Hata mm nawapend sana salim na wezako na itwa ramadhan kutok zanzibar sijawah kukosa kuangalia nataman mungu aniwezeshe nije uk kukuona
@salimdaawah1237 ай бұрын
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
@malifedhaanyasio8117 ай бұрын
Kaka salim Allah akujaalien sana karibuni sana Tanzania hakika miye nataman mno mngewepo huku mtaani kwetu
@salimdaawah1237 ай бұрын
Inn shaa Allah tutapanga hilo
@faudhiasaidi36697 ай бұрын
Sana yaani alafu wakija Tanzania naona watasilimu wengi kwa mafundisho mazuri kama haya Tanzania hawapo mashekh wanaopita mitaani kama ivi mkija mtakuwa mumefanya vizuri na mtawaamsha mashekh wengine
@saidmakombeni51557 ай бұрын
Mimi nipo England , nakuombeeni dua sana kwa kazi ngumu mnayofanya. Mungu atawabariki kwa elimu mnayotoa.
@salimdaawah1237 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@abdallahazizi9997 ай бұрын
Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi awalipe kilalaheri insha Allah
@salimdaawah1237 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@HisMajesty647 ай бұрын
Assalamu Alaykum. Ramadhan Mubarak team. Allahumma ballighna lailatul qadr.
Wanafrai kuskia Mungu anazaa.subhana llah .Allah hana udhaifu wowote Ili azae Ili asaidiwe
@Nora-v1m3p7 ай бұрын
Yesu kazaliwa n mama tu.swali je Adam n Hawa?.mbona hamshagai Adam n Hawa hawana wazazi
@malikdodo51907 ай бұрын
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@yusufualamin80296 ай бұрын
MASHAALLAH SUBHANALLAH ALLAHAMDHULILLAH❤
@Noorein-ws8wk7 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ❤
@fatmaally72527 ай бұрын
TAKBIR ALLAHU AKIBAR
@isaa_ogutu7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Ali Ana hasira mwingi dah Salim na hassan mtulizeni Ali 😂😂
@sheemaryam7 ай бұрын
Mnafaa muelewe Ali pia ni mzee harisa lazima
@abdulissaahmed79467 ай бұрын
😂😂😂❤❤❤🎉
@faudhiasaidi36697 ай бұрын
Maneno ya wakristo yanakera wanakaa pembeni wanarusha maneno machafu
@F.j846 ай бұрын
Sio hasira ni moyo wake hauwezi kusikia maneno machafu au ya upotovu juu ya dini.. Hata mm binafsi ni mwanamke siezi kabisa kuvumilia mtume yeyote au jambo la dini kuongelewa vbaya. Mara moja presha🤣🤣🤣
@F.j846 ай бұрын
*Mtume wa Allah*
@SCSI523X7 ай бұрын
3:59 Quran inasema "Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa."
@protusmuliro27967 ай бұрын
Ili ni darasa la bwana mtume Muhammad
@josemu8707 ай бұрын
Allahamdulillah
@uwesusaid53347 ай бұрын
Leo ni mto 😂😂😂 Mashaalaah
@HisMajesty646 ай бұрын
Shindano ikiingia ndio hivyo 😂😅
@Nora-v1m3p7 ай бұрын
Hahahaha et joho niletee.Allah awafugue kifua chao
@achimoramadhanimataka12087 ай бұрын
mchungaji yuko maree anataka retajanja janja ya kanisani😅😅😅😅😅😅😂
@salimdaawah1237 ай бұрын
Kawaida ya wachungaji porojo nyingi
@ahmednasib84657 ай бұрын
❤
@SalimHumud4 ай бұрын
Kaja kwa jazba
@phineasmutethia13497 ай бұрын
Unakaa mtu hujielewi😂😂Waislam mnapenda matusi😂😂..lakini kuna kaukweli
@salimdaawah1237 ай бұрын
😂🤣😂😂😂
@AlhajiSaidi-uo8zl7 ай бұрын
tz
@fatumamwalimu57657 ай бұрын
Yani kuwa mkiristo ni mtihani!! Yani mmoja anasema mungu amezaa wengine wanafurahi nakupiga makofi!!!
@salimdaawah1237 ай бұрын
Allah awaongoze waione haki na waifuate
@NathanielNathan-m4o7 ай бұрын
Fleshly mindset will always think about biological Father. 😢.. Hii ni Kwa sababu elimu ya kiroho hamkupewa kulingana na Quran sura 17:85
@fatumamwalimu57657 ай бұрын
@@NathanielNathan-m4o elimu ya kiroho nikusema mungu ana mtoto ?1:25 WAKORINTO WA KWANZA hiyo ndio elmu ya kiroho? Lete andiko linalosema watu wanaojiita wakiristo wako na elimu ya kiroho, bibilia zenu zinasema mtu mwenye roho anawazimu
@fatumamwalimu57657 ай бұрын
@@salimdaawah123 Aamina yarab
@fatumamwalimu57657 ай бұрын
@@NathanielNathan-m4o mindset ni wale wanaojiita wakiristo, wakiambiwa shakahola kuna yesu wamo, wakiambiwa waleteni wake zenu walale kwa wachungaji mnafanya, mara ngapi yule aliecheza film ya yesu alikuja Kenya na mkaamini kua ni yesu? Nyinyi ni brain wash aswa nasio mindset tu
@samuelondieki91647 ай бұрын
Shida iko wapi Luka kuandika biblia kufundiza vile inavaa watu waishi sioni shida labda unataka kujanganya watu wapotee wafuate wewe usiyejua njia