Kaka John Kitime, heshima yako. Hongera sana kwa kazi yako iliyotukuka. Tangu ukiwa mwanamuziki na Bendi mbalimbali. Hongera sana kwa Historia hii.
@hassanparamana2215Ай бұрын
Nakumbuka siku moja mshua alituchukua tukaja tancut club hall ofisini pale tukainjoi sana kunywa sana soda na siku nyingine wakina kianga walikuja home tulikuwa tunaishi sehemu moja inaitwa ngomeni karibu na shule ya msingi ngombeni mama aliwapikia ugali nyama hallo hiyo kampuni ilikuwa inajuwa kuwajali wafanyakazi wake kila juma tano sijui Alhamis ile mnaletewa kilo tano za nyama ya ng'ombe mimi baba yngu alikuwa ndio kamanda wa ulinzi yaani (Afisa usalama) tukitokea dar kitengo hicho hicho UDA pia Big up father leo ktk pita pita yngu ndio nimeona hii story love much 👍🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@suleimanjabir8273 ай бұрын
Kaka umenikumbusha mbali,kwani wakati huo nikiwa Sekondari. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na umri mrefu.
@FountainGateFoundation-yo3kc5 ай бұрын
Wekeni youtube album nzima ya Mbuguswa, hakuna sehemu yoyote hizi nyimbo za hiyo album zinapatikana.
@fadhililihinda6491 Жыл бұрын
Asante sana kaka JK, umenikumbusha miaka ya 80 nikiwa nasoma msingi. Maisha marefu kwako bro
@zamaziletanzania Жыл бұрын
NA KWAKO PIA.... MENGI YANAKUJA... ULIKUWA WAPI MIAKA HIYO?
@fadhililihinda6491 Жыл бұрын
@@zamaziletanzania Hapo hapo Iringa mjini lakini nilikua mtoto, nilikua nasoma msingi; moja kati ya ndugu wa mama yangu alikuaga mfanyakazi wa Tancut
@zamaziletanzania Жыл бұрын
@@fadhililihinda6491 usikose kufuatilia
@VictoryLupala Жыл бұрын
M! Nimekubali, Mambo. Ya enzi ni mazuri, happy ni 1990 ktk Mkombozi Express kuripoti F1 Malangali Sec. Wimbo DIMOZO.
@VictoryLupala Жыл бұрын
M! Nimekubali, Mambo. Ya enzi ni mazuri, happy ni 1990 ktk Mkombozi Express kuripoti F1 Malangali Sec. Wimbo DIMOZO.
@Msengesi96 Жыл бұрын
Very nice
@clemencekiwonde304 Жыл бұрын
Tuletee simulizi ya kawalee motomama,nitafurahi sana
@SoFrii Жыл бұрын
Nafuatilia historia hizi adim Dr. Kitime
@zamaziletanzania Жыл бұрын
sina udokta wowote ......mimi mwanamuziki wa kawaida tu...ila nitakuletea historia zaidi
@deobabili4553 Жыл бұрын
Maestro kaka John Kitime🎉🎉 Nakusoma vizuri sana kuhusu Historia ya Bendi maarufu sana ya TANCUT ALMASI... PONGEZI NYINGI SANA KWA KUTUPATIA KUMBUKIZI NZURI 😊 Tuko pamoja sana
@clemencekiwonde304 Жыл бұрын
Hivi Mzee kitime bado upo the Kilimanjaro band?
@zamaziletanzania Жыл бұрын
ndio
@clemencekiwonde304 Жыл бұрын
Tancut almasi,mawele yupo wali siku hizi?
@zamaziletanzania Жыл бұрын
Nadhali una maana Kawele...yupo Uingereza
@chikimchoma2980 Жыл бұрын
Zaidi usiache kutujia watunzi wa kila wimbo utakaowakumbuka ikiwamo na safu ya walioshiriki Mzee