FUNGULAKUMI LIMEPITWA NA WAKATI ?

  Рет қаралды 31,592

Apostle Mtalemwa Bushiri

Apostle Mtalemwa Bushiri

Жыл бұрын

Пікірлер: 112
@harrisonkimathi4763
@harrisonkimathi4763 Жыл бұрын
Amen, mtumishi wa mungu hiyo mafundisho ni ya maana sana
@lilianebahati7290
@lilianebahati7290 Жыл бұрын
Amen amen Uhoraho Mana aguhezagire
@elishapipingo2006
@elishapipingo2006 Жыл бұрын
Amina asante sana
@elizabethmwambai480
@elizabethmwambai480 Жыл бұрын
Ameen ubarikiwe
@petercharles6607
@petercharles6607 Жыл бұрын
Amen mtumishi
@mariadagobert2406
@mariadagobert2406 Жыл бұрын
Barikiwa sana 🙏
@estherboneka1341
@estherboneka1341 Жыл бұрын
Amen Chief
@oliviambombe3605
@oliviambombe3605 Жыл бұрын
Amen Apostle kwa mafundisho mazuri ambayo ni ukumbusho kwangu ubarikiwe sana.
@OmanOman-yn2zj
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
Ameeeen ameeeen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU🙏🙏🙏
@isaiahimani5393
@isaiahimani5393 Жыл бұрын
Baba nakupenda sana, fundisho hili ni sahihi.
@benadetasarungi1840
@benadetasarungi1840 Жыл бұрын
Asanteeeee Mtumishi wa Mungu Mkuu
@stelladassa1261
@stelladassa1261 Жыл бұрын
Amen apostle jo kweli iyo baba
@jamesdioniz4860
@jamesdioniz4860 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu kipya sana, Mungu akuinue zaidi mtumishi wa Mungu Chief Apostle
@_.sheisherself._
@_.sheisherself._ Жыл бұрын
Asante apostle
@adamukephamakule6092
@adamukephamakule6092 4 ай бұрын
Amina sana mtumishi wa mungu.zaka ni sheria tutoe zaka
@franciscambatha4314
@franciscambatha4314 Жыл бұрын
Amen
@faustinriziki6787
@faustinriziki6787 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN 🙏 🙏🙏
@seciliapaul366
@seciliapaul366 Жыл бұрын
Hatariiiii sana
@sabinaleonce8243
@sabinaleonce8243 Жыл бұрын
Amina
@sirajisoka8282
@sirajisoka8282 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 nasikiliza kutoka kenya
@mkumbwa64
@mkumbwa64 7 ай бұрын
NIMEFUNGULIWA THANKS APOSTLE FOR THIS REVELATION😇😇
@voiceofpraiseworshipcenter9703
@voiceofpraiseworshipcenter9703 4 ай бұрын
Amen zaka
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Yesu Kristo ni mwisho wa sheria. Rum 10:4. Zaka ilikuwa sehemu ya sheria za Mussa, ilitolewa kwa lazima (kulipwa). Kanisa la Agano jipya, mitume wamefundisha tutoe kwa moyo wa kupenda, sio kwa amri/sheria. Munawa-comfuse watu.
@reachelivandon1611
@reachelivandon1611 Жыл бұрын
Ameen
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 Жыл бұрын
Good
@elishadauson8341
@elishadauson8341 Жыл бұрын
Ukiielewa neema umeelewa agano jipya. Under Grace, You are not forced to do anything for God , but rather you do it out of pure heart and love, under Grace hakuna Sheria.
