Mwanamke Bomba | Mwanamke wa kwanza wa upasuaji Mombasa

  Рет қаралды 9,036

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Ni kawaida kwa watoto wengi kuwa na ndoto ya kuwa daktari ama wazazi kupendelea wana wao kusomea taalamu hiyo. Lakini kwa Daktari Mwanabule haikuwa kwenye fikra zake kwamba angewahi kuwa daktari tena wa kutajika.na si hayo tu, dkt Bule kama anavyojulikana ni mwanamke wa kwanza daktari wa upasuaji jijini mombasa. Je safari yake ya kufuzu kwenye taalamu hiyo imekuwaje? nilipata fursa ya kutangamana naye huko likoni na kuandaa simulizi ifuatayo kwenye makala yetu ya mwanamke bomba.

Пікірлер: 23
@fawziaabdurrahman2251
@fawziaabdurrahman2251 7 ай бұрын
Mashallah tabarakallah Allah amzidishe na wanawake zaidi wasomee udaktari, nurse, gyno, midwife etc wanawake wawe wakistirika wanapoenda mahospitalini.
@Safia_ss
@Safia_ss 7 ай бұрын
Huyu mama namuja na anasoma na mm madrasa akii dah wala sikujua najua kutoka hii video kwamba yy nii Doctor ❤❤
@stanomusicofficial
@stanomusicofficial 6 ай бұрын
Am happy to hear her mentioning one of our best Kampala international university Big up Uganda 🇺🇬💯
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 7 ай бұрын
So Dr Bule also has proved that ucan go far by starting from Diploma level to the next level.
@hildajeremiah375
@hildajeremiah375 7 ай бұрын
Congratulations to her,many more years of experience and blessings
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 7 ай бұрын
Hongera Dr Bule for ur tremendous achievment on medicine fraternity.Uhave prooved that anything is possible in life as long as u face the challenges.
@aaa64sa13
@aaa64sa13 7 ай бұрын
MashaAllah!!!❤🎉
@shalimwanyumba2122
@shalimwanyumba2122 4 ай бұрын
Amazing
@faimaumaz2659
@faimaumaz2659 6 ай бұрын
Mashallah sister
@bingimwenyewe5416
@bingimwenyewe5416 7 ай бұрын
This woman is blessed..
@davidemolell2077
@davidemolell2077 6 ай бұрын
I am speechless ❤❤
@priscillakashero4785
@priscillakashero4785 7 ай бұрын
Well done Daktari
@zainabumuniro1863
@zainabumuniro1863 7 ай бұрын
Maa shaa Allah Allah akutunzs
@nellymtoto9449
@nellymtoto9449 7 ай бұрын
Hongera Daktari
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 7 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@aishamongi1339
@aishamongi1339 7 ай бұрын
MashaAllah
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 6 ай бұрын
Ma Shaa Allah ❤
@salimbilali5174
@salimbilali5174 7 ай бұрын
Shout out kwa wamazaaa❤❤
@ahmedsoudathman5088
@ahmedsoudathman5088 7 ай бұрын
Maa shaa Allah
@priscillakashero4785
@priscillakashero4785 7 ай бұрын
Well dobe Daktari
@mohammedhassan-yv9yd
@mohammedhassan-yv9yd 6 ай бұрын
Tabaraqillah
@alhamdhulillahyaallah4013
@alhamdhulillahyaallah4013 7 ай бұрын
Need contact please,,nimetamani sana kumpata huyu daktari.
@aaliamasachi9510
@aaliamasachi9510 7 ай бұрын
MashaAllah
| MWANAMKE BOMBA | Mwanamke aliyevalia maski ya chupa kivukoni Likoni
5:19
Mwanamke Bomba | Jane Akinyi ni mwanaharakati wa Anemia Selimundu
4:59
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,4 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 108 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 84 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
| MWANAMKE BOMBA | Irene Khaoya anafanya biashara ya kupasua miti
5:07
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,2 М.
7 Weird Facial Expressions of a Narcissist
12:22
Danish Bashir
Рет қаралды 420 М.
Mwanamke Bomba | Christine Mawia ni muuguzi katika hospitali kuu ya Kitui
7:33
You'll See These Signs When God Removes a Narcissist From Your Life
1:04:55
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Prof James Ker-Lindsay
Рет қаралды 142 М.
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 108 МЛН