Alhamudulilahi, mahojiano mazuri.....Mungu akubariki na kukuepua na kila ovu....nimekamata mawali matatu katika safari ya utangazaji.
@Ustadhcyrus6 ай бұрын
Kazi nzuri Ndugu Hassani
@mwangamediasimoncephas3 жыл бұрын
Hii interview imenifunza mengi mno na imebadilisha mtazamo wangu. Hongereni magwiji wangu ambapo sikosi kumsikiliza punde tu muwapo hewani, niko nyuma yenu naja kwa uweza wake Mola nitafika hapo na zaidi mlipo. 105.1 Tuko mbele pamoja
@samvansports4782 жыл бұрын
Waah mwashumbe umenibadilisha pia mm nilisomea utangazaji but fee nilikosa Sasa mm ni Boda Boda but Sasa nmejua kwann mwashumbe kila asubuhi lazima uongelee maroot za matatu.
@samuelkosgei31342 жыл бұрын
Hasan twakupenda sana
@muonlinetv18793 жыл бұрын
Nakubali kaka
@ephraimmwachala9062 жыл бұрын
Mdawida wa mzedu, highschool schoolmate 💪💪💪
@musungumuluyatv2 жыл бұрын
Aki Hasan nakusihi nisaidie mm Ni mwandishi muchekeshaji na muigizaji
@joskyshams47582 жыл бұрын
Mimi tangu niwe shule ya msingi hadi shule ya upili nilipenda fani ya utangazaji. Ingawaje sikuendelea na masomo bado napenda.
@mmwalimujoseph47933 жыл бұрын
Sauti nzito ya Mzee wa kazi
@godfreykimathi65306 ай бұрын
Papa manuu, sauti ya Ninga. Combination yake na sugar boy niliipeda sana hiyo miaka akiwa pale Rmaisha
@trevorsmedia37083 жыл бұрын
Papa manu
@josiahmwikwabe21732 жыл бұрын
Manu Emanuela aka mtu mkubwa
@ekenoshadrack1024 Жыл бұрын
captain Emmanuel mwashumbe🤣
@nicholuskiilu55192 жыл бұрын
At least I know why mwashumbe is always mentioning jamia shuttle,etc