Endeleeni kuwa chezea wa Tanzania mtaona kama mtatuweza ffu watakimbia kiokoa maisha yao kutoka kwa wananchi wenye hasira kali
@jassonnelly34453 ай бұрын
Jaribu si una hasira nenda katibue mzinga itakayo teseka ni familia yako ww focus na mambo yako tafuta kipato chako ila usijaribu kupambana na dola
@allydaud6123 ай бұрын
@@jassonnelly3445wewe huna akili hata kidogo hakuna atakae kupa haki bila kujipambania mwenyewe watanzania tutaamka lini
@jassonnelly34453 ай бұрын
@@allydaud612 haki gani bwana ww acha kulia lia sio kila kitu maishani utapewa kila kitu mnalalamika lalamikaa watu mnapanga kwenda kuandamana mnapigwa mnaumia na still hakuna kitu kita change haya mambo yameanza tangu zamani hata kabla ww hujazaliwa haya kimebadirika nn mimi sina akili sawa ila akili yangu ndogo hii inaniambia kaa nyumbani fanya maisha ridhika na unachopata na niache shobo na siasa wewe mwenye akili nenda kaka kila lakheri
@RajabNgome-b3z3 ай бұрын
@@allydaud612Nenda kapambane
@SetephaJery3 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿eti hayo maigizo ya kuwatisha wanannchi tusidai haki yetu ya kuishi mimi niko tayari kudai haki yangu ya kuishi
@barakamwamasage-hy2jo3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 mpaka aibu Tz Nchi yangu niudhaifu mkubwa sana
@AmaniShabani-yy4ix3 ай бұрын
Tunaijua hiyo😂😂
@jacksonmwalimu51813 ай бұрын
😂😂😂bongo ukiwa kauzu sana hutoboi
@hassanrashid-l3u3 ай бұрын
Ila Tanzania bhana yaan Hadi police waoga,,ASA hapo ndo nn? Wakati hamza peke yake aliwagonga
@vladimirputn18093 ай бұрын
😂😂
@martineopapa73833 ай бұрын
Duh nimecheka kama mjinga
@GabrielSky643 ай бұрын
Mkwara huo 😅😅😅aise sijapata kuona duniani
@AlbatCharles3 ай бұрын
Issue Yao imekaa kishamba sana
@IreneMacha-g8o3 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka wallah hii ndo nini sasa
@mathiasnicodemus75313 ай бұрын
😂😂😂😂 wakitaka haki zao ni virungu hii nchi bnh ay😅
@JohMwita3 ай бұрын
ila inashilia kama hawajiamini kauli ya kuwandama ndo wanaigiza mikwala
@StevenNdandu3 ай бұрын
Daah jamani kweli tunachewa🤣🤣🤣🤣🤣
@TumweSeba3 ай бұрын
Nimependa sana
@MwamtoSelemani3 ай бұрын
Msimamo ni uleule 23/9 c kinyonge
@jassonnelly34453 ай бұрын
Kila lakheri 😅
@rayisadesigns26463 ай бұрын
NENDENI WAKAWATOE MAVI MAMMAEE
@AbrahamMisanti3 ай бұрын
Dakika za jioniiiii
@MwamtoSelemani3 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 acha uoga boe au we xio born town 😂
@PembaOnline3 ай бұрын
Kama umemsikia MC akisema hayo maji hayana pressure kubwa kama yale ya kwenye maandamano halisi sababu hao ni askari wenzao lakini wale waandamanaji halisi hawawaonei huruma.
