#TheStoryBook #SodomaNaGomorrah Hadithi kamili ya kisa cha Mji wa Washenzi Sodoma na Gomora, na jinsi Mungu alivyouangamiza.
Пікірлер: 1 900
@willygraphics3605 жыл бұрын
Nimependa sana hii episode. Inafundisha *MUNGU BABA hadhihakiwi yeye ndiye mwenye nguvu, uweza na mamlaka kuliko chochote wala yeyote* 👏👏
@abuuhemed483 жыл бұрын
Quranshehminshaw
@emmanuelmbelele89543 жыл бұрын
🙏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏
@jamesonkabage28872 жыл бұрын
P
@dibah6133 жыл бұрын
Wah mungu atuepushe mbali na moovu..shetani mbaya...Mshahara wa dhambi ni mauti..Ni vyema kutenda mema na kumwogopa/mcha mungu...mungu anapenda watoto wake bali afurahii maovu ni dhambi
@jugerulikira16984 жыл бұрын
*Akisha uta kuta mtu anasema eti Mungu ayupo🤔 kama wewe una amini kama Mungu yupo gonga like tujuwana*
@buyiyichangesdeus9174 жыл бұрын
Amen
@saidikhalfani83733 жыл бұрын
Mungu yupo
@matumoomari18123 жыл бұрын
Allah yupo na hukumu ipo waache tu waendelee kukufuru
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@suzanjohn45912 жыл бұрын
Amen.
@LizzieJoyce-g3f21 күн бұрын
Daaaaah! Mungu atuepushe na hiyo life style sodoma na gomora katika dunia hii ya Leo.......... plz like hapa kama una amini😭🙏
@saraholuche11173 жыл бұрын
Amen, imenikumbusha ya kwamba, mungu huchukizwa sana, wakati ambapo, binadamu hukosa, kutii neno lake, na kutenda jinsi ambavyo anataka, jameeni dhambi ni mbaya, na pia inamkasirisha mungu wetu
@tanephatanzania53562 жыл бұрын
Ameen
@KaxtulBernadoayta11 ай бұрын
Tuach mapenz ya jinsia mmoja
@atusamwely77715 жыл бұрын
Ata siku moja usiruhusu hasira ya bwana ikawaka juu yako .. Mungu atuhurumiee😥😥😥😥
@UfunuoSt2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@yusuphmohamed52972 жыл бұрын
Nikweli tuzidi kumuomba mungu natujitaidi kukemea mabaya ata kwakuchukulia Shelia Kali unimtian
@PatrickKyaluzi8 ай бұрын
Amen
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
Shukran sana kwa Maelezo, Nimejuwa Nini Maana Ya Sodama na Gomora.lnna lillahy wa inna illayhi Rajioun, Msiba Mkubwa.
@emmanuelmbelele89543 жыл бұрын
🙏🙏🙏💞
@UfunuoSt2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@PeterJulius-ej4lu9 ай бұрын
Mungu ni mungu pekee tuomben mwisho uwe mwema amèeen ❤pia ishaalaaa
@eneolatukio84935 жыл бұрын
Daah mtangazaji God bless you! Very nice voice na presentation!! Asante kwa kutukumbusha Sodoma na Gomora walivoteketea
@queenstarboy18235 жыл бұрын
Daaaah uyu mkaka ana sauti nzuri hatr yan imetulia hongera kaka
@gullaalex65905 жыл бұрын
Hakika umezid kuniongezea Iman yangu nizid kuomba mungu ktk kila jambo, kweli mungu yup na anaona
@jenifaaloyce69105 жыл бұрын
Ameni
@anthaall45825 жыл бұрын
MUNGU Yuko wanaofaa yakwawo wanajuwa jicorake hariko juuyawo tujirekebishe
@lightnessshayo17834 жыл бұрын
Kabisaaa M MUNGU NDO KILA KITU
@abdulimatimbwa31904 жыл бұрын
Shangwe
@christophewilondja37363 жыл бұрын
Luk 19:2_5
@floramacheva58552 жыл бұрын
Waah 😭 Yesu kristo, utuokoe maana Wana wetu wanaishi haya maisha ya hiki KIZAZI Cha sadoma na komora, 😭😭😭uturehemu Mungu wetu
@whitetigerprincy58829 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@swahiliandculture65995 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa uchambuzi huu wewe ni Mjumbe wa Mungu... umeileta Sauti ya Mungu kama ilivyo... mwenye sikio na asikie Roho wa Mungu anena na watu wake.....ni kweli ushoga sasa unapamba moto... Mungu atusaidie na kutuokoa na vizazi vyetu. BARIKIWA SANA MTU WA MUNGU.
