🇺🇸Team DC Mwijaku!!!True facts...tupendane let's just squash the past and make music🇹🇿🇺🇸
@godfreylyimo94423 жыл бұрын
Fact
@vincej92753 жыл бұрын
@@godfreylyimo9442 Hate him or love him, he is saying the truth.
@godfreylyimo94423 жыл бұрын
@@vincej9275 😁😁😁 they don need 2 hear what mwijaku says bcuz he tell them the truth
@khalekichambo11313 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌
@marymary2603 жыл бұрын
Fact
@sponsor78823 жыл бұрын
Watching from Swiss...kama ujaenda shule huwezi muelewa Mwijaku.
@mariooluhwano92933 жыл бұрын
Kwaiyo uwo utaila anao usema kumsapoti burna boy ndio usomi mlio soma hahaha aisee kweli ww pia mbao sana aya nendeni mkatolewe mali nageria
@b.38453 жыл бұрын
Inaonekana shule za bongo mnafunzwa upuzi tupu!
@wisperfect53203 жыл бұрын
Ww na yeye akil zipo saw
@khalekichambo11313 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@lennykiganga47633 жыл бұрын
Mapimbi ni mengi tz
@sabinaonline65753 жыл бұрын
You are so real Mwijaku, big up you sayed fact.
@mymunamymuna48073 жыл бұрын
Fact mwijaku🔥🔥🔥
@mwesigamukusinimukusini22783 жыл бұрын
Mungu akusaidie mwijaku umesimama kwenye ukweriiiiiiiiii!
@asaa32193 жыл бұрын
Ukweli hapa duniani ni dhambi Ila Kwa MUNGU uko sawa sababu MUNGU apendi uongo Sasa MWACHENI mwijaku aongee ukweli anaji tengenezee
@jrlamar89253 жыл бұрын
UKWELI BILA FACT NI UONGO USIO NA TIJA
@joezeno83 жыл бұрын
@@jrlamar8925 msanii gani inje ya WCB diamond alishawai kumsupport ao kumpost Instagram? Anaogopa wasanii wengine wanaweza wakawa wakubwa, pia riski itapungua na Sifa zitapungua!
@asaa32193 жыл бұрын
@@jrlamar8925 pole Yako kama huoni ukwei Sababu anae ongea ukweli unamjua tu ata pasipo na vidhibitisho, kutumia macho na maskio na Akili ulio pewa na MUNGU, uta fahamu wala huitaji fact ,, lakini Sababu mume fanya pesa kua ndio ukweli basi mtabaki kua hivyo,, Sasa nyinyi ndio wale watu ume wekewa vitu vya uongo hapo uaminishwe uongo kua ukweli pole yenyu tumieni Akili zakuzaliwa na sio Za shule Akili Za shule ni mbaya Mimi nawaambia,, ona jaji mahakamani Ana hukumu watu wasio na hatia kisa kapewa udhibitisho ame aminishwa uongo kua ukweli,,,,,, baki apo na izo fact zenyu,,, mie natumia Akili nilio pewa na MUNGU inanitosha,, wala siitaji kuhongwa Mimi
@jrlamar89253 жыл бұрын
@@joezeno8 Aliwahi mpost Jux. Navy kenzo. Stereo wa Tamaduni alivyotoa album yake mpya inaitwa experience. Facts muhimu sana
@jrlamar89253 жыл бұрын
@@asaa3219 we lete facts sio mahubiri
@priscillarknight86373 жыл бұрын
Real truth Tanzania its a awake up call we build each other support has to be 2 way traffic not one sided.. 100 i agree with MJ
@lindazawadi7323 жыл бұрын
Love this guy man that very fact 🇦🇺🇦🇺
@Pedeshee012 жыл бұрын
😄😄chawa
@Crokfarm_Hse3 жыл бұрын
This guy (Mwijaku) speaks facts. I love the profession he has. Watching from Kenya.