@anoldjefsta177Ай бұрын
Kenya 🇰🇪 ukiwapiga na ayo maji wanayanywa
@MahmoudJaffar-mt1qr3 ай бұрын
Mnafanya sherehe watu wanauawa
@vincentcharles43853 ай бұрын
Wanatuchezea akili
@AdrianoMngulwi3 ай бұрын
Yani mnafanya maigizo kwenye uhalisia😅😅😅😅😅
@ayoublupande30073 ай бұрын
Hahaha 😂 wapo Mazoezin asikal Sasa Hawa wanataka haki Gani kwanza 😅
@MahmoudJaffar-mt1qr3 ай бұрын
Hawa wenyewe kwa wenyewe ,wameunda timu kama waandamanaji katika zoezi is kutuliza maandamano ni polisi hawa
@JamesZakayo-o2f3 ай бұрын
Hayo ni maonyesho sio uhalisia
@salvatorymushi20383 ай бұрын
😀😀😀 kweli ni vichekesho
@SaiminiUrio3 ай бұрын
Hahaha jeshi la tanzania bhana😂😂😂😂😂😂😂😂
@emanuelmadei70583 ай бұрын
😂😂 Leo wamejua kutufurahisha sasa maonesho mengine Siku zote hayapo Ila kusikia maandamano ndio wanaigiza
Shida ya Tanzania ni Kenya. Lazima kila upuzi yenu mtaje Kenya ? Kumbafu
@henrypambisa54833 ай бұрын
Hamuwezi hata kujua watekaji Manawaza kuwapiga raia
@ramasmall84623 ай бұрын
Mbona wadogo raia wenyew😅😅
@Masele852073 ай бұрын
Sasa watu wanataka haki zao badala wasikilizwe wanataka haki gani lakini wanafurushwa kwa mabomu😂😂😂
@Suly.m0053 ай бұрын
😂😂😂
@blackothman73323 ай бұрын
😅😅😅nicheke tu
@JumaSaid-g5u3 ай бұрын
Hawa wakija kenya watauwawa.
@user-gq8ox7wb7f3 ай бұрын
Eti huduma ya kwanza 😂😂😂😂😂
@JosephatMalaki3 ай бұрын
Raia na sisi tufanye mazoezi 😂😂
@AshuuuBakari3 ай бұрын
Ukuma tu
@NuruLutembeja-h1r3 ай бұрын
Haya yanamwisho,kuandamana sio uhalifu,acheni uchawa siku ndungu zenu wakitekwa,wakauwawa.Badala ya kutoa elimu na kuwafichua waovu watu wanaodai haki kwa mujibu wa katiba na sheria,acheni uchawa kabisa ninyi polisi,endeleeni kumuaminisha,yajayo yanafurahisha,muulizeni mtangulizi wake!Mungu niwawote.
@saimonisichimata85593 ай бұрын
nchi ya kiboya sana hi😢
@FredrickPeter-n3i3 ай бұрын
Wapeni hao waandamaniji AK 47 tuone igizo vizuri
@ipepeetube4493 ай бұрын
Hakuna kitu hapo
@RickshabyVlogs3 ай бұрын
😂😂😂twendeni tukafanye field kenya
@ibrahimpesa303 ай бұрын
Hayo maagizo ni ya Tanzania waje Kenya waone Watu walivyochoka FFU twawakaribisha
@mcback43843 ай бұрын
Police wa Tanzania sio kama Kenya mpaka wanashikwa ndevu, Tanzania utakua marehem tayari
@AdamCheze3 ай бұрын
Kwahyo mmefanya maanzimisho kwa lengo la kututisha😅😅😅 waambieni waboreshe maslai yenu,makaz na vituo vya kaz sio kuwatumia kuwalinda wanaohujumu nchi yetu
@KingBoy-tu6pu3 ай бұрын
Hawa wanatuona watanzani viazi 😅
@MohamedMkota3 ай бұрын
Ww msituogopeshe kuandamana lazima😅😅😅😅😅
@rashidjuma97743 ай бұрын
TZ 🇹🇿 Acheni usenge bana maigizo tu hayo kuwa adaa Raia maskini wenyewe hawajielewi
@omuullo3 ай бұрын
😂😂😂😂 Wakuje Kenya na hii ujinga 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mtaona 😂😂😂
@mcback43843 ай бұрын
Mbona mmeuawawa 70 na mpo kimya yet Ruto didn't go nowhere 😅 ndio kwanza na airport kauza 😂
@frankbujiku94963 ай бұрын
Hamza R.I.P inatosha kwa hii comment 😢😢😢😢😢😢😢
@furahamwikombo-p7g3 ай бұрын
Mungu ailaze mahali pema peponi Roho ya Hamza..Is true..
@privaushaki73953 ай бұрын
Nikajua movie ya bongo movie mpya
@GabrielSky643 ай бұрын
😂😂😂😂Khaaa Nchi ya kwanza kufanya maaajabu aisee sijapata kuona kwahiyo huo ni mkwara wa tarehe 23 . Chadema kazi ipo 😅
@africanmandetraveler28473 ай бұрын
Ni igizo
@bakarikisuda49483 ай бұрын
Hahhahaaa! maana yahaya,maonyesho kwakipindi,hiki inamaanisha nini?
@FrenkMushi-i7f3 ай бұрын
Mimi banaaa nashindwa kuielewe hi nchii yani polic awawazi kulinda raia ila wanawaza kuuwa 2 yajayoo yanafurahii tusubiri tuonee mwisho wa hi move
@elvisoscar99123 ай бұрын
Nimecheka asee ila Tanzania Kuna vituko Sana 😂😂
@faustinluambano29583 ай бұрын
Msikie eti mabomu ya kuwasha.Wanaisaliti Tanganyika
Me naona mnazid kututia nguvu ya maandamano maa ndo mnazid kutukera sasa nn ichi..😢!?
@Aloyckafulusu3 ай бұрын
Muombe mungu asitokee mtuwakufadhili siraha yatakuamengine serkali iyangalie watuwanatakann
@fortyyellu99713 ай бұрын
Kweli nimeamini hii nchi ni ya vituko sana na drama
@hajisalumomari34603 ай бұрын
Ngoja tuwaone wale wenye kuhitaji ulemavu wa kudumu wakijitokeza tar 23😂😂😂
@MmangaMmanga-3 ай бұрын
😂😂😂litauliwa jitu awa jamaa co poa
@sayeedmsct42553 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Amoswerema-h6s3 ай бұрын
Hawa ndo wavurugaji wa kwanza wa Aman Nani kawambia maandamano yanavuruga Aman
@FilbertHabashi-zn1qu3 ай бұрын
Raha saaaaana😂😂😂😂
@SeseMtatilo3 ай бұрын
😂 nyie wote ni pumbu to😂😂 mkiw na huy mnaemjua 😂😂
@benson238233 ай бұрын
Na tamani mje congo hapo nima risasi alafu mnaitwa wa mayimayi bado 😮😮😮😮
@RashidiHassani-b6z3 ай бұрын
Mikwara tu Amna lolote
@vincentcharles43853 ай бұрын
Congo zaidi ya putuluu mna nini cha Ajabu
@RajabNgome-b3z3 ай бұрын
Wew nae Congo nae mnazidi kuisha kisa sifa
@KIDORBOYS3 ай бұрын
Wanajuwa watanzania ni waoga sijawahi kuona igizo kma hili kwa maraisi wote waliopita kwann raisi samia anatuwekea kodi yangu ndy inayo niwasha na kunipa abhabu kiasi hiki da sas mm sina silaa alafu anae nilinda anatumia silaa kunituliza kweli siyo haki selikali ipanue mawazo ya kuitawala nchi ila cy kwa hivi
@ElizabethMlaule3 ай бұрын
Saf sana
@hezronjoseph4053 ай бұрын
Nazani mliona kenya ,nyie mdanganyeni raisi tu,neng'enekeni,mtajuta
@RashidiNjaiti-nk2vh3 ай бұрын
Kama kenya
@stateofart10893 ай бұрын
Hautaona UPUMBAVU kama huu kwenye nchi zilizoendela kama Marekani au Ulaya!!
@fahadrashid97543 ай бұрын
Wandamaji mbona ata hawarushi mawe yasio umiza
@ayubuShukia3 ай бұрын
Mnatuona sisi twafilana eeeh
@FaithKhunjuzwa3 ай бұрын
Hii nchi aishi maigizo
@davkoofficial41793 ай бұрын
Hao ni waigizaj 23 tunakja watanzania afu nyinyi mnatuona watoto sisi mtupeleke peleke tumechoka hiyo siku mtajuwa kama sisi ni zaidi ya wakenya na aki mtu ata mmoja kesho tunaamka Tena yanakuwa siyo aman Tena yanakuwa ya kuchoma adi vitu 😂😂 tuoneni watoto unatutisha nyinyi shida enu mnataka muone hasira za watanzania mtaiona siku hiyo😢😢
@PerfectGirl-dj7zq3 ай бұрын
Huu ni usenge sasa ni maonyesho ya kututishia? Maana yake nn?
