No video

"MKE wa MTU HAURUHUSIWI KUVAA KIJORA na PAJAMA USIKU -UNA AKILI UNAMPA MUME CHIPSI?" -MALKIA MWEUSI

  Рет қаралды 17,511

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

"MKE wa MTU HAURUHUSIWI KUVAA KIJORA na PAJAMA USIKU -UNA AKILI UNAMPA MUME CHIPSI?" -MALKIA MWEUSI....
#KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 59
@globaltv_online
@globaltv_online 8 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@LeilaShah-ib4td
@LeilaShah-ib4td 6 ай бұрын
Wengine Usk chai hawapendi,
@LeilaShah-ib4td
@LeilaShah-ib4td 6 ай бұрын
Nipe no yako tafadhaki najambo langu nikujuze
@madawakemikali776
@madawakemikali776 8 ай бұрын
Habiba usiongee ukamaliza my dear....wanaume ni binadamu walioumbwa kivingine....chunga ndimi zako dada....sema hapo uko kazini kwahiyo kama unafunda funda tuuu....my dear fanya uchunguzi wako vizuri....unaweza sana kufanya yote ila mwanaume akiamua lake ni lake....stop contradicting yrself.
@SaumuSaumukhamisi
@SaumuSaumukhamisi 7 ай бұрын
Sahii apo anajip iman ty keshapgw naktu kizit ila xwajua wakion kamera😅😅nyma sas ya kamera kivumb
@zainabusona5901
@zainabusona5901 7 ай бұрын
Mwanamume huyuuuuuu mmmh
@user-pi5hd9wr2j
@user-pi5hd9wr2j 7 ай бұрын
Amuulize fahivany 😂😂😂😂😂😂
@user-pi5hd9wr2j
@user-pi5hd9wr2j 7 ай бұрын
Amuulize fahivany 😂😂😂😂😂😂
@SalamaAlly-dt6mc
@SalamaAlly-dt6mc 4 ай бұрын
Sa uyo fayvany kaolewa Ana ndoa gan??
@user-vg2sh8pb3y
@user-vg2sh8pb3y 7 ай бұрын
Nimekipenda sana iki kipindi mubarikiwe sana kina mama
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 8 ай бұрын
Weweeeeee wawili wawili ndo penzi la kweli mambo ya kupeana zamu nooooo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 7 ай бұрын
Asante kipenzi ❤ elimu nzuri wanaume ni muhimu kwenye Maisha yetu atakama unapesa mambo mazito ❤️😘
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 8 ай бұрын
Habibaa wee usiongee ukanaliza ww mwanaume sio ndugu yako ww...unamlia kiapo binadamu mwenzio na umesahau Moyo wamtu ni kichaka ujuwi anachowaza Wala kufanya usijifanye wee mjuajii snaa au mtakatifuu sana
@ummusalim9165
@ummusalim9165 6 ай бұрын
Wee malikia mweusi chunga kauli zako hizo 😂 mume hachepuki amekua nani yeye weweeeee haya
@user-bc3lh5ss6c
@user-bc3lh5ss6c Ай бұрын
Wajina nimekupenda na ma j❤❤❤❤❤
@busnaoman9981
@busnaoman9981 8 ай бұрын
😂😂😂ila habibaa kijoraa kimefanyajee😂😂😂
@AnethCliford-tm2dx
@AnethCliford-tm2dx 7 ай бұрын
Mmh huyu anajimaliza sana😂😂😂😂😂
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 8 ай бұрын
Umeongea mambo mengi mazuri ya kuelimisha ❤❤big up saaana
@aishaarusha894
@aishaarusha894 8 ай бұрын
Wapeni sifa tu awo wanaume wajazeni mabichwa tu msifanye mwanamke mtumwa wa mapezi
@rainesmulokozi543
@rainesmulokozi543 7 ай бұрын
Uloyaongea ya kweli, lkn kwa eti mmeo hachepuki, mh! Hao viumbe waone kama walivyo hivo, siku moja atakuumbua dada haya.
@milamila8653
@milamila8653 6 ай бұрын
Mambo mazito ❤❤❤❤❤❤👌👌👌👌👌👌👌
@matatamwaipopo-rp4vz
@matatamwaipopo-rp4vz 8 ай бұрын
Mpo vizuri
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 4 ай бұрын
Palepost ujengewe sanam😂😂
@SafiyaaaSofi-uy3nk
@SafiyaaaSofi-uy3nk 6 ай бұрын
asateeee bikugwi mm ni kama ww naapa mume wagu hatoki abadani Nampa still zotee mpaka a naliya mm niliye huwa a naliya yy haloooooooo❤
@Official83640
@Official83640 8 ай бұрын
Yaani huyu mama JJ nilikuwa namuona mtu mwenye busara zake kumbe ndy wale wale watafuta jina mitandaoni wamama wa Kigoma dini zimewakaa sana huyu Kigoma gani anaevunja sheria za mafunzo ya unyago jaman unyago ni siri ya wanawake sio hivi 🚮
@tabithawaithira1202
@tabithawaithira1202 7 ай бұрын
Niko Kenya,nafurahi juu ya mafunzo, kwetu hakuna mafunzo
@Official83640
@Official83640 7 ай бұрын
@@tabithawaithira1202 🤣🤣
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 6 ай бұрын
😂😂😂 lol pengine mumewe anaowa akiiacha kila siku kama haji manara, hatumjui tu
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 7 ай бұрын
Mambo mazito 👌❤😘
@rahmatsumo3274
@rahmatsumo3274 17 күн бұрын
Weeee habiba wewe usiseme kumaliza mwanaume ni mwanamume tu kwanza mwanamke mwenye kumlilia mumewe kiapo eti achepuki usije ukaletewa watoto wa mumeo tu