@kenjoseph33372 жыл бұрын
Exactly
@MyPascal23 жыл бұрын
From Canada 🇨🇦 I support Mwijaku for what his saying is Facts Harmonize was in MTV Euro no one said anything hut now it's them they all saying Uzalendo When another star is in the competition no one say anything.
@boyanimates.3 жыл бұрын
Mwijaku your very talented guy.Well said mwijaku.From UK
@r.masudi.95033 жыл бұрын
Kweli kabs mwijaku hataki unafik na mimi sitaki unafik 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@ayishaayishayisha44653 жыл бұрын
Mm nipo omani
@taslandfranck30063 жыл бұрын
Real..anazingua sana mond
@japharwatson83153 жыл бұрын
Exactly
@mancholotrasco83503 жыл бұрын
But mbona unaonekana munafiki ... Na nazan hata ktk cm yako kuna nyimbo nyingi za dai kuliko burner boy mbuz wee
@chaliwachuga5193 жыл бұрын
@@mancholotrasco8350 kua na nyimbo sio tatizo
@ssdrecords62243 жыл бұрын
I'm watching this from United states
@lordherry3 жыл бұрын
hahahah moja ya interview nime enjoy sana hii mwijaku katembea na beat
@fotbolltvpatrick86343 жыл бұрын
😆🤣🤣🤣😆😆
@hamisiiddy82023 жыл бұрын
Naitwa hamisi iddy Niko lusaka zambia, kiukweli nakupenda sana anachokifanya mwijaku ,Yuko real,na Yuko smart sana,kwakweli nampongeza,keep it up bro
@vincej92753 жыл бұрын
That is true, many people just follow others blindly.
@likeothers24982 жыл бұрын
i love mwijaku😍😍all the way from+254
@partnersah88023 жыл бұрын
Alafu hiyo ya kucomment nenda duniani kote ukute kama wasanii wakubwa huwa kila sehem wanacomment ata kwa watu walio wafollow ukiona wanafanya hivyo basi you are right na Hiko ukisemacho.
@dr.swagztv35593 жыл бұрын
Great mwijaku uko vzr
@asaa32193 жыл бұрын
Anastahili pongezi👍👍👍,, yuko vizuri sana 💯💯% 👌👌👌wasiokua sawa Wana mtukana ndio maana ame sema tufunguke akili tufikirie ,,, Ila badala ya watu kufikiria Kwanza tume kurupuka kumtukana🤷🤷 jamani watu 😥😥
@stevenomanga46373 жыл бұрын
For sure burna boy ni next level,,,hatuwez surport mtu eti tu ni mtanzania wakati yupo anaeweza zaidi yake
@amourabdallah29783 жыл бұрын
shikamoo mwinjaku leo umeongea point
@zou74703 жыл бұрын
🤝🤝
@freelancer63683 жыл бұрын
Utakuwa bwabwa mwenzie
@wisperfect53203 жыл бұрын
@@freelancer6368 kabisa
@khalekichambo11313 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌☝
@rehemarwanda60393 жыл бұрын
Mwijaku ur very genius.....watakuelewaa tuuu
@habonimanatina14813 жыл бұрын
Wanamuongopa mungu mtu kumpa ukweli wake my brother wape makavu yawo ukweli unauma Sanaa katika maisha
@mingilo33973 жыл бұрын
Mwijaku unaongea fact sana 👌
@asaa32193 жыл бұрын
Safi sana ana tufungua ata Sisi tusio jua au kufikiria tuweze kufikiria asante sana mwenzangu
@elidarweyemamu51443 жыл бұрын
Diamond kinachomuharibia ana misifa sana,wakati anazidiwa usuper staa na mtoto wa Jay z,blue avy,
@rahultv61733 жыл бұрын
Mwijaku anaakili sana wachache watamwelewa
@DiamondPlutnumzkviweshoursago3 жыл бұрын
Mwijaku Mungu Akisema Yes! Hakuna Wa Kusema No;
@tudoaver83733 жыл бұрын
Sapoti nandy Kaká yangu ili watu wafunge midomo yao
@bahatikibona50773 жыл бұрын
We mwamba unapenda kupokea tu
@kercybty3 жыл бұрын
Niko England 🇬🇧 originally from Burundi 🇧🇮 Bujumbura💕 GOD bless Burundi and all Africa🇧🇮🇨🇩🇹🇿👊🏿
@claudinenkurunziza21373 жыл бұрын
Oyooo Burundi 🇧🇮 moja
@issayamollel98753 жыл бұрын
Karibuni Tanzania Nchi ya kiki kama majii
@silversindjalabakeni25333 жыл бұрын
South africa apa mzee baba interviews zakizazi sana good job
@mwanarusishambi94522 жыл бұрын
Witching from saudi Arabia riyadh 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@abuusufian65063 жыл бұрын
Mwijaku respect brother from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 na nina kufollow instagram since now 👏🏽👏🏽
@claudinenkurunziza21373 жыл бұрын
All the way from USA 🇺🇸
@williengangamacharia27613 жыл бұрын
Watching from Cape Town, South Africa. Rayvanny once passed here at Waterfront last year June but I saw him from a distance. ANyway, am a big fan of skywalker and Chris Favours and Whole SNS Team. Keep doing good job.
