Dah inaomba moyo kufanya hivyo kaka. Kweli wewe ni jasari na yote hayo ni kwa sababu yetu ili tujifunze mengi zaidi. Ahsante sana Mungu akubariki
@theempire40583 жыл бұрын
Tumsapport huyu jamaa yuko vizur, pamoja sana jamal
@abubakarmilanzi78613 жыл бұрын
Katika the storybook ambazo uliwahi kuzifanya hii ni dop! Hongera sana. Jitahidi ujielekeze kwenye huu mwelekeo kwani tunavyo vitu vingi Tanzania watu hawavijui. Hongera sana kwa maudhui, kifupi huchoshi!
@paulbidyanguze44012 жыл бұрын
Very impressive work
@djoe82662 жыл бұрын
Salumu milanzi unamjua
@haafidhaboubakary30973 жыл бұрын
Mara zote kilicho Bora lazima kisifiwe #ProfessorJamal you did it well nimependa the way ambavyo umepresent content ya story, mbali na ubora wa maudhui lakini pia sauti nzuri yenye ladha ya kumshawishi zaidi mkilizaji nayo umebarikiwa hongera sana Lakini ambacho ningeomba as you told us mwanzoni kabisa kuwa utasimulia kuhusiana na mizimu ambayo ipo Zanzibar this also must be good I wish siku moja uisimulie Congratulations to you all wasafi and all who have been included in one way or another to made this for us as your fan we thanks so much and much appriciation and respect to you Guys
@sashah_ace85983 жыл бұрын
u riskd yo life for , us ur family, and wasafi too MASHALLAH JAMAL
@farajajoseph29713 жыл бұрын
Kweli nime Amini ww ni professor tena ni wa kwanza kutokea Africa Mungu aibariki kazi ya mikono yako na akupe afya iliyo njema uzidi kutuelimisha Jamal
@mohmajaliwa44463 жыл бұрын
Tafadhali prof tusimulie kiundan kuhusu maajabu saba ya dunia
@glynisokello44623 жыл бұрын
Ur documentaries are incredible professor jamal💜✨✨najivunia kuwa mswahili , this is amazing the world should know of ur work📌
@dantegraphix79283 жыл бұрын
#KING professor tupe na ww story book yako ya maisha 1day
@Dalali_Dodoma3 жыл бұрын
Your the best man gonga like nyingi kwa jamali hapa
@israelbarakael2787 Жыл бұрын
Daah umejitahidi bro kutafutiya hii story mungu akupe uwezo zaidi tujuwe mengi zaidi kaka one love
@divavlog27643 жыл бұрын
Jamal, from kenya here, for real you have talent, big up, bro... gd job, you real inspire people out here ranking you, the top story teller in east Africa....
@jafetzmwacha15032 жыл бұрын
Najifunza maisha na safari nzr ya maisha kupitia ww kaka ongera my bro kazi nzr kaka mungu Aku bless
@GeoffreyMuisyo2 ай бұрын
Story book is not only for Tanzania. This thing is big. Here in Nairobi I can't stop watching. Hongera Sana brother.
@salim02tv243 жыл бұрын
We ni mzug uliyevishwa ngoz ya kiafrikaa... Bigupbrodah
@DavidMalima-c6d Жыл бұрын
Daah Mungu akujarie jamar April na akibariki sana
@saidhaji6042 Жыл бұрын
Jamal hongera sana kiukweli The Story book ya mara hii ni ya kipekee sana, umetisha sana Professor, karibu tena Zanzibar.
@josephsimba30072 жыл бұрын
Watcha nikupende mwalimu wewewwww ni mwalimu kweli 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥 nakupenda sana kutoka congo 🇨🇩🇨🇩
@martohsity Жыл бұрын
Jamal I love it....make sure unaweka yenye inaweza kujidownload ndio tuwatch baadaye
@msangodiesel31323 жыл бұрын
Umetisha Sana uko daraja la juu Sana huku Africa unapoteza muda ulaya ndio kunakufaa
@khadijaomari93443 жыл бұрын
kwaiyo Africa akukai watu acha kua mtumwa
@aliabdallah89083 жыл бұрын
Proffessor Jamal we love u thnks kwa kaz zako nzri
@rayyanjulliet46943 жыл бұрын
Jamal u so genius😂😂kweli unaependa kazi yako😘😘...ua mum must be so proud of u!...the way i was holding my breath😂😂😂ungedhani mimi ndio nmeingia kwa maji...good job mkuu
@visionstudios68043 жыл бұрын
Na ushaambiwa ku hold breath is one very big mistake 😅
@POPkateshian3 жыл бұрын
Julliet mambo
@POPkateshian3 жыл бұрын
Julliet mambo
@rayyanjulliet46943 жыл бұрын
Kateshian safi sana😘
@POPkateshian3 жыл бұрын
@@rayyanjulliet4694 nkajua umehold breath mpak Leo kumb bado upo hai
@alnaseralshaukail33502 жыл бұрын
Hongera sana mwenyezimungu akupe hitaji la moyo wako Inshallah
@mc_mackpesa3 жыл бұрын
Kenyan top comedian Nakurank Jamal amazing talented story taller
@fredmabundagilo69543 жыл бұрын
Daah, unajitaidi Sana kutuelimisha vile Dunia ilivyo pamoja na viunbe vyake..
@ausoniusrugaba32483 жыл бұрын
Dah! Mungu anamaajabu yake. Endelea kutujuza maana bado tuko kwenye Giza . Nakukubali
@peteranthony4103 жыл бұрын
Hauna mpinzani kaka wew ni ziadi ya noma kabisaaa
@muranisalim35723 жыл бұрын
Jamal April nice nakupata nikiwa from 🇧🇮🔥🔥
@dorcasjoseph31793 жыл бұрын
Woow
@Super-Diamond-Studio3 жыл бұрын
Wasafi 4life 💎 Napenda Sana Munavyojituma ila zidisheni Vipiti Kwenye Tv...
@ntiliyothomas51463 жыл бұрын
Jamari mstafa wewe ni kichwa zaidi ya kichwa hongera kwa kipaji
@haikajohn75803 жыл бұрын
Amen umerudi salama,mungu atukuzwe nakukubali sana mwanangu
@abubakariali98483 жыл бұрын
Professor upo njema san kuliko kawaid ila kuna jambo moja liache kipindi unazungumza..... #mapozi yakizidi san baada ya mamb uraharibu... punguza kujitikisa unapozungumza ... Much respect broo ur next level
@filbertivo19883 жыл бұрын
Kwel Kabsaaa,,, aweke pozi hzooo akiwaa anahadisia story na sio akiwaa anaongea kawaida
@otuuyagodson8791 Жыл бұрын
That guy training Jamal is an expert. Kudos to both of them 👏👏
@khamisshee51313 жыл бұрын
Professor Jamal nimeshinda kweli hata hao ma Ptofessor wakweli hawajafanya utafiti kama huo nakupa medani ya Gold 🏅🏅🏅 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@amelianadhif.68492 жыл бұрын
Hongera kwa kweli umishinda majaribu ....binafsi siwez na sitajaribu lbda iwe ni lzm ila mwenyewe Sina hina ndoto
@hopesteven97323 жыл бұрын
Wonderful experience never seen before,, dunia ina mengi sana ambayo hatuyajui... Ila yote ya yote ni utukufu wa Mwenyezi Mungu. Ni uumbaji wa kipekee sana,, huwa nashangaa sana wazungu na wanasayansi wanajikita na mambo ya nje ya dunia wakati mambo tuliyo nayo tuu hapa hapa duniani hatujayamaliza
@ndagdenise1943 жыл бұрын
Hongera saana professor. Tuna kufata toka Uganda
@yusufuheri65243 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@idungaphotostudio35763 жыл бұрын
Safi sana jamal nimeipenda hiii story book nimeipenda
@WagulimbaOGonline3 жыл бұрын
Ukatae ukubali haka ka jamaa kana stori Kali Sana ILa Ku mambo uwa kanatupiga live Kabisa Or in or kazi nzuri
@fadhilshafi29473 жыл бұрын
really appreciated kwa kazi nzuri brother Jamal , keep moving
@latifamedina60053 жыл бұрын
Kama unamkubali professor gonga like hapa
@mastaphamawazo7503 жыл бұрын
Nakubal Sana broo upo vizur napenda Sana kuangalia the story book
@sharinv88643 жыл бұрын
Napenda ubunifu wa kazi yako jamal very good.
@johnsanga95283 жыл бұрын
Unajua sana unachokifanya kaka na team wasafi.
@diasporaadventureswithkadzo3 жыл бұрын
Hongera Professor... Am a PADI Scuba Diving Instructor and a girl child mentor...!
@zuhuraamri53443 жыл бұрын
Nimeipenda sanaaa hii Jamal...safiii sanaaa nice experience..uko vizuri.
