Mwanaume aunda gari lake nchini Tanzania

  Рет қаралды 116,195

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Tukizama katika anga ya teknolojia huko nchini Tanzania kijana mmoja ambaye hakuwahi kusoma hata darasa moja anaetambulika kwa majina Jacob Kaparata amefanikiwa kubuni gari aliloliita kaparata huku gari hilo likitajwa kutumia mafuta kidogo kwa umbali mrefu.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya

Пікірлер: 79
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 4 жыл бұрын
Hongera sana Kaparata hili ni funzo kwa wengi wasiosoma na wasomi wa Tanzania.
@erickmatius6703
@erickmatius6703 8 жыл бұрын
This is how creativity is!!!
@normasouaid3538
@normasouaid3538 8 жыл бұрын
Bravo bro.God bless you.
@thomasgeorg4113
@thomasgeorg4113 7 жыл бұрын
big up bro kwa kuunda gari lako umetumia akili ya mafunuo ambayo hata kama una degree huwezi kuipata talent is better tanzania/taifa/ saidieni kijana si kumkosoa na kumvunja moyo eti utengeneze engin yako nimefanya utafiti kwamuda mref nimegundua bodi inatoka japan sterring road china engine german why we see problem than oportunity watu weusi hatujikubali bigup big up bro be blessed hiyo ni nafasi ambayo mungu amekupa itumie
@Alkaburu
@Alkaburu 2 жыл бұрын
Kazi nzuri Africa mashariki ipo juu
@pollypolly3462
@pollypolly3462 8 жыл бұрын
I'll buy it.. if he makes more👌👌
@محمدمحمد-ن7ط3ح
@محمدمحمد-ن7ط3ح 6 жыл бұрын
Wow bro mungu ambaliki kazi ya mikono yako
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 8 жыл бұрын
very nice job bro heri ww ulitumia akilinzuri kuliko wenyekushikia watu mapanga nabunduki wakiiba keep it up miaka zijazo naona kilamtu atakua na gari cmasikini wala tajiri keep it up
@dentist.kennethkaunda5036
@dentist.kennethkaunda5036 3 жыл бұрын
all the best i need one ....nko kenya
@jacquelinewolper1176
@jacquelinewolper1176 8 жыл бұрын
kazi nzuri sana hiyo. mungu akuzidishie
@husseinjumapili5445
@husseinjumapili5445 5 жыл бұрын
Jacqueline Wolper
@safinahlatina8961
@safinahlatina8961 8 жыл бұрын
good work
@maryannmuthoni3591
@maryannmuthoni3591 8 жыл бұрын
good work,keep it up bro,kweli akili ni mali na kila mtu ana zake,Mola abariki kazi ya mikono yako
@nyakitoto5868
@nyakitoto5868 8 жыл бұрын
Kaka kaparata nakukubali sana nilipokuona kwa mara ya kwanza nilijua unafanya utan.... Kumbe ni kitu halis.....
@wakwetukabisa3150
@wakwetukabisa3150 6 жыл бұрын
Hongera Kaparata umewapita maprofesa
@kathireen1385
@kathireen1385 8 жыл бұрын
poa sana,,may God bless the wark of her hand.
@jimmyluoga5355
@jimmyluoga5355 6 жыл бұрын
Kathireen 1 mmmmmh is it her hand???????? Or his hand
@tabumussa6705
@tabumussa6705 4 жыл бұрын
Hongera
@mainaunrulyking5190
@mainaunrulyking5190 8 жыл бұрын
Hongera sana,kaka mwenyezi mungu akuzidishie hekma uwe kukarabati magari mapya
@harithmiraj8865
@harithmiraj8865 6 жыл бұрын
Maina unruly king
@alalwialalwiii8194
@alalwialalwiii8194 2 жыл бұрын
Maashallh
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 7 жыл бұрын
Napenda Kuunga Mkono Juhudi za Vijana, Lakini Ili Useme Umeunda Gari ni Lazima Mfumo wa Engine uwe Umeuunda wewe. Sio kutoa kwenye gari au Mashine nyingine. Kwa hali ya Tanzania na Uwezo wa Kijana huyu Kifedha na Kielimu, sidhani Kama Engine ya chombo hicho aliibuni na Kuiunda! Hivyo kuita chombo hicho jina lake ni Kujitia moyo Ndoto zake. Ila kwa kuunda body ya Gari nampa 100% credit
@dionisiondone7479
@dionisiondone7479 6 жыл бұрын
Thobias Marandu Siokila gari unaloliona liliundwa nakampuni fulani kilakitu walitengeneza wao hapana usimukosoe kafanya kazi nzuri sana anasitahili pongezi.