@amirisangawe24903 жыл бұрын
Nimependa sana Uhojaji wako Kwa watu unaowakaribisha. Hongera sana Brother... Nipo Ajax, Ontario- Canada.
@amrimashulano68823 жыл бұрын
Sawa mwijaku tuko nyuma yako from 254
@sultanadam55293 жыл бұрын
In shot Mwijaku ana support Urealness ... nakupata sasa alafu miziki nikama mpira hauwezi lazimisha shabiki wa Man U.. ashabikie Arsenal kwa kumtia kamba shingoni muhimu ni wote wanapenda mpira...
@freelancer63683 жыл бұрын
Nyinyi wa kibakuli mngojee kili awards mpigie msanii wenu it is not a must
@erickmweta82153 жыл бұрын
Tell them the truth Watching DC'S interview from AUH🇦🇪
@franktoneskorosov.42172 жыл бұрын
Ihave point watanzania wetu,,from Kenya ilike watching this guy..anaweka mambo peupe..
@danielisack74283 жыл бұрын
Mtumishi hasifiwi kwao usipompenda diamond Nigeria. Angola. Mozambique. Kenya. Uganda. Kote wanapenda so bro support burna boy ilaa sisi tunamsupport DIAMOND PLUTNUMZ 💥💥
@salmaxoxo67843 жыл бұрын
So Proud of Diamond forever
@mgoiink47393 жыл бұрын
kuna kitabu kinaitwa face to face with reality,ndio namuona Mwinjaku humo,yaani ukweli ukiusikia unajisikia kukereka lkn ni muhimu kusemwa,mm namuelewa kuanzia since day one
@vibeanytime87833 жыл бұрын
Of course my brother tatizo wa tz bado nilimbukeni sana wakuwelewa
@bakarininga41003 жыл бұрын
Sanaaa
@theafricanprincevivecongo86323 жыл бұрын
Yeeeeeeeeees
@immeimme23643 жыл бұрын
Yes yes my brother 💯💯👌❤️❤️
@sabitinaeastafrica58223 жыл бұрын
I’m watching this from UK
@salmaathuman91563 жыл бұрын
Niko oman nafatilia kwa makini mwijaku bro true siku zote watanzania wanapenda uongo kuliko ukweli mtu akiongea true wanamshambulia kwa matusi halafu unataka uzalendo ahsante bro mwijaku endelea kuongea ukweli🤸🔥
@ivynzuki67083 жыл бұрын
The truth Hurt's good job Mwijaku
@specialminds233 жыл бұрын
Watu hawataki kujua ukweli
@asaa32193 жыл бұрын
@@specialminds23 asante watu wame tawaliwa na uongo pesa Yani kuhongwa ili waseme uongo MUNGU apendi ivyo palipo na ukweli uongo ujitenga mwenye akili awezi kabisa kumtukana mwijaku Lakini asiekua nazo atamtusi tu maana watu sikuhizi wanapenda uongo kuliko ukweli,, meaning ata wapenzi Mwanaume aki mtongoza mke, alafu ajue ukweli ata mwacha Ila akidanganya atabaki kuanae, so Hii dunia imetawaliwa na uongo Sasa akili kichwani kwako kama ulikua Smart shuleni utapata kitu hapo Lakini kama mtu ulikua zuzu uta mtukana tu maana ata akili yakufikiria hakuna, Big up brother it's better talk the truth than to lie sema moooo toooooo 🔥🔥🔥🔥🔥una wachoma wanao penda kudanganywa 🔥🔥🔥naku danganya,,, Lakini wanao penda ukweli ni kipenzi chá MUNGU, tumetulia ata shida na mwijaku hatuna,, 😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏fare🔥🔥🔥🔥🔥 barn them
