(Verse 1); Roho yangu ipo kwako sijui kaa una rada shikanisha Hakuna mwingine huwanga amenichizisha Kaa wewe.., Fanya niskie kiwewe Nikikuambia story nasty una’blush “ Aki wewe!” We hunijazz.., kaa mziki ya jazz Na una class..,tukitoa c.l, bado una ass Una kila kitu mwanaume huwanga ana ota Bora niko na we ntafurahi ata kaa nimesota Nimeku’subscribe daily kaa data bundle Hakuna kingine nahitaji ukiwa kando Napenda venye we hubonga; chit-ch@t Na venye we husonga; kabich-kar@t Najua sielewi yote kuhusu mapenzi mpenzi So nifunze nijue venye napaswa kuku’enzi Kabla hujauliza swali, nakupa jibu Kabla hujaugua ugonjwa, nakupa tibu (Chorus); Sijampata MWINGINE.., (Mwingine) Kama Wewe (Kama Wewe) Eh!-Eh! Sijampata MWINGINE.., (Mwingine) Kama Wewe (Kama Wewe) I only wanna be with You (Verse 2); Nikakuona na mwingine, sijui ata Labda nichukue panga na kumkata-kata But najua huwezi, we ni anti-player We ni totally opposite.., into-Prayer Nikivuta dutch na ma’boys kwa base Uko kwa Church.., unaniOmbea ni Repent! Na inakaa maOmbi zako hufika Juu of-late, naskia nimebadilika Naskia Kutia zii fast-life, nitulie Kale ka’diamond ka’bright, nikununulie Hao husema utaona poa ukila carrots Inakaa ulikula mingi juu utaona poa 24 carat (RRRING!) Nataka tu kuwa na we, sitaki mwingine Nataka tu sure na we, sitaki pengine So kaa ni No ni No, si zile No za Yes Na kaa ni Yes ni Yes, si zile “Yes-I-guess!” (Chorus) (Verse 3); Ukipita wanaku’want.., Kina Peter na Tom Dick-na-Harry.., Waseti d*ck-in-a-hurry Kisha wakutie zii.., juu walishakupitia, Zii! Walikuwa wanakucheza tu ka zeze ya T.I.D Unaniangalia design-Haunielewi Juu nafika on time, design-Sichelewi Ndo’ hii chance imejipa.., siezi sleki Ata ka hujui ku’dance.., mtu husheki legi So sheki legi na me mami ipande kwa kiuno Sheki kiuno na me mami ipande kwa mkono Saa hio mkono iekelee kwa roho Juu hapo ndo’ nataka kuishi mtoto Black-out kwangu si KPLC wakizima stima Black-out ni nikikosa kukuona siku nzima Saa karibia na uskize kwa makini Juu nta’I’Whisper - Ki’ Wahome Mutahi..! (Chorus) I only wanna be with You I only wanna be with You
@zigha78635 жыл бұрын
Maru nakuona 🔥🔥🔥🔥🔥
@akalerupe34235 жыл бұрын
Sijapata nyingine kama hii😪.... The combo Is amazing😩
@MalonzaPhilip5 жыл бұрын
Replay mode
@missjomo21405 жыл бұрын
Nilijua tu Prince of Genge akiwa hapa itakuwa moto sana,,, that movement pia is a dope shining talent.
@julianawangechi56805 жыл бұрын
Awesome song
@Serromusic5 жыл бұрын
Jaaaaaaam! ❤❤
@wanjalaspha7975 жыл бұрын
iko sawa jim weezy
@glochtamia5 жыл бұрын
...Kama ni no ni NO,si zile no za YES,na kama ni Yes ni Yes si zile yes I guess...Madd!!🔥🔥🔥
@eunicemarisha26015 жыл бұрын
Love this
@brianalusa37345 жыл бұрын
Jaypee....noma sana.
@candycherotich9835 жыл бұрын
Love the song....
@namayanritey95415 жыл бұрын
I love this song. Congrats jimwat!! Keep on keeping on. Replay mode..
@raykibet65415 жыл бұрын
T=Wow....Tha Movement......Great stuff
@annechemngorem14095 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤
@papasontv5 жыл бұрын
Big tiune.. Dunga like tusonge sawa
@patonyash68985 жыл бұрын
Mutoriah🙌🙌
@eduthedrummer76375 жыл бұрын
Hii ni konkiii🔥🔥🔥
@Amarimartinske5 жыл бұрын
this song is officially on my playlist
@EssyIrungu5 жыл бұрын
On replay mode🔥🔥this song is so awesome!!
@jackkaleka45455 жыл бұрын
Bro this a mature music I just find myself playing it again and again.dope dope
@annitahwendorine5 жыл бұрын
Liiit..song. 🔥... Vixen Amewezaa...
