Asante sana apostle Mungu akubariki sana Kwa kuwa mafundisho haya yatabadilisha maisha ya vijana wetu vizazi na vizazi
@zakiageorge96832 жыл бұрын
This is powerful Chief Apostle Ombi langu kwa Mungu wa Major 1 ni anipe mume ambae ataishi nami kwa akili na hekima. In Jesus Mighty name, Amen
@davidkimario81972 жыл бұрын
Good San Kaka nimejifunza vitu ving ....mungu akubarik
@gabrielherman47522 жыл бұрын
You're right Apostle Mtalemwa.. Wamechanganyikiwa kweli..
@kombakomba79222 жыл бұрын
Mungu akutunze apostle, natamani wanaume wote duniani waje wayasikie mafundisho haya.
@yohanamwasambungu9233 Жыл бұрын
Huwa nakuelewa sana sana barakiwa sana❤❤❤❤❤
@danielkg59112 жыл бұрын
Huku mwishon ujumbe umeishia patamu Mungu akuongeze Apostle
@ClementNisajile Жыл бұрын
Huu ndio ufahamu na fundisho la kweli . Barikiwa pastor
@JacksonMussa-h5m Жыл бұрын
Amen pastor am transformed by your teaching
@pundaboytz28472 жыл бұрын
pastor asante umenifungua,,namwambia Mungu asiwahi kukutoa haraka dunian, nikupenda kweli kweli pastor wangu ningependa hata uwe Baba yangu wa kiroho
@BetinaLupembe28 күн бұрын
Mungu asimuondoe
@janemkade34882 жыл бұрын
Just stumbled in this page wot a great insight on marriage n learning a woman 👠 👠. This is a download frm heavenly father 😂😂😂. Thanks Soo much apostle l hv to share it as many as possible.
@re.emmanuelmdoe33452 жыл бұрын
Mungu akutendee mema Apostle nimefunguliwa Sana Somo hili
@victorialugimbana4792 Жыл бұрын
Maombi ya kuwaombea watoto limenibariki sana. Mubgu Baba azidi kukutunza na kukupa mafunuo zaidi ba zaidi mtumishi wa Mungu.🙏🙏🙏
@alicekalemela74352 жыл бұрын
Iron men mshindwe wenyewe, vidonge hivyo full dose mmepewa na Chief, mkavimeze , ndoa zenu zikapone ! Mme wangu akiwasili tu lazima nitamuonyesha hii clip, Asante sana Apostle, More anointing more grace
@mumbakatanashomela187911 ай бұрын
Wooow this message is very perwfully
@jefwakalama43362 жыл бұрын
Oooh very good Glory to God mutumishi, ubarikiwe sana na ujumbe wako umenifusa,
@nabeajulius16822 жыл бұрын
By the time have encountered this clip, now I realize God has been helping me to use wisdom. Ningekuwa nimevunja ndoa yangu kutokana na pressure za watu lakini nilipo utazama ujumbe huu nimejua Kwa kweli kumbe mengi nimeyafanya Kwa ndoa yangu nimekuwa nikitumia wisdom.. Asante sans apostle Kwa kufungua akili za wengi
@richardkamsonko8911 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu uendelee kutuimalisha kiroho na kijamii
@ernestaassenga96462 жыл бұрын
Nimekulewa Fr, Asante ujumbe nimzuri Sana.