@asaa32193 жыл бұрын
😂😂😂😂👏👏👏👏Sema moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wana chomeka Sisi wala hatu danganyiki,, wanao penda uongo kudanganya na kudanganywa, Wana pambana kumtukana kweli Yani Ana wagusa penyewe kina fulani😂😂😂😂😂
@asaa32193 жыл бұрын
@@esthermutabuzi4582 sijui Ila palipo na ukweli uongo ujificha pembeni Akili kichwani kwako kama unazo uwezi niuliza swali kama hilo, mwijaku kaka wa watu Ana wakumbusha tu unataka ukweli fatilia kama utaka kufatilia uongo pía uchaguzi ni wako Hii ni dunia kama huku funzwa kwenyu jifunze kwa walimwengu ámbae ni mwijaku Akili kichwani mwako
@freelancer63683 жыл бұрын
@@asaa3219 shoga mwijaku ni wivu au wewe utakuwa ni bwabwa mwenzie
@r.masudi.95033 жыл бұрын
Eeehhh banaeeeehh mwijaku ni 🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣
@asaa32193 жыл бұрын
Yani moto🔥🔥🔥 Ana wachoma wanao penda kudangavywa, Lakini wenye akili yakufikiria wala hana tatizo nae maana Ana gonga ndipo😂😂😂😂, Yani ukija Kwa mwijaku mambo ndio kama hivi 🔥🔥wako sirias na mambo anayo yasema ukiwa na akili uta changanua na utapata Kitu, ukija Kwa H bb pale Napo ndipo mapointi tupu, Ila mahali hua anakosea nikusema atatembea uchi Apo kidogo hua ananikosea kidogo ,Lakini ni fare 🔥🔥🔥🔥pía nae,, Lakini njoo Kwa bblevo fyaaa🤧🤧 nikuji cheachekea tu bila mpango kama una akili Utajua kuna tatizo hapo aongei pointi kabisa, sijawai pata jambo la kweli kutoka Kwa bblevo sijawai
@denisimaliyaweni91833 жыл бұрын
Diamond ana roho mbaya sana yule jamaa yan anajifnya yey kaishafika at the top kumbe anahitaji support pia
@timothysanga97463 жыл бұрын
Yani I wish ningekuwa karibu na huyu shoga, ningempa kipondo ambacho ajawahi kupewa. Unapotosha sana jamii, bro Fredy ni nini hii kitu mnaleta kwenye studio zenu jamani, manajishushia P sana bro.
@yussufrabba22823 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@shashauwase97453 жыл бұрын
Hamumuamini Diamond, na yesu hakuaminika kwao. POLENI watazania; muko na chuki na shida mnoooo. Siye wa afrika tu ta musupport Diamond paka kuzeheka kwake.
@realpolybeatz3 жыл бұрын
honestly siez poteza my mbs kuangalia ujinga huu anae mchukia hajamfikia hata theluthi GTH
@mrlalji443 жыл бұрын
huna bando ww .....
@joselynesango40753 жыл бұрын
Naudi tena mwijaku ni mwanaume washoka kabisa wa tangazaji wa tz kuweni wakwei mwijaku awambiya ukwei 💙💙💙💙💙💙💙 mwijaku panasiku watawaewa 2
@alakibutanga40213 жыл бұрын
Naipenda sana SNS, me nawafata nikiwa Arizona USA 🇺🇸
@alicemazurues7693 жыл бұрын
Huyo Kaka anaroho mbaya Kabisaaaa...
