SHEIKH NURDIN KISHK - kumtetea mtume mohamed dhidi ya makafiri

  Рет қаралды 33,127

shining noor

shining noor

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@Zulpha-i5d
@Zulpha-i5d 3 ай бұрын
Mashaallah asante sheik wetu kumtetea mtume wetu nimeipenda hiii ❤
@shaabanabdulmaphita8922
@shaabanabdulmaphita8922 5 жыл бұрын
Naam Mashaalah kheir sheikh nurdin kishki Alla akujaaliye kila la kheir Inshaalah
@yoramabubakar8012
@yoramabubakar8012 2 жыл бұрын
Mashaallah. Allah akuhifadhi shekh wetu
@SalMa-bl7ns
@SalMa-bl7ns 3 жыл бұрын
Mashaalla mungu akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha
@عثماننورينالحاتمي
@عثماننورينالحاتمي 12 жыл бұрын
ma-sha allah sheikh wallahi nimeipanda sana hi nakuombeya dua mola akuzidishie ameen
@shakilaramadhani9866
@shakilaramadhani9866 2 жыл бұрын
Mashallah sherkh
@abdullahiabdi5097
@abdullahiabdi5097 11 жыл бұрын
Mungu akulinde na akupe umri uliojaa ucha Mungu ndani yake.....................nakupenda sana kwa ajili ya Allah
@bonituspascal2619
@bonituspascal2619 8 жыл бұрын
Every Muslim should obey the rules and regulation about Qur'an and knows which is bad and good
@joliezainab2076
@joliezainab2076 12 жыл бұрын
mashallah tunashukuru sana mwangazamweupe
@hajimasoud7210
@hajimasoud7210 6 жыл бұрын
shukran sheikh allah akulipe kwa juhudi yako
@swaarajabu4643
@swaarajabu4643 6 жыл бұрын
Jazakallah khaira yaa rabbi tujaalie mwisho mwema ss waja wako pia naomba video kama kuna mja wa Allah aliye nayo
@godfreymkoba885
@godfreymkoba885 9 жыл бұрын
LAITI KAMA MAFUNDISHO HAYA KILA MJA ANAFANYA JITIHADA YA KUYAPATA NAAMIN DUNIA INGEKUWA MAHALI PAZURI PAKUISHI. MUNGU AWABARIKI WOOTE WATOA ELIMU KUPITIA MTANDAO.
@kultychuu
@kultychuu 12 жыл бұрын
Shukran mwangaza mweupe.
@RidhwanAmar
@RidhwanAmar 11 жыл бұрын
Masha'Allah , Jazaka Allahu khayraa
@zahfafakih4835
@zahfafakih4835 11 жыл бұрын
mashallah mawaidha yako univutia xana
@shakilaseif3510
@shakilaseif3510 5 жыл бұрын
Masha allah
@linegreen23
@linegreen23 12 жыл бұрын
Mashaallah Allah Akbar
@daudimukulo5707
@daudimukulo5707 11 жыл бұрын
jazakallah sheikh swadaqta
@samsacute8672
@samsacute8672 6 жыл бұрын
Djazakillah
@fafi9092
@fafi9092 9 жыл бұрын
Roho inaniuma sana
@Athumanful
@Athumanful 11 жыл бұрын
dnt point fingers let Allah have mercy upon him amina
@moussamohammad5073
@moussamohammad5073 8 жыл бұрын
ibrahim mlolwa You don't know what you are talking about
@bandhigajaceylka6821
@bandhigajaceylka6821 8 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته rafiki nataka kui shukisha vidio hii na inakataa
@joliezainab2076
@joliezainab2076 12 жыл бұрын
Assalam alykum mwangazamweupe Mi nina DvD nyingi za Sh nurdin kishki natamani kuziweka kwenye youtube ila sijui nipitie njia gani help m me pls
@swaarajabu4643
@swaarajabu4643 6 жыл бұрын
jolie zainab Naomba unitumie crip hii kama unayo please
@mjatadaffa6999
@mjatadaffa6999 11 жыл бұрын
Jazaka Allah Khair, umenikuna ulipo wauliza wapenda MAULIDI VP kipenzi chao atukanwe wao wakae kimya? wale wasio soma maulidi lakini wamechukizwa na matusi ya mtume vp nyie tuwatafsiri vp? wanafiki? waoga? au mnadhihaki mtume?
@ibrahimmohamed5484
@ibrahimmohamed5484 12 жыл бұрын
Mawaidha kama haya makali ndo yanatufaa waislamu wa sasa, tumelala vya kutosha, tujue kabisa Jihaad inaulazima zama hizi kusimamishwa kuleta heshima yetu Waislamu kurudi, jamani kudhalilishwa sisi kumeonekana hakutoshi sasa wanagusa white house yenyewe, dhulma hii hadi lini waislamu????
@rachelmico3099
@rachelmico3099 6 жыл бұрын
Osama bin laden hajafa na Ni kafiri pia Tena anaishi kwao hao mangurue na mambwa laana za ALLAH zimfikie juu yake.
Sheikh Nurdin Kishk - MATATIZO YA VIJANA KATIKA UISLAMU
1:36:10
shining noor
Рет қаралды 206 М.
Sheikh Nurdin Kishk -   TABIA ZA NWANADAMU KATIKA QUR'AN TUKUFU
1:12:26
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
Tabia Kabla ya Elimu .. Sheikh Hassan Ahmed
9:59
fa2mrisho
Рет қаралды 379
ALAMA AROBAINI ZA WANAFIKI SEHEMU YA KWANZA . SHEIKH KISHK
48:03
Kishki Online TV
Рет қаралды 11 М.
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:45:26
kishki mombasa   ndoa yenye baraka day3 2013 0
1:22:40
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 106 М.
Nurdin Kishki ........Uchawi Na Hukumu Yake Katika Uislamu.
1:22:47
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН