MKASA wa Dereva BODA BODA (Bolt) na MKE wa MTU usiku mnene, hivi ndivyo alivyonusurika KUTEKWA

  Рет қаралды 10,603

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 23
@shangazadunia3000
@shangazadunia3000 Ай бұрын
HII habar ni kuwa bolt wanataka kupromotiwa kinamna au wanata kuawa kiaina. Mwanzo ile ya yule dada,sasa story tena ya mkasa wa boda wa bolt. Kule dada yule na mkasa wa bajaji .
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Ай бұрын
Kweli kabisa una akili mingi
@yusuphally6939
@yusuphally6939 Ай бұрын
Sema kuna vitu vya kujifunza apo kama drive wa boda bajaji sema kama haikuusu uwez elewa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Daah changamoto sana hizo kazi😮
@valerianchamlungu7268
@valerianchamlungu7268 Ай бұрын
Well said....
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 Ай бұрын
Hiyo wanawafanyia bodaboda kwenye gari na bajaji atunaga masiara kwenye pesa ukiwandekeza madada unaweza usipate hela na virus juu kwenye hii kazi usafirishaji wa Abiria
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 Ай бұрын
Mshua ana kitambi nn
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Ай бұрын
Kuna madereva wa pikipiki yaani watu sana na ni waelewa sana wengine yaani ni zaidi ya ndugu Hawana shida kabisa ikiwa utaenda nao sawa na wanaweza kukutea Mimi kuna dereva pikipiki alishawahi ingilia ugomvi na kumkunja bwana wangu enzi hizo niko Tanzania na kumwambia ukijaribu kumpiga dada yangu basi tafuta njia ya Kupita.
@yusuphally6939
@yusuphally6939 Ай бұрын
Nimependa sana ratiba yake
@AssumaniNahishakiye-vq9ft
@AssumaniNahishakiye-vq9ft Ай бұрын
Bonjuor brother vp sasa story za mabaharia lakini kwakweli tuna ona kimya kwakweli
@BigZhumbe
@BigZhumbe Ай бұрын
Huyu dereva friji haligandisha, anafunguka tu, hawazi madhara atakayosababisha kwa wateja wake ambao wamemuamini na matukio yao.
@abdul-qadirkhamis2518
@abdul-qadirkhamis2518 29 күн бұрын
Kwani kamtaja mtu jina... Kajionesha sura... Kaoneesha namba ya piki piki.... Wewe ndio umshukuru kwa kukupa elimu
@ommimg2467
@ommimg2467 Ай бұрын
Huyu hamnazo ndio maan hata sura ameficha
@mansourmakame355
@mansourmakame355 Ай бұрын
Madereva wa serekali nikweli hawapomakini na niwajeuri vibaya mno washawah kunisababishia ajali halafu wanakimbia na matusi juu ila ipo siku atapasuka mtu
@officiallugano8991
@officiallugano8991 Ай бұрын
Fridge la huyu mwamba linahitaji fundi
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 Ай бұрын
Unapewa neno bure na malipo ni pkpk yako😅😅
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Ай бұрын
Mimi mteja akiniambia nijiongeze namkaza kweli
@smb430
@smb430 Ай бұрын
Kama mtu anagari, bodaboda au bajaji nirahisi kupata dereva? Wapi vyama vya madareva, nahitaji derava!
@yusuphally6939
@yusuphally6939 Ай бұрын
Unataka drive wa bajaji au
@dvjmiloow2955
@dvjmiloow2955 Ай бұрын
Jamani Leo GPS vipi?
@kevicristian2738
@kevicristian2738 Ай бұрын
Nimesubiria GPS ila wapi
@josephdonald6199
@josephdonald6199 Ай бұрын
Suka yuko poa ..
@hakizimanapascal1710
@hakizimanapascal1710 Ай бұрын
Am the first one,my likes pls
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 81 МЛН
Raya Mke wa Barnaba amvaa Dulla Makabila, adai amemdhalilisha mumewe
3:43
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН