Huyu mwijaku njaa tuu inamsumbuwa au mwendawazimu hayupo sawa kabisa
@Lina4285baby5 сағат бұрын
Harmonized doesn’t play about his girl 😂😂😂😂😂
@Humanity212165 сағат бұрын
Sasa Mwijaku awe na msimamo kwani yeye ndo mwenye mwanamke yeye anafanya kwa ajili ya mchuzi😂😅😁
@Farajahelene2303111 сағат бұрын
Don't take mwijaku that serious
@babanadia32019 сағат бұрын
Mwijaku angefungwa Tu ili nchi ikae na amani
@Humanity212165 сағат бұрын
Heee ndo unachomuombea binadamu mwenzio?
@JeannetteManirambona-o6m8 сағат бұрын
Uyo kichwa muvilingo anajifanya kila kitu anajua😂😂
@ngayaimkwe517511 сағат бұрын
Boss hanuniwi ata siku moja
@AthumaniChalamila-c9f7 сағат бұрын
Chawa anazingu😂
@christinewomanoffaith54797 сағат бұрын
Wanaume huwa na tamaa sn Mwisho wa siku akili zikiwakaa sawa huwa wanaelewa kuwa wanawake wenye makalio hawana akili wanawaza makalio tu, wachche wana akili 😂
@kidatokassim76168 сағат бұрын
Iyo familia mwijaku anaitambua hainaga mchezo atapelekwa kizimbani kama mwanzo tu
@linnerphilip426012 сағат бұрын
Mmh wasanii hawa baada ya kuchezea mkshape wanatulia kwenye vimbaombao kaanza mknd sahv harmo aah namie kjmbe ntulie rayvanny yuko njian ananijia😊