@khamismohamed31002 жыл бұрын
Ccpco jhcohvcppv cc. 😊😶😪✨😜💖😚🍏😄😙😶😙😚🙂😙😙😙😙✨✨😜😄💖💖💖💖😙😋😋😋😶😙😶😙😘🙂😙😚✨🙂💖💖😄😙😄😁😄😄😇😘😘😚😁✨🍎🍎🙂🙂😙😚😙😄😙😄😄😙😙😙😇😇😇😇😇😙😙😚😙😋😱✨😁😁✨✨😊😊✨✨✨😄💕😊💕✨💕😄😊✨✨😁😊✨😪😄😪🍏😄😋🤣😇😁😄💕💕😁💕😄😁😁😄✨😄✨
@UfunuoSt2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@msafirimoses8815 Жыл бұрын
Amini
@RUBENOTIENO-bh8yo Жыл бұрын
so good muendele hivyo hivyo tu hadi watu waone wana tenda thambi mbele za muenyezi mungu asanteni wasafi muendelee 😊
@rubylifestyle74635 жыл бұрын
wangapi huwa wanasubiri the story book like hapa tujuane😍🥂
@extraordinaryfacts71995 жыл бұрын
Sanaa
@injiniastudios5 жыл бұрын
Yes
@stephenandayi11195 жыл бұрын
Mimi hapa,
@marzymarcy965 жыл бұрын
Yes
@deogratiousmbilinyi95755 жыл бұрын
Mambo
@stephanoelphas42782 жыл бұрын
Amen,tumesikia sauti ya Mungu kupitia sodoma na gomora,Jiji huu ulipigwa kwa sababu ya Dhambi,Amen🚌🎺🎸🎤🎻🏍👏👍👋🙏🍉🍌🍎☝👍🏆🎯🎹🎷🎧👾🎗🇹🇿🚗🚕🌦🔥🌪🌞🙏🙏
@bossshilla35965 жыл бұрын
Unajua sana Mtiga. Mungu atupe macho ya kuona!
@faimagulam91422 жыл бұрын
Amen,,,Mungu yupo hakika nahukum ipo
@latifahjanja66795 жыл бұрын
Hz story zinafundisha pia zinarefresh mind big up sana wasafi na the story book
@hawaswalehe7660Ай бұрын
Mwenyezimungu akubariki unakuza Imani za wengi🙏Allahu Akbar
@gracefabian61145 жыл бұрын
Story imechelewaaa banaaa😭😭😭 Mtigaaa fanyaa kuwaishaa kdg aiseeh
@user-vt5ug9uu7y4 ай бұрын
Kama wewe unaamini mungu yupo ngoga like zangu hapa
@obagoabhiathan35655 жыл бұрын
Daaah! Mungu atuepushe na hiyo life style sodoma na gomora katika dunia hii ya Leo..... Plz like hapa kama una amini
@youngweezy38465 жыл бұрын
Sebastian Abhiathan ndo tunakoelekea sasa
@micamathew64335 жыл бұрын
Ombea mataifa haya, wala usitake like, simama mbele za Mungu, Bwana Yesu ili akuokoe na atuokoe sisi kwa ujumla. Ombea mataifa yote, usitake like. Itakusaidia nini??