@BushiriAlly-d7f3 ай бұрын
Uzur wake ni comedi
@NapeDkilia3 ай бұрын
Yani wamepanga et
@furahamwikombo-p7g3 ай бұрын
Why haya maazimisho yanafanyika sana unapo karibia Uchaguzi??..
@AnuaryKISEGE3 ай бұрын
Matisho hayo ngojeni tarehe 23
@KS-iw7qv3 ай бұрын
Wewe mwenyewe hutoki kwenda popote Yesu anakuona acha UONGO😂
@KS-iw7qv3 ай бұрын
We mwenyewe hutoki kwenda popote... Yasu anakuona acha UONGO😂
@warlexnyamba26013 ай бұрын
Daa kama chekechea
@boxdad3 ай бұрын
Hatuwaogopi Wala nn tarehe 33 tunakutana road
@immaknight44143 ай бұрын
NIKAJUA WAMEKIAMSHAA LIVE
@issamatola20313 ай бұрын
Sasa hao ni watu
@MidddleSimbaaa3 ай бұрын
Hii ichi yakisenge sana wanatisha laia
@mlatapatrick47363 ай бұрын
Wanataka haki zao hahaha
@JumanneHusseni-nd6zt3 ай бұрын
Hahahahaha ,hamza tu Kawa chemsha ,je watu wenye manati hapo ndio utaijua manati na tango.
@yohanakateko3 ай бұрын
Sijaona kitu maigizo ayo
@GodfreyRichard-v4f3 ай бұрын
😂😂kwan hakuna kaz hii nnch
@FrancisRM-ex8vf3 ай бұрын
Kumbe wanajua maandamano ni ya kudai haki arafu wanakaza fuvu: ili igizo lao nimelipenda sana😅😅😅 ipo siku mtu atalishwa asali mbichi kwa kisu... af atatangulia na dereva barua ataikuta kisiwani😂😂😂
@smallscaleminingsupplies96703 ай бұрын
Ila Wabongo yaani maigizo kuandamana
@rogersjoseph73633 ай бұрын
Mbona huu no uchafu tuko nyama kiasi hichi
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
Tz vituko😂😂
@musamusa62133 ай бұрын
Kuandamana ni ushamba wote ni njaaaaa tu hamna cha maana ndio maana kila siku ni kiki tu
@johnmathew99943 ай бұрын
Kulikuwa kuna ugumu gani kutoa vumbi kwanza kabla ya maonesho?
@elandaboyz3 ай бұрын
Tanzania Bado muko na miaka 100 ndo mufikie Kenya 😂😂
@donking-d4t3 ай бұрын
Kenya ya matako, maafi wewe
@rashidalihamad72283 ай бұрын
Na nyie muna miaka 200 kufuta njaa kwenu
@josephgomalo413 ай бұрын
Juzi tu wakati wa covid mlikuwa mnachemshia watoto mawe..! hatukatai itatuchukua miaka 100 kuweza kuevolve meno ya kutafuna mawe kwa dinner .. LMAO! Juzi tu mlikuwa mnauawa hovyo na serikali ya "hussler" kwa kupinga kodi kwa vile hamna kazi! Kweli nyani haoni kundule! We matako kweli kweli.. lol!
@jassonnelly34453 ай бұрын
Kwenye kuuana au?
@KS-iw7qv3 ай бұрын
Kwa UBAGUZI WENU sawaa
@davideditz20493 ай бұрын
usenge mnatia watu asira tuu
@Samueltzsimon1233 ай бұрын
Nyie wasenge
@brianmarani3 ай бұрын
Hii ni ufala😂
@HappyBooks-dj6oy3 ай бұрын
Hamna Story
@vladimirputn18093 ай бұрын
Vipiwatekaji mumewafanyia zoezi jinsi yakuwakabili aumunawafanyi hawa panya wachadema hilizoezi😂