Wazanzibari wanadaiwa wenzetu Norway mtoto akizaliwa ana depositum ya $ 600, 000 kwenye State Acounts. Hio hela inatoka kwenye suplus ya mafuta na tax revenew yao. Mbali pension ya wazee, watoto wanaozaliwa hadi kufikia miaka 18.
@adamstour5736-kb6zq17 күн бұрын
Sifa na wasifu ulionao unatosheleza kuwa RAIS wa ZANZIBAR
@imsimk.khamis57413 күн бұрын
Tulikuwa na viwanda vya Maziwa na Siagi na tukiuza maziwa safi hadi Tanganyika ækn viliuliwa kwa makusudu. Pale Ali Mwinyi alipokubali kuwa Raisi kule kwao Tanganyika. Kweli huyu mtoto wake atatuletea kheri labda hasara.
@ramakira789517 күн бұрын
Mm napita tuu🙏🙏
@jaffaralimakame153310 күн бұрын
WEWE SEMAAA NCHI HII WEWE HUONGOZIII HUONGOZII HUONGOZII HUTUAMBII KITU CCM TUUU