MWANAFUNZI MTUKUTU NA MAPENZI SHULE

  Рет қаралды 1,009,499

BabaJoan

BabaJoan

Күн бұрын

Пікірлер: 148
@godfreymukangai86
@godfreymukangai86 Жыл бұрын
Napenda Sana movie zako ni Evans kutoka eldoret
@KirivoloKakule-hu7ge
@KirivoloKakule-hu7ge Жыл бұрын
Kweli waalimu muna kazi kubwa 😂😂
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 Жыл бұрын
Aisee hizi episode ni nzuri sana kuna wazazi wana mtindia na vijana wakorofi ila hawajui future haisubiri mtu. Poleni sana waalimu
@briantarimo7578
@briantarimo7578 Жыл бұрын
Hongeraaaaa nzuriiiii sanaa❤❤❤❤😊😂
@JohnKaligo-b4g
@JohnKaligo-b4g Ай бұрын
Mmmmh haya bwan😮
@LinusLuoga
@LinusLuoga 2 ай бұрын
Mwalim uko vzr sana aise
@hanspope1083
@hanspope1083 Жыл бұрын
Usicheleweshe sana hii series aisee naifatilia mno
@ElzaatuAlly
@ElzaatuAlly Жыл бұрын
Mama kama huyu ni shida sanaaaaa 😄😄😄🙏🙏🙏♥️
@Hacada
@Hacada Жыл бұрын
well done Baba joan " nakufuatilia sana toka pande za Dodoma Tanzania one love
@ShannyMetod
@ShannyMetod 9 ай бұрын
Ana adabu uyo mwanafuzi
@DianaMukhweso
@DianaMukhweso Жыл бұрын
Gai walimu mna changamoto Kali 😂😂😂 poleni sana
@JuniorKakou-ev3bm
@JuniorKakou-ev3bm Жыл бұрын
CommEnt tu es vraiment magnifique
@JacksonMarwa-b3n
@JacksonMarwa-b3n 9 ай бұрын
Uyoo mama jmn walimu mnakaz 😂😂
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
kweli nmekubali kweli walimu kuna haja ya kupıtıa Jkt au Mandonga aanzishe chuo cha boxing kwa wakimu mana wanafınz hawa
@Faus60Paschal
@Faus60Paschal Ай бұрын
Umeuwa pah mwl.
@Khamisiamlan
@Khamisiamlan 2 ай бұрын
Sawa mpo kazini lakini mnapotosha sana wanafunzi badala ya kuelimisha
@omarymgoba156
@omarymgoba156 Жыл бұрын
Walimu mnatabu kweli kwa watoto wasiokua na muamko wa elimu nawazazi pia nichangamoto kweli pole mwalimu baba joan
@MRJ1308
@MRJ1308 Жыл бұрын
Mama na mtoto wote vichaa
@OmariSalehe-m2f
@OmariSalehe-m2f Жыл бұрын
Mwalimu huyu waohovyo😂😂😂
@EmmanuelRobert-qg9hr
@EmmanuelRobert-qg9hr 3 ай бұрын
mzazi ni mjinga saaan
@bachumedia4371
@bachumedia4371 Жыл бұрын
Ennock upo😂😂 baba la baba umate mate wapi wembelu wembelu ❤❤❤❤❤😊
@Mtindogenious_jr
@Mtindogenious_jr Жыл бұрын
Good job
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 9 ай бұрын
Huyo mwanafunzi kaniudhi kweli kweli,mpaka natamani ndo ningekuwa mm ningempasua vibaya.
