MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU AWATAKA WAKALA WA MAJENGO KUFANYA HAYA.

  Рет қаралды 535

GSengo

GSengo

Күн бұрын

NA ALBERT GSENGO/MWANZA
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Seleman Kakoso amewataka wakala wa Majengo Tanzania TBA kuwa na ubunifu katika ujenzi wa majengo mazuri na yenye mvuto wa kibiashara ili wawe na uwezo mkubwa wa kukusanya kipato chao binafsi na kuacha kuitegemea serikali.
Kakoso amesema hayo alipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa jengo la kupangisha lililopo eneo la Ghana wilayani Ilemela jijini Mwanza na kuongeza kwa kumwagiza waziri wa ujenzi Innocent Bashungwa kuhakikisha anawasaidia TBA waweze kukusanya madeni ambayo wanaidai serikali kupitia taaisisi zake.
Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa TBA Daud Kondoro amesema ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 50 ambapo amesema wao kama TBA waliona Jiji la mwanza lina uhitajia mkubwa wa Majengo ya kupangisha hivyo ni wajibu wao kuyaendeleza maeneo yote nchi nzima.

Пікірлер
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 79 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН
Cheki POLISI Walivyowanasa WEZI wa LAND CRUSER V8 ya MIL.180 MWANZA!
5:33
UKUBWA WA MELI YA MV.MWANZA - MSCL& TPA KUFANYA MAANDALIZI MAEGESHO YAKE MAPEMA..
4:01
KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI -MSCL
Рет қаралды 1,6 М.
Wafanyabiashara wa Madini Jijini Mwanza wahukumiwa
3:34
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 7 М.
BMG TV: Mwonekano wa Mtaa maarufu wa Makoroboi jijini Mwanza
4:53
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 1 М.