@joycechaz28405 жыл бұрын
Dah kumbe mashoga walikuwepo tangu enzi hizo!!! Mungu tusaidie
@micamathew64335 жыл бұрын
@@joycechaz2840 iko hivi: vyote uonavyo ktk sasa, vilishakuwepo tangu zama za zamani sana. Hakuna jipya. Kinachotakiwa ni kwamba, msilale usingizi wa kiroho. Soma1Wathesalonike5:6. Kisha umalizie kwa kusoma Yohana15: 7.
@micamathew64335 жыл бұрын
@@joycechaz2840 hakikisha unayasoma hizo mstari, kisha niambie maana kuna vingi nataka kukueleza.
@martinaelia17683 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NINAKUOMBA UNIUPUSHE NA KIZAZ HIKI CHA LAANA JALIA FAMILY YANGU IWE YENYE KUKUJUA WEWE NA KUJIFUNZA NENO LAKO KTK MAISHA HAYA YA DUNIANI, AMEEEN👏👏👏👏👏👏👏
@zechyulewagreenapple57055 жыл бұрын
One love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@danielsaimon47185 жыл бұрын
198004141412500005.
@chief21773 жыл бұрын
Tuko pamoja
@UfunuoSt2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@UfunuoSt2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@veronicaamela34793 жыл бұрын
Mungu anifungue kwa magojwa pia awafungulie watoto wangu kazi
@Emilia-w6v5 жыл бұрын
I wish we could download and watch it offline sometimes when we less busy. I love it
@wilsonkarisa5029 Жыл бұрын
Sodoma na Gomora
@mohamedkagoma70664 жыл бұрын
Subhanallah zama ndo hizi tulokua nazo sasahivi yarabi tunusuru wajawako tunusulie watotowetuh duh had I naogopa maana dunia sasahivi imejaaa kila aina ya ovu
@sudymalema23135 жыл бұрын
Haya ndoo yapo sasa mungu yatupasa tumuombe mungu atunusulu🙏🙏🙏
@tonijr82295 жыл бұрын
Sudy Malema a wapi saiv mbna Hamna uovu mzeee .....fuatilia vzr ishu ya sodoma na gomora ndo utaona saiv Hamna dhambi .....we fikiriw hadi Mungu alishindwa kuvumilia sio poa
@jamessuka58455 жыл бұрын
anina
@snoda80565 жыл бұрын
@Sudi Malema, Umesema Kauli thabiti
@zedfahmomyy88094 жыл бұрын
Amein
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Amen 😭😭😭
@titreevents87905 жыл бұрын
Story zako nzuri sana kila mtu anazipenda sasa tunasubilia naya SAMSON
@plantp.o18235 жыл бұрын
DUUUH AYSEE MPAKA NMESHIKWA NA IMANI NA KUONA BORA 2RUDI KWA MUNGU JAMAN GUYS 2TUBU DHAMBI ZETU😢😢😢
@augustinomlowe80595 жыл бұрын
Na wewe huwa unakula boga
@plantp.o18235 жыл бұрын
Me silagi lakini ni mwenye dhamb pia
@gabrielkabuka47125 жыл бұрын
Kula boga ndo nini
@ramadhanimwanyumba29555 жыл бұрын
@dogo leo jifunze kuandika vizuri, hata kuandika vibaya wakati unaweza kuandika pia ni UHUNI
@plantp.o18235 жыл бұрын
Ramadhani Mwanyumba nifundishe kuandika mkuu😐😐
@barakabakari83344 жыл бұрын
Kisa hikinatufundisha mambo mambo mazuri sana tumche rabuka
@rukiapatrick33765 жыл бұрын
Tunae mkubali abdallah mtiga hapa tucoment na kulike hapa 👊👊👊👊
@longidastephen92794 жыл бұрын
Mtiga abdalah tunaomba urudi uwendelee na simulizi hizi,kuna mtu amekuja kwenye nafasi yako haiwezi kbs hana sauti ya simulizi na msisimko wa simulizi!kwaujumla wakurudishie nafasi yako maana unaiweza vyema 100%
@josephbalayata45064 жыл бұрын
Toka jamaa aondoke stoory book at a aipandi walanini
@magrethlugiana79804 жыл бұрын
Yeah up
@asiaissa9764 жыл бұрын
Asante sana ndugu mungu atunusuru na tabiya chafu amiin
@twalibabdulkarim64635 жыл бұрын
ALLAH NI MKUBWA SANA......TUMUABUDU YEYE TUU...WALA TUSIMSHIRIKISHE NA VIUMBE WAKE...NA HAKIKA YA MUHAMMAD NI MTUME WAKE
@lusekelomwinsasu3185 жыл бұрын
Huyo allah ni nani? Maana hapo anaongelewa Mungu ambaye ni Jehova wewe unasema allah mkubwa ametoka wapi hapo?