@JenniferMangula
@JenniferMangula 4 ай бұрын
Mjuni Paul 😮😮😂😂
@OsmanNoor-xp3tc
@OsmanNoor-xp3tc 9 ай бұрын
Haiwezekani mwanafunzi kusahihisa daftari la mwanafunzi mwenzake
@DieudonnéMUGIRANGABO-f2o
@DieudonnéMUGIRANGABO-f2o Жыл бұрын
Huyuumwarimi amemuita muzazi wamwanafunzi akamuona muzaziamuntu Kbis 🙏 naomba waliopendahii munipe liké 👍🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@BonifaceMutuku-b3b
@BonifaceMutuku-b3b 2 ай бұрын
Malimu na kuonea wanafunzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@marymwendia5012
@marymwendia5012 Жыл бұрын
Always love you baba joani mary from Nairobi Kenya nimekuwa nikikufuata sana kwa movie zako uko poa❤
@MussaSwarehe
@MussaSwarehe 11 ай бұрын
Cx
@BoniphaseMangu
@BoniphaseMangu 4 ай бұрын
Huyu mwanafunzi ni hatari sana
@hanspope1083
@hanspope1083 Жыл бұрын
Mnayumba hii series mmeishia kati kati napenda kuona sabrina anachapwa😂
@KBMW43
@KBMW43 25 күн бұрын
Kama mwalimu wangu
@DivannyAfrican
@DivannyAfrican Жыл бұрын
Mwalimi wa mathematics una busara sana
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx Жыл бұрын
Nakumbuka tulikua tunakod mzaz fek tunawalipa afutatu😂😂
@DivannyAfrican
@DivannyAfrican Жыл бұрын
Daaaah ualimu changamoto sana
@HarunIblahim-is6me
@HarunIblahim-is6me Жыл бұрын
Tuma.nakupenda mwalimu
@DanSituma-mf6rw
@DanSituma-mf6rw 8 ай бұрын
N Dan from manafwa nawapata vyema sana
@Official_marco_paulOfficial_ma
@Official_marco_paulOfficial_ma Жыл бұрын
Chapa huyooooo😢😢😢😢
@ShannyMetod
@ShannyMetod 9 ай бұрын
Uyo mama anaakili
@RespiciusPius
@RespiciusPius Жыл бұрын
Naitwa paky naomba kampan yenu
@varywizzymw2195
@varywizzymw2195 Жыл бұрын
Noma sana aisse
@JoelMauki
@JoelMauki 2 ай бұрын
Kweli hiyo ni gori mwalimu
@AmaniKenya-mk4ze
@AmaniKenya-mk4ze Жыл бұрын
Broo uko pwa
@samuelassumani-bc9vh
@samuelassumani-bc9vh Жыл бұрын
mimi na penda kipara anachekesha saaaana atakama mutu ana stress ata cheka 😂😂😂 napenda saaaana
@MohamedSefu-j9o
@MohamedSefu-j9o Жыл бұрын
Ss tumesoma hapo shule ya madenge hatujakua kama uyo dogo
@WinnieDickson-r9u
@WinnieDickson-r9u Жыл бұрын
Shem shem pongezi zenu kwakweli ♥️♥️♥️♥️
@JosephMithika-h2g
@JosephMithika-h2g Ай бұрын
Amka na yeye mwalimu usitupe wakati
@DianaCyprian
@DianaCyprian 11 ай бұрын
Nmekukubali sana mwalimu wa mathematics hakuna walimu wenye busara kama wewe yaan mungu akuzidishie hicho kipaji sawasawa
@VeronicaElia-n1d
@VeronicaElia-n1d Жыл бұрын
Hahaha makende mawili
@bertaSamuel-r5r
@bertaSamuel-r5r 3 ай бұрын
Ama kweli walimu mnachangamoto sanaa
@NGUNGUNISYAIE
@NGUNGUNISYAIE Жыл бұрын
Sijapenda hiyo sehemu ya matusi "makend*😏😏😏😏😏😏
@josephstephen2047
@josephstephen2047 Жыл бұрын
Makende sio matusi tena hapo ametumia tafsida mbona?