@fidesndukeki924
@fidesndukeki924 15 сағат бұрын
D
@kyalalove3178
@kyalalove3178 Жыл бұрын
My Apostle always on point for my good, thank you.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
The problem He was annointed by Wrong person I hate Bushiri
@stanleymumenyi1690
@stanleymumenyi1690 Жыл бұрын
@@trophywilson7211 why
@williamntungilahe5598
@williamntungilahe5598 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Mtalemwa somo hili la fungu la kumi ni mhimu sana.Nimejionea umhimu wake katika ulinzi
@elizabethnamwinga3210
@elizabethnamwinga3210 Жыл бұрын
Amen amen barikiwa baba
@samsonjoel3349
@samsonjoel3349 Жыл бұрын
Kama huelewi jambo usicomment jiepushe na laana isiyo na sababu
@lilianebahati7290
@lilianebahati7290 Жыл бұрын
Asante
@damariskavolo1829
@damariskavolo1829 11 ай бұрын
Huyu naye ni mpiga chrito na wajiga wapotoswa. Kweli kabiza siku za mwisho hizi
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Amen Mungulu akubariki Apostle
@monicajackisoni5865
@monicajackisoni5865 Жыл бұрын
Ama kweli huu ni ufunuo asante mtumishi nimejifunza jinsi ya kutoa fungu la kumi
@magrethfaustine2665
@magrethfaustine2665 Жыл бұрын
Sisi sio mafarisayo
@kristobenny-xm8tx
@kristobenny-xm8tx Жыл бұрын
Limepitwa na wakatii kiukweli hapo huna cha kutetea 😁😁😁
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Kanisa la kwanza hawakufindisha wala kupokea zaka.
@williamntungilahe5598
@williamntungilahe5598 7 ай бұрын
Ni kweli fungu la kumi ni ulinzi
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Hilo fundisho kanisa lilikuwa bado halijaanza. Tupe maandiko toka kwenye nyaraka za Mitume
@geofreynato7060
@geofreynato7060 Жыл бұрын
MUNGU akuzidishe pande zote Apostle Niko Kenya na umenijenga sana sijui lini utatutembelea Kenya hiyo karama uliopewa na MUNGU ni ya nguvu
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 Жыл бұрын
Kwahiyo Mungu aliwashauri viumbe aliuwaumba,mmmmh
@catherineosmund486
@catherineosmund486 Жыл бұрын
Barikiwa sana pastor, naomba mbinu za kujua madhabahu sahihi ya kulipa 1/10
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 Жыл бұрын
Nenda kanisani kwake
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Moja ya njia rahisi Ni kumsikiliza Roho Mtakatifu atakuambia madhabahu sahihi,kama baba yako wa kiroho umejua ana Mungu kweli toa hapo,mdhabahu ambayo umejua ina Mungu kweli toa hapo!! Nimeingilia kidogo l'm sorry!!
@anusiathasimbagae2710
@anusiathasimbagae2710 Жыл бұрын
Ili fundisho nimelielewa Hadi nahisi kufunguliwa 🙏
@venancymsukwa6431
@venancymsukwa6431 Жыл бұрын
Enderea kufundisha mtumishi wa mungu usivunjike moyo Kwa hao wapinga Kirito wanao comment ujinga maana hata zama za yesu watu kama hao walikuwepo wao wanataka kanisa la mungu wa kweli lisiwe na nguvu yapesa
@elishadauson8341
@elishadauson8341 Жыл бұрын
Unachohubiri pastor bado ni agano la kale, kumbuka agano huanza baada ya damu kumwagika. Agano jipya lilianza baada ya Kristo kumwaga damu msalabani. Yesu alipokuwa duniani aliwahubiri wayahudi, sio sisi wa mataifa. Injili ya mataifa ilikuja baada ya Kristo kumwaga damu kwaajili yetu na mimi
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Kabisaaa
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Hawa wahubiri wa sasa wa ajabu sana....wanafikiri watu hawasomi biblia na kutafakari
@donaldmpagaze9803
@donaldmpagaze9803 Жыл бұрын
Shalom Sir huo ni ukweli mtupu nilishawahi kukwama kifedha nikawa nashindwa kutoa fu la 10 ktk maisha yangu sintasahau kwani ni km Mungu aliniacha peke yangu ule wepesi tena niliokuwa nao ktk kupata pesa na ile amani niliokuwa nayo ofcn vyot vilitoweka namshukuru Mungu kwa kuwa sometime huwa nafuatilia mafundisho ya watumishi wengi haswa ukizingatia wewe ulishaniombea na kunitabilia kazi nzuri pamoja na kunibariki kifedha nakumbuka saana naomba Mungu aendelee kukutunza na kukupa mafunuo mengi ili watu wa mungu wamjue saana wapate kuwa na amani na mafanikio Kiroho na Kimwili Shalom
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hahahaha mnaishi kwa utabiri tuu
@ShineSaidy
@ShineSaidy Жыл бұрын
Mungu ni mwema,naomba nijue maana neno zaka
@jordanmsigwa9697
@jordanmsigwa9697 Жыл бұрын
Zaka ni sehemu ya kumi ya kila Pato lako hvyo katika kila unacho kiingiza au kukipata sehemu ya kumi yake sio yako ni ya MUNGU mpaji wetu tunapoa tuna mwambia MUNGU kivitendo kwamba pasipo wew nisingepata hiki inampa MUNGU utukufu soma Malaki 3:3 tusipo toa tunakua tunaiba yaani tunamwibia MUNGU hvyo ni vyema tuitoe kwa uaminifu na ni dhambi tosha ya kuikosa mbingu....mfano elfu 1000 sehemu ya kumi ni 100.....tena elfu 5000 sehemu ya kumi ni 500 tena mfano elfu 10000 sehemu ya kumi ni 1000 yani inakua hvyo kwa kadri utakacho kipata.
