Damu ya yesu ina nguvu jamaniiii hebu jaribu tuiiita iongoze maisha yako iiite ifunike nyumba yako leo hakika utamuona mungu
@benithafredrick246510 ай бұрын
Bila wewe YESU sijui ningekuwa wapi? Ahsante kwa kutoa uhai wako kwa ajili yangu mimi sasa damu yako yanikomboa🙏🙏🙏🙏🙏 Amina.
@94ramyg884 жыл бұрын
My name is FRANK Nimekombolewa na DAMU YA YESU KWA BEI YA MAUTI YAKE sasa nimekuwa mwana wake kweli nawewe nakuombea ukombolewe na damu ya YESU🙏
@mamaneil12374 жыл бұрын
Who listen in this time of Covid 19 ?
@DinuZeno4 жыл бұрын
God be with us
@sharonjohn97275 ай бұрын
Nimekombolewa kwa damu ya Yesu Kristo Bwana wetu ❤
@RuthKwamboka-cg8qg Жыл бұрын
Aki this song is very nice to me inafanya roho yangu inasikia poa Amina
@leahkatto92235 жыл бұрын
Nimekombolewa na Damu ya Yesu kuanzia tumboni mwa mama angu mpaka milele
@DinuZeno5 жыл бұрын
Amen
@leahkatto92235 жыл бұрын
Barikiwa
@alicekirigo7641 Жыл бұрын
🙏
@siamakundi53625 жыл бұрын
Sauti bhana Daaa mnajuaaaaa
@DavidNiyonkuru-d8xАй бұрын
Amen nabalikiwa sana Mimi naishi Burundi napenda nyimbo iZi mungu awabaliki sana
@DinuZenoАй бұрын
@@DavidNiyonkuru-d8x Amen amen asante sana
@roinakafuko76662 жыл бұрын
Nyimbo hii inanitia moyo sana "nimekombolewa na yesu"
@neemamkami20294 жыл бұрын
Dah napenda sanaa hisi nyimbo 😍mungu awabariki sanaaa
@shaddy19872 жыл бұрын
Hi ndugu dinuzeno.nyimbo zako za tenzi za rohoni zinanibariki sana. Mungu akubariki sana.shadrack.machakos.kenya
@DinuZeno2 жыл бұрын
Asante sana mtu wa Mungu. Share kwa wengine tafadhali.
@LucasMathias-wt6iu5 ай бұрын
Tumwimbie Bwana
@zawadimushi43192 жыл бұрын
Naomba yesu nikombee kwa hili
@DinuZeno2 жыл бұрын
Hakika na Bwana atusaidie kwa jina la Yesu Kristo
@catherinekahabi90474 жыл бұрын
Yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu bila Wewe Ningeshakufa 🙏🙏Asante kwa kunikomboa kwa damu yako
@DinuZeno3 жыл бұрын
Amen
@DinuZeno3 жыл бұрын
Bwana akutunze
@victorlyimo-p5y2 ай бұрын
Sasa nimekuwa mwanawake kweli,,,this song make me cry 😢😢
@monicaamos71415 жыл бұрын
Hakika tumekombolewa na Damu ya YESU
@DinuZeno5 жыл бұрын
Hakika
@ruthjoseph55115 жыл бұрын
Waoo
@josephseverin93865 жыл бұрын
Hakika naguswa san
@johnmakazi73334 жыл бұрын
P
@euniceeveria49434 жыл бұрын
I like this song 👌
@TeklaKamota-yz1hp Жыл бұрын
I realized that there's special power and courage in worshipping 😭Glory to GOD🙏🏾
@usuilkizindo80814 жыл бұрын
Amen. Nimebarikiwa na nimekombelewa😚
@giselenzigirechibembe86133 ай бұрын
Nashukuru damu yako yesu ime nikomboa mimi na familia yangu
@blessednice11385 жыл бұрын
Nimekombolewa Na damu ya YESU mm ni mwana mwana wake kweli, Amen God bless you Dinu
@DinuZeno5 жыл бұрын
Ameeen
@anisiakaniki5275 жыл бұрын
Blessed Nice Asante yesu