@hemedramadhani79465 жыл бұрын
Ipo siku tu utamjua Allah ninani
@CizaDangote5 жыл бұрын
@@hemedramadhani7946 mwambie uyo mjinga
@canibalgazaboy83255 жыл бұрын
@@lusekelomwinsasu318 atakuwa ni Mungu wa waislama ndugu Kama ilivokuwa Mungu baali ko Kuna Mungu wengi ila sisi wakristo tunamjua Mungu wetu na sifa zake hazifanani na za Mungu Allah muongo.
@fatmafeisal4425 жыл бұрын
@@canibalgazaboy8325 Hamna mungu wa waislam wala wa wakristo mungu ni mmoja ni ndio Allah s.w. na ndio mungu wa kila kitu ulimwenguni na mbinguni na hana mshirika wala msaidizi wa aina yeyote.
@bakitakasanga18982 жыл бұрын
Utuhurumie ee mungu sisi Ni wenye zambi utuepushe na adhabu Kali Kama uliyo wapa sodoma na gomola utuepushe na mabaya ee bwana mungu wetu mungu akupe maisha marefu wew uliye jitolea kwa moyo wako kutoa simulizi hii mungu utarehem sis Ni Wana wako utuepushe na mabaya amen
@nyatindwagerald46075 жыл бұрын
Hapa lazima ujifunze kitu kwenye hii story Asante Mtiga
@SammyNjorogeVisionary5 жыл бұрын
To be honest I like the voice of this man
@mudrick_3 жыл бұрын
Nice
@fatumaabdallah5665 жыл бұрын
Naomba kwa Allah anitwae mimi na kizaz changu kabla iyo laana haijamkinai🙏🙏🙏
@dunduumaster48155 жыл бұрын
Kama huamini katika Kristo wembe ni ule ule
@fatumaabdallah5665 жыл бұрын
@@dunduumaster4815 jidanganye ivyoivyo huna ulijualo hata kuhusu uyo kristo😎
@iffahbahet14995 жыл бұрын
Allah atakuhifadhi kwa unaloliomba kwake inshaallah
@iffahbahet14995 жыл бұрын
@@dunduumaster4815 Wewe subiri utakapo ufahamu ukweli utajuta sana
@jafariomary7455 жыл бұрын
Fatuma Abdallah maneno yakwajwakwambiwabiwa
@Mammy-eq7efАй бұрын
Tuombe mungu atupee mwisho mwema😢😢 mm naamini mungu yuko naatabaki kua mungu milele Amen🙏🙏🙏
@dottosebastianophilipo26934 жыл бұрын
Story hii nairudia mara kwa mara coz ninajifunza kitu kikubwaa saana be blessed
@NkandafranscJoseph26 күн бұрын
Asante sana kwa ujumbe huuu mungu akubariki sana amina
@HABIBULLAH-nd9ft5 жыл бұрын
Inapendeza sana kwa msuliaji mwenye shauku na hisia kama hii kusikilia historian za ukweli wa vitabu vya dini EUNDELEE HIVYO EWE MTIGA ABDALLAH.
