MWENYEZI amejenga mji

  Рет қаралды 36,428

chants acgomatmk

chants acgomatmk

Күн бұрын

260. MWENYEZI amejenga mji
260
1. Mwenyezi amejenga mji, Mfalme wa huko ni Yesu, Yohana aliouona kushuka kutoka mbinguni. Ukuta ukawa wa jaspi, na njia ya dhahabu safi. Wakati nitakapohama, nitachukuliwa Sayuni.
Pambio:
Mjini mle mtakatifu Yesu atuandalia makao. Sasa nangoja, nautamani mji mzuri kutoka mbinguni.
2.Na dhambi hazitafikapo, uchafu hautaingia, mateso, ugonjwa na kufa hazitakuwapo mjini. Na mle tutayasahau mashaka, ‘jaribu na vita; hatutaachana milele. Hakuna uchungu rohoni!
3. Mjini hatutayaona kilio na maombolezo. Na huko hatutadanganywa, haitakuwamu husuda. Na wana wa Mungu waona uzuri na utakatifu; nitakapofika mjini nitashangilia daima
4. Wapenzi, rafiki na wale waliomaliza safari, watashangilia kabisa kwa’jili ya damu ya Yesu. Na tutawaona mjini katika makao ya raha. Tumaini letu ni hili: Tutakusanyika mbinuni.

Пікірлер: 19
@lilianebahati7290
@lilianebahati7290 4 ай бұрын
Amin
@gedeonmusu8411
@gedeonmusu8411 Жыл бұрын
Amen
@fanunana6820
@fanunana6820 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@AMOSSENZOGA
@AMOSSENZOGA 4 ай бұрын
Thanks for this song, i feel like being in heaven ❤❤❤
@nadinemunduku2176
@nadinemunduku2176 5 ай бұрын
Rien. N'est plus. Beau. Et. Mélodieu 🎉❤😊
@jackchimwanga6980
@jackchimwanga6980 Жыл бұрын
Seigneur est merveilleux dans ces cantiques
@glorbitgloria2486
@glorbitgloria2486 2 жыл бұрын
Mji nzuri kabisa, ni wezeshe ni fanye safari muzuri
@dismasichukilizo4433
@dismasichukilizo4433 2 жыл бұрын
Mnanibariki mno Mungu awape kipawa zaidi
@gedeonmusu8411
@gedeonmusu8411 Жыл бұрын
Des cantiques inspirés par Dieu
@glorbitgloria2486
@glorbitgloria2486 2 жыл бұрын
Bwana ni wezeshe ni fike salama!
@domykabembe270
@domykabembe270 Жыл бұрын
Que le Seigneur Dieu vous bénisse
@ClassicWorlMusic
@ClassicWorlMusic Жыл бұрын
Que Dieu vous bénisse mes frères et soeurs
@jeanmonga-ok1ss
@jeanmonga-ok1ss 2 ай бұрын
Pa
@timmonga8539
@timmonga8539 3 жыл бұрын
Amen amen🙏🙏🙏🙏
@godisallst7593
@godisallst7593 2 жыл бұрын
Amen
@jeanmonga-ok1ss
@jeanmonga-ok1ss 2 ай бұрын
Pa
@freddynkongal4546
@freddynkongal4546 2 жыл бұрын
Amen
@tabiebinda6683
@tabiebinda6683 2 жыл бұрын
Amen
@jeanmonga-ok1ss
@jeanmonga-ok1ss 2 ай бұрын
Pa
E’YESU sitasahau uchungu wako ‘kubwa
8:09
chants acgomatmk
Рет қаралды 25 М.
Ametenda Maajabu Nami Siwezi Kueleza Worship Song - Repentance and Holiness
8:39
LET'S WORSHIP JEHOVAH
Рет қаралды 2,4 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 23 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 841 М.
JE, Tutaonana tena huko ng’ambo ya Yordan
5:52
chants acgomatmk
Рет қаралды 15 М.
Yesu Ni Furaha Yangu - Nyimbo za Wokovu 121
5:36
Maranatha : Come, O Lord
Рет қаралды 7 М.
E’YESU mshindaji wa Golgotha
6:34
chants acgomatmk
Рет қаралды 12 М.
MTETEENI YESU. TENZI ZA ROHONI no; 71, by dinuzeno.
5:55
Dinu Zeno
Рет қаралды 684 М.
WOKOVU 141 MWOKOZI WETU AND NZORINZI GITANGAZA BURUNDI CHOIR
12:37
RUVUNANA ESPOIR
Рет қаралды 75 М.
Mapendo Ya Mungu Ni Kubwa Ndugu - Chorale Lavigerie
13:40
Vami Wa Malengera
Рет қаралды 47 М.
KIMYA E’moyo wangu
5:50
chants acgomatmk
Рет қаралды 28 М.
TENZI NAMBA 25. NIMEKOMBOLEWA NA YESU by dinuzeno
5:47
Dinu Zeno
Рет қаралды 1,3 МЛН