@lenakassian-pr3dy
@lenakassian-pr3dy 8 ай бұрын
Sawa mnatuelekeza lakn sio ka hivi mala shanga ooo kitambaa kumfuta mume jmn huo unyango upo mseme tuu utandawazi akuna familia au mzazi ambae amfunzi mwanae akiwa ame barehe au kuingia kwenye ndoa acheni hizo mambo bwana kuna watu wana kaa ndani kama wazaramo ata miaka kumi una wekwa ndani uo mwezi chamtoto lakin unakuta mtu ana tabia yake tu ya hovyoo.... Mnako elekea tuta waita (msungo) kwann mnatoa maana nnje
@asmahassan851
@asmahassan851 6 ай бұрын
Habiba usiseme ukamaliza. Mm mume wangu pia nilimlilia kiapo kama ulivyo kula ww nilipo ambiwa kuwa nimchepuko niliamini mwanamume simwenzako. Ni mtu mwanzo si mtu mwisho.
@mariam-xt3de
@mariam-xt3de 4 ай бұрын
wakwangu hatachakula hapangiwi mezani anaheshima na Mimi nanapendwa sana nahatoki nyuma nilifanyia vimbwanga nikaona dawa nikuonesha sina muda nae mwanaume ukimpenda sana anakuzarau sana 😂😂😂😂😂😂
@Hawa-es9kn
@Hawa-es9kn 8 ай бұрын
Hahahaha I like it
@TinaMwasekaga
@TinaMwasekaga 5 күн бұрын
Bee😅
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 ай бұрын
Habiba mwanamume akitaka reverse inakuaje? Maana hawa wana adabu
@Davidtambatamba
@Davidtambatamba 5 ай бұрын
Kipindi neuro Sanaa❤
@madamNellah
@madamNellah 3 ай бұрын
Jomon natamn awe kungwi wangu
@latifaaqudaidy9397
@latifaaqudaidy9397 6 ай бұрын
Nitamtafutaa mumeo habibaa😂
@BeatriceYohana-cp8gq
@BeatriceYohana-cp8gq 6 ай бұрын
Hatari
@SanuraMwinyi
@SanuraMwinyi 5 ай бұрын
Watikana wapi mpenz nataka umueke mwanangu
@user-nh9fl5tv9u
@user-nh9fl5tv9u 5 ай бұрын
Bisoma sona bb
@RahmaNassir-pc5ku
@RahmaNassir-pc5ku 8 ай бұрын
Mbona mambo ya ndani mnayatoa peupee hivi sikuhizi making with wa michongo mpoje??? Kama kweli ni mwali mwalikwa huwezi jitoa kwenye mitandao na hizo ndundu waziii inaoneshs ndio wale masomo wa mitaani hivi munafikiria hapo munawafundisha wanandoa tu??? Hata watoto wadogo wasio elewa tayali mumesha waharibu watajaribu mambo kabla ya wakati
@user-om5jt8sc9o
@user-om5jt8sc9o 7 ай бұрын
M naomb namba za habiba
@salunarashid6202
@salunarashid6202 8 ай бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄
@RahmaNassir-pc5ku
@RahmaNassir-pc5ku 8 ай бұрын
Kwanza mwanamke unaye jiheshimu huwezi jianika kwenye mitandao na kuongea maneno magumu ambayo anapaswa kuelezwa binti anaye jiandaa na ndoa yaani hapo mnaonekana vituko tu aibu tupu
@Njeriii536
@Njeriii536 8 ай бұрын
Wewe ndio kituko acha ushamba sikuhz dunia ipo kiganjan nacho lazima ww usikilize
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 8 ай бұрын
Mhhhhh habiba mwanaume haaminiki kabisa.hapo utakuta anamtu wala hujuwi. Usimkatalie utajuta kwa nini ulitowa hayo maneno.tutakusikia tu mitandaoni
@kutailass6671
@kutailass6671 8 ай бұрын
​@@Njeriii536mwanamke kujiheshim, sasa heshima ya mwanamke iko wapi hapo? Mnaropoka tu et dunia kiganjani haya endeleen kuganjika 🤔
@naimajuma647
@naimajuma647 7 ай бұрын
Ata makungwi wenyew wanaachika sembuse mwanafunzi😅
@user-vg2sh8pb3y
@user-vg2sh8pb3y 7 ай бұрын
Mbona huyu mama Habiba nikama yule mama wa kwenye shilingi alicheza kwa jina la bi Pamela? Au mm sjui kufananisha
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 6 ай бұрын
Sio yeye ila wanafanana
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 8 ай бұрын
Huyu habiba bado tu hajarudi kwao congo hakuna mtanzania sura imekomaa kama hiyo
@Njeriii536
@Njeriii536 8 ай бұрын
Roho mbaya tu chefuuuu
@user-pp8qb3bb9r
@user-pp8qb3bb9r 8 ай бұрын
Subuaanallah mola ndie amemuumba ww
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@AsanathHabibu-kx4np
@AsanathHabibu-kx4np 7 ай бұрын
Ila we dada ety sura imekomaa
@mariam-xt3de
@mariam-xt3de 4 ай бұрын
alafu hao walugulu wa na wamakonde mekomaa kama jiwe niwatu wakutoka Congo wemshinzi sana kama huna lakuandika Bora ukae ukae kimya 😂😂😂😂
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
KIDANI EP 47:-SIRI YA KUISHI NA MKE MWENZA MWENYE HEKAHEKA
56:31
Kidani Show
Рет қаралды 15 М.
MECHI YA KITANDANI INANOGESHWA NA HAMASA
17:30
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 9 М.
SAIKOLOJIA YA MWANAMME
53:34
Elmi TV
Рет қаралды 38 М.