@christonchristian7448 Жыл бұрын
#ewe MTIGA ABDALLAH
@Jamie-292 Жыл бұрын
Yu, have, to know about God bcoz wengi, wenu, you want to blike, at, that time
@NiceErasto-ni8wi10 ай бұрын
Thank you God bless my family 🙏🙏💞💓🙏🙏🙏
@fatumamkuzi14753 жыл бұрын
Mungu tumbe mwisho mwema Amiin yarabb 🤲🤲
@carlosroomd Жыл бұрын
Asante sana kwa kutuonyesha mahajabu ya mungu❤❤❤❤
@estheronyoro14525 жыл бұрын
Sauti yako iko poa kwakusimulia story 🔥🔥🔥👍
@الال-ب4ع2 жыл бұрын
Amen tumepaza na tumeskia sauti ya mungu kitokana na hadithi hii.Tuache dhambi na tutubu.
@aminihaji48565 жыл бұрын
Allah atuepushe na uchafu huu pamoja na vizazi vyetu
@stevohjohn15695 жыл бұрын
Sauti tamu...story tamu....more love from +254🔥
@joharhamisi91405 жыл бұрын
Subbuhana allah allah atupe mwisho mwema amin
@nawihadj66745 жыл бұрын
Jina la Mungu andika kwa herufi kubwa
@VerifiedComment5 жыл бұрын
@@nawihadj6674 allah sio Mungu.
@snoda80565 жыл бұрын
Aamin Yaarabul Aa'lamin
@mudkhamis30785 жыл бұрын
Aamin
@mshedyjr4605 жыл бұрын
Amin
@neemagabrieli-ff4mq Жыл бұрын
Mungu ni mwenye huruma sana wangetubu huenda wangesamehewa hata sasa tunaitaji kutubu sana maana pia huku wapo wengi sana tunahitaji kutubu juu sahii ni nyakati za mwisho
@anonymouslyhidden955 жыл бұрын
Ee bwanaee ulete world war much love from Kenya please kama mnaungana nami jamani Like waonee
@fredkangethe74973 жыл бұрын
Bruno Niko hapa Makindu
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@lyneetengeresa9135Ай бұрын
Hiyo world war utaeza kuistahimili zahma na athari yake ..
@bonkeasher3193 жыл бұрын
Been following the Story Book, indeed I am leaning alot.
@sashaaishajamani19795 жыл бұрын
Anhansante Kwa story nzuri mungu atufanyie wepes yasijirudie tena all the best kaka
@iammusic34045 жыл бұрын
Wasafi media is the best indeed! 😍😍😍😍😍
@UfunuoSt2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@joxiahmendez13255 жыл бұрын
Kama unaamini akina Amberuty na bobyrisk walitoroka kutoka Sodoma na Gomora weka likes!....
@صخرهثابته5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@billylovebilly94185 жыл бұрын
Hahahaha akini mecheka atariiii
@nadyakisho8115 жыл бұрын
😀😀😀😀Duuuuu
@timotheomassawe11025 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@timotheomassawe11025 жыл бұрын
Warudi huko wasijetuletea kisanga
@oscarmosha3833 жыл бұрын
mungu atuhurumie kizazi chaleo kimejaa uchafu na laana
@hadijambwan80925 жыл бұрын
Kam hii story imekushtua gonga like twend saw
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Haipo kwenye Kuruhani kwani? Maana ipo kwenye biblia
@rashidambari34685 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 ipo lakini kwenye Quran inahadithiwa kama kisa cha kaumu Luthi...
