Shout out to Bryson and Asante Tours! Bryson got me on top of Kilimanjaro 8 yrs ago! Shout out to Julio and White! 😂! Asante tours got me on top of Kilimanjaro 3 times! 3 yrs consecutively 2014, 2015, 2016! Shimboyi shafoo! Halla to all guides and poters working in Mt Kilimanjaro 👏🙌🤝💪
@samwelyremy41037 ай бұрын
Big up 4the great job 🥂🥂✅
@vero577 ай бұрын
HONGERA SANA MJOMBA 🔥🇹🇿💐👏👏
@gracekagoma32317 ай бұрын
Congrats
@Alkaburu7 ай бұрын
Kuna kitu cha kujifunza hapo jamaa ameulizwa kama atatembelea mbuga gani ya Tanzania baada ya kupanda mlima. Amesema alishawahi kufika kenya na atarudi tena kenya!
@beatbyrich28917 ай бұрын
Ataenda kuliuza shilingi ngapi UK?
@Dreidama7 ай бұрын
Champion 🏆
@edgar39987 ай бұрын
Mwanajeshi ndo huyu sasa.
@DianaHyera7 ай бұрын
Nilijua huyu jamaa atasanda
@chandobenjamini49677 ай бұрын
abebe la LG tuone chunguza li lina kg ngapi?
@abdallahomarseif51797 ай бұрын
Siku ya kwanza walisema friji lina kg 20 na aliweka chakula cha kama kg 5 kwa hiyo alikua kabeba kg 25
@ashachitemo78167 ай бұрын
Kakomaa huyo mguu wake kama katika uyole
@daudymlauletv84897 ай бұрын
Ko mnajua Hilo friji Lina nn au mnashangilia tu Yani Leo mtanzania atoe friji Tanzania apeleke mji mkuu wa wingeleza watakubali ya sijui Africa alio tuloga nani Kama alikua na shida ya kutangaza kampeni zake si atangazie kwao huko
@Hillary_Daudi_Mrema7 ай бұрын
Narudia tena naomba Vijana tutunze Afya zetu kwa kufanya mazoezi na kula vizuri ila baadhi yenu wabishi nyie endeleeni kukaa Bar na kuendekeza Pombe na kujiita Majina ya Papaa huku mkiringia na kutamba na vitambi vyenu vikubwa ila mkifika miaka 40 dawa za sukari na presha ziwangojea kwa hamu kubwa
@domymerinyo81657 ай бұрын
Omba Mungu mazoezi ni sehemu ndogo ya afya,magonjwa yanakuja yenyewe