Leo August 1, 2017 kupitia Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habibu ameifuatilia hii stori ya mwanaume ambaye anadaiwa kumuwekea mkewe sumu kwenye chakula kwa ajili ya mwanamke mwingine
Пікірлер: 80
@safinaalfred10625 жыл бұрын
Daaah!!Pole sana Dada,Mungu ndiye muweza wa yote,
@naimamushi48195 жыл бұрын
Daaah pole Dada mwenyewe yalisha nikuta mwanaume alikuwa ananilazimisha nigonge nikiwa naendesha gar doooooh wanaume mungu anawaona
@karungikarem45775 жыл бұрын
Naima Mushi duh
@ashuraatanas59676 жыл бұрын
Hatari sana binadam wa sasa pole mamy
@videralfred88892 жыл бұрын
Hapo Kwa madilu sistim🤩 ila pole sana dada
@princessyvetteevedollyisma25867 жыл бұрын
Kweli Mwenyezi Mungu akikuandikiya wafa utakufa tu,,,,,lakini binadamu hawezi towa huwai wa mtu kama Mungu ajaamuwa
@edinawilliam29433 жыл бұрын
Kweli
@TheSalma19995 жыл бұрын
Mungu ambariki dereva wa bodaboda jamani wanawake tunapitia mazito jamani duh
@rosekaiza27162 жыл бұрын
Pole sana dada ila nimecheka kama mazuri pale uliposema yupo kama madilu sistimu!!
@alexkabeho56097 жыл бұрын
Duuh nimeishiwa nguvu nahiyo story pole sana monika
@bethcharles17943 жыл бұрын
Pole sana
@dodomikleni92997 жыл бұрын
Kama mtu humtaki mwenzio bora umuache tu sio kumuua akaah.. Alhamdulillaah kua muislam.
@winniepaul64995 жыл бұрын
Kwamba wakristu ndio wauaji au? Ukatili ni roho ya mtu maan ukiangalia makundi mengi ya kighaidi dunian ni ya kiislam chunguza vzur
@rehemaparis21615 жыл бұрын
@@winniepaul6499 jamani mwenye namba za geah abibu naomba mana namtafta sana ila naona hasomi coment namba zangu ni 0674943312
@rehemaparis21615 жыл бұрын
Nagea naomba namba zako
@pamelakasambala95894 жыл бұрын
Duhh pole sana
@omarisuleiman26115 жыл бұрын
Njon ktk uislam ataoa wake had 4 ila mnakaa huko mke 1 ndo uyo uyo 2 maish hat uktaman mwengne usubr afe ulienae au km ukion anacherew kuf ndo uanze mipango ya kumuua, mamb gan hayo?
@davidkimario96012 жыл бұрын
Umenikela sana na hii kitu yako ebu nikwambie kitu tabia ya mtu ni tabia tu haijalishi dini wew na dini ya mtu ni dini yake tu huo sio ushauri ni upumbavu mjinga wa kufikili wew
@sifamugwaneza11785 жыл бұрын
Duh!!!!Jaman Ndoa zingine bhan ndo tunaambiwaga siku zote Mwana Mme nimtoto wamwengine hilo neno nikweli kbs
@zahrahamiskisuda86305 жыл бұрын
Wadada wa Oman mnatia aibu
@floranahashon14856 жыл бұрын
Pole Sana Dada ila huyo Dada WA Oman ukae ukijua kuwa mwenzio akinyolewa we tia maji Leo kwake kesho kwako
@gracelee616 жыл бұрын
Sasa wewe ushahisi ume kunywa sumu Alafu unapanda kitandani kulala, dada mungu anakupenda ungekufa,
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
@Ali Ali ww msenge kweli ww kumamako yaani we huijui roho ya kutapa tapa ww au unaropoka tuu ww nyooooo
@aminakassim74862 жыл бұрын
Hapo sasa, nilitegemea angeenda hata kwa jirani aombe maziwa
mmmmh mashagara wa oman noma mwavunjisha ndoa za watu sasa hiili lijanaume harina hata akir
@leiratykisura67182 жыл бұрын
We dda usijumrishe watu kwa mtu moja ok mashagala noma sasa wote ndio wamemchukuria mume uyo dda koma kutujumrisha ok...pya uyo mdda ariopo oman hana makosa mume ndio mwenye makosa kwan sio mkweri,,
@liciouscharles33704 жыл бұрын
Ndio mana kaachwa anamuitaje mwenzie madilu system
@wemamtotochanelyusuphomari82627 жыл бұрын
Nae mwanaume hana kazi kusikia mtu yupo omani bac
@hasinatilafaeli6165 жыл бұрын
Hahahaha
@juliethhouseofdesigns1472 жыл бұрын
Dada tafadhali usije ukajitia kirudi kwa uyo mume ukirudi either atakupiga mapanga au akutafutie vibaka muache, na uyo mwanamke anayetaka kuolewa asubiri siku yake atajua hajui. Yaani uyo mwanamke alikuwa anajua kwanini akucheke ulipomwambia wewe ni mke? Na akujibu zilipendwa
@zuenamuogopemunguewemwanam18435 жыл бұрын
dada rudi kwenye nyumba yako, yeye ndio aondoke. mwanajeshi gani mjinga hivyo huyo tahira tu.
@rehemamgeni2032 жыл бұрын
Huyo mwanaume shetani na huyo bint ajiandae maana kama kaweza kumufanyia hivo mwenzie nayy ajiandae
@rahmamshiraz22235 жыл бұрын
Wanaume awa wasiokuwa na akir mh
@hadijaabdallah54775 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Madilu system mbavu sinaaaa yaani
@zenachottah82182 жыл бұрын
Atareeeeee 😂😂😂😂😂😂😂
@salmaiddy60596 жыл бұрын
Tupeni nambazenu hekaheka
@lucymassawe28357 жыл бұрын
duuu,jamani,hadi machozi yananitoka.
@edithabusumabu21896 жыл бұрын
Madilu system hahaahaa
@neemathomas26567 жыл бұрын
yaani simtaki tenaaa mungu kaninusuru nakalia nini? nasepa amuowe tu
@najma32687 жыл бұрын
Neema Thomas pole sana mamy
@najma32687 жыл бұрын
Neema Thomas hata huyo anaeolewa unafikiri kwa hivyo ni mume huyo ! Yaan ni shetan kabisa
@user-ui5ut6xp3z7 жыл бұрын
Huyo mwanaume pmbv zake
@nadyahassan79245 жыл бұрын
jaman km mtu humtaki kwann usimuache kuliko kutak kumua mtt wa mwenzio na ww unaejifanya umefika huko Oman utaja lipwa hphp duniani ukumbuke na ww pia ni mwanamke
@user-ui5ut6xp3z7 жыл бұрын
Naitwa Zay npo Muscat naskili hapa
@hamidahamida14733 жыл бұрын
Zay.tujuwane.nautwa.Hamida.nime.oman
@edinawilliam29433 жыл бұрын
Nasisi tupelekeni basi
@princessyvetteevedollyisma25867 жыл бұрын
Alafu nawapa wanawake ushuri jamani ukijuwa mtu kaowa ama kaolewa usiwe chanzo za ww kuvunja ujuwi kesho yako itakuwa vipi
MIaka 10 na mkeo Than anatokea kizabana tena muuza kuma Oman akatake mkatisha mkeo life hapana kwa kweli karma is bitch dada iko siku yata mrudia
@edinawilliam29433 жыл бұрын
Kweli
@leiratykisura67182 жыл бұрын
We kahaba acha kuwambia wanaofanya kaz oman basi ni wanauza kuma koma iyo kauri yako uwezi jua warikuwa na mausiano toka tz sasa arivyo kuja uku oman ndio mapenzi yamepamba moto na tatizo kuowa mke moja bola sisi wake 4 ok
@leiratykisura67182 жыл бұрын
Sasa hapo tatizo mke moja na mbaka hafe ndio uwerewe ndio shida iyo aritaka hafe aowe ifike tim warusu kuowa mke zaid ya moja miaka 10 mke moja jmn mume hawezi
@gaspermassawe73977 жыл бұрын
Huyu mwanaume ana Akili za kuazima kwani mwanaume yeyote anatumia akili kwenye mapezi siyo moyo,uwezi kuua mkeo kwa ajili ya hawara yako,STUPIDEST