MWANAJESHI MSTAAFU ZANZIBAR ALIYESHIRIKI KUWAKAMATA WAUAJI wa HAYATI MZEE ABEID KARUME "WALIKIMBIA"

  Рет қаралды 16,869

Global TV  Online

Global TV Online

5 ай бұрын

MWANAJESHI MSTAAFU ZANZIBAR ALIYESHIRIKI KUWAKAMATA WAUAJI wa HAYATI MZEE ABEID KARUME "WALIKIMBIA"...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 81
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@omarali797
@omarali797 4 ай бұрын
Maswali mazuri sana. Sema huyu Mzee Muongo sana. Jumbe ni mswahili mwenye asili ya bara, kama Mapinduzi alikuwa kashafika Makerere na msomi mzuri. Ali Hassan Mwinyi katoka Mkuranga, hakurudi tena, naye kusomeshwa mpaka UK.
@Nedjadist
@Nedjadist 2 ай бұрын
Acha ubaguzi, mkiachiwa wenyewe patakuwa vurugu. Tetea Muungano uboreshwe tu. Angalia Sudan.
@user-km7xi4ev9j
@user-km7xi4ev9j 27 күн бұрын
​@@Nedjadist Nawe wataka ushughulikiwe kwa maana huwezi kujiendesha mwenyewe. muangalie mau zinde
@seanmurray6516
@seanmurray6516 5 ай бұрын
Kuna siku mutasimama mbele Ya Allah na kila mtu atahukumiwa kwa kosa lake
@abunufilaabunufila2152
@abunufilaabunufila2152 5 ай бұрын
We mzee hujaongea ukweli bali uongo uliopitiliza
@madetetv6576
@madetetv6576 4 ай бұрын
Wewe ulikuwepo? Yani unambishia mtu ambaye yupo toka hujazaliwa na qlishuhudia tukio
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 5 ай бұрын
Kaondolewa mkoloni sultani kakabidhiwa mkoloni mtanganyika, kichekesho.
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 3 ай бұрын
Nchi ilikuwa salama mpk alipouliwa mzee Abeid amani karume
@saadamar6712
@saadamar6712 5 ай бұрын
Ikiwa lengo la kufanya Mapinduzi ni kujitawala na kujiamulia mambo yetu wenyewe. Leo kila unachotaka kufanya lazima waamuwe Tanganyika
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 3 ай бұрын
Bora tungetaaliwa na ao waarabu kuliko ngozi yeusi zilizojaa tama maisha magumu sana
@mangofish9079
@mangofish9079 5 ай бұрын
Hivi kila siku unasikia tumedhulumiwa tumefanyiwa hivi na vile hebu wahojini basi au familia zao wahojini ili watoe ushahidi sio porojo tuambieni nani au familia ipi jamaa zao waliuliwa au walifungwa bila ya hatia au walidhulumiwa nk.
@gangmore9091
@gangmore9091 5 ай бұрын
Ukweli upo wazi yaliyotokea yanajulikana kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 5 ай бұрын
Dhamira yetu ya Zanzibar bado hatujafikia maama maamuzi ya nchi ya Zanzibar bado kabisa hatuamuii sisi wazanzibar tunaamuliwa na watu kutoka tanganyika Kiukweli ameondoka abdallah jamshed amekuja mtanganyika ni vile vile tofauti kwamba jamshed alikuwa ni white race mtu mweupe or mwekindu na mtanganyika ni Black people mtu mweusi Kwa weusi wake mtanganyika na anavyoturawala zanzibar hatuoni km tumetaliwa lakini bado zanzibar tuko chini ya utawala wa tanganyika Huo ndio ukweli Km tanganyika na Africa tunapendana basi ni wazi kuwa tanganyika waiwache zanzibar ijitawale wenyewe katika utambulisho waoo wa taifa huru la afrika
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 3 ай бұрын
Jamshed ni mt wa Oman na dhamira ilikuw kuwaondosh waoman lkn shida imeanza baada y kuuliwa mzee karume km angekuwepo zanzibar ingalijiendesha wenyew ndo maana hotuba ktk hotuba zke alikuw anasema muungano ni km koti
@saadamar6712
@saadamar6712 5 ай бұрын
Ikiwa mtu mweusi hana thamani mbele ya mtu mweupe. MZEE Ali Hassan alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu. Jee MZEE Mwinyi ni Mweupe??😂😂
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 5 ай бұрын
Mapinduzi yalikuja pinduwa serekali halali ya wazanzibar chini ya uhuru wa muengereza ambao mataifa mbali mbali wanaadhimisha ikiwemo Tanganyika yaliotokea zanzibar ni husda ya karume na Nyerere mungu awalipe kwa matendo yao ila kwann hamkupinduwa wakati wa muengereza???
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 5 ай бұрын
Jaribuni kutuaminisha uongo wenu lakini hatuwaamini tunajuwa nyinyi ni maadai wetu
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 4 ай бұрын
Af hauna ata ushahid wwte uwonqo wao Thanks Allah mitandao iko wazi tunaona kila kitu
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 4 ай бұрын
​@@mussakiziyzi408ni uongo mtupu na ushahidi upo wakutosha tu na mashahidi was kwanza ni wao wenyewe baadhi yao wakitaka kutubia husema ukweli
@abunufilaabunufila2152
@abunufilaabunufila2152 5 ай бұрын
Mzee muongo sana
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 5 ай бұрын
Wazee Sisi vijana Bado tutaendelea kuwalaumu sana mlikua na dhamira njema sana ya kufanya mapinduzi ila kwann mkatuingiza tena Ktk Domo la Tanganyika bado dhamira ya kujitawala na kufanya mambo yetu wenyewe haijapatikana maana hatupo huru
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 3 ай бұрын
Tusiwalaum sana Wazee kwasbb mambo yaliharibik baada ya kuuliwa mzee Abeid aman karume kwasbb km utaskiliza hotuba zake alikuw anasema muungano ni km koti unaweza kulivua dhamira yke ilikuw nzuri lkn kuna wtu waliomsaliti ndo maana akauliwa
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 5 ай бұрын
😮WEWE UMO TUU HUJIJUWI MUUWAJI WA WAZANZIBARI NA YEYE KAULIWA MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU WANAFIKI MADHALIM WEZI WAONGO HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN.
@jarsjam8894
@jarsjam8894 4 ай бұрын
Sie karume alopindua Nyerere ndie alopindua na mpaka Leo muko chini ya bara nyooni mnauliwa ovyo
@jarsjam8894
@jarsjam8894 4 ай бұрын
Walishirikiana na Nyerere kumuuwa karume yuleyule alomsaidia mapinduzi
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 3 ай бұрын
Ww mzee mmewauwa waarabu Sasa ivi ao mlowauwa wanatuletea msaada nyie njaa Kali
@salimbinshaks1385
@salimbinshaks1385 5 ай бұрын
Ww mbwa wachauwongo unachoulizwa sicho unachojibu mlipiga watu nakuwauwa hiyondiyo dhambi muliyoifanya lakini kumbukeni iposiku itafika
@fathiyaabdallah4323
@fathiyaabdallah4323 2 ай бұрын
Mhh mzee mbona humuogopi Mwenyezi Mungu unasema uongo mtupu. Au ndo sifa tu. Utajibu mbele ya Alokuumba.
@jarsjam8894
@jarsjam8894 4 ай бұрын
Maendeleo hakuna labda kuharibiwa wtt wenu ili musiwe na wanaume
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 3 ай бұрын
Ntangazaji weka sewa utawala wa sultan wa Muhammed shamte .lkn je Shamte hakuwa muafrika.
@user-jx7ot4ru7l
@user-jx7ot4ru7l 5 ай бұрын
Hujuwi kitu babu kuhusu mapinduzi
@shamsahamdan3274
@shamsahamdan3274 5 ай бұрын
Zamani kulikuwa kuna uchumi mikarafu na minazi sasa tutakula.barabara uchumi nini having.sasa
@salimbinshaks1385
@salimbinshaks1385 5 ай бұрын
Narudi tena ww mbwa wacha uwongo mapinduzi haipo muda nayo pia imepinduliwa na tanganyika ukifanya dhambi na ww utafanyiwa hayo nimaneno ya allah
@mohammedbakar4142
@mohammedbakar4142 2 ай бұрын
Mzee acha na hiyo story humoud kauliwa na dereva wa mzee Abeid Amani Karume alikuwa anatoka ndani kinyume nyume
@user-sl2hk8wp1p
@user-sl2hk8wp1p 5 ай бұрын
Mmmmmh
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 4 ай бұрын
Kwanini mlifanya mapinduzi ilihali mlishapata uhuru na kujitawa?
