DUUUH! KIJANA MZALENDO AMPARUA KIKWETE "ALIWAFUTA WAZEE ENZI ZAKE LEO ANALIA/VIONGOZI HAWAMSIKILIZI"

  Рет қаралды 5,384

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 16 күн бұрын
Kijana mzalendo wewe ni mzalendo pamoja na mhe.mpina haya mnayoyazungumza hakika tutayaishi
@ZiggysebahZiggysebah
@ZiggysebahZiggysebah 16 күн бұрын
Asante mzalendo.hili la bunge ni kweli kabisa.haijawahi kutokea
@JIDENDEINANAI
@JIDENDEINANAI 17 күн бұрын
Sasa mbona hamkusema kwenye mkataba
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 16 күн бұрын
Kijana mzalendo🔥🔥🔥
@wilifredmollel9690
@wilifredmollel9690 16 күн бұрын
Ongera mzalendo
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 16 күн бұрын
MUFANO AFANDE ALIYETUMA VIJANA SITA KWENDA KUMULAWITI BINTI VIBAYA SANA. WATANZANIA WOTE WAKAJIONEA. MPAKA LEO HUYU MAMA AFANDE BADO HAJAKAMATWA. VIJANA WOTE WAMEFUNGWA. CHANZO YA KOSA HILI. NI HUYU ,MAMA AFANDE. Na huyu anayehoji ananikumbusha kipindi cha wagonjwa walivyokuwa wakihojiwa.
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 17 күн бұрын
Kumbe kuna watu wengi wanatambua ule mkataba wa bandari ufilisi wa lasimali za nchi
@tgeofrey
@tgeofrey 16 күн бұрын
Mauwa Ya Lowasa
@wilifredmollel9690
@wilifredmollel9690 16 күн бұрын
kijana mzalendo Leo unaongea kwa uchungu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 16 күн бұрын
Lowasa alikuwa mwizi pamoja na kikwete. Wote wamejitajirisha kwa fedha za watanzania . Kwa kifupi. Lowasa na kikwete wote waliitafuna Tanzania pamoja. Kiongozi hatari kabisa ni KIKWETE. Mpaka sasa kaiteka Tanzania. Anayemutaka yeye ndiye anakuwa kiongozi. Ni Kikwete ndiye aliyemufukuza Bashiru, kiongozi muzalendo kabisa. Tujiulize kwa nini wana siasa ni matajiri bila viwanda kama sio WIZI?
@jonathansirkintungi3440
@jonathansirkintungi3440 16 күн бұрын
Hujui kitu wewe unajichanganya mwenyewe ongea kwa kuxingatia Sheria.
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 16 күн бұрын
Makamba mbona amna kitu unamsifia kwakuwa mtoto wake katumbuliwa na mh samia mchonganishi mkubwa wewe
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,7 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 10 МЛН
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45