@hildajimmy12572 жыл бұрын
Apostle chunga husband asiione hii video. Haki umenichambua Sana😂😂😂😂 All married ladies let's gather here. Eti Sisi hatuezi ishi na Amani for more than 3moths😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapa sisemi kitu
@evancpeter81492 жыл бұрын
Ni kweli
@josephalexander67832 жыл бұрын
Zw
@tegemeawilliammsewa1950 Жыл бұрын
Asante. Saidia baba. MAANA MAFUNDISHO MENGI YAMEEKEKEZA MWANAMKE TU, MPAKA WANAUME WAMESAHAU KUWA NAWAO WANATAKIWA AKIRI, NA HEKIMA. NDIYO SABABU WAMEKUWA WABABE, NA LAWAMA NIKUWA SISI HATUSIMAMI KWA NAFASI ZETU.😭😭😭
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
🤣🤣ni kweli kabisa pastor sijui tukoje jamani duuu EE MUNGU naomba nisaidie mm🙏🙏🙏
@fredymtete77452 жыл бұрын
Thanks Apostle very powerful lesson
@gracemlelwa4383 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa neno zuri
@leonardogumbo11982 жыл бұрын
You're the right teacher for man, marriage and relationship
@omantel46802 жыл бұрын
Ndoman Niko single maana no wivu uliopitiliza siwez mwamin mwana Mme
@jasminemoze6592 жыл бұрын
Unahitaji ukombozi
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Hujampata bado huyo mwanaume
@AngelAfrica-w5x2 жыл бұрын
Hizi semina kwa wanaume ni adimu sana, kila siku zipo za wanawake haohao wanawake ni very complicate anae ishi nae ndo anapaswa ndo apewe semina sana za nguvu kama hizi ili awe na akili nyingi kuishi nae, Endelea kuwapa mafundisho baba mana hizi ni adimu mno. Ni maombi yangu kwa Mungu ziwepo hizi semina kila mara.
@milliardere91772 жыл бұрын
😂😂😂
@meshackdieudonner65582 жыл бұрын
Kweli kabisa, Mungu akubariki mtumishi
@AsiriSimuchimba11 ай бұрын
Powerful ❤
@trifordjohnmlembe31092 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi ujumbe umekolea
@josephmunishi78102 жыл бұрын
Mmmh ! Kweli ata tukikwepa kuoa, tutakuta nao tu kwenye mizunguko ya kimaisha. Ombi na dua ni MUNGU atuongezee hekima.
@esthercharles22102 жыл бұрын
AMEN!! MUNGU wa Major one awasaidie sana Wanaume kupitia somo hili.
@nsajigwamwambungu88632 жыл бұрын
Kweli pastor asant kwa ujumbe mzuri hapo umenikumbusha yanipasayo kutenda
@aminitu37668 ай бұрын
Hahaha miez mitatu aman miez mitatu kuna kitu kinatafutwa safiiii Mtalemwa
@yohanamwasambungu9233 Жыл бұрын
Mtumishi huwa una unaeleka sana sana❤ kwangu mimi ❤
@rosadaproches90142 жыл бұрын
Powerful words
@onanarosse96572 жыл бұрын
Thanks pastor am blessed
@kenedrocky59642 жыл бұрын
ASANTE EE MWENYEZI MUNGU. UNIJAALIE NIKAENENDE KTK HEKIMA. 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌
@clausychedy93242 жыл бұрын
This is so Powerful....asante Apostle 🙏🏿
@kanutierasto9897 Жыл бұрын
Ameni apostle
@kenonpeter36922 жыл бұрын
Amen Papa
@rebeccamuseo60162 жыл бұрын
Asante sana apostle....
@ireneminja17212 жыл бұрын
Asantee Sana apostle ....iron men wamepona
@jeffersonbayekela4212 жыл бұрын
Kwakwelo Apostle olige.upo vizuri
@timothmwakakusyu45632 жыл бұрын
Pole mchungaji inaonekana hata ww unapitia mengi sana. Kweli hawa viumbe ni tatizo sana....... Hekima za MUNGU ziwaongoze wanaume otherwise risasi na mapanga zitawahusu sana hawa viumbe kitu ambacho sio vizuri
@zubedamagambo96002 жыл бұрын
Kwahiyo sisi ni tatizo? 😁😁😁😁😁😁😁😁😂
@renatuskweyamba64602 жыл бұрын
Wakola mwana wa Tata... Wanjuna omukazi mbali yangobize ka gatalimagezi nobushobokelwa nakuba namwisile😂😂😂
@khitambalazuberi50702 жыл бұрын
Asante sana! Maana nimeisikia sauti ya Mungu.
