MWIJAKU Amvua Nguo MANARA/Hana Chochote/Analipiwa hadi KODI/Anaomba kwa Mabosi

  Рет қаралды 14,679

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@OmaryHabibu-gs7ld
@OmaryHabibu-gs7ld 12 күн бұрын
Mwijaku unajiweka pabaya sana ivi Kila mtu unabifu na wewe hayo sio maisha arafu watu wote wamekuzidi kimaisha kujenga imekuwa wimbo kuwachapa wenzio sio sawa utakufa mdomo wazi
@NeemaMwangobola
@NeemaMwangobola 13 күн бұрын
Mwijaku Mimi mama Yako nakusii...Tena nakupenda kama mama...kakukosea nini manara...si vyema kabisa kumwongelea mtu asie kuongelea vby...ACHA mwanangu na anakuongelea vby kabisa na alikataa kabisa kuongea kitu kuhusu wewe...fanya kazi mwanangu huo ni ushauri wangu...kama mama...na manara akuanza walianza wandishi si manara...nakuomba si vyema...hata hari kiba awezi penda unacho kifanya si vyema mwanangu...
@NeemaMwangobola
@NeemaMwangobola 13 күн бұрын
Kuna sehem nimekosea badara ya kuandika ajakuongelea vby...nimeandika anakuongelea vby..ambayo si sahihi...nilikua na mana kuwa...ajakuongelea vby kabisa manara...mungu anamuona mwijaku unamwomba mungu Kila siku si vyema kumzalilisha mtu sisi wanyakyusa tunasema mwiko baba...na manara alikataa kabisa kuongea chochote kuhusu wewe...wabaya ni walio kua wanamuoji wandishi sio wote baazi Yao...wambea sana sana...wajifunze Kwa mirad wa crous...kaka mstarabu sana na mungu amfanyie njia hata pasipo njia Kwa hekima na busara kuto yafukunyua ya watu na frida amani...mungu awatunze...mwijaku zingatia haya nakusii kama mama...watu wagombanishi sana...mweshim manara ni mkubwa wako baba..mungu apendi.
@wagabwagab-md7rt
@wagabwagab-md7rt 12 күн бұрын
Umesikika
@aminahkhuzwayo-iv1wl
@aminahkhuzwayo-iv1wl 11 күн бұрын
Kiukweli simpendi mwinyjaku,,lakin kwenye hili manara ndie wa kwanza kutaja jina la huyu chawa,,ila mara hii kayakanyaga,,kwa kua wote wanagea mdomo kuishi!!zungu nae aache unafiki!🙏
@JumbeOjaso
@JumbeOjaso 7 күн бұрын
Mwijaku Huna level ya Manara,wala humfikii hata kwa nusu ya followers, wala Huna endorsement kama manara.
@RizzikMsingiri
@RizzikMsingiri 9 күн бұрын
Zamani haya mambo yalikuwa ya wanawake sasaivi wanaume umekuwa kama mabinti
@SaidHamad-d3n
@SaidHamad-d3n 9 күн бұрын
Eti halafu anajisifia kuwa yeye ni alhaji rabda yeye ajiite alhaja lakini kwa maneno yako mwijaku maana ya alhaji hujui kabisa toookaa
@nelsonjohn-r8j
@nelsonjohn-r8j 11 күн бұрын
mwijaku ukiwa mbea uwe na kumbukumbu unakumbuka siku manara alivyo Kuja clouds ulimuomba kodi akakuambia uje
@EricRutta
@EricRutta 12 күн бұрын
Wabongo shida sana😂😂😂
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 12 күн бұрын
Fala sana hili mwinjaku sijui mwanjanka
@brownjulius8514
@brownjulius8514 12 күн бұрын
Huyu Mwinjaku ipo siku atakuja kupata jambo gumu akose wakumsaidia kilamtu anatofautiana nae huyu kuna siku alikuwa chawa wa manara leo anaongea manara mbaya kwakila mtu mmh midomo hii 😂😂
@WakiliAbasi
@WakiliAbasi 13 күн бұрын
Nice Dc
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx 11 күн бұрын
huyo jamaaa kwai ni huku kigoma kazura mimba hajajenga hata banda la kuku kwao alipo zaliwa manara ni mzaramo wa drsm hamuwez anamzid umarufu na vyote
@rynesawaya7043
@rynesawaya7043 11 күн бұрын
Labda amshinde kwa ile rangi 😅😅😅
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 10 күн бұрын
Manara sio mzaramo Acha kudanganya watu wamanyema wanatokea dar kama hujui kaa kimya manara sio mtu wa dar ni mzaliwa tu halafu mwijaku nimzaliwa wa kigoma ila sio kwake ni kwao
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 9 күн бұрын
Kazuramimba ni hifadhi ya wanyamapori. Nani ajenge hifadhini?
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 13 күн бұрын
Utakufa mdomo wazi mbwa ww majigambo hayafqi kuna kifo we umbwa😢
@talkie_talkie5
@talkie_talkie5 11 күн бұрын
Mburahati tutaandaamana sasa😅
@shabaninayopa-nw9cf
@shabaninayopa-nw9cf 13 күн бұрын
Ckuwez DC
@RonaldoEnockmheni
@RonaldoEnockmheni 10 күн бұрын
Upo sahihi bro
@RahmaAbuubakar
@RahmaAbuubakar 13 күн бұрын
Na ww unayewaramba ma boss viatu ?? Yupi bora
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 13 күн бұрын
@@RahmaAbuubakar hili huwa linaropoka hovyo
@MamaBeaty-b6t
@MamaBeaty-b6t 5 күн бұрын
Unataka kiki kuptia manala ww
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 13 күн бұрын
Kwan ww nan jitu libaya silipend hli jitu
@alsam4881
@alsam4881 13 күн бұрын
mwanaume mzima unakuwa chawa hata haipendezi.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 12 күн бұрын
Manara alikutaja?
@evergreenoshinaka7479
@evergreenoshinaka7479 12 күн бұрын
Unatuaibisha wasomi mbwa wewe Ukisoma huwezi kutishia watu na endosements huo ni unyani2
@ibrahimabdul6586
@ibrahimabdul6586 8 күн бұрын
Ushamuomba manara Kodi mbwa wewe
@matukutajuma156
@matukutajuma156 12 күн бұрын
Wewe kijana unachukiwa sana kuliko kupendwa
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 12 күн бұрын
Unamchukia wewe sisi tunampenda sana DC mwijaku
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 13 күн бұрын
Wewe Una domo chafu kwa watu,na madharau, ukidharauliwa unaona uchungu! Sifa zako ni chafu za kutukana watu, toka ujenge unaona watu wajinga wewe tu ndo mwerevu! hujatukanwa imekukera ukitukanwa kama unavyo watukana wengine je?
@SaidMkome-q5t
@SaidMkome-q5t 13 күн бұрын
As
@ramahkesh9360
@ramahkesh9360 12 күн бұрын
MWIJAKU YUPO SAWA UYO MANARA WAKATI WAKE USHAPITA AACHE KUWAVIKA WATU UBAYA. 😮😮😮
@FeedyAlex
@FeedyAlex 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 32 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 8 МЛН
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 3 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 19 МЛН
BORA NIZIPASUE
11:34
Joti TV
Рет қаралды 243 М.
Studio Sembang - Macam-Macam Lah! ft. Datuk Aznil Nawawi
2:52:09
ATHQ Media
Рет қаралды 669 М.
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 32 МЛН