@jordanmsigwa9697
@jordanmsigwa9697 Жыл бұрын
Pia Malaki 3 mstari wa 8 mpaka wa 10. Utapata ufahamu zaidi wa zaka.
@kwoliti
@kwoliti Жыл бұрын
Study maandiko mtu wa Mungu. Usiegemee sehemu mja
@kizizi9406
@kizizi9406 Жыл бұрын
Acha kudanganya watu mchumia tumbo. Yesu alizaliwa chini ya sheria ili awakomboe hao wa chini ya sheria. (Wagalatia 4:4-5) lengo ni ili sisi tuhesabiwe haki kwa imani. Sisi kwetu Kristo alitukomboa kutoka katika hizo laana za torati (Wagalatia 3:13).
@suleimanmwahesa4655
@suleimanmwahesa4655 Жыл бұрын
We tulia sisi tutoe, haya hayakuhusu
@kizizi9406
@kizizi9406 Жыл бұрын
@@suleimanmwahesa4655 waumini wengi wametolewa ubongo wamebaki na maji kichwani.
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 Жыл бұрын
Wachache watakuelewa
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Acha ushamba wa kiroho fungu la kumi ni Agizo sio sheria,jua kutofautisha kati ya neno sheria na maagizo
@kizizi9406
@kizizi9406 Жыл бұрын
@@christianmwasakogo5579 agizo Kwa nani? Nionyeshe sehemu moja ambayo kanisa waliagizwa kutoa fungu la kumi. Waumini wengi ni sawa na misukule hawana uwezo wa kufikiri hata mambo yaliyo wazi. Toa fungu la kumi wenye meno wale
@re.emmanuelmdoe3345
@re.emmanuelmdoe3345 Жыл бұрын
Zaka ni Nguvu Yangu Ya kumipika adui Yako, Malaki 3:10-12 Nitakemea alaye!
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
AMENI
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 Жыл бұрын
Msijitungie tu Kwa sababu mnajua kusoma bible.yesu aliwaambia mafalisayo Kwa sababu wao walikuwa washika sheria sio watu neema.mnawajaza tu watu hofu ya kifirisika.kwanza agano jipya halina kuhani wa kula zaka wote tunatakiwa tufanye kazi.ndo Maana Paulo anakemea tabia kama hizo
@mckombe7200
@mckombe7200 Жыл бұрын
Wachungaji mnatufunga vitanzii visivyoo tuhusu sisi ni wa kristo, siyooo wa musa, acheni kujimilikisha ukuani, usiyo wahusu Mungu aliwagiza waisraeli kutoa kwa walawi kwa sababu awakuwa nasehem ya mali katika ile nchii tuachee kuwafunga wakristo kitanzi leo atuishi chini ya sheria tupo chini ya neema acheni kujimilikisha ukuani usiyo wahusu ukuani uliishia goligota baada ya kristo kufa pazi lilichanini mana yake ukuwani leo atuna sisi si wamusa bali wakristo😭😭😭
@teddyjoseph438
@teddyjoseph438 Жыл бұрын
Roho Mt ni Mwalimu atusaidie
@elizabethmwambai480
@elizabethmwambai480 Жыл бұрын
Mimi pia niombewe niko nashida kwa fungo la kumi Niko Qatar mi mkenya
@pastoreliya663
@pastoreliya663 Жыл бұрын
Mnapotoshwa
@edinahkemuntomainya6551
@edinahkemuntomainya6551 Жыл бұрын
Pastor ni vizuri kutoa zaka ukiwa inch nyingine ? For example mimi ni mkenya na ninaishi Saudi Arabia kwa ajili ya kazi.
@patrickmanda7780
@patrickmanda7780 Жыл бұрын
Sijakuelewa
@edgarmagele8784
@edgarmagele8784 Жыл бұрын
Unatuma kwa past wako kenya
@epafrasgray5725
@epafrasgray5725 Жыл бұрын
Yesu hakuwakataza kwa ssbabu alikuwa hajakamilisha misheni yake. Baada ya kukamilisha yote msalabani hatupio kwenye sheria. Acheni kuwalaghai watu wawape zake mjaze mifuko yenu. Tuliojipata tunazitafuna zaka wenyewe kwani sote tlulio makristo ni makuhani na tunazitafuna kisawasawa zaka zetu.
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 Жыл бұрын
Yakobo alitoa zaka
@kisilejia8518
@kisilejia8518 Жыл бұрын
Aliahidi kutoa lakini hakuna ilipoandikwa na hata angetoa kutoa kwake sio sheria au sababu ya sisi kutoa
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 Жыл бұрын
Fungu la kumi siyo la agano la kale wala agano jipya....fungu la kumi lilikuwepo hata kabwa ya waasisi wa maagano mawili ...Agano la sheria au torati na Agano la neema...fungu la kumi lilikuwepo kabla ya Muda na Yesu... So Fungu la kumi HALINA mjadara lilikuwepo na lipo katika utaratibu wa Mungu....IBRAHIMU alitoa zaka....
@harunnahason8981
@harunnahason8981 Жыл бұрын
Amen bro samweli hiyo ni kweli mtupu kuna roho imeinukia ya mpinga kristo hiyo roho upinga 1 maombi 2 fungu la kumi 3tatu mkesha ya usiku 4 wanadai ni nehema lakini walikuwa wamejua kweli lakini kwa sasa wamerudi nyuma kwa sasa ni wenye dhambi wanaogelea kwa dhambi kaha nguruwe wakidai ni nehema tu wako waubihiri wamerudi nyuma wanawadanganya watu eti wamesamehewa dhambi zao awana makosa wala hatia kabisa eti nimewasikia masokoni mijini mitandaoni makanisani wakisema ni wasafi kama pamba hao ndio wapingao fungu la kumi wapendwa wamekataa nehema tena wako na kiburi sana ni wenye dhambi pst waombwe waokoke tena wamewacha imani wanakwepa ukweli
@mckombe7200
@mckombe7200 Жыл бұрын
Ndugu naomba andiko linalo sema ivyooo usiwe kama mwana siasa tupe mandiko
@mckombe7200
@mckombe7200 Жыл бұрын
Mana fungu la kumi mimi najua nisheria alio pewa musu awape waisraeli
@paulpeter2108
@paulpeter2108 Жыл бұрын
@@mckombe7200 Galatians;;3:29 cc sote ni Israel tunaishi Kwa neema kwamba tukifany dhambi tunarudi kua chini ya torati Tena tukitubu tunarudi chini ya neema,( tunapata nafasi ya pili ya kuishi)maana Kila atendaye dhambi(kuasi torati) tunastahili kufa ila kifo chetu kafa kristo msalabani ko binadam hawez kuishi bila Sheria(torati) maana Kwa shetani ndo hakuna utaratibu(torati) Kila mtu anaend anavyojua bila utaratibu
@mckombe7200
@mckombe7200 Жыл бұрын
@@paulpeter2108 nikuulize tu swalii kk wewe leo unaishii wap? Israel au upo tanzania, unapo soma biblia inabidi tumuombe Mungu kwani leo tuna soma bilbia lakini kwenye kutoa tafsiri ya maneno ya biblia ina kuwa ngum Mungu atusaidie kwani leo tunafanya vitu vingine na vingine atufajii kwasababu ya kuchanganya nyakati na majira amboyo MUNGU ali achia ilii na vingine walikuwa wakinena n Mitumie .
@kisilejia8518
@kisilejia8518 Жыл бұрын
Agano jipya lilianza baada ya Petekoste kwa hiyo hayo maneno Yesu aliyasema kwa Wayahudi Mafarisayo waliokuwa bado chini ya agano la kale
@suleimanmwahesa4655
@suleimanmwahesa4655 Жыл бұрын
We bisha tu
@patrickmanda7780
@patrickmanda7780 Жыл бұрын
Kwa hiyo inamaanisha huna haja na Yesu sio? Kama maneno hayo yalikua kwa mafarisayo basi basi hujuwi unachokiani. Karibu kanisani tueleweshane
@kisilejia8518
@kisilejia8518 Жыл бұрын
@@suleimanmwahesa4655 Ningefurahi ungekanusha hiyo hoja kwa hoja sio maneno matupu.
