Mwasiti Ft Ali Nipishe - Mapito.(Official Video)

  Рет қаралды 285,361

Mwasiti

Mwasiti

Күн бұрын

Artist:Mwasiti Ft Ali Nipishe
Song: Mapito
Dir: Razack 4D

Пікірлер: 151
@edwinkodero229
@edwinkodero229 6 ай бұрын
Who is here in 2024?
@emmanuelmahili3617
@emmanuelmahili3617 6 ай бұрын
Am here❤❤
@joesay2548
@joesay2548 3 ай бұрын
May 2024 present
@zimammtiga5448
@zimammtiga5448 3 жыл бұрын
Tuliousikiliza na kuupenda huu wimbo hd Leo like this comment
@ibrahimmsumi
@ibrahimmsumi 2 ай бұрын
Mwaka Mpya wa Fedha 2024 still naangalia🔥
@chrispinmgina8851
@chrispinmgina8851 Жыл бұрын
This is 2023 still listening to this beautiful song
@annangailo3810
@annangailo3810 Жыл бұрын
Pamoja 2023
@user-lq6kr2gl7n
@user-lq6kr2gl7n 3 ай бұрын
Vya kale dhahabu jamaniii 🥰🥰🥰ki ukweli hii nyimbo inanikumbusha mbali sana hawa watu wako wapiii......!!!?
@FrankEvance
@FrankEvance 8 күн бұрын
Kama unamkubali mwasiti gonga like spa😁😁
@nelweynchriss7977
@nelweynchriss7977 Жыл бұрын
This is 2023 …. Still listening this song akiiii❤❤❤❤❤🔥👌
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Yani Mwasiti anaimba kwakujiachia sana Hana ile kujibanabana hata kidogo mpka Raha jamaniii khaaaa ❤❤❤❤❤❤❤
@aftapat5365
@aftapat5365 4 жыл бұрын
😢😢😢 mwaka wa ine nakaa na huu wimbo hata simu uharibike wakwanza kuchukua nii huu dada heshima na tabia yako nzuri ndio inayofanya usiinuke kwenye mziki huu wa shetani ila ni heshima mbele za Mungu asante
@saadamusa8901
@saadamusa8901 3 жыл бұрын
🙏
@manjeonline1779
@manjeonline1779 3 жыл бұрын
I totally agree with you 🤝
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Nikweli kabsa ✔
@drofinusdissy2043
@drofinusdissy2043 Жыл бұрын
Wimbo huu nasikiliza mpaka sasa I like it ndo ulifanya nafahamu kazi yako
@maryamhilal9820
@maryamhilal9820 Жыл бұрын
Ningeomba mtoe ngoma nyingine sauti ni nzuri sana❤❤
@honeymakeovertzmakeupartis3451
@honeymakeovertzmakeupartis3451 4 жыл бұрын
Awwwww iv hawa wasanii wakowapjaman
@zuriathdasilver810
@zuriathdasilver810 3 жыл бұрын
2021 still looking this😍
@erickmeshac3135
@erickmeshac3135 3 жыл бұрын
Me too
@twinklewilson4792
@twinklewilson4792 3 жыл бұрын
Me too
@sarahkimaro75
@sarahkimaro75 3 жыл бұрын
Am here
@rsl7104
@rsl7104 2 жыл бұрын
💥
@FATMAEMBA
@FATMAEMBA 12 күн бұрын
Old is new hyo pis alikua mwamba❤
@janetswai2670
@janetswai2670 Жыл бұрын
2023 mwasiti I kumbuka ring you ni wapi umepotelea my dear I love this song ❤❤
@lenathawamala1780
@lenathawamala1780 4 жыл бұрын
Jamanii mm nakumbuka mpenzi wangu Alexander 😭😭😭
@paulmboje2677
@paulmboje2677 2 жыл бұрын
Ngonga like kama hii master piece ulisikiliza mwaka 2012
@honeymakeovertzmakeupartis3451
@honeymakeovertzmakeupartis3451 4 жыл бұрын
Huyu dada alkua anaimba vzur sana lakin najiulza mzki wao umeeenda wapi jaman
@tanzaniayetu6973
@tanzaniayetu6973 4 жыл бұрын
2020 gonga like
@fakihisalumu9359
@fakihisalumu9359 4 жыл бұрын
Hapa walikutana mafundi nyimbo nzuri xana
@elizabethmtweve1458
@elizabethmtweve1458 4 жыл бұрын
Hiv yukowp huyu kaka ana sauti na anamatamshi vizuri
@Life_with_Sports
@Life_with_Sports 3 жыл бұрын
anakutamanisha nn
@st.jamese.r6941
@st.jamese.r6941 Ай бұрын
Anaitwa Ally Nipishe akiwa on fire enz hzo
@ouweydalton7732
@ouweydalton7732 4 күн бұрын
mwasiti hana mpinzani
@apollojohn5698
@apollojohn5698 2 жыл бұрын
I love this lady since "Nambie"...Mwasiti popote ulipo💕😘
@Nae5thefixer
@Nae5thefixer Жыл бұрын
she is good on singing
@apollojohn5698
@apollojohn5698 Жыл бұрын
Sure, I guess in everything
@vonnielemie4587
@vonnielemie4587 3 жыл бұрын
2021 naielewa kinyama
@brilliantkoku4657
@brilliantkoku4657 4 жыл бұрын
Ths song is a soul's sweetest. Yani asubuhi ya leo nmeikuta kwa Dala ooh my i'm in good good mood now❤❤
@davidalengairagro7295
@davidalengairagro7295 3 жыл бұрын
Huhu wimbo naupendaga sana mwasiti ❤️
@dakihamaluta4159
@dakihamaluta4159 Жыл бұрын
Nyimbo za zaman walijitahd sana sio hii 2 zpo nying 2 wasanii tofaut
@odingaodinga6631
@odingaodinga6631 Жыл бұрын
Respect you mwasit ni miaka 11 sasa tangu utoe ngoma hii bdo inaishi🙏🤝❤❤
@user-ko9cm6tn6b
@user-ko9cm6tn6b 5 ай бұрын
Ally nipishe upo wapi jaman , natural voice
@peacemahoo5637
@peacemahoo5637 3 жыл бұрын
Gong like tunaojuwa nguv ya hii ngom ndan y hicia zet🙏🙏
@TheDinhoDesign
@TheDinhoDesign 7 жыл бұрын
how comes... nobody listens this sweet song
@MrOmarmack
@MrOmarmack Жыл бұрын
I do. It still sounds like new. Ni wee unaenifanya usingizi nakosaa heee
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 7 ай бұрын
Hawa jamaa wanajua sana kiswahili
@abdillahissa5336
@abdillahissa5336 3 жыл бұрын
Aisee hebu wakongwe rudini kutuimbia mziki mzuri hawa wa siku hizi wanatuzingua
@hashimuharuna9145
@hashimuharuna9145 3 жыл бұрын
Tangu nipo secondary till now sijawah kuichoka❤️❤️❤️
@erickmeshac3135
@erickmeshac3135 3 жыл бұрын
Moyo roho ayayaa,jamani I love it
@erickmeshac3135
@erickmeshac3135 2 жыл бұрын
@Hospitali Tayari wewe Ni shetani ushindwe kwa Jina La YESU na ushoga wako
@rotildacleophace4441
@rotildacleophace4441 Ай бұрын
All nipishe ❤
@user-sb5lk2mg7h
@user-sb5lk2mg7h 10 ай бұрын
Nakumbuka huu wimbo sana alikua anaupenda sana mpenzi wangu Enzi ananipenda namm nilikua sielew akawa ananifikishia ujumbe kwa wimbo huu akika tulipendana sana ❤
@raphaelibrahim8160
@raphaelibrahim8160 3 жыл бұрын
2021 still my favorite song Weka like kama tupo pamoja
@stephanomunishi1973
@stephanomunishi1973 2 жыл бұрын
Oliver mlebele apa naangaalia wimbo wangu enzi izo niko mirongo secondar mwanza, hauchachi au poi
@ramadhanharuna952
@ramadhanharuna952 2 жыл бұрын
Oliver mlebele naangalia 2022 karibuni
@onesmomelamilaizarlaizar7954
@onesmomelamilaizarlaizar7954 6 жыл бұрын
wimbo huu mtaaaam
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Hakuna Sijui kizuchu sijui kinandy sijuii kinini... Kwangu wasanii the best wa kike ni mwasiti, Maua
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
Jamaniii kumbe we upo kama mm aisee yn kiukweli hawa wasanii wakike wasasa hivi hata sina muda wakusikiliza nyimbo zao 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@flova7022
@flova7022 2 ай бұрын
​@@missmwayway4704Acha Tu RIP na dada maunda zoro
@reinfridaxavery9552
@reinfridaxavery9552 2 жыл бұрын
Haunishi hamu huu wimbo
@emmanueljosephmalubanga3846
@emmanueljosephmalubanga3846 Жыл бұрын
Unasikiliza nyimbo haichoshi
@mangipesa1007
@mangipesa1007 4 жыл бұрын
2020 nyimbo iko pous
@onesphoreramazani9434
@onesphoreramazani9434 Жыл бұрын
I'm so proud of this song every day Before I sleeping I listen this song
@onesphoreramazani9434
@onesphoreramazani9434 Жыл бұрын
😘😘
@hariethkijazi2984
@hariethkijazi2984 3 жыл бұрын
2021 Badoo ni mtraaaaaassmu huu wimbo aloooooooh unajua kuimba Dyadya hongera saaana
@user-yv3it1ty4o
@user-yv3it1ty4o 9 ай бұрын
Tuko livee tuko liveeee muda huu na mwasiti kipipiiii❤❤❤😂 mamaeeeee
@TranquilCalmness
@TranquilCalmness 3 ай бұрын
Timeless. June 2024
@Zuulito
@Zuulito Жыл бұрын
Still listening 2022❤😘
@muhammedyussuf8406
@muhammedyussuf8406 Жыл бұрын
2023
@mathahosea6783
@mathahosea6783 10 ай бұрын
Huu wimbo daah ninaupenda sanaaa huyu Ally Yuko wap na mwasit sijui nae Yuko wap
@janethzacharia7967
@janethzacharia7967 Жыл бұрын
Iko poa
@germanamushi5522
@germanamushi5522 2 жыл бұрын
daaaaaah mpk sasa2022 nimoto
@user-yt5wl6bi4i
@user-yt5wl6bi4i 29 күн бұрын
❤🔥🔥🔥🔥🙌👏👏👏
@elibarikimuchuno2106
@elibarikimuchuno2106 3 жыл бұрын
Huyu Dada arudije kwenye game maana anakitu fulan@adimu***🗣👍🏾
@elibarikimuchuno2106
@elibarikimuchuno2106 3 жыл бұрын
Shida nini
@elibarikimuchuno2106
@elibarikimuchuno2106 3 жыл бұрын
Shida nini
@josephwandiba-ke3sm
@josephwandiba-ke3sm 11 ай бұрын
Ally nipishe hivi huyu mwamba yupo wapi
@abdillahissa5336
@abdillahissa5336 3 жыл бұрын
A song that you can dedicate to someone,so so sweet song
@reinfridaxavery9552
@reinfridaxavery9552 3 жыл бұрын
Huu wimbo haunikinai hata!
@FimboCastory-nb9we
@FimboCastory-nb9we Жыл бұрын
Hongera sana hii 2023, Bado unavutia sana💓💓
@ashaelias
@ashaelias 6 ай бұрын
Ma favorite song🎉
@user-gv5jv6zn1c
@user-gv5jv6zn1c 10 ай бұрын
Umepolea wap Dada unapoteza kipaji chako❤❤❤❤❤sanaaa
@victorvenance5820
@victorvenance5820 Жыл бұрын
This is the song
@mosesgichanga2698
@mosesgichanga2698 Жыл бұрын
Addicted to this song
@judithpeter521
@judithpeter521 2 ай бұрын
Mwaaaa
@ednapeter2002
@ednapeter2002 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana huu basi tu
@saadamusa8901
@saadamusa8901 3 жыл бұрын
Waooooo!!!!!!
@FimboCastory-nb9we
@FimboCastory-nb9we Жыл бұрын
Pongezi nyingi sana wimbo umetulia
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 Жыл бұрын
Wengine enzi hizo tulikuwa hatuna hata sm janja
@BGHaule
@BGHaule 3 жыл бұрын
Ally Nipishe kapotelea wapi jamaa aliwa ana vibe lake,
@successfullyhalisi2250
@successfullyhalisi2250 2 жыл бұрын
2022 still looking this🥰🥰🥰
@oliverjulias2994
@oliverjulias2994 3 жыл бұрын
Wimbo niupendao kuimba
@dianadaudi1184
@dianadaudi1184 Жыл бұрын
Waooo I don't believe om here again 😮
@aboukillo1734
@aboukillo1734 9 ай бұрын
Lov my sis mwasit,Alli ur real vocalist ❤❤
@teddymbonya9955
@teddymbonya9955 Жыл бұрын
❤❤😊
@dulahblack8192
@dulahblack8192 2 жыл бұрын
Yupo wapi Ali nipeshe jamaa nilikuwa namkubali sna
@beatriceabraham6031
@beatriceabraham6031 2 жыл бұрын
2022 still rocking
@MrOmarmack
@MrOmarmack Жыл бұрын
Kweli Beatrice hapa naisikiliza tena 27 Dec 2022
@MrOmarmack
@MrOmarmack Жыл бұрын
Sikiliza na ile ya Ally Nipishe - inaitwa My
@MrOmarmack
@MrOmarmack Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rnmZdmpjbJqIh9E
@chamlola2111
@chamlola2111 Жыл бұрын
2022 december still looking this
@jacksonshilingi1374
@jacksonshilingi1374 3 жыл бұрын
Waha waxuri lakin
@janethzacharia7967
@janethzacharia7967 Жыл бұрын
Nzuri saaana ❤️❤️❤️
@juxmontana8901
@juxmontana8901 2 жыл бұрын
Naupenda sana wimbo huu sana
@BGHaule
@BGHaule 3 жыл бұрын
Jamaa akiibuka hata Sasa hivi akapata menejiment anaweza kutusua sana,hiki ni kipaji kilichojificha
@samiamsuya9159
@samiamsuya9159 3 жыл бұрын
2021 gonga lk bas
@user-sb2vv5yh4q
@user-sb2vv5yh4q 4 ай бұрын
❤❤❤
@budaboss8109
@budaboss8109 Жыл бұрын
Kigoma 4 life
@onesmomelamilaizarlaizar7954
@onesmomelamilaizarlaizar7954 6 жыл бұрын
gudaaa sanaaaa mmmmmm
@bellogregory7175
@bellogregory7175 2 жыл бұрын
2022😘✌🏿
@user-qq5yp1zm4f
@user-qq5yp1zm4f 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@maishamussa3004
@maishamussa3004 10 ай бұрын
Ni we unanifanya usingizi nakosa niwe unanifanya nashindwa kulala
@asnathkatherine
@asnathkatherine Жыл бұрын
Anyone 2023?
@salimomary2736
@salimomary2736 Жыл бұрын
Came back to this master piece 🙌
@consolathmamuku2414
@consolathmamuku2414 3 жыл бұрын
2021 I love you guys
@khalfanhassan7715
@khalfanhassan7715 2 жыл бұрын
Favorite song
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@abdillaahirichardkasisi8691
@abdillaahirichardkasisi8691 3 жыл бұрын
2021 best guiness
@EliaikaWilhelm
@EliaikaWilhelm 5 ай бұрын
2024 where are you
@SalehSuleimani
@SalehSuleimani Жыл бұрын
Dada respect sana❤❤❤
@anitababy268
@anitababy268 4 жыл бұрын
Enzi hizo na donasian chirimi huniambii kitu 😂😂😍
@divanahsalcy8115
@divanahsalcy8115 3 жыл бұрын
Nakuskiliza HP like this song
@rev.jamesmwakyembe74
@rev.jamesmwakyembe74 4 жыл бұрын
wapi dada yangu Mwasiti, achilia hata song moja tu niridhike mie
@user-gv5jv6zn1c
@user-gv5jv6zn1c 10 ай бұрын
🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@pudencianamlewa6486
@pudencianamlewa6486 3 жыл бұрын
Hii nyimbo kiboka kabisa
@rahuumkiwendu9582
@rahuumkiwendu9582 Жыл бұрын
8/10/2022 ♥️
Mwasiti- Nalivua Pendo (Official Video)
6:15
Mwasiti
Рет қаралды 306 М.
Mwasiti  - Serebuka
4:31
Mwasiti
Рет қаралды 60 М.
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
Mtima wangu (feat. Amini & linah)
4:31
Bellsharo - Topic
Рет қаралды 3,7 М.
Juliana Kanyomozi - Usiende Mbali (feat. Bushoke) [Official Music Video]
4:36
Juliana Kanyomozi
Рет қаралды 10 МЛН
Recho-Nashukuru umerudi
3:55
Eric Gabriel
Рет қаралды 77 М.
Lameck Ditto - Tushukuru kwa Yote  (Official Video)
3:37
LameckDitto
Рет қаралды 291 М.
VUMI -Tatizo Umaskini
6:24
Mziiki
Рет қаралды 468 М.
Ally Nipishe - My
4:11
tzmoviestars
Рет қаралды 180 М.
RECHO - NASHUKURU UMERUDI OFFICIAL VIDEO....
3:59
Neyonce Mussa
Рет қаралды 314 М.
Baraka The Prince - Siwezi (Official Video) SMS SKIZA 7637224 to 811
4:24
Barakah The Prince
Рет қаралды 2,9 МЛН
Suma Lee-Hakunaga HQ
4:25
fahmi salum
Рет қаралды 278 М.
Lameck Ditto - Moyo Sukuma damu (Official Video)
3:51
LameckDitto
Рет қаралды 4,4 МЛН
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2 МЛН