@khadijabuberwa3362
@khadijabuberwa3362 Ай бұрын
Kadama nikamatu mpaka kufa kwako uko kadama
@surusuru1994
@surusuru1994 5 ай бұрын
Wamesikia wa Zanziba mana huya wanajifanya mindomo mireefu polen saaan kwkubaguliwa na hongeren pia kw mpiduzi
@mangofish9079
@mangofish9079 5 ай бұрын
Hivi kila siku unasikia tumedhulumiwa tumefanyiwa hivi na vile hebu wahojini basi au familia zao wahojini ili watoe ushahidi sio porojo tuambieni nani au familia ipi jamaa zao waliuliwa au walifungwa bila ya hatia au walidhulumiwa nk.
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 3 ай бұрын
Mtangazaji kashikilia kumpindua sutltan. Kwani sultan ndo alokuwa na serekali.
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 ай бұрын
Duuuuh mdomo wangu
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 5 ай бұрын
Babu unajuwa kwamba sasa ni ulafi wa madaraka tu. Wizi Ufisadi dhuluma Mauwaji tu hawana lolote
@seanmurray6516
@seanmurray6516 5 ай бұрын
Huyu mzee ni muongo na halijui asemalo wakati wa mapinduzi Sultan hakuwapo alikua dar baadae akaenda Mombasa huyu mzee si mzaramo hata hajui asemalo ni chuki tuu.
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 5 ай бұрын
Tito Okello mbona hatajwi.
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 ай бұрын
Okelo alikuwa stering mwamba
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 5 ай бұрын
😮HAKUNA MSHTUKO WOWOTE WEWE COMMANDO ULIKUWAPO WAPI WACHA KUSEMA UWONGO UMELAANIKA KAMA BARAKATI SHAMTE.😮
@hafidhali3020
@hafidhali3020 16 күн бұрын
Mzee umri huo bado wafurahia udhalim,na bahati mbaya kabisa na nyinyi mmetawaliwa na Tanganyika
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 3 ай бұрын
Huyu mzeee muongo wa mwishoooooooooooo.
@user-lg6je8xh4p
@user-lg6je8xh4p 4 ай бұрын
Kikowapi sasa! Umeua wenzako sasa ona ulivyo dhalili. Nan anayekujali? Jifunzeni mlio na nasafi leo
@aminattai2676
@aminattai2676 5 ай бұрын
Uyo ushawishi ndio unamponza hakushiriki na hajui lolote,watu walikua kumi na sita tu itakuwaje asiwakumbuke muongo anajaribu kutakafuta umaarufu tu.hata wachezaji wa mpira miaka iyo ukiwauliza wanakumbukana wote itakuwa wauwaji wasikumbukane vipi
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 5 ай бұрын
JEMEDARI GANI MTU WA MALAWI WACHA KUSEMA UWONGO MAJAMBAZI YAMEWAUWA WAZANZIBARI 😮😮
@user-sl2hk8wp1p
@user-sl2hk8wp1p 5 ай бұрын
Ukoloni bado upo jeshi jeshi jeshi mstaaf
@elioimer8423
@elioimer8423 4 ай бұрын
Muulize hivi :- Zanzibari au Wazanzibari wana jeshi bado?
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 4 ай бұрын
Nyie mtatudanganya mpaka lini sulatani gani alie pinduliwa mbona kila siku mna tuletea viini macho tu
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 4 ай бұрын
Sultan Katawala mwezi mmoja tokea muengereza kuondoka , madhila gani yalofanyika ndani ya mwezi mmoja. Na kwanini hawakuuwa wazungu ambao ni weupe zaidi ambao hata mmoja hajaguswa na wahindi ? Chuki , tamaa ya mali na madaraka ndio zilizofanya watu wauwane
@ashaali7506
@ashaali7506 5 ай бұрын
Nimefurahi umemtaja humoud umesem ukweli ila umeficha kdg
@hajiameir8688
@hajiameir8688 2 ай бұрын
Nyinyi wazee mmetuingiza mkenge mmegoma kutawaliwa na sultani ni sawa cha ajabu mmeenda kutawaliwa na tanganganyika inakuwaje? Hayo unayoyazungumza ni uongo na uzushi saivi mmebaki kuongozwa na kanisa
@hafidhali3020
@hafidhali3020 16 күн бұрын
Mzee mwenyewe hajuwi anaekula wala anapolala shati alilovaa nongo tupu huyu mzee ni homeless
@abdullkhamis5406
@abdullkhamis5406 4 ай бұрын
Huu ni Upuuzi Mtupu. Hebu jitathminini.