@KanaiLomayani
@KanaiLomayani 6 жыл бұрын
Hater. Haujui unachokisema
@collinsomondi3075
@collinsomondi3075 4 жыл бұрын
True hero
@janeadhiambo1345
@janeadhiambo1345 8 жыл бұрын
wow! gud job try to make another1
@hashimhaji6931
@hashimhaji6931 7 жыл бұрын
nice
@prismaprismamboya3521
@prismaprismamboya3521 3 жыл бұрын
Big up
@ramadhanisakalani6676
@ramadhanisakalani6676 7 жыл бұрын
TANAZANIA OYEEEEEE NAKUPONGEZA SANA KAPARATA
@agathalyamuya9358
@agathalyamuya9358 4 жыл бұрын
Jamani tunaweza
@andrewmagwila8649
@andrewmagwila8649 6 жыл бұрын
safi sana napenda mno watu wenye akili kama hivi
@razackjustine5666
@razackjustine5666 4 жыл бұрын
Hatale sana
@kelvinmwasafu2116
@kelvinmwasafu2116 6 жыл бұрын
Wah, sawa bro.
@abdallahomari8680
@abdallahomari8680 6 жыл бұрын
Hongera Sana kaka, maisha ndiokipimo chaakili
@kivungemmbuji2311
@kivungemmbuji2311 6 жыл бұрын
Hongera sana, bali utakutana na wapinga mafanikio wengi wanao itwa Mamlaka.watakao kukatisha tamaa. Wivu wa kijinga. Muone Waziri wa biashara na viwanda atakusaidia. Yupo Mtanzania aliyetengeneza aina ya bajaj na wawili wameunda helikopta, ila TBS ni shidaaa ! Mungu Akuinue.
@djmaytatu2545
@djmaytatu2545 7 жыл бұрын
big step tz from 254
@kakapascal5090
@kakapascal5090 7 жыл бұрын
peace & love East Africa
@christsflowe.r
@christsflowe.r 8 жыл бұрын
Wow
@dankeene4852
@dankeene4852 4 жыл бұрын
Waaay much better than zenye Kenyan Inventors are making. Then hiyo engine roar turns me on.
@helamamohd7318
@helamamohd7318 4 жыл бұрын
Mashaallah
@petermim
@petermim 6 жыл бұрын
Gud
@danesnyamori7647
@danesnyamori7647 8 жыл бұрын
agood trial 4 Tz
@zablonomwoyo6076
@zablonomwoyo6076 8 жыл бұрын
good luck
@saidomar6344
@saidomar6344 2 жыл бұрын
Anza kusajili kampuni , pole pole utauza hizo Gari ziko demand Sana. Eka number zako. Tutakutafuta.
@emmanuelasheri7037
@emmanuelasheri7037 6 жыл бұрын
Dah,vipaji hivi,muhimu sana
@lonnie546
@lonnie546 4 жыл бұрын
Nembo ya Jembeee nimeipenda
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Msss
@faustinerukiko2933
@faustinerukiko2933 3 жыл бұрын
Amefikia wapi sasa Kaparata baada ya miaka 4?!?
@raphaeljuma6843
@raphaeljuma6843 5 жыл бұрын
Nipeni bei ya hili gari nimelipenda
@wazirimussa839
@wazirimussa839 7 жыл бұрын
jambaa safi sana twakuitaga bingo kitaa
@veeJesus
@veeJesus 4 жыл бұрын
Ni jambazi
@mariakapalata8475
@mariakapalata8475 2 жыл бұрын
Kaparata unapatikana wapi
@salumpetermuruthi756
@salumpetermuruthi756 4 жыл бұрын
Mnaendelea kuendeleza uvumbuzi ambao ushafanyika jamani , hivi hakuna Mtu anaeweza kutuvumbulia ndege ya Ungo kama mababu zetu ? Haitumii mafuta ,wala maji
@gracebuchukundi5025
@gracebuchukundi5025 6 жыл бұрын
Wouh
@emanuelmuna2296
@emanuelmuna2296 5 жыл бұрын
tafadhali tuma namba na mahali uliko mimi ntakuwa mteja wako nahitaji..