@JJ_Media20243 жыл бұрын
Happiness is the state of mind,bro we see it you are not happy
@gb-one64353 жыл бұрын
Mwijaku ana roho mbaya Sana ase Wivu na chili ndio vinadababisha ana mchukia Diamond
@asaa32193 жыл бұрын
Wewe pía unamsaidia Kua nayo, Kumbuka unapo sema mwenzako Ana roho mbaya na wewe pía unayo sababu uwezi sema mwenzio Ana roho mbaya kwa kusema ukweli, kilicho kuumiza mpaka useme hivyo ni nini ajakutukana,, Yani moto kidogo unakuchoma kiasi icho je wambinguni, uta ustaamili kweli, sapoti ugonjwa wewe sapoti uongo wewe wala ustie shaka
@fahadlondon25213 жыл бұрын
Watching from London 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@donald70223 жыл бұрын
Enyewe leo ni me mwelewa mwijaku ,kusema ukwali diamond platnumz huwa ha support wasani wengine Bali to wale wenye wako wcb😅😅😅😅
@freelancer63683 жыл бұрын
Kwani hao wengine wanamsupport?
@achilatv57203 жыл бұрын
Enda page ya burna boy uangalie kama amempost msanii yoyote
@adnanbossy40973 жыл бұрын
@@achilatv5720 heri iende nche kuliko kumpea diamond atafimba saana aendelee kudharau wasanii wengine wacha anyimwe ndo ajifunze
@vincej92753 жыл бұрын
Kweli kabisa. That's a fact.
@lennykiganga47633 жыл бұрын
@@freelancer6368 kila mbuzi ale kulingana ns uref wa kamba yak hivi kwan msanii wakat anaanza mzik kwa mfan anategemea support ya diamond ili atoke
@minajones76993 жыл бұрын
Sns dah! Mmezingua Leo, haters should not be given a chance to spread their toxicity to the community, all they do is destroying others. I can't believe you did this🙌🙌
@djpeter81073 жыл бұрын
True that
@stevenchenga19783 жыл бұрын
#sns wamezingua mnooo
@mozaseleman59682 жыл бұрын
Greetings from Quebec Canada
@alexiskashosi24093 жыл бұрын
Following you from Canada 🇨🇦
@petersonyc14393 жыл бұрын
Watching all the way from kenya illa kwa hii mmekosea kumhojii uyu bwege nasiitunampa support kwa bet
@aboubakar47933 жыл бұрын
Kipende kilicho ni firahisha zaidi mahali alipo zungumzia mahusiano yake na mkewe rahaa✊🏾✊🏾
@winfridamwigilwa21073 жыл бұрын
Kwa kweli. Hapo tu.
@thomasmashallanyanda33053 жыл бұрын
Niko Indonesia jakarta, Napenda sana program zenu, keep going👍
@joselynesango40753 жыл бұрын
🇲🇾🌎mwijaku yuko sa hihi 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏kwa mwijaku
@mbembelatv3 жыл бұрын
Exactly 🔥
@leons25483 жыл бұрын
It's true n facts Diamond doesn't support anyone out of his circle,,
@bone1023 жыл бұрын
What about baba levo does he in his circle also does wasafi tv show only music videos of wcb singers?
@bone1023 жыл бұрын
also can you tell us does harmonize,alikiba support other artists? atleast mond have media which play songs of different artists does harmo and kiba have media?
