Emmanuel Terer-Mwanahabari katika kituo cha Switch Tv. Awali amehudumu katika kazi mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti. Kisa chake kitakuacha hoi.
Пікірлер: 54
@maxmilliankibura10473 жыл бұрын
Nimezaliwa siku moja, mwez moja na Mwaka mmoja na terer..barikiwa
@salumselemani10593 жыл бұрын
Hongera mr Terer Emmanuel, na hongera pia @Hashimu ibwe mr Terer amekutaja kama mentor wake
@franklineruto86333 жыл бұрын
Proud of u both
@amosmwanga40273 жыл бұрын
Terer mimi ni shabiki yako mkubwa toka Dar es salaam, kazi yako ni nzuri pia inafuatiliwa sana Tanzania
@ZuhuraKijengi-op7si Жыл бұрын
From Tanzania
@debracherotich77393 жыл бұрын
Kazi nzuri wangwana...tutatimizandoto#👌🙌🙌🙌
@giovanyke2 жыл бұрын
kiswahili mwa kimumunya wakali wangu.
@RONNYTVKE2 жыл бұрын
Ahsante sana.
@numbipaul48702 жыл бұрын
This is Emmanuel terer namkubali sana bigger up sana as the one of funs
@emmanuelkipkoech43203 жыл бұрын
Kazi safiii mwalimu wangu wa kiswahili darasa la nne
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Shukraaaaaaaan
@bensychepngetich57892 жыл бұрын
Kazi poa pia Mimi ni Mwalimu was Kiswahili
@RONNYTVKE2 жыл бұрын
Baraka tele Mwalimu na karibu sana RONNY TV.
@victorsiele33853 жыл бұрын
Kongole
@ronald_terer3 жыл бұрын
Huyu somo wangu anakuja kwa kasi sana. Ataenda mbali. Kazi nzuri somo wangu pia Ronny
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Shukraaaaaaaan bingwa. Sote tuko safarini.
@thomasodhisodhat45983 жыл бұрын
Mahojiano mazuri Ronny na rafiki yangu Emmanuel Terer.Kazi nzuri
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Baraka tele kaka. Wewe ni gwiji.
@dfre6283 жыл бұрын
Nimefurahia sana kuwaskiza,Terer kwa kweli umetoka mbali,Ronny kongole kwako pia.
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Shukran bingwa wangu wewe ni kaka zaidi ya kaka.
@kleahbebe55182 жыл бұрын
Kazi safi kabisa
@RONNYTVKE2 жыл бұрын
Baraka tele na ahsante sana.
@wadimwema40403 жыл бұрын
Mashellah!!kazi nzuri ajabu.Nyie ni magwiji ( Emanuel Terer na Ronny Reagan),nawachukulieni kama ruwaza yangu,Mola awajalie mzidi kukuza vipaji vinavyoibukia.
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Banati wangu
@mananajoseph96423 жыл бұрын
Sauti za mnato,zinazonata hisia,akili na bongo.Kazi nzuri rijali mwenzangu..Mwambie Emmanuel Terer ninamvika koja la kifahari kwa ukwasi wake wa kiswahili. Kama si ambo la korona,ningekupa mkono wa heri
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
MCA mtarajiwa nikushukuru vipi bingwa.
@brothermams283 жыл бұрын
Kazi safi sanaa
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Thank you Sir
@nancychege4023 жыл бұрын
Alar.. Sisi tuko hapo tunaskiza
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Karibu sana Malkia the CEO herself.
@vivianatieno74893 жыл бұрын
Ronny am happy for you ☺☺☺
@scottbradley45763 жыл бұрын
Great job
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Thank you.
@healingdiet55473 жыл бұрын
Terer MANOX my all time cosmetology teacher and my swahili person...
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Wow!🥰🥰🥰
@phezzanphaith4163 жыл бұрын
Great work
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Bless you
@ZuhuraKijengi-op7si Жыл бұрын
Emmanuel tereri mie ni shabiki yako Sana from Tanzania. "Respect Sana brother"
@RONNYTVKE Жыл бұрын
Baraka tele
@joy.2823 жыл бұрын
Great job Ronny,keep the 🔥🔥 burning,na usalimie Terer.
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
God bless you dear.
@MercyKiptoo-sn2qh Жыл бұрын
N siku nyingine n nashukuru rabuka, nasema emmanuel kazi huntu
@wagawinnie36353 жыл бұрын
The show is awesome... Terer vs Ronny Swahili tu 👏👏👏I salute
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Bless you 🙏
@josekagawakwach3 жыл бұрын
Great work ronny , i feel waaaah to you Ronny , your are my momentum I know feel everything is possible
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Thank you so much 💓
@dWanyongesa40243 жыл бұрын
Aki huyu Citizen itamuiba. switch should pay him well
@RONNYTVKE3 жыл бұрын
Una vipashoooooooooo.
@johnkangentu91393 жыл бұрын
Mulizee manuel terere angewaambia nini wanahisi kwamba mbado hawajagudua talanta zao?