Shetanii yupo kazini aisee inaumiza sana kwa hili .
@hajially45272 ай бұрын
Wazazi wengi hawana busara huyo lazima kuna kitu sio kwamba kaulizwa kawaida tu lazima kuna vitisho hapo huyo mzee anajitetea tu
@sophiakimaro51742 ай бұрын
Yaana hizi ni filamu tu.mimi nawaambia niliacha kabisa kuangalia alpaslan baada ya mwanangu wa miaka 3 kuchukua kisu na kunitishia nacho kama kina alparslan wanavyofanya.
@NemaAli-zh6hr2 ай бұрын
Baba anaonekana mkari sana kaogopa maskini
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun kilakifo kinasababu
@tupegigwensajigwa26292 ай бұрын
Watoto wetu mtihani
@issaalfani10302 ай бұрын
Huyu dogo sio tu kwamba sababu ni pesa za kibada kuna mengine mengi yame msukuma