@bistonmbwilo6325 жыл бұрын
Kwel kabisa twakombolewa na damu ya yesu
@NeemaAizaki6 ай бұрын
Nimekomboleea na damu yake yesuu ❤❤❤❤❤ 🙏🙏💖
@joyceshoo17344 ай бұрын
Hakika kukombolewa na Damu ya Yesu ni furaha kwangu .🙏
@MonicaAgapitiBruno Жыл бұрын
Nimekombolewa kwa damu yaa yesu ni mwana wake kweli barikiwa nafarijika nkisikiliza huuu wimbo 🙏🙏🙏🙏
@katherinasamwel39375 жыл бұрын
MUNGU akubaliki kaka yangu unaimba vizuri
@FabianoJumanee4 ай бұрын
nimekombolewa na YESU sasa nimekuwa mtoto wake na nipo huru sasa
@hadijahamisi67635 ай бұрын
Nimekombolewa na damu ya yesu🙏🙏🙏🙏
@uweragrace44383 жыл бұрын
Amen twahawe agakiza kubwamaraso yasu
@happinessmchenya714 Жыл бұрын
Hakika kwa mungu yote yanawezekana nimekombolewa na damu ya yesu niko salama kabisa👏👏
@paulinalokete46174 жыл бұрын
Wow!!!!!!!!!!!!! Hallelujah 🙌🙏❣️😇 Thank you JESUS CHRIST OF NAZARETH U R AWESOME AND NOTHING CAN BE COMPARED TO U LORD FOR U R MARVELOUS...............gonga like plz......... protect the world from this evil pandemic /disaster coz we want peace and joy and that comes from JESUS........ Hallelujah??????????????
@DinuZeno2 жыл бұрын
Amen
@soplisjoachim58844 жыл бұрын
" kwa bei ya mauti yake , nimekuwa mtoto wake ......" Nakombolewa na damu ya yesu .......aaaaah , kombolewa......" . Bwana yesu asifiwe sana . Nimebarikiwa kwa wimbo mzuri
@DinuZeno4 жыл бұрын
Amen
@magrethmgaya55353 жыл бұрын
amen
@kafukubhingile36143 жыл бұрын
Hizo ndo nyimbo za injiri . tuachane na nyimbo kama utamu wa Yesu, nibebe
@DinuZeno3 жыл бұрын
Asante
@salmaedwin564111 ай бұрын
❤❤❤ Nimekombolewa na Yesu
@josephmugalavu3565 Жыл бұрын
Damu ya Yesu inanguvu za uponyaji!Nimekombolewa!! 🙏
@azinahenry56984 ай бұрын
Sautiii nzuriiii hakika mungu ana vifaa ❤❤❤❤
@brambram70312 жыл бұрын
Na Nataka nimujue yesu...zaidi na zaidi....
@ellyjulius165 Жыл бұрын
RIP DAD💔
@nyalkasitta90343 жыл бұрын
God bless waga napenda kusiliza wakat wa furah na shida
@episonfelician76704 жыл бұрын
Hakika yesu anaokoa ni mukombozi wa kila kitu katika maisha yetu
@PeterMayunga-st7qyАй бұрын
Nyimbo zako za tenzi zinanibariki sana
@daynessswai45552 жыл бұрын
Asante Yesu kwa kuniokoa na mauti Bila ww sijui ningekua wap🥲
@georgekallanga15453 ай бұрын
Nabarikiwa sana kazi safi mnoo sichoki kusikiliza
@DinuZeno3 ай бұрын
@@georgekallanga1545 Bwana ni mwema
@shaddy19872 жыл бұрын
Hi pst .kuongea nyimbo zako zinakuanga na uwepo na mafuta ya mungu .mungu apate sifa na utukufu .ubarikiwe zaidi sana na mipaka yako ipanuliwe zaidi.shadrack.machakos .Kenya
@skuleetech6896 Жыл бұрын
Nimekombolewa kwa damu yayesu amina
@agmconsulting53635 жыл бұрын
Wimbo umeimba vizuri sana, ubarikiwe mtu wa Mungu
@furahaandrea6554 жыл бұрын
Ahsante Yesu Kwa kunikomboa ni Kwa Neema yako sikustahili
