kumfunga mtu anaetaka kununua nyumba za bei mbaya hivyo ni kumuonea
@zamzamhamisi73327 жыл бұрын
Yani naamini uchizi una matawi mengi
@mabestmabest79067 жыл бұрын
Kama n kiki kajizolea huyu broo
@sajsajabri53577 жыл бұрын
Kabla ya kumfungulia mashtaka hakikisheni kwanza wakati anakata dau alitamka neno miatisa au milioni miatisa. halafu tafuteni ufumbusi wa matamshi. Tazama tofauti hapa 1. 900 2. 900,000 3. 900,000,000 Huyu ni doctor anajua maana ya matamshi yake. Mimi nilivyoona na kumsikia wakati wa bidding hakutamka neno milioni ila alitamka none miatisa itapendeza. Fahamuni tafsiri ya neno. DOCTOR SHIKA HANA HATIA.