@kisilejia8518
@kisilejia8518 Жыл бұрын
@@patrickmanda7780 Yesu aliishi kipindi cha agano la kale. Agano jipya lilianzishwa kwa damu yake aliyoimwaga msalabani. Aliwaasa wayahudi waenelee kutenda mema ikiwemo kutoa zaka ambayo IPO kwenye sheria za Musa. Wewe hauhitaji kutoa zaka sababu haupo chini ya sheria ya Musa. Kitu pekee unachoweza kufanya ni kutoa dhabihu za sifa, matendo mema na matoleo ya hiari. Ebr 13:16: "Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana; maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu." 2 Kor 9:7: "Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo mkunjufu."
@kisilejia8518
@kisilejia8518 Жыл бұрын
@@patrickmanda7780 Sijamanisha hivyo ila watu wengi wanafikiri agano jipya lilianza Yesu alipozaliwa wakati kihalisia kifo na ufufuko wake ndiyo ulioanzisha agano jipya.
@emilylyimo8157
@emilylyimo8157 Жыл бұрын
Mafundisho ya kushetani ndo haya sasa
@tygggnzyj2771
@tygggnzyj2771 Жыл бұрын
Ww ndio shetani unaekataa kutoa zako na pesa Yako yote haina baraka
@neemasamwel8968
@neemasamwel8968 Жыл бұрын
Je mtu ambaye hajaokoka anaweza kutoa zaka?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Mmm haisaidii maana Pale moyo wake ulipo ndipo fungu lilipo,Okoka kwanza ndipo Utoe Zaka
@faiditv5535
@faiditv5535 Жыл бұрын
Mpigaji wewe
@godsonthadeonyamhanga2678
@godsonthadeonyamhanga2678 Жыл бұрын
Kama wote wanatakiwa wafanye kazi,wewe unafikiri wale wanaoongoza kanisa sio kazi ile?
@jeniphanzeran8231
@jeniphanzeran8231 Жыл бұрын
Apostle wanaofundisha juu ya fungu la kumi limepitwa na wakati eti ni agano la kale lkn kufundisha habari za eliya alishusha moto yenyewe siyo agano la kale
@mckombe7200
@mckombe7200 Жыл бұрын
🙆🤣
@danielimusa7601
@danielimusa7601 Жыл бұрын
inaonekana unafundisha ili watu wamjue Mungu, lkn point yako wewe watu watoe ili ukajenge magorofa nakujiwekeza zaidi. Vibaka nyie mkitoka hapo mnaenda kustarehe nje ya nchi na malaya
@innocentcareen818
@innocentcareen818 Жыл бұрын
Ameen
@harrisonkimathi4763
@harrisonkimathi4763 Жыл бұрын
Amen, mtumishi wa mungu hiyo mafundisho ni ya maana sana
@gwatwesahamu7336
@gwatwesahamu7336 Жыл бұрын
Ameni mtumishi
NINI CHANZO CHA MIPANGO YAKO KUHARIBIKA?
43:38
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 30 М.
FUNGU LA KUMI KATIKA AGANO JIPYA - MWL. HURUMA GADI
22:11
Mwalimu Huruma Gadi
Рет қаралды 18 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
JINSI YA KUYASAHAU YALIYOPITA
48:27
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 17 М.
PART1:UNAWEZA KUWA MASIKINI KWA KUTOA FUNGU LA KUMI KISHERIA
39:19
Davistar Mata Media
Рет қаралды 7 М.
omba Mungu akupe maarifa ili ufanyikiwe by pastor Tony Osborn
1:01:27
WORSHIP GOD FOREVER
Рет қаралды 170
MAFUTA NI MALI
35:55
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 5 М.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 76 М.
KUFUKUA YALIYO FUKIWA(Hatua tatu za kushinda vita vya maadui zako)
57:51
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 3,7 М.
FUNGU LA KUMI, KIKUMI. (ZAKA) NA MAFANYIKIO YA KIUCHUMI, MWOMBEZI PASTOR GODWIN NDELWA
10:15
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 1,5 М.
SIRI ZA WACHAWI PART 5 - MANUIZO
1:51:25
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 48 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН