Leo wameongea ki- professional zaidi. Wameanza kukua kibiashara. Ila baba levo kaua sana. Anastahili kuwa CEO.
@OfficiallylikiiboyMpole-jb3ozАй бұрын
Machawa wabobezi wanajua kaz zao😅
@omarybakunda2554Ай бұрын
Mko vizuri baba levo na mwijaku.
@ShabanKarim-tv3vnАй бұрын
Babalevo umekua kaka ❤
@ALCADOJAMESАй бұрын
Li baba levo uko nyuma linataka kucheka maana linamjua mwijaku anajifanya kasoma sana kuliko yeye lakn wote wanakula vizuri mungu fundi la Saba na mzumbe wote kunguni kudadek😅😅😅😅
@user-uj5wg9mm2t27 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Brunotarimo10Ай бұрын
CROWN MEDIA❤❤❤
@VITUSPROTUS-wh4mnАй бұрын
CEO kwa herufi kubwa kabisa. Chawa anayenufaika kwa uchawa wake Boss anajali sana, ila huyo mwingine hajui kwanini anakuwa chawa wa MTU 😂😂😂😂
@Suma001Ай бұрын
Hay nambo ya kuomba like hayasaidii lolote badilikeni watanzania
@johnsilima1629Ай бұрын
Ni wa Kenya bwan😂
@Baira240Ай бұрын
Umeamua kumba like zako kwanjia hii😅
@jedidahbintidaudi8241Ай бұрын
ni kweli kabisa..yaani daah
@jastinedaudi-qi9vrАй бұрын
Daah mwijaku bhn
@maximematenga804Ай бұрын
Huyo jama anamtaja kago 😂
@tanzcanmediatv4473Ай бұрын
Diamond diamond diamond wewe kiboko
@user-do6ch1ti8bАй бұрын
Mzumbe is tyiping😂😂😂
@kwisa4899Ай бұрын
Muwambie wateja pia njia rahisi ya kupunguza gharama ni kupitisha mizigo Bandari ya mombasa pia maana kumekuwa na kasumba serikali kazi yake ni kuongeza tu kodi aijui changamoto za kufanya tafiti za kupata hayo machimbo ya bidhaa wanakaa Dodoma kupiga makofi tu
@VitusEmmanuel-pe3yiАй бұрын
Baba levo umekuw mlinz wa Mwijaku Yan bodyguard
@zedmsuya420Ай бұрын
Mmeongea kitu kikubwa sana wakuu
@xfamefatetvАй бұрын
😊
@prosperabison136828 күн бұрын
🔥🔥
@abdallahkambangwa7215Ай бұрын
machawa wapo kazini
@kurumwagodfrey705229 күн бұрын
Silent ocean 🌊
@JaxBeatKiller25 күн бұрын
Mbona baba levo kavaa Kam BODYGUARD😂😂
@Abu-Hamza254Ай бұрын
Huu uchawa wenu tumeizoea mpaka huku Kenya🇰🇪
@flinchclassic1531Ай бұрын
Clinton revocto chibando yaani Leo ndio tunajua jina lako 😂😂😂😂😂
@idrisamangwala647028 күн бұрын
Oooh pole sana basi itakuwa sio shabiki yake kma unajua jina lake leo
@mkumbozakaria7266Ай бұрын
Wa kwanz nipeni like zangu
@souvenirweber716928 күн бұрын
Ubwege na utoto tu kuongelea like lazima wanatatizo la afya ya akili
@albartdastani3412Ай бұрын
Usiniue 😅😅
@user-uj5wg9mm2t27 күн бұрын
Sikuuwi😂😂😂😂😂
@IbniAbbas-yz3ktАй бұрын
Yaani hapo mwijaku anaonekana DC kweli na baba levo ni board gurd wake😅
@patrickmgaya-ec6pdАй бұрын
Juma😂
@adamyassini8306Ай бұрын
Wa kwanza
@Saleh-on3otАй бұрын
Baba levo kakaaa kam bodyguard
@LeonardEdward-fb2bnАй бұрын
Wako vizuri but inaonekana mwijaku mbali na uchawa wake kitabu kipo ,,,hata speech zake zinasadifu yaliyomo👏👏
@mr_kajomba_og5719Ай бұрын
Yeah
@najmasalim-rg6owАй бұрын
Ana 2 degree
@isayajoseph14Ай бұрын
Yaah yupo kisom sana
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Ana masters ya mzumbe Aliona ajira hazisoneki
@GabrielSky64Ай бұрын
Kwahiyo hiyo Kago niyule comedian ndio kawekeza nae
@dullywa9973Ай бұрын
😂😂😂😂dooh
@omarymnuru8746Ай бұрын
Cargo maana yake mizigo... ila hapo Mwijaku alikuwa anamanisha kampuni zingine za kusafirisha mizigo