@jimyjastini99953 жыл бұрын
Big jamari nakukubari kama simba diamond Big Rambo 🦁🦁❤❤❤❤💎🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Noelikana3 жыл бұрын
Creativity one nakukubali sana kaka
@tiktokTviral3 жыл бұрын
Ur the Best Risk Taker All is kutupea Effectively Perfect Education we deserv Trust me #Prof_JAMAL ur LEGENDARY No one ever try this before #BLESSED🙏😊
@edmundrutahiwa3 жыл бұрын
Brother wee ni hatari sanaa big up sanaa
@tifahhamiar87392 жыл бұрын
Thanks Jamal for your historic story, am glad you tell it well... I love it👍
@فريدهخلفةز3 жыл бұрын
Nenda na kisiwan mafia ukaitangaze kwa vitu vya kitali ila bg up brooo💖💜💞💓
@josephndunda63902 жыл бұрын
hongera kazi zuri Sana 💙💙💙💙🇰🇪🇰🇪💛💚
@sergeizanzibar74153 жыл бұрын
U are the professional speaker who I do like coz u do explain all that people never know that is why I really like to listen to u
@shilagijisandu31013 жыл бұрын
Yaan wewe Jamal mungu atakulipa kwa ubunifu huo 🙏🙏🙏
@achouasha20732 жыл бұрын
Ma sha Allah Baba ,Maman,Mtoto wote umesahau mke wako
@anittasamwely82973 жыл бұрын
Wasafi 4life♥️🔥😘
@silverboy30653 жыл бұрын
Am watching you my brother i like what you doing
@utamuwaleo19703 жыл бұрын
Nice experience professor, nimejifunza sana ila ungejali kama ungeandika contacts za hao jamaa ... ningeshukuru sana
@danielmakau51313 жыл бұрын
Good work Prof Jamal. kindly Bring us the Story of Daniel. Thank you
@titusmurithi8773 жыл бұрын
Prof Jamal what you are doing is amazing to educate the entire world Shukrani Sana na kongole
@kimaniwanyoike39653 жыл бұрын
watch from karani kenya,,,,,,,,good work proff jamal
@aminasaleh61343 жыл бұрын
Kaz mzur jamal respect
@mc_mrope3 жыл бұрын
I really appreciate boss Jamal
@johnsonlivingstone44793 жыл бұрын
am really pleased to hear several stories & documentaries from you prof April,, may God be with ue for more good en better works
@joleenmasha3 жыл бұрын
Yaani Leo story Book imekuwa dop 👏💪👍
@Papaa_Hillary_Mrema3 жыл бұрын
Good job Profesa Jamal. Tanzania tuna hazina ya Vijana wengi wenye maono makubwa. Big Up Wasafi
@Manyanya85513 жыл бұрын
Baarakallahu fiika Maana nimeinjoy mno.
@theresaelizabethelijah1173 жыл бұрын
Wow ningependa kufika Zanzibar siku moja inshAllah 🙏🏾❤
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Nikirudi saudia baada ya miezi miwili come home
@abdulmohd35503 жыл бұрын
Welcome to zanzibar hakuna matata
@abdulialiy54113 жыл бұрын
Karibu zanzibar
@alifahd57953 жыл бұрын
Welcome
@deniccgabriel61533 жыл бұрын
Ahsant Sana kwa ubunifu wenu tunapata vitu vinavyo vutia na vya tofauti Sana
@FatmaAbdulkadir-in2zx7 ай бұрын
Asalam aleykum mashAllah Allah akuzidishie ujasiri natamani ningekua n uwezo nami pia ningefika huko kujionea Ufalme Wa ALLAH
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Tanzania imebarikiwa, Zanzibar, Mt Kilimanjaro, victoria, Ngorongoro... nyinyi bado mpo usingizini.... your country is the tourist capital of the world....
