Mwenyez mungu amfanyie wepesi ktk kumuguza mzee alla ambariki akupe nguvu
@JenniferSeverine-ip6tgАй бұрын
Mungu hakupe make Bora mwenye of na mungu baba hatapona kipenz
@pado_mcАй бұрын
Asante sana familia ❤❤❤
@petrongowi9792Ай бұрын
Kak unajua kinoma mungu akubariki zaidi 💚💛💚💛
@pado_mcАй бұрын
Asante sana
@errydeo8865Ай бұрын
YANGA tuMSAPIOTI HUYU D OGO ! NAISHU UK...NIPENI NAMBA YAKE TUMSAIDIE BA BABAAKE...
@user-po8hz7xw9jАй бұрын
Kaka mtangazaji sahni nahitaji kujua ugonjwa awahuyo baba yake kam hatojali au histagram yake inaitwa je nikamtafute mana mimi nauz adawa nyingi dawa znagu zinatoka marekani saşa nahitaji kujua baba yake anaumwa nini kama nitaweza kama nitaweza ni saidie dose ya ugonjwa wake nimemuona huruma kijana kama huyo anasema anamla baba yake nanimgonjw anivijana wachache snaa wenye moyo huo