@sistitemu73465 жыл бұрын
Palikuwa sheda sana! Itabidi sasa Mungu arudi tena
@juliusmwinga40515 жыл бұрын
Yarabi Tusamehe sisi na waliotutangulia
@tyromonster56995 жыл бұрын
@@juliusmwinga4051 kwel
@katumbilimunira51124 жыл бұрын
Mwenyezi mungu tusamehee sisi waja wako tupe mwisho mwema
@rukiamwakinyo53245 жыл бұрын
Haya ni yakweli kabisa Allah atuepushe na haya mabalaa
@Kasuvi_Vigano5 жыл бұрын
Aamin insha Allah @Rukia Abdallah
@fatwimabintathmanbinthawa81555 жыл бұрын
Amiin Yarabi🤲🏼
@mudkhamis30785 жыл бұрын
Aamin inshaallah
@aminaramadan1845 жыл бұрын
Amiin
@aloyceiluminata36504 жыл бұрын
Ni kweli lakini kwasasa hatuwez kuepuka dhambi ileile ndo ipo katika kizazi hiki Teena sfari hi ndo imeenea kwa kasi..chamsingi Ni kumwambini mwenyezi mungu na kutoshiriki dhambi hizo
@winifridathomas50813 жыл бұрын
Ee mungu tuepushe na family zetu tusikubwa na sodoma 🤲
@festovenas5025 жыл бұрын
Nakubali stor book mko juuu
@yolandavyankando315 жыл бұрын
Asante saaana kaka mugu azidikukuogezea kipaji chakutoa tafsili za bibilia
@yussufabdul-rahman56015 жыл бұрын
Laanatullah, hasbiyallah waniimal wakil mungu atuepushia cye na kizaz chetu😖🙏
@abdurrahimislam40835 жыл бұрын
YUSSUF ABDUL-RAHMAN Allahum Amn
@calvarytv73383 жыл бұрын
Mtegemee mungu kwa kila kitu
@bulayaconfidential72125 жыл бұрын
Hakuna kipya chini ya jua, OMBI: :eeeh mwenyezi Mungu ulipaswa kuweka remote controller ili kwa wale watakao kwenda kinyume na mapezi yako basi na warudishwe ktk mstari, ila kwa sasa umetuachia Uhuru mno ndio maana tumegeuka mabaradhuri/hayawani. Huruma yako iwe juu yetu na kwa kizazi chetu maana janga hili ni kama mchwa utafunao fenicha taratiibu..🙏🙏
@timotheomassawe11025 жыл бұрын
Hakika
@chrisboateng84585 жыл бұрын
Kama unasikiliza na kusoma coment kama mimi naomba like zenu MTIGA. Keep it up broo
@mwaminmussa94614 жыл бұрын
Nawapenda sanaaaaa mnatuletea mambo mazur
@lescokaziulaya44563 жыл бұрын
Pamoja
@venisteveniste69743 жыл бұрын
Jiunge frimanson numéro whtpppp+25768361373
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@GeorgeMtei Жыл бұрын
Pamoja
@johnrogasiani5 жыл бұрын
Kama habari hii imekugusa kama mm tushirikiane kusimamia amri za Mungu na tuishi maisha ya kumpendeza Mungu tangu sasa na hata milele, plz naomba like kama million moja endapo, kama unakubali ushauri wangu,, nawapenda wote, na ninawatakia amani.
@johnrogasiani5 жыл бұрын
@Regina Mbawi nikweli Dada yangu yeye ni mwazo na ni mwisho ,atukuzwe milele na milele , nakutakia baraka na kibali lolote unalotaka kulitenda, mtangulize Mungu nawe utafanikiwa zaidi na zaidi.
@johnrogasiani5 жыл бұрын
@Regina Mbawi asante na uwe na usiku mwema
@johncavishe3535 жыл бұрын
Kweli wakat umefka tmrudie mwenyenz mungu
@dainesssindiho29684 жыл бұрын
Unahak bro. God bless you
@UfunuoSt2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@HadijaOman26 күн бұрын
Subhana llaah Allah avilinde vizazi vyetu maana zamani mtoto wakike ndiyo alikua anachungwa lakini kwa Sasa imebadirika mtoto wa kiume ndiyo anachungwa mtihani Allah tusamehe sisi waja wako hakika sisi ni wakosefu kwako
@Pratnumzsimba5 жыл бұрын
Kiukweli tumuogope mungu dhambi ni mbaya sana tumuombeni sana mungu atuepushe na hiki kikombe
@youngchella43224 жыл бұрын
Xo talented hyu jamaa wanaocheki hapa neno la Mungu gonga like✊
@justineallan85 жыл бұрын
Ahsante kwa background music
@mdindaoscar36315 жыл бұрын
Daaah! Saut ya mshikaji mirraldiayo Cha Mtoto
@lifeasirene5385 жыл бұрын
sooooo interesting you are so good at explaining, please make more bible stories please
@tigerskyg4203 жыл бұрын
O
@bonfacekaindio82503 жыл бұрын
Akinili
@mariawanjiru12753 жыл бұрын
Nakusihi tuletee kipindi hiki Kwa television zetu ndio watu waelewe kuhusu usoga please
@faudhiasemindu Жыл бұрын
😭😭😭
@veronicadaniel11225 жыл бұрын
Mwenyezi mungu aninusuru roho yangu
@aliceondeko34555 жыл бұрын
Hadidhi nzuri sana pongezi
@calvincyprian56805 жыл бұрын
Sina mengi sana..ila unafany kaz nzur sanaaa; 1.unatukumbusha mambo muhimu juu ya maish yetu na uhusiano wetu baina ya sisi na Mungu 2.umekuwa sasa ni kiunganishi unatufanya waisalam kwa wakristo kujiona ni sawa kulingana na ufanano na ushahidi huo wa maandiko 3.unajarbu kudhihirisha na kuonyesha uwepo wa Mungu kwa wale wasio mwamini...!
