Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024

  Рет қаралды 496,120

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 340
@KelvinEmily
@KelvinEmily 2 ай бұрын
1-CAMARA 2-KIJIRI 3-ZIMBWE JR 4-CHE MALONE 5-KARABWA🥰 6-MR DIS CONNECT 🥰 7-SGR BUDO 8-OKJEPHA 9-DES MKWALA 10-AOHUA 11-BALUA #nguvu moja
@jephtephlon2366
@jephtephlon2366 2 ай бұрын
Safi sana hii lineup imeeendaaaa ✅✅✅✅
@Thekidp3702
@Thekidp3702 2 ай бұрын
DEBORAH FERNANDES❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Ubaya ubwelaaa. Ongera sana vijana wetu wa simba kwa kutupa magori simba yetu❤❤❤❤🎉🎉🎉
@WendeMposola
@WendeMposola 2 ай бұрын
Asante Mungu Simba nguvu moja ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@EliudiSaitoti-oh7lh
@EliudiSaitoti-oh7lh 2 ай бұрын
Eee Mungu ibariki simba 2024
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤naipenda simba damu damu
@IdrisaSuleiman-w4v
@IdrisaSuleiman-w4v 2 ай бұрын
@@aginsagins-jf4vz utaiyapenda maumivu
@mudrickkhamis6532
@mudrickkhamis6532 2 ай бұрын
Bora unipende mm utapata raha ya moyoni kuliko simba
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 2 ай бұрын
@@mudrickkhamis6532 njoo babe njoo nikupende
@ElizabethMwanganda-i1q
@ElizabethMwanganda-i1q 2 ай бұрын
Had laha jamn simba nakupenda❤❤
@issachibangu6075
@issachibangu6075 2 ай бұрын
Nimeogopaa sana kwasimbaa yasasa ni Moto wakuoteambali
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Jamani hadi rahaa. Wamejitahidi vijana wakiwa wageni wa Uwanja wetu. Maua kwa Boss wetu Mo na Kocha.❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏❤❤👍👍👍👍👍👍❤❤❤❤🎉🎉🎉🙏❤❤❤
@MchungajiEliamtishibi-hy3qk
@MchungajiEliamtishibi-hy3qk 2 ай бұрын
Bado wape muda
@harunivarentino2000
@harunivarentino2000 2 ай бұрын
Namba Moja trending tumeishusha Hadi comasava
@RevocatusSungura
@RevocatusSungura 2 ай бұрын
Me wa kwanza kukoment tuonane tarehe 8 ubaya ubwela! Hii ni Simba
@MichaelMlowe-d1v
@MichaelMlowe-d1v 2 ай бұрын
Ogopa matapeli simba mbovu
@CosmaJoxeph-x8v
@CosmaJoxeph-x8v 2 ай бұрын
Nope Simba ipo vizuri round hii
@RashidMihayo-d3l
@RashidMihayo-d3l 2 ай бұрын
Unyama kaka
@RashidMihayo-d3l
@RashidMihayo-d3l 2 ай бұрын
Utakoma sasa
@rehemaomary7851
@rehemaomary7851 2 ай бұрын
😢😅😮😊😊😅​@@MichaelMlowe-d1v
@RosemaryMarube
@RosemaryMarube 2 ай бұрын
Mimi nimeshajipatia beby wangu joshua mutale ❤❤❤❤❤❤❤
@ALMUFTSULTAN
@ALMUFTSULTAN 2 ай бұрын
This is simba❤
@thierryntira6502
@thierryntira6502 2 ай бұрын
we will never reach this level. Congrants SIMBA u deserved more than this. what a team!!!!! My African favourite team. Hongera sana kbs🎉❤
@annamosha968
@annamosha968 2 ай бұрын
Wow, thank you so much 🙏 We love you too
@EmmanuelLuhagamhoja
@EmmanuelLuhagamhoja 2 ай бұрын
tuipe muda hakika itakuwa zaidi ya hivi ilivyo UBAYA UBWELA 🔥🔥🔥🦁🦁💪
@Monica-i5x
@Monica-i5x 2 ай бұрын
Kwa hii cimba huna baya tajilk❤❤❤
@AminaMbilinyi-yr3ne
@AminaMbilinyi-yr3ne 2 ай бұрын
Mungu saidia simba yetu
@SalimSaid-gs4dv
@SalimSaid-gs4dv 2 ай бұрын
Jmn azam tv izi dk mbona mnatupa chache ivi mwaka jana 14 uuu 10 😅
@FabianoCharesy
@FabianoCharesy 2 ай бұрын
Simba hi ni baraaaa Sana
@JUMAschibwanaChibwana1234
@JUMAschibwanaChibwana1234 2 ай бұрын
Sign hatar
@FadhiliDanford-d9q
@FadhiliDanford-d9q 2 ай бұрын
Balua ( baba Mende) tupo pa1 kaka , Mungu akutangulie
@straton-shayo755
@straton-shayo755 2 ай бұрын
Simba kuna kitu🙏
@humphreyz467
@humphreyz467 2 ай бұрын
hgrx
@BabaDedeTV
@BabaDedeTV 2 ай бұрын
Deborah fernandez ni fundi 🔥🔥
@RizikJonas
@RizikJonas Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@harunivarentino2000
@harunivarentino2000 2 ай бұрын
Namba Moja trending 😂😂😂
@OmarMwamlongo
@OmarMwamlongo 2 ай бұрын
Ubaya ubwile ❤❤❤ kamiligadoo oyee
@NassibPendeza
@NassibPendeza 2 ай бұрын
Ila baraka mpenja we ni nyokoo dah unajuw mpaka unakera
@FaidhaKihiyo
@FaidhaKihiyo 2 ай бұрын
Mungu ibariki simba
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 2 ай бұрын
Aaaaa nikiwa Zambia mmenipa laha sana
@PaulineLucas-x6q
@PaulineLucas-x6q 2 ай бұрын
Mko bize kulipia simba day lakin injil ni bure hamuhudhulii duuuh
@AlliyFaki-vv5ys
@AlliyFaki-vv5ys 2 ай бұрын
Ubaya ubwela hiyo ndio Simba ijayo Simba nguvu moja
@godfreyjustine4040
@godfreyjustine4040 2 ай бұрын
❤❤❤
@CamilaEmmanuel-r7g
@CamilaEmmanuel-r7g 2 ай бұрын
Hii ilikuwa mchezo .mzuri sana
@RukiaKhamis-pu9zv
@RukiaKhamis-pu9zv 2 ай бұрын
Nguvu moja hata simba iweje siham
@MinahAlly-l2p
@MinahAlly-l2p Ай бұрын
Ubaya ubwela weeew❤❤❤❤ Simbaaaaaa
@NeemaMmary-m2d
@NeemaMmary-m2d Ай бұрын
Unyama mwingi😊
@NeemaMmary-m2d
@NeemaMmary-m2d Ай бұрын
Unyama mwingi😊
@TAJIRI001
@TAJIRI001 2 ай бұрын
Wa-Kenya ata tukue na president mzungu, hakuna siku tutafika hii level.🇰🇪
@WendeMposola
@WendeMposola 2 ай бұрын
Mtafika kwa uwezo wa MUNGU
@MikeKilomo
@MikeKilomo 2 ай бұрын
Well said 👏 👌🏾 👍🏾 🙌🏽 😌 🙂 tajiri 😅
@kristofuraha
@kristofuraha 2 ай бұрын
Kwa nini unakata tamaa?!
@TAJIRI001
@TAJIRI001 2 ай бұрын
sisi viongozi wetu walafi. Nisha chukua passport ntakuja Tz inshallah ni experience na mimi.
@ismailburhan8622
@ismailburhan8622 2 ай бұрын
Muwe na kawaida azam kurusha highlight refu ili na sisi wengine tulokuwa hatupati kuangalia kwenye tv 📺 bc tufaidi angalau huku online......please tunakuombeni
@eligiusnestory1571
@eligiusnestory1571 2 ай бұрын
Wanakosea sana mchezo una dakika 90 halafu unaweka highlights ya dakika Tisa kweli!? 😢
@salvatoryoscar823
@salvatoryoscar823 2 ай бұрын
Midia nyingi huwa zinakinzana sana na simba kwani watangazi wengi ni yanga na wana mchango mkubwa sana wa kuididimiza simba ili yanga iwike ki2 ambacho hakiwezekani kwani simba platform yao kubwa sana
@salvatoryoscar823
@salvatoryoscar823 2 ай бұрын
Kila kitu wanachofanya yanga wanaiga kwa msimbazi mfano yanga day hawakuwanayo. Wakati simba inaanzisha utaratibu huu walikuwa wanabeza sana na leo wanahadhimisha, simba imeingia robo fainali x4 mfululizo wakasema hawaaezi wakati woa wsnaoweza walikuwa na miaka 52 walikuwa hawajawahi kuingia robo fainali ya club bingwa na baada ya miaka 25 ndo wamewahi kuingia hatua ya makundi club bingwa kisha wanasema simba mbovu
@salvatoryoscar823
@salvatoryoscar823 2 ай бұрын
Kinachosababisha simba ionekane mbovu pia kwa sasa ni mwenyekiti wa club kuwa anavujisha siri za club kwa kuwa yy ni mamuruki hivyo watani kupata siri kiurahisi sana hivyo akitoka yule mambo yatakuwa mazuri
@colethambusule5840
@colethambusule5840 2 ай бұрын
ndo inavyotakiwa
@JanethAndrew-h4z
@JanethAndrew-h4z 2 ай бұрын
🦁🦁🙏💪
@januaryjohn2014
@januaryjohn2014 2 ай бұрын
Tumetisha kinoma noma❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ar-shadihashimu6729
@ar-shadihashimu6729 2 ай бұрын
Simba ni nzuri ila cyo kwa round hzi mpk ikae vzr itachukua muda hakuna team ya kiushndan apa❤❤ ila ikitulia ni nzur
@shanmlawa
@shanmlawa 2 ай бұрын
🦁🎉🎉
@YusuphYusuph-x2p
@YusuphYusuph-x2p 2 ай бұрын
Ni siku ya saba ya juma afu we mpenja😢
@davidimael5065
@davidimael5065 2 ай бұрын
Nilikuwa natafuta kama kuna yeyote kasikia.ili niweke sawa. Yaah ni siku ya saba ya juma. Mpemja amecheemka hapo
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 ай бұрын
Simba mnyamaaaa❤❤
@JumaNdoro
@JumaNdoro 2 ай бұрын
Mnyama mkali
@SalulaMtusana
@SalulaMtusana 2 ай бұрын
Pamoja sana 1:
@YusufAli-jl6ls
@YusufAli-jl6ls 2 ай бұрын
nimeangalia yanga first half na first half hii, simba waongeze juhudi
@ProspaAthanas
@ProspaAthanas 2 ай бұрын
Saaaaaffffff🎉🎉🎉🎉🎉
@ezesichone
@ezesichone 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@IsackVedasta
@IsackVedasta 2 ай бұрын
UBAYA UBWELA 🔥🦁🇹🇿🔥
@allyHussen-cs7xu
@allyHussen-cs7xu 2 ай бұрын
Ukimalza kuangalia h highlight nenda kaanglie na ya yanga utayajua matokeo ya tareh 8
@rajabmwange4634
@rajabmwange4634 2 ай бұрын
😂😂 hawawezi kuelewa
@agnessmassawe7341
@agnessmassawe7341 2 ай бұрын
❤❤ my team
@galyezamtaganyirwa-qv7vc
@galyezamtaganyirwa-qv7vc 2 ай бұрын
Jumamosi SIO siku ya sita Bali Ni siku ya saba
@rojatv167
@rojatv167 2 ай бұрын
Jumamos ni siku ya kwanza
@temaigwepaul1126
@temaigwepaul1126 2 ай бұрын
Andiko unalo?​@@rojatv167
@rachelpeter7032
@rachelpeter7032 2 ай бұрын
Ili goli la kwanzaaaa mmmh🙌🙌🙌
@salvatoryoscar823
@salvatoryoscar823 2 ай бұрын
Alafu wachezaji wa simba ni vijana, safari hii kazi mnayo litakufa jitu
@petermboya2187
@petermboya2187 2 ай бұрын
Wachezaji 2 tu nimewaona Deborah muntale na kijiri kidogo
@immahlaymtui8153
@immahlaymtui8153 2 ай бұрын
Tunawasubir hao utopolo tarehe nane yniiiii lazma afe mtu ubaya ubwela mwaka huuuuh😅
@LewisJoel-d6n
@LewisJoel-d6n 2 ай бұрын
Duuu yanga iko mbalisana
@MariaCounter
@MariaCounter 2 ай бұрын
Simba nguvu moja
@mohdmatar6076
@mohdmatar6076 2 ай бұрын
Simba bdo team yao changa sana
@MasikaSaid
@MasikaSaid 2 ай бұрын
@@mohdmatar6076 damu yachemk et wafkir ni nyny manyani fc🤣
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 2 ай бұрын
This is SIMBA. Wanatakani kusema APR ni mbovu Ila wakikumbuka waligongwa 3na APR wanakimbilia tu tar 8. Simba hii haitishiwi nyau. Tar 8 ifike tunawatakaaaaaa.
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 ай бұрын
Ubaya ubwela tujuane ❤❤
@YahayayasiniYahayachino
@YahayayasiniYahayachino 2 ай бұрын
@YahayayasiniYahayachino
@YahayayasiniYahayachino 2 ай бұрын
😂
@josephmlazier1391
@josephmlazier1391 2 ай бұрын
Ub ubaya ubwela ❤
@elementofficial4015
@elementofficial4015 2 ай бұрын
Apr fc❤
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 2 ай бұрын
Ila Simba nyie yaani bado mnatrend japo mliwatangulia watani 😂😂😂😂 jaman waoneeni huruma jaman
@EmanuelSaloon
@EmanuelSaloon 2 ай бұрын
Kwel
@petermarcus6475
@petermarcus6475 2 ай бұрын
Ubaya ubwela
@joshuamushi-t4z
@joshuamushi-t4z 2 ай бұрын
Hongeren xan wanaximb
@MamaRahaman
@MamaRahaman 2 ай бұрын
Unyama mwingi ubaya ubwela 🎉
@rebecatira
@rebecatira 2 ай бұрын
Simba honger kwa usajil wa maendeleo ya klabu
@dbmsoftball8056
@dbmsoftball8056 2 ай бұрын
Hii mechi ni wanyama wote,yaani wote timu zote zina Simba kwenye logo yake,ngoja tuone hapo mbeleni
@MrBm369
@MrBm369 2 ай бұрын
👏👏👏👏🦁❤❤
@ShantyLady-u9l
@ShantyLady-u9l 2 ай бұрын
Azam mmezid dakik 10 daah😢😢😢😢
@dedsecmalis2005
@dedsecmalis2005 2 ай бұрын
🦁🦁🦁
@BarakaMugisha-g2m
@BarakaMugisha-g2m 2 ай бұрын
Don't try to go brother 😂😂
@barakakaduma4395
@barakakaduma4395 2 ай бұрын
Simba sio mbaya ila kumchallenge Yanga, yani bado tar 8 bado ya moto kwa Simba 😅😅
@zamdahamisi8786
@zamdahamisi8786 2 ай бұрын
umeona boli la yanga jana hadi wapewe magoli ya mchongo
@commonsense5617
@commonsense5617 Ай бұрын
Nimerud8 hapa baada ya Azam kuwekwa 2 huko
@Nice-tr6bx
@Nice-tr6bx 2 ай бұрын
simple analysis, First half Simba alizidiwa kila kitu haswa kwenye middle, usahihi wa pass, na usahihi wa kushambulia. Second half Simba alikuja kitofauti ila kiasi maana mwishoni APR walichangamka. Anatoka Mutale anaingia Kibu, nae hakai sana anatolewa. Kuingia kwa Kibu hakukuwa na harati yoyote ktk Goli la APR. Sasa tujaribu kulinganisha na Yanga vs Red, kwanza licha ya Red kutangulia kwa goli la mapema bado Yanga alimtafuta vibaya mno. Attempts za yanga golini pa Red ilikuwa kila saa. Chama + Paccome + Aucho = Hatari tupu, utachezewa mpira nje ya nyumba yako na hufanyi chochote😂😂. Yani Gamondi fisrt half ni kikosi A alalu second half kikosi B. Angalia alivyocheza Azizi+ Dube+ sheikh= Mudathir = wakapata goli 2, on target 7, attenpts 3. Kila mtu anapiga mashuti🤣🤣. Sasa just imagine Gamondi achagua first eleven kutoka kikosa A and B🤣🤣. KUNA WATU WATAKULA WIKI NYIE SUBIRINI. Mpira ni sayansi, kwa takwimu za mechi za mwisho za Simba ya Yanga, aisee SIMBA ANASILIMIA NYINGI ZA KUFUNGWA, ila kipa wa simba akiwa kamara basi magoli yatapungua lakini akiwa SALIM au yule mwingine watakufa nyingi sana. Save my comment.☺🤌
@ericlowasa3097
@ericlowasa3097 2 ай бұрын
Weka na namba yako ya simu
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 ай бұрын
Pole sana
@MichaelMasasi-g1u
@MichaelMasasi-g1u 2 ай бұрын
Huyo Ahoua muww mnampa mali anafungua milango
@RosePaulo-e2d
@RosePaulo-e2d 2 ай бұрын
Ubaya ubwela❤
@DanielSichinga-n4n
@DanielSichinga-n4n 2 ай бұрын
👍💯💯💯💞👏❤
@erasmusleonidas6729
@erasmusleonidas6729 2 ай бұрын
Mungu asaidie tuombe mpate uhuru kwanza mengine yatakuja tu
@wizboyfriend
@wizboyfriend 2 ай бұрын
sema uzi wa simba umewapendezaaa japo kuwa mimi mwananchi😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JililiJilili-g8v
@JililiJilili-g8v 2 ай бұрын
Tulia ww simba nguvu moja yanga msimu huu mnalo
@gabrielmashauri8236
@gabrielmashauri8236 2 ай бұрын
Yanga wako more organised kuliko simba
@RukiaKhamis-pu9zv
@RukiaKhamis-pu9zv 2 ай бұрын
Simb yangu inanipa raha
@AminaTanzania
@AminaTanzania 2 ай бұрын
Simba tarehe 8 msirete timu uwajani tunawazika wima simba
@JacksonKalias
@JacksonKalias 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 jamn simbs kibok dassh dakik mbili tu xehm ya pili uwanjan wat wamechanganikiwa daah
@SILASGEORGE-h8r
@SILASGEORGE-h8r 2 ай бұрын
Ubaya ubwela,,,watani tunawakanda mapema tu hii ndio Simba
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 2 ай бұрын
Mmh, naona kabisa mda si mrefu mashabiki wakianzisha tena viongoz wajiuzulu. But Mo ametumia akil sana kuwatulza mashabiki, washasahau 😂😂
@twizerebrown
@twizerebrown 2 ай бұрын
They have a lot to learn from you
@JililiJilili-g8v
@JililiJilili-g8v 2 ай бұрын
Haiwezi kujirudia
@SamweliMelio
@SamweliMelio 2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@JacksonKalias
@JacksonKalias 2 ай бұрын
Wana yang mnapenjixif sublini 😅😅😅😅 taleh nane uwanj
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 ай бұрын
Ubaya Ubwela
@ElinajaMlati
@ElinajaMlati 2 ай бұрын
Unyamaaa ni mwingiii
@bizimanajeanbosco4465
@bizimanajeanbosco4465 2 ай бұрын
If it was yanga. Goals Will be nine
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 2 ай бұрын
Simba huyo ngoma ni kimeo aondoke
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
Walkum salamu mpenja habar yako hapo studio
@rosemwanazyungu1175
@rosemwanazyungu1175 2 ай бұрын
Ubaya ubwela talehe 8
@nicolaelisha6249
@nicolaelisha6249 2 ай бұрын
Ubaya ubwela🧐
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 13 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 99 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 6 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 13 МЛН