TAZAMA MWIJAKU AKIONYESHA MJENGO WAKE KIFAHARI ALIYOJENGA KIGAMBONI

  Рет қаралды 308,268

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 652
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 9 ай бұрын
Congratulations DC.. MashaAllah 😍 😘 Proud of you Mwijaku 👍🏽👍🏽👍🏽👌🏽🌹🌹🌹
@Uwamahoro-fefe.15
@Uwamahoro-fefe.15 9 ай бұрын
MashAllah,hongera sana mwijaku walio kuona kichaa umewafunga midomo kweli
@hellennehemia9269
@hellennehemia9269 9 ай бұрын
Huyu jamaa unaweza kumuona chizi,ila jamaa ni mastermind 🎉hongera sana
@jenjoseph7270
@jenjoseph7270 9 ай бұрын
umeona
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 9 ай бұрын
Msomi muingizaji huo.Akiwa na watu wenye akili anaongea point.Akiongea watu wanaotaka udaku anawapa udaku.
@mariozulu5743
@mariozulu5743 9 ай бұрын
Jifunzeni kwa mwijaku machawa much respect from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MBAmir-bl9sd
@MBAmir-bl9sd 9 ай бұрын
Tuko na cassypool😅
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 9 ай бұрын
Bahati nzuri mwenyezi mungu wote viumbe wake katuumba na akili, ila kazi ipo kwenye kuzitumia hizo akili zenyewe😎😎😎😎
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 9 ай бұрын
😁😁😁😁kumekucha Muha kama Muha Hongera Sana ikawe nyumba itakayo kupa amani na upendo kwa familia yako siku zote🙏🔥❤️
@AnnahJohn-hw8yb
@AnnahJohn-hw8yb 9 ай бұрын
Hongera sanaaaa
@Mojunior-c7q
@Mojunior-c7q 9 ай бұрын
Dah mwijaku hakiry nyingi sanaa broo hongera sanaaa maisha ndiyo hayooo❤❤❤
@morjanoman5181
@morjanoman5181 9 ай бұрын
Tatizo wasanii wa. Tz. Wamezoea kushea wanawake. Au wanaume mmoja sio kumchagua mmoja na kupanga maisha
@RehemaMandai
@RehemaMandai 9 ай бұрын
DC Hongera kaka nmejifunza jambo kwa mwijaku, ukiwatendea wema wazazi wawil na kuishi vizuri na watu mafanikio utayapata kimaajabu na watu wasiamoni machoni mwao, huyu jamaa pamoja na vituko vyake tunavyomuona lkn Ana moyo safi sana kwa wazaz na ndugu hata marafiki huo ni ukwel haupingik
@ummahmed3354
@ummahmed3354 9 ай бұрын
Maa shaa Allah... Allah akulinde na kijicho na husda... Allah baarik
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 9 ай бұрын
Ila Mwijaku😅 Kwamba uandike mswada serekalini iwekwe kwenye mtaala wanafunzi waje kufanya tour😅 huishi vituko DC. Hongera sana, we love u❤ wish u all the best brother
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 9 ай бұрын
MashAllah tabarakah Allah, mwijaku Mungu akuzidishie na pia akulinde na macho ya hasad,, inshalla sisi sote pia Allah atuwezeshe mwaka huu tuweze pia timiza ndoto zetu maishani., amiin ya Rabb 🤲🤲....one love mwijaku all the way frm Kenya.
@hp2623
@hp2623 9 ай бұрын
Ameen
@nasra95kings43
@nasra95kings43 9 ай бұрын
Ameen
@josephlorri431
@josephlorri431 9 ай бұрын
Mwijaku ni msomi, master degree ya mzumbe (sijui fani gani).. ameamua kujichanganya maisha ya mitaani (uchawa) badala ya kuzunguka na bahasha maofisini kutafuta kazi.. nafikiri kuna kitu cha kujifunza
@modernfarming5938
@modernfarming5938 9 ай бұрын
We jidanganye kuwa hajataka kuzunguka na bahasha
@omaryomary4356
@omaryomary4356 9 ай бұрын
Mbona kaajiriwa Kaka clouds 😅😅😅😅😅😅
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 9 ай бұрын
Kazi zenyewe za kujuana utazunguka na bahasa ya kaki mji mzima bila mafanikio,jiongeze
@zubedamrutu3156
@zubedamrutu3156 9 ай бұрын
Sasa lakini angefanya huko office angetoboa lini acha ushamba bwana
@eppiemodest
@eppiemodest 9 ай бұрын
Mwijaku msomi. Ila mafanikio yake yametokana na maisha ya kujitegemea mwenyewe kwa kazi za kutumia busara tu. Naamini utajiri ya binadamu nikarama zake mwenyewe si elimu ingawa nayo ni muhimu. 👍🏼
@MariaKitundu-l1m
@MariaKitundu-l1m 6 ай бұрын
kaka nimekuelewa nimekupemda nakuombea mungu akupe zaidi mimi sina kitu nimejifunza kitu naamini Iko siku na mimi ntapa hata kidogo ni mefurah huna majidai kama wengine mungu akupe maisha marefu
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 9 ай бұрын
Nimependa hii nyumba much-loved from Kenya 🇰🇪
@dismasshayo2195
@dismasshayo2195 9 ай бұрын
Mwijaku niko arusha ongera sana. Mwanamme ni nyumba.
@peacemakune911
@peacemakune911 9 ай бұрын
Exactly
@samtelah7578
@samtelah7578 9 ай бұрын
Mara kitasa 18M mara 8.5M yaan ukiwa muongo uwe na kumbukumbuku😀😀😀
@AaBb-q2l
@AaBb-q2l 9 ай бұрын
Viko tafauti vitasa
@igihamanuel1
@igihamanuel1 9 ай бұрын
@@AaBb-q2l Tatizo watu wamekalia kutafuta makosa, achana na hiyo husda haitakufikisha popote. Mwenzio akifanikiwa iwe chachu kwako
@mercyhumbe8857
@mercyhumbe8857 9 ай бұрын
Awe anasikiliza vizuri😅
@hasanichengula68
@hasanichengula68 9 ай бұрын
Muungo nini Sasa siyo nyumba yake au hawezi kkupa ukweli wakila jambo
@SaleheMganga-d6s
@SaleheMganga-d6s 9 ай бұрын
Cha kwako sh.ngapi?
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 9 ай бұрын
Mwijaku umenichekesha sana 😂😂😂😂😂 upo vizuri hongeraaaa
@tupokigwemarco7584
@tupokigwemarco7584 9 ай бұрын
Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako,iwe ya haki si kuangamiza wengine
@ZeishaFuture
@ZeishaFuture 9 ай бұрын
Mastermind love you mwijaku kuna wanaokuzarau ila wewe kiboko na usomi wako wote ukauacha ukawa chawa matunda tunayaona wewe wakuigwa kwa maana ni fano mzuri❤
@josephchacha7456
@josephchacha7456 2 ай бұрын
Duuh jamani yaani watu tungelikuwa hatufii hakika tungekuwa tunaishi maisha mazuri sana ila father mwijaku hongera sana tena sana mwanangu nivitendo soo maneno....
@rodethazard6598
@rodethazard6598 9 ай бұрын
Hii nyumba ni nzuri aisee kama ni ya kwako kweli nakupigia saluti mwijaku umetisha
@bakariathmanathman2187
@bakariathmanathman2187 9 ай бұрын
Masha Allah thabaraka Allahu yaarhmaan 🙏 mabruuk Mr mwinjaku ume ni funza kaka lnsha Allah mwakani nafungua yangu jampo kua nizetu zakiswahili hongera kaka 🙏
@rehemageofrey1246
@rehemageofrey1246 9 ай бұрын
Hongera sn, Mshukuru Mungu Ila usiponde/ kufananisha na nyumba za wengine
@murekateteaza9524
@murekateteaza9524 9 ай бұрын
Mwijaku nakukubali sanaaa maa shaa allah mungu akupandishe daraja ya juu maa shaa allah.
@josephkiwale374
@josephkiwale374 9 ай бұрын
Hongera nyumba ipo vzur mzee
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 9 ай бұрын
Braza umefanya jambo zur sanaa tema kubwa si rahis kwa wanaojua maswala ya ujenz watakuelewa,,,lkn baadhi ya vitu hapo sifur zimeongezeka😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zainabumosi23
@zainabumosi23 9 ай бұрын
MashaAllah mwijaku Allah akujaliy akup na bingine zaidi ya ibo Allah akutanguliy
@Mwajumahoya
@Mwajumahoya 9 ай бұрын
Majani yameota ndani ya siku mbili ila mwijaku🙌🤣🤣but mashallah umepambana sana
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo 9 ай бұрын
Maashallah brother umejipanga tuombee na sisi dua
@mamy8220
@mamy8220 9 ай бұрын
Ongera mwijaku na mm atanipa na mume wangu tutajenga kama hiyi❤❤❤
@AllyJangara
@AllyJangara 8 ай бұрын
Kweli eeeh
@agentmsami5303
@agentmsami5303 5 ай бұрын
Inshaallah
@jahsjjsj583
@jahsjjsj583 9 ай бұрын
MashaAllah , mungu ni mwema sana
@jacintathomas4582
@jacintathomas4582 9 ай бұрын
😅gwp
@HalimaSalym-jl2ui
@HalimaSalym-jl2ui 9 ай бұрын
ALLAH akujaalie na AKHERA upate makaazi MAZURI ZAIDI YA HAYO. AMMYNA
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 9 ай бұрын
Maskini ❤️‍🩹 hizo taa za inje mlinzi na muonea huruma hizo lazima ziibiwe
@ahz6907
@ahz6907 8 ай бұрын
Hayakuhusu😂
@matungwajermanus7961
@matungwajermanus7961 9 ай бұрын
Safiiii Sana Mwijakuu Hongera Sana...Safiii Sio kujitaidi ila umeweza
@RehemaMandai
@RehemaMandai 9 ай бұрын
Maaashaallah jiran yetu , welcome kisota umetuheshimisha DC, nlijua umejenga kibada kule kwa wazaramo akina joti
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 9 ай бұрын
Hongera ujitaidi uchawa unalipa niaze hii kazi msimseme hameweza hana shida kuomba kodi
@luckyluchano1
@luckyluchano1 9 ай бұрын
Mashallah! Tajiri umepoooa! Umepoooa!👐
@issashebe11
@issashebe11 9 ай бұрын
MashaAllah hongera kwa nyumba nzuri.
@RhoidaKhwele
@RhoidaKhwele 8 ай бұрын
Ww kaka mwijaku ww hongera sana nakuombea uweke furniture nzuri nyumba ionekane nzuri zaidi congratulation
@Frolianagabito3000
@Frolianagabito3000 9 ай бұрын
Wabongo tunavyopenda mafanikio ya haraka naona mwaka huu watu wengi watakuwa machawa 😅😅😅😅
@veronikachingo3900
@veronikachingo3900 9 ай бұрын
Haaaaas
@hanifaally4694
@hanifaally4694 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 9 ай бұрын
Wa kumfanyia uchawa wenyewe Sasa,na je kuyaweza haya ya mwijaku
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@anjuadnani2607
@anjuadnani2607 9 ай бұрын
Huyo mnafki sana
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 9 ай бұрын
Nyumba nzuri sana asee jamaa amejua kujenga
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 9 ай бұрын
Ma Shaa Allah Tabarakallah nimpenda binti yako amejistr🥰🤲
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 9 ай бұрын
Hii nchi watu watakufa masikini sana, sometimes tuingie mitandaoni kuelimishana tufanye nini ili kukua kiuchumi, sasa kijana anaingia hapa anaona tu matokeo ya vitu kama hivi na kijana haambiwi mtu huyu amefanya nini ili kuleta matokeo kama haya, akifatilia huyo anaye jisema ndiyo mwenye nyumba anafanya kazi gani, anakuta anaambiwa huyo ni chawa, hivi tunatengeneza nini hapa nchini? Na watu wanakuja hapa wanasema Congratulations... Sifa zenyewe anazo ziongelea ni kama pia unaona wazi Wala hii nyumba yamkini siyo yake
@HowtoKenya26
@HowtoKenya26 8 ай бұрын
Nyumba siyo yake kivipi.. Una evidence..
@fredducaunt
@fredducaunt 6 ай бұрын
Umezoea spoon feeding Unataka uelekezwe Kila kitu toka elimu ya darasani hdi ya maisha Haya kaa kuna mtu atakuja kuku elekeza sawa
@shamlimah5682
@shamlimah5682 4 ай бұрын
Allah bless u with ur family.this is so cute house mungu akumpe umri
@ayubuidd6664
@ayubuidd6664 9 ай бұрын
Kwel uyu mwehu njoo bukoba uku uwone utumbo wote unaotukanishia watu😏😆🤣 Sema hongera Sana ndo uwezo wako ulipo ishia maashaallah
@FatmaHalfan-w3l
@FatmaHalfan-w3l 9 ай бұрын
Sio manara anakazi yakutuonyesha wanawake wapya Kila siku hongera mwinjako😂😂
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 9 ай бұрын
Umenifurahisha😂😂
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 9 ай бұрын
Anaye jenga nyumba lazima apewe eshima yake
@Faineskizanye
@Faineskizanye 9 ай бұрын
Sana ndugu yangu
@sophsoph4740
@sophsoph4740 9 ай бұрын
Kbs mwenzangu
@sylviaforest3001
@sylviaforest3001 9 ай бұрын
Kabisa sio kila mtu anaakili hii ya kujenga
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 9 ай бұрын
Hongera mwaijaku Niko Zambia nakufwatilia
@RahmaJovin-p2j
@RahmaJovin-p2j 9 ай бұрын
Daa mwijaku umeweza baba❤❤
@witnessinary7807
@witnessinary7807 9 ай бұрын
Mama levo nae avunje record km anaweza😂😂😂😂
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 9 ай бұрын
Umeweza Mwijaku🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@shamimulazaro9518
@shamimulazaro9518 9 ай бұрын
Masha_Allah Masha_Allah
@georgemkassu8301
@georgemkassu8301 8 ай бұрын
Hongera sana Mwijaku ni hatua kubwa sana umepiga nyumba yenu kwa maana na mkeo ni nzuri sana hongereni sana
@amemasudi5735
@amemasudi5735 9 ай бұрын
Hongera kw kipata kibanda matata sana Allah akulinde
@thomasmelele2669
@thomasmelele2669 9 ай бұрын
Actions speaks more than words congratulations brother
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 8 ай бұрын
Hongera boss nyumba ni nzuri umejitahidi
@salomemunishi1695
@salomemunishi1695 4 ай бұрын
Nilikuwa nadhani uongo hiyo 1B ila inaweza kuwa mana nimemsikilza kwa makini bei zake za vitu nikahisi anadanganya alivokuja kwenye dirisha ni kweli kabisa walojenga watasema dirisha moja la aluminium ni laki 4 ila la pvc ni laki 6 sasa madirisha kumi ni sh ngapi. Swimming pool ni kweli kabisa 36m bado yale mataa mataa ni gharama kwa kweli. Hongera sana Mwijaku
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty 9 ай бұрын
Maashaalah Maashaalah Maashaalah kaka mungu azidi kukubarki sana inshaalah
@helminahpeter4886
@helminahpeter4886 9 ай бұрын
Hongera sana uzidi kupiga hatua zaidi najua wenye roho mbaya hawakosi la kusema maana wivu umewajaa
@wardadallu1820
@wardadallu1820 9 ай бұрын
Nakupenda mwijaku😂😂😂et utazoea tuuu😂😂😂😂watu wankuonaga chizi kichwa sana we jamaa
@TALLUBOY
@TALLUBOY 9 ай бұрын
Mwijaku maisha yako Unatumia siri kubwa sana Umewagandaaaa akina harmonize na akina diamondi Hakina allykiba kumbe wewe Unajambo lako
@DjumaShabani-d6w
@DjumaShabani-d6w 9 ай бұрын
ongera saaana DC mwijaku djuma shaban from cape Town south Africa ❤❤❤
@missmoona4497
@missmoona4497 9 ай бұрын
Saleh kapatikana leo umbea woote umemuisha🤣🤣🤣🤣🤣
@OthmaniJuma-lt4of
@OthmaniJuma-lt4of 9 ай бұрын
Huyu unatukatisha tamaa ya kujenga dah mlango tu million 6 😊😊😊
@faidhacute
@faidhacute 9 ай бұрын
Million 6 wap muongo bhana huyo anaongeza masifuri tu wakat
@monicapeter9065
@monicapeter9065 9 ай бұрын
Bwanaa eeeh Bora upate pa kuweka mwili usiku Mengne ni manjonjo ya Dunia tunayaacha haya kikubwa una eneo maarumu pa kujistil mwenzang Kuna wengne wanataman hata kidogo wanaishia kuwa wakimbizi
@SekelaKapwela
@SekelaKapwela 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@jocelyneliaminarukundo3633
@jocelyneliaminarukundo3633 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 9 ай бұрын
Hongera sana mwijaku ila mpaka umention watu anyways mnajuana
@annaraymond6140
@annaraymond6140 9 ай бұрын
Mmm nimeangalia acha niseme mashallah mashallah mungu akuwek na akup mafanikio zaid ya hayo
@SoomaSoma-t8x
@SoomaSoma-t8x 4 ай бұрын
Mashallah mungu akuondolee mikosii
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 9 ай бұрын
Hongera sana sana upewe maua yako kwakweli
@khamisshee803
@khamisshee803 9 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤ Aka bachuchu Mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hamudseif4406
@hamudseif4406 9 ай бұрын
Chumba Cha kusalia kikowapi ???
@WinfridaMushi-b2n
@WinfridaMushi-b2n 8 ай бұрын
Hongera sana bro mungu azidi kukupigania itakuwa funzo kwa wengine
@ZarunaSinda
@ZarunaSinda 9 ай бұрын
Mashaallah Mwijaku nyumba yako yagharama sana umeweza upo vzr hongera sana
@frankmahenge5943
@frankmahenge5943 8 ай бұрын
Hongera Sanaa ushaurii ongea na majirani waliopo karibu na wewe uwahamishe Nyumba iwe na eneo kubwaa
@EliudiJastini
@EliudiJastini Ай бұрын
Amazing boss mswahili😂
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 9 ай бұрын
Nyumba ni nzuri inabid uwanunue na majilan ili uwe na neibhourhood nzuri
@steveabel5819
@steveabel5819 3 ай бұрын
Hongera Mwijaku ingawa nyumba ni ndogo ila umejenga👏
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 9 ай бұрын
Masha ALLAH, Ubarikiwe saaaana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 ай бұрын
Yaaaan mwijaku wewe wakutuangaisha hivi leo mitandaon mara Instagram,fb, KZbin tunyoosha baba
@maryumamapunda8910
@maryumamapunda8910 9 ай бұрын
Yani katueleleza kweli leo😂😂
@RehemaFelician
@RehemaFelician 9 ай бұрын
Mwijaku anahakil Sana hongera 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jastinemwandobo2729
@jastinemwandobo2729 9 ай бұрын
Mungu nakulilia namimi uje unikumbuke ktk maisha haya ya dunia mpaka huko kwako😢😢😢😢😢
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 9 ай бұрын
Usijali atakukumbuka tu
@AmissiDeo-p1s
@AmissiDeo-p1s 9 ай бұрын
Mashaallah allah akijalie kheri mjomba wangu
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 9 ай бұрын
Masha'allah..nimeipenda nyumb nzuri☑️
@GreatThinker-x1b
@GreatThinker-x1b 9 ай бұрын
Kweri mwijaku katoa somo na challenge kwa vijana wakati anapambana tunamwona mwehu😂😂Hongera sana DC.