@jk4685-q9f5 жыл бұрын
Kali sana
@simonchege71985 жыл бұрын
Kazi safi.. Mapunchlines kwa wingi. Great jam
@shillahokeno17205 жыл бұрын
Lit 🔥 🔥 🔥....JP!
@brendamartins39485 жыл бұрын
This is a great job ,keep up the good work
@artabu225 жыл бұрын
Iko sawa.
@santacarol17545 жыл бұрын
I’m glad @jimwat your original voice and style is back. You’re gonna go far. May God lead you to places you were meant to go.
@kevinblackmann5 жыл бұрын
It's so cool to see the bassist sing bana... Kazi nzuri #thamovement. Keep on keeping on.
@irenemuthoni64114 жыл бұрын
I just love the song good stuff!!kudos guys
@ohagasamuel41022 жыл бұрын
Awesome ❤❤❤👍🏽
@NyattiSaxPrime5 жыл бұрын
Vibes hapo na Jimwizzy! Goodstuff majamaa
@francessogolla3185 жыл бұрын
😍
@georginamwaniki9515 жыл бұрын
I love I love I love....
@polajuma15 жыл бұрын
Proud of you JP!!!!!! Good stuff
@bonniewaynekariuki39165 жыл бұрын
muziki imeenda shule!!!! jaypee
@lennoxchesoni16455 жыл бұрын
Kazi nzuri guys,, glad to hear the jimwat we knew. The movement this is 🔥🔥
@saweelijah24995 жыл бұрын
Erick Maru with the Saxophone. Salute!!!
@lionesswairimu5 жыл бұрын
Beautiful song and video. I love it.
@marionkigo83825 жыл бұрын
This, I love
@revv2545 жыл бұрын
Kali 🔥
@victornjiru57265 жыл бұрын
Jimw@..Some good gangsta lovin jam..proud of you fam...naona tu flames everywhere🔥🔥🔥
@raphiegee4 жыл бұрын
Clean. Jaypee that's phenomenal
@sweetrishia5 жыл бұрын
Lovely piece .. Jay p dear ..that base voice 👌👌👌
@djczaar22555 жыл бұрын
Good one.... I like it
@sarahh95765 жыл бұрын
Jimmy!!!THOSE VERSES ARE FIRE🔥🔥💯!!!!!!
@JimwatGenge5 жыл бұрын
Aaawww thanks much +Sarah Cyrus
@WaithakaEnt5 жыл бұрын
🎶
@felixmogendi2155 жыл бұрын
Simply awesome. The beauty about this song is that it will live through ages. Good work guys.
@JimwatGenge5 жыл бұрын
Thanks +felix mogendi & Pray too #MWINGINE iwe another #TimelessCLASSIC #BlessedLegend
@sarahh95765 жыл бұрын
The movement that voice!! 😍😍😍 this was a dope collabo!!
@AYROSH5 жыл бұрын
Maaaaad ting. Big up yourself fam
@tha_movement5 жыл бұрын
Big up Bro!!
@nuruofficial63055 жыл бұрын
Best video yet!!!
@sarahh95765 жыл бұрын
Like😋💪
@angelkyalo5255 жыл бұрын
Wueeeeeeeeeh!!!!!!!!! 😎😎😍😍i had missed Jimwat lakini heee The movement you never disappoint.
@mahatmamgenge5 жыл бұрын
Kali
@nawazoTV5 жыл бұрын
👌🏽👌🏽👌🏽 The Movement at it again
@AurieMusiq5 жыл бұрын
Beautiful arrangement fellas! You are definitely tha movemnt
@kakajaisan5 жыл бұрын
🔥🔥🔥noma
@hellengichuhi62815 жыл бұрын
Very lovely music... excellent video! Tha Movement🔥🔥💥
@eastwoodklint43825 жыл бұрын
nice one
@wiliamkiarie83295 жыл бұрын
Now this is good music💯
@noreencrique5 жыл бұрын
100%
@lamusicjunkie5 жыл бұрын
Such a simple and classy video! Give it up for Jay P the bass singer I mean player 😏
@keepingupwithkyama2 жыл бұрын
why was this removed from Spotify? I was obsessed.
@paultangara18175 жыл бұрын
The part for Wahome mutahi 😊😊well scripted. Whisper like Wahome Mutahi
@Amarimartinske5 жыл бұрын
Naitwa ROBIAN an upcoming kenyan rapper and singer na ninasema, iyo ngoma ni kali..... ati but najua huwezi we ni player wewe ni totally opposite, into prayer. ati ka ni no ni no sio zile no za yes. na ka ni yes ni yes si zile yes i guess. ATI blackout kwangu si KPLC wakizima stima, blackout kwangu ni nikikosa kukuona siku nzima........... MAD STUFF!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@JimwatGenge5 жыл бұрын
Wazi Shukran sana +Martin Mwaura aka @ROBIAN all da best in ya music #PlayKEmusic #BuyKE #BuildKE #GodBless