Mwanamke simama imara acha kujishusha simamia misimamo yako kama mama wa familia.
Пікірлер: 65
@fatumabakari94995 жыл бұрын
First ap gonga. Like
@stevenmiyowela9662 жыл бұрын
nashida na huyo mama no yake mahana ni mama mwenye mafunzo mazuli
@josephinajoram53554 жыл бұрын
Nice sana MUNGU akubariki kwa kipaji hicho
@rashidkalabi82125 жыл бұрын
Tatizo si wewe Bali tatizo ni yeye mwenyewe.....!!
@millicentmukami19775 жыл бұрын
I love this mother amesema kweli 100%
@harpereli96523 жыл бұрын
Dont know if you guys cares but if you are stoned like me during the covid times you can stream all of the new series on InstaFlixxer. Been streaming with my brother during the lockdown xD
@jamietitus62203 жыл бұрын
@Harper Eli Yup, have been watching on InstaFlixxer for since november myself :)
@leroybeckett43133 жыл бұрын
@Harper Eli yup, have been using InstaFlixxer for since december myself :)
@khadijaabdalla22213 жыл бұрын
,,,,,🤣🤣🤣🤣 jmn nainjoi sana nikikusikiriza ,,,
@Frola-r9zАй бұрын
Kila nikiamka najifunza mengi kutoka kwenu🙏
@suzzieshiroh22015 жыл бұрын
Point taken Shukran😘
@mwanamisaomar3465 жыл бұрын
Wajina langu uskonde jiamini..nimeipenda hiyo hongereni😗😗👭
@elizabethnjeri28323 жыл бұрын
Wow maneno ya heckma
@Marymamah-q8f5 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@theokayzig75895 жыл бұрын
Point
@Paul-ow2lt5 жыл бұрын
Noumaaa sanaa upoo sahihi the don
@homeboyaboyfromtz15535 жыл бұрын
#gapowertv
@immah__deo70145 жыл бұрын
Bonge LA kazi
@tundaclassic27045 жыл бұрын
Kweli kabsa mom umeongea point
@ShamsaZamda3 ай бұрын
❤❤❤❤
@georgemchele8719 Жыл бұрын
Sawa
@bigmo64613 жыл бұрын
Shukurani bro
@bittybitty27124 жыл бұрын
Nampenda huyo mama
@zuhuramwawimo9975 жыл бұрын
mojaaa safiiii
@ldamati79005 жыл бұрын
Tnaaaaaa 😘😘😘 lap u
@merickmethod49585 жыл бұрын
Good
@fatumabakari94995 жыл бұрын
Fact
@nurafedrick3785 жыл бұрын
Loo hilo kofi lingempata angeanguka hakimmmmmm mwanamkekujiamini
@paschalkapela34705 жыл бұрын
Uwepo wakila Mtu unasababu wanawake muzidi kujiamini.
@theonlyfunguokeyz56385 жыл бұрын
Asantha Mamaa umeongea kama watu Mia vile.. Mwanamke Ni kujia mini kweli
@mussasoftwarephone6105 жыл бұрын
Kuna muda mnakosea, mwanamke unatakiwa umuheshimu mmeo, kama umetenga chakula subiri amalize kula umnawishe na uhakikishe umetoa kila kitu mezani, sio kumaliza kumpatia chakula na kutoka nje kufanya kazi zingine its nothing.
@pendochimamy65145 жыл бұрын
Mussa Waukweli Online Tv hebu fikiria unawatoto wanatakiwa kuandaliwa nawao ili waende shule utapoteza muda mezan ukisubiri mwanaume amalize kunywa chai au uataendelea kuandaa watoto mwanamke muda mwingine amalemewa bhana
@catenzeki6785 жыл бұрын
@PENDO CHIMAMY kweli dada umesema ukwli
@catenzeki6785 жыл бұрын
@PENDO CHIMAMY utashangaa wanaume wanatuachia kazi zote za nyumbani,upike,upakue,uoshe viombo,ufue,uoshe nyumba,utayarishe watoto waende shule,upike lunch tena jioni ukawachukue shuleni na hkuna ata 1 atakusaidia ni lawama tuu
@rahmasalamalaykum76685 жыл бұрын
Nimekuunga mkono
@baltazarirosie92745 жыл бұрын
@@catenzeki678 Catherine nzek uko sahihi kabisa sijui n kukosa shukran au ni nn ile dhana ya kusaidiana majukumu inakufa inakuja ya kuwa mfanyakazi haipendez kabisa na njia nzur ya kutatua tatzo si kufoka n kukaa chini na kuwekana sawa
@uuuuiiii39172 жыл бұрын
Shukran mama maneno kuntuuuuu 👌🤣
@bahashachembea69223 жыл бұрын
Hongera bi mkubwa
@sheymaayusuph71795 жыл бұрын
fact
@agnesdeonatus92315 жыл бұрын
Nazid kujifunza mengi
@itangishakabella41513 жыл бұрын
Mama asante
@lelashaaban21263 жыл бұрын
😘kabisaaa
@lelashaaban21263 жыл бұрын
Mother's advice 👏👏
@sadibatangalwa58904 жыл бұрын
Maneno matamu
@asanathharuna68192 жыл бұрын
Thank you mamaa🤲🤲💖
@rahmahamisi76045 жыл бұрын
Kabisa mama
@sadruhsnowwhite46795 жыл бұрын
Safii
@frankmariba74365 жыл бұрын
duuu
@mohamedabdirisackmohamed25025 жыл бұрын
Kweli kabisa
@hjhj62305 жыл бұрын
Shukrani
@danaallysonkarekezi36783 жыл бұрын
Wow så fint ord. 🇳🇴
@restutamjuni47395 жыл бұрын
Maneno nimeyapenda
@khdijaahmed84585 жыл бұрын
😂😂😂😂tenaa
@razansalim5325 жыл бұрын
Shukrani sana 🙏🤗
@oiseauxsympa11475 жыл бұрын
Good
@uwimanaalia94505 жыл бұрын
naaaam👌
@gracemussa99224 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@homeboyaboyfromtz15535 жыл бұрын
#gapowertv
@bintiiddy70435 жыл бұрын
Kweli kabsa
@adammabruki55283 жыл бұрын
Nikwer mamayAngu mwanamke kujiamini🌹
@happyeliya1715 жыл бұрын
Wow jaman mm najifunza sina hata chakusema mm asanten na mungu awapemaisha marefu namaarifa zaidi yakuendelea kutufunza mengi nawapenda sana