@furahafaustine72953 жыл бұрын
Nimekombolewa kwa damu ya yesuu
@paulinegithinji13123 жыл бұрын
Amina Amina Amina Sote tumekombolewa😩😩♥️♥️
@DinuZeno3 жыл бұрын
Amen
@paulinegithinji13123 жыл бұрын
Yess
@aminathmukusin5515 Жыл бұрын
Name namshukulu mungu nimekombolewa na dam ya yesu
@happinessmchenya7142 жыл бұрын
Hakika nimekombolewa na damu ya yesu Niko huru Ahsante yesu
@felixokeyo82805 жыл бұрын
Wimbo mzuri brother
@DinuZeno5 жыл бұрын
Bwana ni mwema
@patrickrupia66344 жыл бұрын
Kila leo nausikiliza barikiwa mtu wa MUNGU
@abelkifuka68425 жыл бұрын
Huu wimbo hunibariki Sana kila niiusikiapo hata kuuimba pia mbarikiwe waimbaji
@DinuZeno5 жыл бұрын
Amen. Bwana ni mwema
@joyceezekiel91753 жыл бұрын
Nyimbo nzuri Sana mbarikiwe
@OmbeniJrMbise5 жыл бұрын
"Nimekuwa mwana wake kweli"
@DinuZeno4 жыл бұрын
Hakika
@oscarmosha3833 жыл бұрын
nimekua mtto wakeeee.
@scholasticakinyunyi27722 жыл бұрын
Hakika mim mwana wake kwel
@UpendoMremi-y6b Жыл бұрын
kukombolewa nafurahi kuliko lugha kutamka,asante YESU kwa ukombozi
@stevenhinjo96645 жыл бұрын
Amen nimekombolewa..!!
@neemaswai17095 жыл бұрын
Amen🙏🙏
@deboraurassa36734 жыл бұрын
Waooo thx my brother umenifanya nifarijike🙏🙏🙏🙏🙏
@happylumumba63553 жыл бұрын
Nimekukombolewa kwa damu ya yesuuu mm mwana wake
@elizabethnduku80222 жыл бұрын
Asante Yesu Kwa kunikomboa Kwa damu yako
@NuratRamadhan-h3j28 күн бұрын
Nyimbo hii inanipa amani sanaa
@homecraft2278 ай бұрын
Nawaza maisha yangu bila Yesu yangekuwaje
@ibrahimerasto3 ай бұрын
Namkumbuka saaana mama yangu kipenzi aliyefariki 21/12/2021😭.Pata PUMZIKO LA MILELE MAMA. NITAKUKUMBUKA DAIMA
@Izeredarc5 жыл бұрын
In Kirundi 😍👇👇 1.Nkunda kwama natura yuko nacunguwe n'amaraso ya Yesu mwagazi w'intama nkahinduka umwana wiwe R/ Yesu mwami yancunguje y'amaraso yambereye incungu nahindutse umwana wiwe ............ God bless u Wimbo nzuri sana
@gozibertsebastian50693 жыл бұрын
Amina. Yesu anatawala ❤️♥️
@deboramartin59652 жыл бұрын
Mung abarikiwe San Kwa ukombozi wake kwetu sisi
@mectridadanga94745 жыл бұрын
Ameni!! kweli nimekombolewa na damu ya yesu
@DinuZeno5 жыл бұрын
Hakika
@makakenia70654 жыл бұрын
Nmekuwa mwanawake kwel iko sawa bro ubarikiwe amen
@sikujuahassan39834 жыл бұрын
Nihifadhi mikonon Yesu mikonobi mwako siku zote za maisha yangu
@ceciliandoile90915 жыл бұрын
Nakombolewa na damu ya yesu
@jacquelinebernardassey34402 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana, zinagusa mno Asante Yesu Kwa ukombozi 🙏🙏❤️
@jamesikusa73514 жыл бұрын
nimebarikiwa sanajimbo zatenzi saroho
@robert.maganya10515 жыл бұрын
hakuna mwingine Amen
@pantalukiavion2 жыл бұрын
Swahili hymns are so spiritual. My favorite. Thanks
@DinuZeno2 жыл бұрын
Thank you, thank you thank you.
