Huyu ndie mwanamuziki ambae ni juu ya wanamuziki wengi
@faidhangaga47574 күн бұрын
❤
@suleimanikirassahassan971115 күн бұрын
Mzee kitime naomba utuletee bendi za tanga five salna brothers na watangatanga band
@abednegomichael-c1n18 күн бұрын
2024❤🔥🔥🔥 listening 🎧
@MussaMapunda-ff1bq18 күн бұрын
Wanted Wanted Shaban Yohana yuko wapi huyo Sololist kazi yake inadumu
@athanaskipeto57221 күн бұрын
Fufua hii bendi wa dau tuta changa kuwezesha
@athanaskipeto57221 күн бұрын
Hii miziki ilikuwa na ujumbe wa kizalendo Bongo freva na kizazi kipya zime letwa kwa ajili ya kuua maadiri ya wa tazania na utamaduni wetu
@GodfreyMwambwalo-ev9nhАй бұрын
Safi sana haya ndio mambo nayoyapenda sana Mwenyezi Mungu akujalie afya njema uendelee kutupa vitu adimu
@hassankombo7759Ай бұрын
Shukran Sana Bw John Kitime...Pia naomba tumjue anapoishi na simu yake tumsalimie...Mkanyia akirejesha hadhi ya DDC Mlimani ...wakati ilipita kwenye Hali ngumu
@hassanparamana2215Ай бұрын
Nakumbuka siku moja mshua alituchukua tukaja tancut club hall ofisini pale tukainjoi sana kunywa sana soda na siku nyingine wakina kianga walikuja home tulikuwa tunaishi sehemu moja inaitwa ngomeni karibu na shule ya msingi ngombeni mama aliwapikia ugali nyama hallo hiyo kampuni ilikuwa inajuwa kuwajali wafanyakazi wake kila juma tano sijui Alhamis ile mnaletewa kilo tano za nyama ya ng'ombe mimi baba yngu alikuwa ndio kamanda wa ulinzi yaani (Afisa usalama) tukitokea dar kitengo hicho hicho UDA pia Big up father leo ktk pita pita yngu ndio nimeona hii story love much 👍🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@mbarakaforogo37192 ай бұрын
Hatari sana
@MaxLupapa2 ай бұрын
Fimbo lugoda
@AnnoyedLimePie-lc5sw2 ай бұрын
Daaah
@zonko04882 ай бұрын
Bro Kitime, wimbo wa Mwaka 64 ambao unazungumzia muungano wa Tannganyikanna Unguja ni utunzi wa nani? Na naupataje?
@othumanlorenzo2602 ай бұрын
waandishi wa ripoti watakaam haswa asee katika uandishi wa taarifa na uelewa wao katika Muziki
@athmanimkangara92902 ай бұрын
Tunafuatilia kwa karibu asante sana
@neemakabale60472 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ Kitime Wapi Upo bro
@neemakabale60472 ай бұрын
Yaaaani Espinosa John Kitime❤❤❤❤❤
@neemakabale60472 ай бұрын
Ni Harare Tupi nalia😅😅😅😅
@Kabeya4103 ай бұрын
Mimi hapo nimeshaoa mwaka 1989 naenda uwanja taifa kuangalia madhindano live tunakaa jukwa la kijani yaani green stand. Lilikua la mbao
@ShukurkollAngel3 ай бұрын
Nakuona Kitime na pembeni yako marehemu Banza Tax katika ubora wenu. Kinye kinye kizonzo... Mangala Dance.
@bobrudala37843 ай бұрын
Asante sana mwalimu Kitime unafanya jambo jema
@oswardosiah27083 ай бұрын
Sauti yake ilivutia sana napenda nyimbo zake zote
@JoshuaKibambe-g1w3 ай бұрын
Vipi unamfaham vipi Ibrahim kibambe alipigia boss,marquee na ddc mm mtoto wake
@aloycempiri41613 ай бұрын
This moment will not be back but it will be remembered by music fans of those days. Thank you Mzee Kitime for reminding us
@LestoMkwama3 ай бұрын
Brother kitime mm ni mwanakihesa naomba wimbo wa HASHIM KASANGA (USINISOGELEE MM SIWEZI KUPIGANA NGUMI NA MWANAMUME WA KWAKO)lakini pia kuna siku uliongerea chikwara chiikwara naikumbuka walikuwa wakitubuiza pale kihesa katika ukumbi wa weekend bar. Hhamkuredi nyimbo sijasikia redioni?Ahsante nakukubari brother kitime.
Remind me back time I was a student in 1988, nice song it teaches and entertain too!
@suleimanjabir8273 ай бұрын
Kaka umenikumbusha mbali,kwani wakati huo nikiwa Sekondari. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na umri mrefu.
@suleimanjabir8273 ай бұрын
Kaka John Kitime, heshima yako. Hongera sana kwa kazi yako iliyotukuka. Tangu ukiwa mwanamuziki na Bendi mbalimbali. Hongera sana kwa Historia hii.
@ewaterservices4024 ай бұрын
Wanamziki hawa ni hazina ya vijana wetu kuiga zephani peter makorongo chemba
@tukaefifi87834 ай бұрын
kitambo iringa hyo
@Ambagaye4 ай бұрын
Huyo mpiga solo kama bado yuko hai ninamtafuta nimpe zawadi yake.
@deobabili45535 ай бұрын
Ni kweli tupu isiyo na upinzani kwamba MARIJANI RAJABU NI JABALI LA MUZIKI WA TANZANIA. Hii ni almasi iliyozizima pamoja na TUNGO MUJARABU, ZENYE MAUDHUI YA HEKIMA KWA JAMII KUSHAMIRI HADI KIZAZI NA VIZAZI VIJAVYO🎉Mola ampe Raha ya Milele. Tungo elfu za Marijani Rajab bado ZINAISHI pamoja na kuwa hakupata HAKI ZAKE STAHIKI ZA MIRABAHA KAMA WALIVYO VIJANA WA BONGO FLAVA
@isihakakikomile85305 ай бұрын
Naomba wimbo wa makassy uitwao KASSIM bwana mubaya
@BarakaWaya5 ай бұрын
Hukuendeleza story kwanini uliondoka Tancut Almas
@FountainGateFoundation-yo3kc5 ай бұрын
Wekeni youtube album nzima ya Mbuguswa, hakuna sehemu yoyote hizi nyimbo za hiyo album zinapatikana.
@jumamarley79645 ай бұрын
Inasikitisha sana kuona kiwanda cha kukata Almasi eti kimefirisika mali zao za mwisho zilipigwa mnada na Yono Auction mart pale Baraza la mitihani ilinisikitisha sana
@jumamarley79645 ай бұрын
Mjomba wangu huyo Did Mseken ndani ya Afro70 hivi huyu Freedom mdogo wake Patric yuko wapi?
@switbertchenya63625 ай бұрын
Mzee Kitime,kwani kwa hakika umenizidi umri japokuwa na mimi ni mzee nimezaliwa mwishoni kabisa mwa 60s. Nimpenzi mkubwa wa muziki na nimekuwa niki kufuatilia sana.Ningependa kukutana nawe Mwezi October mwaka huu.Nitakapokuja likizo nyumbani Tanzania.Ikikupendeza hii ni namba yangu ya simu.Tunaweza kuwasiliana, tubadilishane mawazo
@harunmruma22915 ай бұрын
Gitaa la solo alipiga nani kati ya shaban yohana au kawelee
@NoelLembile5 ай бұрын
Nakumbuka utoto na wazazi wangu. Old is gold
@shabanisudy64935 ай бұрын
Namuona John kitime anaimpiga gitaa la lyizm hapo, duh na ndie kabak tuu na wenzake watatu tuu
@mukrimchonde24395 ай бұрын
Kaka kitime kiswahili unachokionge ni kizuri sana
@YahyaMbega6 ай бұрын
ASANTE KAKA KITINE TAFUTA TOMATOMA, PANASONIKI,UDA, NYANYEMBE NA RANGI YA CHUNGWA
@williamalphonce23206 ай бұрын
Mpiga solo gitaa namba moja Tanzania kwa upande wangu. Apumzike kwa Amani Maestro Supreme Freddie Ndala Kasheba
@fadhililihinda64916 ай бұрын
Ni kweli huyu jamaa alikua anapiga solo guitar lenye nyuzi 12? Nataka kujua uzi No 1 hadi 12 zilikua zina size gani?