
@FailaQueen-qm4dt 9 ай бұрын
Mbona zioni zingine 😢jamani
@SuzanyJohn
@SuzanyJohn 9 ай бұрын
Mmmmh lkn brown inaonekan hat uhalisia roho yako mby mmmmh 🤔 sijui sura yako inaonesha hvy yaan mmmmh
@EmaRansiii
@EmaRansiii 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤apo lough
@Issa-xg5de
@Issa-xg5de 9 ай бұрын
Lovenese jaman apewe maua yke
@MichaelDr-rc6ir
@MichaelDr-rc6ir 9 ай бұрын
Lave ness yani wewe mtoto unanichekesha sana
@CharlesMomanyi-br5in
@CharlesMomanyi-br5in 6 ай бұрын
Nawapenda nyote mwaaa likes wapi wasee💕💕💕
NDUGU ZANGU | Full Movie | DONTA TV
22:52
Donta Plus
Рет қаралды 133 М.
PENZI LA BINTI MREMBO NA SHEMEJI ❤️💞 | Love Story
24:36
DONTA FAMILY
Рет қаралды 376 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
SIKU MOJA KABLA YA NDOA YANGU PART 01 💞 Love Story | DONTA TV
22:40
BINTI MALAYA KAYATIMBA 💞 Love story | DONTA TV
29:34
Donta Plus
Рет қаралды 204 М.
NDOA YANGU episod 02
13:17
UTAMADUNI MEDIA
Рет қаралды 530
CHOZI LANGU 💞 Sad story | DONTA TV
30:04
Donta Plus
Рет қаралды 969 М.
NEVER GIVE UP 💪 Full movie
1:37:31
BabaJoan
Рет қаралды 613 М.
SINGLE MOTHER 💞 Love story | DONTA TV
38:04
Donta Plus
Рет қаралды 564 М.
THE FAULT OF MY HEART 💞  Love Story | DONTA TV
1:01:04
Donta Plus
Рет қаралды 259 М.
PENZI LA KIJANA TAJIRI 💞 Love story | DONTA TV
15:14
Donta Plus
Рет қаралды 143 М.