@faithkapondo53832 жыл бұрын
Hapo kwenye kukubal kosa hakuna umetuonea,,, wanaume ndio awakubal kosa
@greenfoodfashion2622 жыл бұрын
Mh, kwakwel hapana, makosa mnayo kubali ni yale makubwa yenye ushahidi na madhara haya madogo madogo ya uzembe na dharau hamjawah kuyakubal
@pendomtenga2 жыл бұрын
Chief this teaching is very deep and powerful I wish all men should watch this.
@monicalex72192 жыл бұрын
Powerful and FACT
@hildajimmy12572 жыл бұрын
We Acha kuharibu. Remember umeitwa a confused creature🤣🤣🤣🤣
@melkizedekanthony18342 жыл бұрын
@@hildajimmy1257 tayari uko confused. Kati ya maneno yote umeumia kuitwa confused😂😂
@joshuakavishe91302 жыл бұрын
@@hildajimmy1257 Sasa si ndyo ukwelii wenywe.
@c.k.l38252 жыл бұрын
Apostle, thanks so much for this massage. I hope my fellow brother will get it. In religion. We use devoce and adding another wife.
@enocklazaro81752 жыл бұрын
Poweful Apostle.
@cleversanga77912 жыл бұрын
Asante ujumbe mzuri Sana Apostle
@sophianyange36552 жыл бұрын
Wanaume wengi wa sasa awapendi kazi wanapenda kulishwa
@esthergrace14552 жыл бұрын
Amen ubarikiwe 🙏🙏
@kanutierasto9897 Жыл бұрын
Ameni apstle
@kenonpeter36922 жыл бұрын
Nisahidie Papa mwanao Harusha Sina mtototo na mke amenisaliti nisaidie Bey Cenon Petre asante
@vandotz2 жыл бұрын
Nakukubali sana mchungaji
@sophykedogo97382 жыл бұрын
I'm saving this for my husband to be to hear thanks Apostle for the word stay blessed
@epilaizowakimataifa85502 жыл бұрын
Asante Apostel hata mimi nime zijua Leo tabia zangu, nilikua hata Sijui ni zangu 🙏🙏
@halimamagubika4842 жыл бұрын
Hubaijumamosi
@marykageha43052 жыл бұрын
Power full teaching .If my husband angesikia nakufuata haya yote ingali kuwa vema . mimi ma ngumi ziliniuwa ,matusi ,na yote hata meno niling'olewa .hakika imesema kuna baadhi ya waume wana vutuko . hata aliambiwa aniache wammpe mke mzuri kuliko momi akanitupa na watoto tano .13 yrs now .mimo sokuolewa juu watoto .bt nimenunuwa shamba through jouse maid na kusomesha .naye wanawaketu kubadilisha .hata nyumba hana. Chief always you touch me .connecting from Lebanon.
@kassimkassim63862 жыл бұрын
Poleeeee
@tonykiwelu72782 жыл бұрын
Wowowwowwww nimekupata sana bro
@jaypmunyamaofficial34882 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@francessimilanzi45452 жыл бұрын
Dah! Baba umenifungua sana
@vmahenge82 жыл бұрын
Asante Mtume MUNGU akubariki
@h_boytz32652 жыл бұрын
Nimependa sana ujumbe wako Mungu azidi kukujalia neema na lehema
@jonasjaphetthomas64342 жыл бұрын
Big upto you pastor!
@zediara95872 жыл бұрын
Aamen barikiwa sana
@josiaedson26562 жыл бұрын
u have got a new subscriber because of this video
@SonofMajor12 жыл бұрын
Ahsante sana kwa ujumbe mzuri sana Apostle. Napokea Hekima.
@kenonpeter36922 жыл бұрын
Baba asante
@مريمم-غ3س2 жыл бұрын
Amen amen amen 🙏🙏
@AIRINIjimy20042 жыл бұрын
Amen sana
@AndondileKalibotiАй бұрын
Nikweli kabisa mwanamke ni kama tope zito lenye maji muda wote utakuzamisha hivyo tumia akili ya kimungu kukusaidia ili upite salama na kukaa nae daima
@nature_world12 жыл бұрын
Hekima na ela dah wanaume tunakazi nzito kumbe amen 🙏
@innocensiaprosper19802 жыл бұрын
Jmnjmn unamjua mwanamke vzr
@josephkaranja57742 жыл бұрын
Very powerful iam blesed
@josephsanga13952 жыл бұрын
ubarikiwe sana kwa somo
@barikimatabishi35442 жыл бұрын
👌
@drmahaba2 жыл бұрын
IS it true that women cannot make a genuine apology?
@kisalaTV2 жыл бұрын
Pastor miezi mitatu mbona mbari sisi kila wiki😄. Mungu tuhurumi
@bethinaalphonce87242 жыл бұрын
😂😂😂
@reubenmwakalundwa78812 жыл бұрын
This is deep Apostle.. Asante kwakunipa haya maarifa
@isayaanthon70632 жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana kuhusu kutumia hekima. Ila hekima Ina ukomo. When crush is inevitable, we use wisdom to crush.
@faithkapondo53832 жыл бұрын
Amina
@byamungulusambo26352 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@balamajophan63532 жыл бұрын
amina mungu nipe hekima
@elizalutiga62872 жыл бұрын
Safi saana hiii
@enriqueganywamulume5702 жыл бұрын
Amen!!! Mungu asifiwe kwa huduma ECG , zina tu faa saaaana
@unclesymonymwaki958 Жыл бұрын
Nimejitahidi kabla ya kulijua hili,sasa mimi ni Suleiman
@masumbukomaganga4382 жыл бұрын
elimu nimeipata, hiki kidogo cha leo Mungu anisaidie nikiishi, maana kwakweli mmmmh..
@budodilufega85972 жыл бұрын
Point Sana brother 😶😶😶😫😫mungu akubariki Sana hataa mimi natumia hakiri
@khayratytv852 жыл бұрын
Blo umenipa elim asante sana
@heavenmusicbeats8942 жыл бұрын
Nusu saa flani hiv yenye baraka
@SifaFurah-dd8rv7 ай бұрын
Iyo nikweli APA nonakiongozi mume namke wote niviongozi wana achana nikilamu ekokivyake nawana endeleya lakini kwaswala landowa imekwi sha
@magdalenajimmy52252 жыл бұрын
Asante Mtumishi Ubarikiwe
@gildasnyaki38122 жыл бұрын
Best apostle ✍️
@annaboneka64752 жыл бұрын
Amen chief
@julianamsofe64452 жыл бұрын
Asante Apostle kwakwel tuko confused daaaah
@drmahaba2 жыл бұрын
NIMEIPENDA HIYO ya maamuzi ya kipepo iko sawa kabis a na sayansi mpya ya mambo yasioonekana iitwayo parapsychology ...There is far more to this world than taught in our schools, shown in the media, or proclaimed by the church and state. Most of mankind lives in a hypnotic trance, taking to be reality what is instead a twisted simulacrum of reality, a collective dream in which values are inverted, lies are taken as truth, and tyranny is accepted as security. They enjoy their ignorance and cling tightly to the misery that gives them identity. Fortunately, some are born with spiritual immune systems that sooner or later give rejection to the illusory worldview grafted upon them from birth through social conditioning. They begin sensing that something is amiss, and start looking for answers. Inner knowledge and anomalous outer experiences show them a side of reality others are oblivious to, and so begins their journey of awakening. Each step of the journey is made by following the heart instead of following the crowd and by choosing knowledge over ignorance. Knowledge is the key to unlocking our potential. It gives us the self-determination, responsibility, and power necessary to cast off the chains of covert oppression. Knowledge is therefore the greatest protector, for it also gives us foresight to impeccably handle the challenges of life and, most importantly, to sidestep the traps on the path to awakening. The more you know of higher truths and apply what you know, the more you begin operating under higher laws that transcend the limitations of the lower.