@OpiyosamuelodongoOpiyo
@OpiyosamuelodongoOpiyo 4 ай бұрын
Amefanya kosa sana
@NdanuValeria-bu1xr
@NdanuValeria-bu1xr Жыл бұрын
Mama Paul ana support mtoto wake and he's disrespecting teachers warayi
@WenzilelitunoLituno-mq4ji
@WenzilelitunoLituno-mq4ji Жыл бұрын
Walimu Wana kazi xana humo maxhuleni tuwape pongezi yao
@ZairtyMohamedy
@ZairtyMohamedy 6 ай бұрын
Madamu kivi nampenda kwann hamjamuweka
@hajiempire8541
@hajiempire8541 Жыл бұрын
Umbwa wacha kuharibu wanafunzi tabia chafu, sirkali ikomesha
@NillanMgema
@NillanMgema Жыл бұрын
Hatari sana mama na mtoto
@harrisonkinuthia3754
@harrisonkinuthia3754 Ай бұрын
Walimu wakona ujinga sana
@BelinaKavikule
@BelinaKavikule 8 ай бұрын
Ndio mana uwa siangalii muvi za kibongo hivi kwel mwanafunzi kavaa kipini puani duu
@happinessjulius-up3sw
@happinessjulius-up3sw 7 ай бұрын
Uyo mama sura kama ngedere jaman na ilo litoto puuu
@DianaMsokele-i1o
@DianaMsokele-i1o Жыл бұрын
Duh elim ni bahar
@BettyChebet-ov3ok
@BettyChebet-ov3ok 8 ай бұрын
Iyoni upuzi😃😃
@JuliusKagere
@JuliusKagere Жыл бұрын
Kwakweli mwlimu yuk vizuri
@sheridamwakatobe7290
@sheridamwakatobe7290 9 ай бұрын
Yuyo mama changamoto kwel😊😊😊😮
@ProspaIL
@ProspaIL Жыл бұрын
Good Job
@RoseMoranga-uj5bg
@RoseMoranga-uj5bg 8 ай бұрын
baba Joan unable moyo saana
@hijjaferrari331
@hijjaferrari331 Жыл бұрын
Cover ya Steve imefuata nn mbona hamjiamin nyie undergrnd
@josephwanjala8840
@josephwanjala8840 Жыл бұрын
Wanafunz awajachomekea shati zao jmn
@ruquiajuma8405
@ruquiajuma8405 Жыл бұрын
Baba joan nakupenda bure
@AliceOgola-n5x
@AliceOgola-n5x Жыл бұрын
Weeee huyo mama ana mdomo jamani kama mtoto
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 6 ай бұрын
Hapa ndio ujue mshahara anaokula mbunge alitakiwa apewe mwalimu ndoo anakazi kubwa
@samwelsamwel4042
@samwelsamwel4042 Жыл бұрын
Duuuh 😂😂😂😂😂😂
@johnjetty9875
@johnjetty9875 Жыл бұрын
Napenda Sana hii series msicheleweshe aki naifatilia Sana🤣🤣🤣🤣
@johnjetty9875
@johnjetty9875 Жыл бұрын
Niite Deborah Johndez 🤣🤣🤣
@PatrickPeter-oo1gl
@PatrickPeter-oo1gl 7 ай бұрын
Ninge Mchapa Mbungu. Mia.Moja
@MarionOtsieno
@MarionOtsieno 5 ай бұрын
mwalimu atakama amekukosea hivyo hufai kumtusi matusi mabaya hivyo mbele ya wanafunzi wenzake hatakama amekukosea hivyo
@Jack-v1v7g
@Jack-v1v7g Жыл бұрын
Afu akina mjuni ndo tabia yao hii. Huyu wa 4
@MJPIZZO
@MJPIZZO Жыл бұрын
Lakini mjuni mm sipo ivyo
@PascalKazungu-v5z
@PascalKazungu-v5z 6 ай бұрын
skutaki wewe Mwalimu mjinga unatandika msichana matako akili yako sio sawa wewe chapa wengine lakini ukichapa mtoto wangu ujajua
@AbelMtunge
@AbelMtunge 9 ай бұрын
Ase walimu polen ana
@Husnahassani-sw2ym
@Husnahassani-sw2ym 6 ай бұрын
Baba jon hatar
@RUBENICOMEDY
@RUBENICOMEDY Жыл бұрын
Huyu mwalimu mwenye nywele anafundisha biology safii mumeigiza uhalisia wa shulee kabisa
@jamilakomba
@jamilakomba Жыл бұрын
wanafunzi weng awapendi mathematics
@EdalatEnsaniyat-mc8uw
@EdalatEnsaniyat-mc8uw 2 ай бұрын
لطفاً ترجمه فرمایید 🌹🌹🌹🌹
@KhomboTanapo
@KhomboTanapo 7 ай бұрын
❤❤❤😂😮😮
@AminaMkimina
@AminaMkimina 8 ай бұрын
Fukuza yeye huyo mwanafunzi
@Dareyoman
@Dareyoman Жыл бұрын
Muenselezo uko wapi aisee
@StephenOluoch-p1j
@StephenOluoch-p1j Ай бұрын
Huyu mzazi mjinga xna 6:26
@AishaSaum-n5j
@AishaSaum-n5j Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@TomasRafaelRafael-gt5ti
@TomasRafaelRafael-gt5ti Жыл бұрын
Radio
@WinnieAmbaisi
@WinnieAmbaisi Жыл бұрын
Wewe humwali
@kavisheh.m.s.6976
@kavisheh.m.s.6976 9 ай бұрын
Maigizo kama haya lafudhi ya huyo mama inachafua kabila fulani
@semarktanzania2438
@semarktanzania2438 4 ай бұрын
Wow
@omarymgoba156
@omarymgoba156 Жыл бұрын
Poleni walimu
@zablonmiheso694
@zablonmiheso694 5 ай бұрын
Makende tena
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 7 ай бұрын
Kwa nini serekali ina ruhusu hivi vitu vya kipumbavu watoto wetu watafoka wapi jamani
@MbavikiCulturalGroup
@MbavikiCulturalGroup Жыл бұрын
Wacha tu
@Masagasitraditionalclinic
@Masagasitraditionalclinic Жыл бұрын
Sawa mwalimu
@bachumedia4371
@bachumedia4371 Жыл бұрын
Nataka ennock njoo kwenye comment baba joani mwambie ennock ajibu comment zangu
@TijaGondwa
@TijaGondwa Жыл бұрын
Nayo ni kaz yake apambane
@antoniadasilvapereira3815
@antoniadasilvapereira3815 8 ай бұрын
Meu Deus que violência
@fareedmoosa7096
@fareedmoosa7096 8 ай бұрын
😂😂😂
@LevinaDenard
@LevinaDenard Жыл бұрын
🎉❤❤
@GetrudiChamy
@GetrudiChamy Жыл бұрын
Kiowa hulk
@premierLeaguefunny
@premierLeaguefunny Ай бұрын
😭😭😛🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
@ภูสินบุญญานันทชัย
@ภูสินบุญญานันทชัย 4 ай бұрын
Talk too much , bored to see till the end.
@IZAALATU-SIHRI6
@IZAALATU-SIHRI6 Жыл бұрын
Uhalisia kabisa
@DidacusOdhiambo-lr8qt
@DidacusOdhiambo-lr8qt Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@galuvoice3891
@galuvoice3891 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@celiamariadasdoressoares5841
@celiamariadasdoressoares5841 6 ай бұрын
Eu não aceitaria tbm não,bater só eu
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 7 MPYA )
10:57
Mweusi Family
Рет қаралды 993 М.
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 2,1 МЛН
MTOTO WA SHULE
8:02
CLAM VEVO
Рет қаралды 702 М.
MWANAFUNZI MWENYE KIPAJI AMUIGIZA RAIS SAMIA KILA MTU KICHEKO TAZAMA!!!!
7:51
IMPOSSIBLE! Giant SNAKE Lay Eggs Hunters Saving Girl | MIKE FISHING
11:32
The Rescue
12:52
Stevo Entertainment
Рет қаралды 10 МЛН
MWALIMU MGENI ❤️ /10/
20:48
BabaJoan
Рет қаралды 4,3 МЛН
MR MACHALE FULL MOVIE
53:38
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,1 МЛН