Achaneni na mambo ya tundulisu na mbowe fanyeni kazi zenu
@DausonDidasАй бұрын
Mungu yupo siku mmoja atajibu machuzi ya wenye haki.
@EdwardMhamilaАй бұрын
Amani haipo Tena hapa Tanzania maana utekaji umezidi hasa sehemu chadema
@VenasDaniel-l3lАй бұрын
Hii ndo ccm ya tanzania wanatumia nguvu nyingi nawatu ambao hawana makosa wala silaha yoyote kwani chadema wamekosea wapi na wanatetea wananchi lla ipo siku ccm mtakimbiana tu watanzania tumechoka na tunaona msizani watanzania wajinga
@bernadetamushiАй бұрын
Mungu awalinde viongozi wetu
@NicksonSanga-eq3xgАй бұрын
Mungu hawezi kuwalinda hao ni waharifu
@SamweliZaburi-fk3qjАй бұрын
Mungu yup atakabiliana na hao police
@bernadetamushiАй бұрын
Hii ni album Tanzania. Haijawai tokea
@abdulisikeАй бұрын
Kila siku tunasikia watu wa chadema wakikamatwa mbona ccm hawashikw hivi au wao hawafany mihadhara ? Hawa ccm watajibiwa siku moja
@josephmakutano7067Ай бұрын
Nchihii inaliwa namaccm wanaiba nakufanya maajabu kuhonga mapolisi wote hawa nimadarali wanchihii wafewote wezi wanchihii eemungu tusaidiye
@MkudeSimba-p3fАй бұрын
Jee ule mpango wenu wa kuratibu wanachama wa chadema na wa sio wa chadema umefanikiwa ?jee ni sahihi kuratibu watu wasiohusika na chadema ? Jee wasiokuwa wananachadema wakiratibiwa bila ya matakwa yao watafurahi ? Kwa kiswahili fasaha hili neno kupita nao nini hasa maana yake tafsiri yake nini ?