@marthamsafiri3582 Жыл бұрын
Ili alipo niwepo.....Amen
@ercalyimo13124 жыл бұрын
Hakika tumekombolewa na damu ya Yesu
@nuhumabula17863 жыл бұрын
Asante nice song
@DeniceBrown-r9w Жыл бұрын
Hakika kwa yesu Kuna amani
@AkliphaKimuli3 ай бұрын
Huu wimbo huwa unanitia nguvu sana
@furahayabwana61273 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah I'M FREE💃💃💃🤝
@DinuZeno3 жыл бұрын
Amen
@jonstonmwemezi43382 жыл бұрын
Yesu Asante kwa kuniokoa toka dhambin
@shitambasifranklin.78403 жыл бұрын
1 John 5:8 And there are three that bear witness in earth, the spirit, and the water, and the blood: and these three agree in one. Damu ya Kristo inayonena utakaso. AMEN
@peterlema37525 жыл бұрын
Keep it up bro unanifariji sana goog blessed 👍👍🙏💥💥
@DinuZeno5 жыл бұрын
Amen
@gracelugendo53755 жыл бұрын
Ameen nimekombolewa kwa mara nyingine na damu ya Yesu
@merorachel49133 жыл бұрын
2021 nimebarikiwa kwenye Kila eneo la maisha yangu hakika kwa yesu yote yanawezekana
@DinuZeno3 жыл бұрын
Amen
@yvonnejoyce2 жыл бұрын
Amen 🙏 nimekombolewa na damu ya yesu
@BensonAdrian2 жыл бұрын
Kwa kweli nimekombolewa na yesu Amen Amen🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@reginakalol6441 Жыл бұрын
Nimejikuta nalia sana huu wimbo nikiusikiliza
@damaliswilliam89155 жыл бұрын
Amen! Hakika tumekombolewa na damu yake Yesu...Hatudaiwi
@DinuZeno5 жыл бұрын
Hakika
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
Aminaaa barikiwa 😭😭❤❤❤🙏🙏
@judithpaulo1412 жыл бұрын
Hata ningeimba siku zima bado sichoki huwa nahisi ngvu za mungu
@nellynatalie Жыл бұрын
Amen,nimekombolewa na Damu ya YESU.
@yustersimkwai61408 ай бұрын
Nimekombolewa na Yesu Kwa Damu yake
@jenethyona88183 жыл бұрын
Damu ya yesu itukomboe
@prosperpuro17123 жыл бұрын
Mungu alikupa kipaji akakupa sauti akukuacha pia akakusapoti kwakukupa kipawa... sasa bilashaka unaitendea haki kazi yake barikiwa sana kaka mkubwa ❤❤
@DinuZeno3 жыл бұрын
Bwana ni mwema. Asante sana
@evasaimon67642 жыл бұрын
Nakupenda Yesu naona fahari kuwa na ww
@LucyKapinga-fg4dk Жыл бұрын
NIMEKOMBOLEWA NA YESU
@mohameddavid5522 жыл бұрын
Who else is blessed, listening to this song.
@paulowanyika94224 жыл бұрын
Naipenda Sana hiii tenzi by Me Jasmine JAMALI🙏🙏🙏🙏🙏
@GodsonKilusu8 ай бұрын
Tenzi za rohoni namba 25 nimekombolewa
@victorialameck5412 жыл бұрын
Ameen nimekombolewa na damu ya Yesu
@DinuZeno2 жыл бұрын
Amen
@AderinaKachenesa-tg9qj Жыл бұрын
❤❤❤ mung akubaliki
@priscaryona10994 жыл бұрын
Umekuwa baraka sana kwetu kwa nyimbo izi za tenzi za rohoni
@thammyfrancis95685 жыл бұрын
Ameeen🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@malianaboniface40485 жыл бұрын
Thammy Francis Amen
@onokamonique90742 жыл бұрын
Thanks you Jehovah for this far...... indeed you saved me......