@venacemorice11603 жыл бұрын
Wasafi mko juu sana kwanin hampewi tuzo
@jorammwakyando46773 жыл бұрын
Itoshe kusema tumebarikiwa wapigaji na wadangaji Lkn huyu tulie barikiwa ni professor haswa congratulations all the best
@astonomer2 жыл бұрын
your so amazing and differ I learn many thing to you broh am proud of you nigguh
@doreenlomay66183 жыл бұрын
Nampenda Jamal ni mwepesi kuelewa... Napenda sana kazi zako
@emmanueljonas843 жыл бұрын
wasafi ni kubwa kwa sababu ina watu wanaosubutu kufanya mambo
@bozo3.143 жыл бұрын
you are the man of your words jamal you said that you will show us about the sea and now you are here
@faa00993 жыл бұрын
My sweet home
@wazeermousa43863 жыл бұрын
Maeneo gn.. bububu au
@awadhally10523 жыл бұрын
Faiza❤
@faa00993 жыл бұрын
@@awadhally1052 yes
@SergioGarcia-xf1py3 жыл бұрын
Nakushabiki Sana professor jamal na mungu akujazie talanta yako
@mchagashop13423 жыл бұрын
Hongera Sana professor April
@AliceOpata4 ай бұрын
I really love you jamal April ❤❤❤❤❤
@Sokahabarika3 жыл бұрын
Ebwana wee wanne kucommet like zidondoke kwa jamar
@amlialoyce6193 жыл бұрын
Upo vizuri professor
@isayavenacekalizote8068 Жыл бұрын
Tupe mambo tusioyajua nakukubari sana jamari ww ni zaidi yao
@irenemzirai58903 жыл бұрын
Jamal we ni mkali sana yan....ivo tu
@faa00993 жыл бұрын
Napenda hii thestorybook and msimuliz anafanya part yake mashallah
@williamkishegena92053 жыл бұрын
I am delighted to have heard several projects of an amazing storyteller as you sire. I am a voiceartist based in Tanzania and am longing to launch a project with you sir.
@peternjoroge95092 жыл бұрын
P0
@harithalich54663 жыл бұрын
Nakupnda sana brother .. unajua sana brother
@hamzanasry80113 жыл бұрын
Daaaah jamal uko jasiri kuingia chini yamaji na hauna uzowefu ni moyo
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Mm najifunz kuogelea ili nikatafut utajir chini ya Bahar
@@aminatanzanya7475utajiri uko katika hekalu ya mwenyez mngu,wewe wacha bangi
@RAFIKIOnline96603 жыл бұрын
Good job brother , inabidi uitwe A.K. A big thinking!!!! I wish I day kujua anga sasa ipo vip pia inshaallah jah bless
@berahinoalimas7193 жыл бұрын
ROCK kbsa nimeipenda content na ulivyo thubutu kufanya kitu hujawahi fanya daaah I really appreciate you bro
@muadhinalbashary67283 жыл бұрын
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2017 katika visiwa vya bongoyo Dar es salaam tulikuwa tumeenda kwa ajili ya uvuvi wa samaki tukatega nyavu yetu ghafla watu wa boya wakaona kurabu zinazama ndio nikatoka mimi na mwezangu tukaelekea majani Kwa ajili ya kufunga madumu kwenye karabu ghafla tukasikia daiva anavuma tabidi tumwambie nahoza Ndipo hapo daiva wetu akaibuka na kuwambia watu kamuona samaki mkubwa wa ajabu
@ibrahmpinga3808 ай бұрын
malizia story
@RichSide-yo6uf6 ай бұрын
Ndy
@IreneShadrack-p6c20 күн бұрын
Karabu ni nini😢
@abeidabdullwarith89913 жыл бұрын
Wanasayns wanazamia baharini lakini hawataki kusema ukweli kwsbabu wameona maajabu ya Allah mengi sana na kuhusu uislam. Huku chini utaona mawe yaliokua yanasjudu mengine yanarukuu yaani usilamu upo huko na kuna viumbe vinamuabudu mungu
@emmanuelchaplingi90503 жыл бұрын
Sasa ukiongea lazima uisemee uislam dini ni imani kile unacho amini lakini mwenyezi MUNGU hapatikani kwenye uislam MUNGU anapatikana kwenye mioyo yetu tukimwamini yeye sijui umenielewa
@mbokaicon55073 жыл бұрын
Kama ingekuwa n kweli basi ingesemwa kama mpk wewe unajua means kuna m2 alienda akaona mambo hayo ndo akaja kusimulia usi2changanye kuleta mambo ya udini hapa hiyo n iman2
@themontanas18528 ай бұрын
Pia wewe nenda ukaabudu mbona waabudu misikitini nenda chini ya bahari ukaswali
@ALIMOHD-bk9lr3 жыл бұрын
This reality is more than creativity. Good job Mr. April Jamal mustapha.
@mbwisaaa073 жыл бұрын
Professor. Kisiwa cha mafia wamewahi kuonekana ao wanaoitwa nguva. Very interested story fanya research hiyo watanzania tutavutiwa sana. Walikuja hata wazungu kufanya utafiti huo 2018
@adolphendereyabandi57462 жыл бұрын
It's great work keep up we are still with us 5 out of 5. I get you from Burundi