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 9 ай бұрын
Hongera sana mwijaku!!!!umejitahidi saaaana
@Mutubure
@Mutubure 9 ай бұрын
Tuna msubiri na baba levo azinduwe 😂😂😅
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 9 ай бұрын
Jamaa muongo izo koki omani rial 7 masinki 25 adi 20 unachukua camera laki tuu na nusu😂😂😂
@aiseesijui6736
@aiseesijui6736 8 ай бұрын
Aisee daah! yaani hii ni nyumba yangu kabisa hii, na ndivyo itakavyokuwa
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 7 ай бұрын
Sanitary za kawaida Sana.😂😂😂😂😂😂 Nimecheka kwenye mixers toilets na hand washing basins.
@ZulfaHtz
@ZulfaHtz 9 ай бұрын
Hongera Sana,mm naomba Kazi ya kukuwekea electric fence.kwa bei nzuri,nipo Zanzibar.
@michaelsamson4784
@michaelsamson4784 9 ай бұрын
Kwa waliofanya ujenzi wanaelewa how hard kupata kitu ka hiyo, mwijaku hongera sana ingawa kuna chumvi kwwnye price ila hapo 😂 kwa estimation kwenye milion 150 mpka 200 but sio B bana😂😂😂 hongera sana bro
@badifundi6089
@badifundi6089 9 ай бұрын
Mbona kama naona vitu vyangu 😂😂
@abuqusay8912
@abuqusay8912 8 ай бұрын
(19) اعْلَمُوا أَنَّمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا لَعِبٌ وَلَهْوٌ وَزِينَةٌ وَتَفَاخُرٌ بَيْنَكُمْ وَتَكَاثُرٌ فِي الْأَمْوَالِ وَالْأَوْلَادِ ۖ كَمَثَلِ غَيْثٍ أَعْجَبَ الْكُفَّارَ نَبَاتُهُ ثُمَّ يَهِيجُ فَتَرَاهُ مُصْفَرًّا ثُمَّ يَكُونُ حُطَامًا ۖ وَفِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ شَدِيدٌ وَمَغْفِرَةٌ مِّنَ اللَّهِ وَرِضْوَانٌ ۚ وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا مَتَاعُ الْغُرُورِ (20)
@Juliet_Adolphine_Amisi1911
@Juliet_Adolphine_Amisi1911 9 ай бұрын
Mungu akubariki Mwijaku chawa umefanya kitu cha ajabu umeshinda maboss wako
@NovekaNovatus
@NovekaNovatus 2 ай бұрын
Hongera ake
@لبااتتاا
@لبااتتاا 9 ай бұрын
Mashallah.tabarakallahpazurisana❤😮
@hp2623
@hp2623 9 ай бұрын
Mashallah, alhamdullillah
@raphaeltuju-zi2qh
@raphaeltuju-zi2qh Ай бұрын
Huyu ni DC kweli wa kubisha hapa hakuna, Kongole🎉🎉🎉
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 9 ай бұрын
Hongera brother mwijaku ❤
@skyleryung7555
@skyleryung7555 9 ай бұрын
Kazi kwelikweli ila hongera bwana😁😁
@martinamuryang153
@martinamuryang153 9 ай бұрын
Saleh Leo kapatikan😅
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 3 ай бұрын
Usidharau wengine ALLAH anasema haya maisha ya kidunia ni upuuzi na mchezo. Maisha ni ya akhera ukipewa nyumba akhera unaishi milele lakini hapa duniani unakufa na kuyaacha yote uliyokusanya kwahiyo hamna haja ya kujisifu
@MjedaAgrovet-Horticulture
@MjedaAgrovet-Horticulture 8 ай бұрын
Ni kweli amejenga ni jambo la msingi. Ila kusema uongo kwenye bei za vitu si vizuri. Uongo ni mwingi
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 16 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,5 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 4,9 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
UGOMVI WA MPOKI NA BROTHER KEY MBELE YA DEMU
21:41
BONGO LAND
Рет қаралды 113 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 16 МЛН