Hii simulizi imenikumbusha nyimbo ya vumilia tatizo umasikini😢
@TeklaNdekeja23 күн бұрын
Umesema kwel😃
@salmazwallo592023 күн бұрын
Hhhhh yaah sasa uendee ukakaee ukweni ukakaa kama ndugu na bwana wako anae mke wake humo humo loooh mpuuzi jasi kwa kwelii
@Evelynmoreen365523 күн бұрын
Sasa Jas kwanini hakuvunja simcard akaendelea kuongea na Felix ,Felix ni munafiki tu😂😂😂😂😂 na huo Jas anakera kira mda kulialia.
@zenaathumani814423 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉😂 kwakweli
@salmazwallo592023 күн бұрын
Umeonaa eeh jasi anayataka na aliambiwa na rafiki yake lkn bado kanaongea nae tuu
@Evelynmoreen365523 күн бұрын
@@salmazwallo5920 acha ateseke mi ananiboa mtu anatishiwa kisha anakubali kuendeswa kukiko aendelee na maisha yake ila yeye haoni haambiwi.
@Babyfaty-m3y16 күн бұрын
Mapnz upofu na ujinga kabs😅😅😅
@FatumaJumanne-p4d20 күн бұрын
Kwan huyu c al2miwa ml.7 kashndwa kufungua ofc yake ya keki il ajcmamie mwenyewe khaaah 😢
@Babyfaty-m3y16 күн бұрын
Kila ktu mpk ashauriwe na ata akishauriw hasikiliz
@FatumaJumanne-p4d16 күн бұрын
@Babyfaty-m3y 😁😁😁
@Babyfaty-m3y16 күн бұрын
@@FatumaJumanne-p4d ningepata mm iyo nafas ya jas mbna uyo filix angeisoma mna angelia machoz ya damu wla nicnge msikiliza mna mwnmme hna msimamo anapelekeshwa tu
@FatumaJumanne-p4d16 күн бұрын
@Babyfaty-m3y Tatzo Moyo 😁😁😁
@FatumaJumanne-p4d16 күн бұрын
@Babyfaty-m3y Yaan unafanya mchezo na Ml. 7 Kwanza nngewasumbua Hao waongeze era niwauzie mapenz yangu kwa Mtt wao 🤣🤣🤣🤣
@Sss-b9w6f23 күн бұрын
❤❤😂😂🎉🎉😢2
@zenaathumani814423 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉
@ZenabZ-e4w23 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@MamaSuzi-d3r17 күн бұрын
Kwa kweli huyu Agnesi anaongea sana ni chakaramu sana hafai maana Hana Siri Kila kitu anaanika wazi Kwa mkwe yake jamani dah
@maryamsimai539523 күн бұрын
Ila jas bwabwa sana hajuwi kama unamweka hatalini mtoto wake
@Aishamzamilu23 күн бұрын
❤❤🎉🎉
@salmazwallo592023 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 umasikin huu mkwe wao anawafokea et token chumban kwangu 😂😂😂😂 haya ma felx token chumban nataka kuwa mwenyewe 😂😂😂huyu felx nae kiazi mbatata tuu kazi kumtishiaa tuu jasi kabla ya kukaa na kuongea nae vzr lkn hataa haliwenzi kila mara kumtishia 2 do upendo gani huo
@Babyfaty-m3y16 күн бұрын
Mbna hamtishii agnes wla wazaz wke anamuonea uyo jas tu zamwamwa
@Rais__772daughters23 күн бұрын
Wacha tuone kichwa maji cha felix mkwa sababu huyu ni wazazi child😏
@zenaathumani814423 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉😂😂
@Rais__772daughters23 күн бұрын
@zenaathumani8144 😊❤❤❤❤❤
@wanjirubens23 күн бұрын
Huyu has apigwe tukio ndio awache kuwa mjinga ati nitamuacha mke wangu kama hunitaki nyooooo siumuache. Hamisha nyanya and move on