@yussufritzy76843 жыл бұрын
Zile show wanazozianzisha wasafi na ambazo ziko chini ya mondi,,huwa anawachukua wasanii wake pekee ama?? Acha chuki
@joezeno83 жыл бұрын
@@bone102 bro, wasafi tv needs Artists but diamond Always wants to be bigger himself and his circle
@bone1023 жыл бұрын
@@joezeno8 you want to tell me that wasafi festival all artists are from WCB? Also tell us without diamond can Nandy have chance to get oppurtunity to sing with Olomide? Which artist does Alikiba or Harmonise show support in wasafi festival if diamond want to perform only with wcb singers he can but he decided to support other artist
@bakariyusufujuma3 жыл бұрын
Nimekusoma mwijaku
@ramak.95873 жыл бұрын
Mwijaku umeua hii interview 100% ur right bro. Diamond ako na ubinafsi mkubwa sana. Anaitaji yeye ndio aonekane na kujulikana pekee. Infact kitendo cha kuitisha 600 million kwa Harmonise lengo lake ilikua kum'malizaa completely kwa industry. Mbna Rich Mavoko alivunja mkataba na akamuitisha 20 million pekee bt Harmonise 600 million. Siezi SUPPORT iki kiumbe COMPLETELY.
@fabriceingabire87363 жыл бұрын
Dc for president of basata 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@nilufaallyhussein76783 жыл бұрын
That what i call freedom of thought and it’s very important to have your own opinion. Good on him for not following the crowd
@strong85343 жыл бұрын
I feel like I can unsubscribe but I really love this channel
@adjussahkindamba31113 жыл бұрын
🇦🇪 That's correct mwijaku reall facts hopefully you can deliver the right message for the all Wasanii wapendane. 🇹🇿
@elizabethsakina23063 жыл бұрын
I don’t know why i don’t get notifications from this channel and I’ve turned on notifications 😭😭😬😬😩
@jordplatnumz3 жыл бұрын
Criss vp mbona kama unataka kumpiga Vibao 😂😂😂😂
@edwinandayi37533 жыл бұрын
Si huyu mbuzi ndiye aliyesema diamond alifanya vizuri kutokukoment ili asishushe brand yake kipindi anasema harmonise ameishiwa ideas
@lponemsafi78653 жыл бұрын
All the way from dr Congo
@MohammedMahmoud-fi3lj3 жыл бұрын
All the way from NYC bro big up
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Huyu anaongea mengi utajuta kumfanyie interview 🤣🤣🤣
@einsteinmboje47303 жыл бұрын
Mtangazaji Ur Very Proffesional ... Ningekuwa Mm Nahisi Ningepanik. Sio Kwa Utumbo huo, Halaf Mwijaku Inabd Apunguze Mzigo Was Chuki Wa Diamond Atakufa Na Presha
@asaa32193 жыл бұрын
🤧
@fadhilinyengo78533 жыл бұрын
Nawakubali sa ila hapo mmechemka kumleta mtu ambaye anasambaza chuki badala ya upendo, mtu anayeleta mambo yake binafsi badala ya utaifa. Wakati tunapambana kwa uzalendo ninyi mnaleta mtu ambaye kwa sababu yake binafsi anachochea kumtenga mtanzania mwenzetu. Sometimes msiweke pesa mbele sana kuliko utu iyo interview haikupaswa kufanywa kwa kipindi hichi ambacho tupo kwenye mapambano
@JJ_Media20243 жыл бұрын
Division one for nothing,but we can't say more because God gave you chance to stay on media, The bad things about mwizijaku he destroy his backbone
@valentinoraymond76593 жыл бұрын
he is genius
@mangareentertainment.3 жыл бұрын
That's fact.lets support simba 🦁
@zainababdullsadik12473 жыл бұрын
From Luxembourg 🇱🇺lazima wakuelewee wenyewee akili zao timamuuu
@rsautoservice9843 жыл бұрын
Yuko right kabisa sikiza mpaka mwisho mwijaku anajua anachoongea bana..na ni kweli kabisa..mwijaku mitano tano tena..