@abdullkhamis5406
@abdullkhamis5406 4 ай бұрын
Mbona nyinyi wewe mtaangazaji na huyu mzee kwani ni Sultani Gani khasa alie pinduliwa. Kwani Serikali ya Shamte ilikueko wapi au lini. Wacheni Kupotosha tafuteni elimu na mujifunze.
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 ай бұрын
Urongo mtupu. Huwezi kutaja mapinduzi bila john Gideon Okello ukawa sahihi. Haya hayakuwa mapinduzi bali kusalitiana ambapo Okello aliwasaidia lakini wakamsaliti
@humoudseyd7310
@humoudseyd7310 5 ай бұрын
Mzeeee muongo hajuwi chochote anafyatuwa tu...anyway kwani saivi mejitawala nbona raisi wenu anachqguliwa na Nchi nyengine tanganyika Dodomaaaaaa tafauti yake nini sasa umeina wapi nchi ilojitawala na haina maamuzi wala bendera umoja wa mataifa tafuta history kwa mtu sahihi huyu mzee anataka anekane kwenye TV tu
@lawskuli9876
@lawskuli9876 4 ай бұрын
Wauaji wamekamatwa Bubwini mara Mangapwani...mzee anafyatua tu. Pia huyu mzee anaonekana ni "racist"
@selecohabeeb6658
@selecohabeeb6658 5 ай бұрын
Muongo miaka 22 ndani ya Jeshi umeondoka.bila ya cheo.......basi.ulikuuwa konda.....towa supporting documents kama.kweli Ulikuwa.jeshi...record zako.zitakuwrpo....lier pants on fire
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 3 ай бұрын
Ananitawla muafrika mwenzangu ,yupi Karume,Mfaranyaki,Aboud jumbe,Antoni kisasi,Bakari jabu,Hamisi nyuni,Saidi washoto woote watwana kina Kaujore ? Hawa ndo wazanzibar ?
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 3 ай бұрын
Zanzibar imetawaliw na masultan 12 je hawa wote ni wazanzibar????
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 3 ай бұрын
Sultan wte walotawala zanzibar ni wazanzibar???
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 2 ай бұрын
Wewe mtu mzima lakini huna lolote kidhab waheed
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 3 ай бұрын
Hajui loloote pumba huyu.
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 4 ай бұрын
Sasa mnajitawala?au mnatawaliwa?mbona bado mko chini mnatawaliwa?sultan aliwa achia Nchi kwa hiyari na mazungumzo nasio kushika silaha, mapinduzi yamefanyika kuwa ondoa wazanzibari wenzenu nyie kwa nyie, msitudanganye ati mapinduzi kumuondoa Sultan, Sultan alishawakabidhini Nchi yenu kwa amani
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 5 ай бұрын
Dugh kumbe ndio sababu kuu basi Laazima yafanyike mapinduzi mungine maana zenjibar haina mauzi wala haijajitawala inatawaliwa na wageni wa tanganyika
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 3 ай бұрын
Ntangazaji weka sewa utawala wa sultan wa Muhammed shamte .lkn je Shamte hakuwa muafrika.
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 5 ай бұрын
😮 MWENYEZI MUNGU ANAKUONESHA UJAHIL NA UNAFIKI WAKO ULIOUFANYA TUBU KWA MOLA WAKO 😮😮😮
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 42 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 48 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 12 МЛН
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
UKWELI WA HISTORIA YA ZANZIBAR NA MWANDISHI WA MZEE KARUME
34:57
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 10 М.
KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI
12:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 421 М.
Vyovyote wanavyotaka wao, sisi tuko tayari, asema OMO
56:01
Weyani Tv
Рет қаралды 6 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15