@abdullahhashimu23805 жыл бұрын
Allah atuepushe cc na familia zetu Aamiin
@DJAfroAmingos0015 жыл бұрын
Yesu kristo ndie njia na wokovu wa binadamu U kwake pekee
@aklamramadhan10424 жыл бұрын
Unakosa kumsifu aliye kuumba unamsifu asiye umba....sa Kama yy n muokoaji mbona hakujiokoa akiwa msalabani
@aminamohd6044 жыл бұрын
Hauna swaga
@sadickchakka63504 жыл бұрын
Watu Wang wanaangamia Kwa kukosa maarifa
@DJAfroAmingos0014 жыл бұрын
@@aklamramadhan1042 Kwa upendo wake ndio ulimshikilia msalabani. Hii ni kwa sababu alikuwa na uwezo wa kujiokoa kwa kuwa yeye ni MUNGU.
@millionairejeffreysunofbez37664 жыл бұрын
@@DJAfroAmingos001 acha izo Yesu sio MUNGU, bali amepewa mamlaka makubwa kuliko kiumbe chochote, anaweza hata kufufua naweza fanya lilote la kimungu,.
@khamissathumany83925 жыл бұрын
Wangap wanapenda the story book like tujuane
@nicholaswafulawanyonyi94124 жыл бұрын
hello
@francistunakwishabilakujua88263 жыл бұрын
Hadi nimeshituka jamn
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@Kimaro_Comedy5 жыл бұрын
Hii sauti ni best sauti, eeebwana Mtiga wewe ni kiboko napenda The Story Book kwa sababu yako mzee, Nani yuko Hapa na mimi tunacheki story book 👇👇👇👇😍😍😍😍
@winicatewainaina44562 жыл бұрын
What a amazing story... bring more bible story
@ibradibango47442 жыл бұрын
its the quranic version
@WastaraJuma-p7c5 ай бұрын
Subhuana Allah 😭😭😭😭alafu utaona wAtu washerekea ushoga.Allah atunusuru na vizazi vyetu 😭😭😭
@khaindiruth16554 жыл бұрын
I like this storybook
@menyosami97132 жыл бұрын
Asante bro
@ramamanyama29445 жыл бұрын
abdallah usiwe unakaa mda mref san kutuletea the story book tunapenda sn hil show gonga like apo chin kama unaikubal the story book
@mickdaddeus36344 жыл бұрын
Dah imenifundisha sana the story book
@yusuphmussa34474 жыл бұрын
Kwel
@MasudiChips8 ай бұрын
Kweri
@apostlejanegracegidraph20542 жыл бұрын
God is a consuming fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 May God have mercy 🙏
@alkenyjanson47785 жыл бұрын
Story tamu!!!!! Duuu awa wasafi wanatimiza subscribers milion moja soon
@UfunuoSt2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzbin.info/www/bejne/mqisl414r5eVf6c
@mariamathumani17813 жыл бұрын
Wapendwa wa Mungu hebu kila mmoja wetu akiulizwa tangu azaliwe umempa nini na je,umejiaandaaje katika maisha yako