@elsonmchomvu2765
@elsonmchomvu2765 7 жыл бұрын
ni vyema angewezeshwa zaid na serikali ili aendelee zaid
@receptionzanbluu3656
@receptionzanbluu3656 4 жыл бұрын
Daaah ungekua mtoto wa kizungu serekali igekupa saporty
@evaristmarandu1392
@evaristmarandu1392 4 жыл бұрын
Watu kama awa nchi inawasahau aiseee
@lewismpangala927
@lewismpangala927 6 жыл бұрын
Tanzaniaaa
@jacksommndellah7794
@jacksommndellah7794 4 жыл бұрын
Aongezwe vifaaa atengeneze mengi
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Uyu hapa na yule wa bajaji wasaidiewe watengeneze magari ili Tanzania tuweze kupata magari kwa bei nafuu.
@sicac33
@sicac33 8 жыл бұрын
Aisee! Wakusaidiwa huyu jamaa, thy need to do mass production from this prototype. Wamsaidie kukagua na fanya maboresho kama yanatakiwa makin it safer, lasivyo akipanda ndege harudi huyu. Wazungu watamchukuwa.
@aishashaban7954
@aishashaban7954 6 жыл бұрын
MV nyelele
@ellymakongo656
@ellymakongo656 6 жыл бұрын
serikali ya viwanda iko wapi kumchukua huyu atusaidie tumechoka kufedheheshwa na mabeberu,,plz Wahusika wote mchukueni huyu mtu
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 7 жыл бұрын
bei
@HabariTv
@HabariTv 6 жыл бұрын
Mara nyingi watu kama hawa kwa mara ya kwanza hubezwa. ila ikumbukwe hata KARL BENZ, aliyegundua gari la kwanza mnamo mwaka 1886 lilikuwa na matairi matatu tu. lakini ona leo duniani mercedes benz ilivyo na thamani. ninachotaka kutilia mkazo ni kwamba, watu kama hawa waangaliwe kwa mtazamo wa mbali na wawezeshwe, ili tuweze kuwa na viwanda vyetu wenyewe vya magari.
@izohmax1935
@izohmax1935 8 жыл бұрын
aint that some sè%t.
@abuumaryam1628
@abuumaryam1628 4 жыл бұрын
Ma engeneer tupo wengi sema💰💰💰💵💵 ndo zinabana
@husainzege5525
@husainzege5525 6 жыл бұрын
uko poa sana ndugu yangu,raisi mpendwa magufuri msaidie aweze kutoa ajila kwa vijana
@rahelmilami1271
@rahelmilami1271 5 жыл бұрын
naitaka gari kama hiyo ili nipeleke kijijini nikaendeshe
@mlaki913
@mlaki913 6 жыл бұрын
Kaka songa mbele na wala usisubiri mtu wala serikali. Wacha wakukute una kiwanda chako cha magari.
@jijodrumbeats
@jijodrumbeats 6 жыл бұрын
Ati ilimchukua takribani???....
@gorgigidioni5342
@gorgigidioni5342 4 жыл бұрын
Upo vizuli nime kuku bali
@abduljuma4944
@abduljuma4944 5 жыл бұрын
Mwandishi wa Habari mie nipo Singida naomba uje mi pia nimebuni pikipiki ya kifahari na Nataka Nipate kuirusha humu ndani 0753942301 whatsapp no nitafuta please
@aishashaban7954
@aishashaban7954 6 жыл бұрын
v
@raphaeljuma6843
@raphaeljuma6843 5 жыл бұрын
Nipeni bei ya hili gari nimelipenda
@esthernyaboke7757
@esthernyaboke7757 8 жыл бұрын
Wow
@ramadhanisakalani6676
@ramadhanisakalani6676 7 жыл бұрын
TANAZANIA OYEEEEEE NAKUPONGEZA SANA KAPARATA
@gorgigidioni5342
@gorgigidioni5342 4 жыл бұрын
Upo vizuli nime kuku bali
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 17/10/2024
27:48
BBC News Swahili
Рет қаралды 13 М.
Make 30KVA Free Genarator - Free 220V Energy
5:29
USA DIY
Рет қаралды 2,3 МЛН
Naibu Rais Gachagua afikishwa Hospitali ya Karen
4:41
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 62 М.