Kiukweli huu ni mtihani mzito kwetu abiria ukichunguza vizuri mwendo kasi bado aijatatua changamoto ya usafiri kwa sababu mabasi yanajaza kupita kiasi leo hii tuombe dua isitokee ajali ikitokea ni balaa,mradi mzuri lakini uwendeshaji ndio matatizo tumetoka kwenye kero ya foleni sasa kero ya kukaa vituoni na kuminyana kwenye basi.
@mjombamalaki20256 жыл бұрын
Hapo najuawa mnaibiana kishenzi .
@ernestsinje95326 жыл бұрын
Serikali ya awamu hii inavituko kweli ,yaani kila siku vituko kha!kweli HAPA KAZI TU hah hah eeeehe!
@kabisadu85416 жыл бұрын
Huyo kamanda nae jipu kaambiwa kero ya watu ni uhaba wa mabasi na kutosimama kila kituo yeye anasema atashulikia tatizo la speed km 16/hr hiyo nn sasa??? dah watz jaman
@edwardgwaspika49436 жыл бұрын
Mwendokasi lazima waelewe si wrote wanaupenda mradi wao kuna wengine daladala zao zimepaki wamechukia penginge baadhi yao no hao madereva was mwendo kasi kwahigo wawe na chombo cha kuangalia tabia za watendaji wake ili wapate watu ambao wanafaa kuendesha mradi mradi no mzuri unatakiwa ulindwe kwa nguvu zote...!
@salummuhija44356 жыл бұрын
Mwendo kasi wa km 65 kwa saa mi sioni kama ni tatizo hapo, tatizo magari yako wapi mbona hayapishani kwa wakati abiria mpaka wanajaa vituoni kiasi hicho
@cnc57556 жыл бұрын
Ongezeni mabasi kwenye iyo route kama ina watu wengi sasa polis inawaza kukamata anayezidi spidi60
@cnc57556 жыл бұрын
@Gideon Mclaughlin kazi ndogo sana lakini inawashinda yaani mtu unatamani we ndio uwe raisi unyooshe kila sekta tunazingua sana mali za nchi inashikilia serikali lakini miaka nenda rudi nchi inafanana vile vile yaani hawaji update
@yakwetutv85256 жыл бұрын
Atari sana
@ahmadmohammed95586 жыл бұрын
Shida cyo udart Kama mabasi yapo bandarini toka mwezi wa 3 mabasi 70 tena yote ni Yale marefu so tujiulize yamekwamishwa na nn Yale mabasi
@mamohamed59146 жыл бұрын
kwakweli no kero saana
@ramanhoibrahim33836 жыл бұрын
Mabasi nayachukia haya...basi hapo wangeambiwa mbunge au diwani anajiuzulu basi mara moja wameshajazana
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Kama mradi umewashinda bac ruhusuni daladala ili ziwasaidie Wananchi.
@antonyvallerian17186 жыл бұрын
Wanadharau sana mimi nilipigana nao last time kwa upuuzi wao
@kakamkubwakabwe30636 жыл бұрын
Napendekeza daladala zipite kwenye hiyo njia ya mabasi yaendayo haraka ziweze kutoa huduma Udart wameshindwa
@mnzavachris54236 жыл бұрын
awamu ya 5 wapi mko hapa??
@trophainamagogwa95906 жыл бұрын
Tanzania bado kabisa
@asifiwediodos13285 жыл бұрын
hana jibu huyo speed hata wangekimbia speed mia tatizo ujazo
@HAFTVc16 жыл бұрын
KAMANDA WANGU UJAJIBU NINI UTAFANYA UNAONGELEA SPEED BADALA YA KUONGELEA NI NAMNA GAANI MAGARI YANAYOPAKI MULE NDANI YATOKE WATU WAPATE USAFIRI KAMANDA UNAONGELA SPEED
@lilygracexx19756 жыл бұрын
Waafrica kitu chochote kizuri tunakiuwa!
@zobakazizi76376 жыл бұрын
Watanzania wachache ni shida. Wanabana magari maksudi.
@andreasulle94456 жыл бұрын
kuwepo na ushindani mwingine, hawo ni monopoli ndo maana hawajali
@erickkihuru45296 жыл бұрын
Hapo utasikia rais tatua tatizo pole mh.rais kwa majukumu unayopewa
@nafisamohamad31826 жыл бұрын
Kwani daladala zimepigwa marufuku huko tz zisifanye kazi ispokua mabasi tu? Maana kenya zipo sana daladala na hatupati shida kama ivo, jamani muombe serikali iwarudishieni hizo daladala bc ili musiendelee kusumbuka.
@jonasseveline6346 жыл бұрын
wamechemsha
@yohanandalahwa9836 жыл бұрын
Kwani tatizo ni speed?? Ningekuwa na sahihisha mtihani halafu mwanafunzi akajibu hivyo,sipotezi muda namwandikia maneno mawili tu# OP
@mamahustru6 жыл бұрын
Azam mlitakiwa kuwahoji uDart na waziri mwenye dhamana kwanini wanauua mradi.
@mnzavachris54236 жыл бұрын
Moyosafi kaka mradi ulishakufa kabla hujaletwa uraiani..
@rahimaaaaa86996 жыл бұрын
Wewe kamanda kilometa 50. Kwa saa vinahusiana nini na ukosefu wa mabasi ha ha ha
@estherkhotencia22326 жыл бұрын
Magufuli hajalions hili aisee maana kubadili mawazo huwa hachelewi yule mzee nadhani mwendikas mjiandae kisaikolojia mzee baba akilisikia hili cdhan kama mtaendelea na uo mradi
@salmaothman1536 жыл бұрын
Jpm ebu tatua tatizo hiloo
@doreenkanje77176 жыл бұрын
Ttz uongoz mbaya ths why umasikin hutokaa uishe Tz igen hta kutoka mataifa mengne bas.
@emmanueltarimo8926 жыл бұрын
Mpaka magufuli aje kwa,kushtukiza hapo.mwendokasi ni,jipu .
@josej98886 жыл бұрын
Hiyo yakivukoni ndo kabisa usiseme, hawajari kama bus limejaa au laha, hewa hakuna AC haziwashwi, hujaingia ndani dereva kashabana mlango, nawanaopata shida zaidi niwalemavu, haina tofauti na daradara zambagala.
@mnzavachris54236 жыл бұрын
James Joseph Katunzi kaka mbagala siku hzi wala bata.,sie wa GOMS~gongo la mboto ndo hatuna msemaji uko ndo twapigwa nyundo tu. Ila kiujumla ni hatr kwa sote hasa.
@abuuissa16426 жыл бұрын
Nani alisema yana AC?
@mosengunda91676 жыл бұрын
Ha ha ha ha kumbe kuna AC kwenye mwendo kasi....
@josej98886 жыл бұрын
Moss? AC yenye feny
@hamadshein9356 жыл бұрын
Maendeleo.
@hustlerdunga90986 жыл бұрын
Serikali hii. Magu ebu angalia huku
@adiliissa49836 жыл бұрын
Halihii inatakiwa mamlaka husika walishuhulikie nihtali sana
@mnzavachris54236 жыл бұрын
Adili Issa mamlaka zipi wakusudia
@hustlerdunga90986 жыл бұрын
Kamanda linakuhusu hilo usiende kulala magufuli anakuona na mambo yabadilike
@edwinalexander11706 жыл бұрын
Hiyo ndo bongo
@jeanclaudeilungamaweja18356 жыл бұрын
wanazingua
@jeanclaudeilungamaweja18356 жыл бұрын
unafika stendi unakuta gari imepaki pembeni wanasubiria watu wajae kituoni harafu ndo watu waanze kugombania
@jeanclaudeilungamaweja18356 жыл бұрын
hao wa miliki wamekiuka Shelia za mwendo kasi shelia inabidi deleva akifika stendi kama ni kituo cha kugeuzia apaki stendi huku abiria wakiingia taratibu hadi garinyingine ifike
@kijengichani76566 жыл бұрын
Viongozi wanakula baba acha tufundishwe maisha mbezi & k/koo kutoka mia 650 mpaka 1050 natupo kimya amakweli mlo mmoja unakuhusu ili upate nauli mwendo kasi mungu anawaona nyie kuleni iposiku jasho lawatanzania litageuka machozi kwenu
@badenbensoni75166 жыл бұрын
Hii biashara wapewe watu binafsi.
@linusmakoti81036 жыл бұрын
baden bensoni selikari ya viwanda
@jumasaid88926 жыл бұрын
Kwann wanang'ang'ania kuishi mjini si warud kijijin kwan wanaoishi kijijin wajinga?