@JacobEston3 жыл бұрын
Watching you from Zambia cb Ndola
@Directorhernrypro3 жыл бұрын
Bandle langu limeenda ki halali thanks 🙏 mwijaku
@r.masudi.95033 жыл бұрын
😂😂😂👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 mwijaku 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥
@abubakarmbwana81123 жыл бұрын
Abubakar from 254 ... Napenda Sana Mwijaku anakaa mkweli wala sio mnafki
@fizianjsjibriz18213 жыл бұрын
Congo Drc
@muubaytz47543 жыл бұрын
Dah jamaa anaongea point saana
@asaa32193 жыл бұрын
Asanteni sana jamani anastahili pongezi
@manstiko58903 жыл бұрын
All the way from Italy 🇮🇹
@zeyzey54393 жыл бұрын
Mungu amjaliee diamond ashinde
@abdallahmohammed40593 жыл бұрын
Naishi ( South Africa P.E ) Mwijaku Yuko vizuri anajua nini anafanya. Na kwakipengele hiki mm nadhani tuwe wamoja tulete tuzo nchini ili iwe chachu ya kufungua mambo mengine apo Baadae Atakae faidika ni diamond pekee Lakini pia taifa kama taifa tutapata Thamani kupitia ilo na mengi yatakuja Baada Ya ilo Asanteni kwa kunielewa 🙏
@Adeen.13 жыл бұрын
Diamond has been paving way for this bongo fleva game bro, which help do you want...
@joezeno83 жыл бұрын
@@patienceandjoice3647 for real
@shottgandolla98263 жыл бұрын
254 Kenya😂 mwijaku dah
@partnersah88023 жыл бұрын
Ila swari kwake ni moja. *BET wamemuonaje Diamond wakamuweka kwenye category hiyo* hiyo category wameona anafaa kukaa hapo na kupambana na hao waliopo sasa wewe Mwijaku unasema mdogo hafai kushinda wakati kuwekwa pale tu tayari mkubwa
@imanuelijulius58543 жыл бұрын
From Kenya 🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
@xboyxfashiondesign90783 жыл бұрын
Sasa nenda kwenye page Ya Burna boy unipe WASANI WA 3 ambao burna boy âme support amepost nyimbo zao wewe ni mjinga sna
@ndimilaalbert66713 жыл бұрын
Huyo Burnaboy amemsapot Nani kutoka Tz. Huyo panya wao huwa anajipendekeza lakini jamaa linamkunjia
@nintunzeleonel80623 жыл бұрын
Nenda tweeter
@denisimaliyaweni91833 жыл бұрын
Ukweli mtupu yan daaah vizur sn mwijaku tunaipenda tz yetu lkn diamond anazngua sana anaona label yake ndo kubwa africa kumbe hakuna kitu
@lapozzydone52033 жыл бұрын
Mwijakua anaongea ukweli sana..Mfano mzuri ni nyie SNS mnamsuport sana Diamond lakini je yeye anawasuport muiteni hapo kama mulivyomuita Mwijaku kwa interview kama atakubali.! Harmonize alitoa Album yake Wasafi tv haikwenda kumsuport Diamond asuport wasanii wenzie zaidi ya Wcb..
@openmindtz3 жыл бұрын
Best interview Ever I heard n this is truth..
@juliofrancisconamuenta42433 жыл бұрын
Nakipata Niko maputo
@itNeza3 жыл бұрын
Aaache Upumbavu ni Mwivu tuu. 🙄 | Unatafuta Umaarufu Kupitia mgongo wa Diamond , Ka Jamaa kanatafta Ugali.
@mangareentertainment.3 жыл бұрын
Daaaah thanks kwa kulitambua hilo. Watu wakiona hawaongelewi lazima waanze kuomba interview kumponda icon ya Tanzania duuuuuh jamani tuache roho mbaya
@isacklaurent89483 жыл бұрын
yan m2 hamuwez kumuhoji maswali anawacontroo hamuwez kuhoji inavyostaili
@joselynesango40753 жыл бұрын
Mwijaku tz pangekuwa Wa naume kama weye tz ingekuwa marekani hongea sana mwijaku 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏tafazai kwa mwijaku mwanaume washoka wa tangazaji wa tz wanapendeeya sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wenyewe ndo tunawasikiiza ila wajuwe kama tunawajuwa gisi wanaupendeeyo mwijaku ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪zaidi 🇺🇸🌎👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