MashaAllah, hakika ujembe una manufaa sana katika maendeleo ya Sayansi. Allah awajaalie afya na kutoa elimu kama hizi ili kudhihirisha ukweli wa Qur'an na Uislam kwa wale wanaopinga.
@Fatmasaid-jm4vl7 ай бұрын
Dr kitoto my lecturer for science Allah akubarq
@SalumMohammed-r8n7 ай бұрын
Proud to be muslim
@KhamisHaji-pw4jo7 ай бұрын
I appreciate to be Muslim,,,,,, Al-hamdulillah 🤲 Allah accept our good deeds ❤❤ thank you my teacher,,,,,l follow you your lecture,,,,,Masha Allah
@SalumMohammed-r8n7 ай бұрын
Waislam ss vichwa vikubwa alhmdllh
@SaidHassan-ot3un7 ай бұрын
Mungu-atupe-mwisho-mwema
@AthumaniMdee-d2n7 ай бұрын
Namshukuru mungu ktk uislam wetuu hakika tunafurahiya sana na rehema na amani imshukie mtume wetu muhamadii swalalah alye salam
@nassoroyahaya8217 ай бұрын
Jazzqkallah khair hii ndiyo Elimu sahihi ya kuuonyesha ukuu wa Uislamu toka Lwa Allah Azza wajjslla
@Ummunajma-i2c7 ай бұрын
Maa shaa llah Allah sw.azidi kukupa akili yenye Afya baba ubainishie ummah wetu huu. Miujiza tele.iliyoko ktk kitabu na sunnah. baaraka llahu laka yaa Akhii
@jeilanikhamisi7 ай бұрын
mashallah ahsante sana shekh kwa uchambuzi mzuri kabisa Allah akuzidishie kila la kheri
@AndulHida-hs5py7 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allahu ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mola akulipe Kwa kutuelimisha tunafaidika mno ostadh
@sadasaid72127 ай бұрын
Maa shaa Allahu, darsa lake liendelee in shaa Allahu
@arafasalum31697 ай бұрын
MaashaAllah!Hiyo Ndiyo Raha ya kubobea katika Quran na Elimu ya Sayansi.
@Mohamedi.127 ай бұрын
@allybobsaith unfortunately,mtu anafahamu sayansi lakini bado anaamini kuna mwanaadamu yupo mbinguni!!mtu huyu ana elimu ya sayansi au amekariri sayansi ?
@mashakabundala99557 ай бұрын
Alhamdulilah aaalaa neeamatul islaam
@salumhaji32077 ай бұрын
Asalamu Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh shukran Mwanasayansi IBRAHIM KITOTA niwiye radhi ikiwa nimekosea kuandika jina lako kwa usahihi, tuletee na mada za sayansi ndani ya Qur'an ulizowahi kuzielezea ktk vipindi vya tv iman, pia naomba utaratibu wa kupata vitabu ulivyo vitunga, BARAKALLAHU FIIKUM.
@agentmsami53037 ай бұрын
We will shows you our signs in the surface of the earth and in themselves untill its clear manifest to you that Qur'an is true..Quran
@datiisaid59477 ай бұрын
Inna ddina in da llaha l Islam
@KuruthumBachu7 ай бұрын
Maasha Allah shukran Jazakallahu best
@KuruthumBachu7 ай бұрын
Maasha Allah shukran Jazakallahu Khair
@NasraMussa-wb3bw7 ай бұрын
M /mungu atujaalie mwisho mwema tukiwa ndani ya uislam
@fatumahamadi13797 ай бұрын
Mashaallah shukran kw Darasa ALLAH akuzidishie zaid
Ahsate Sana Kwa ujumbe mzuri,ila wengi wanaamini dhambi kugundua yaliyofichikaana.
@AhmedOmar-nj9rt7 ай бұрын
Allhamdullih
@kadirkadirsage69917 ай бұрын
❤❤ mashaAllah
@ramamabinda50637 ай бұрын
Mashaallah
@khamisrubea50837 ай бұрын
Hawa ndo masheikh nnaowapenda
@KhamisHaji-pw4jo7 ай бұрын
Sub-hanallah
@azizayassin36237 ай бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@jumakombe76797 ай бұрын
Muujiza wa quran kama jua litachomoza mashaliki kuzama maghalibi basi hakika itakua ndio maana ya kuludi livas kwenye muhimili wake hivyo hawana budi kuifata quran hakika😊
@LufyBlack7 ай бұрын
Sio hivyo ndugu yangu! kubainisha mfano: Qurani Surat Ar-rahman aya 33: Enyi makundi ya Majini na watu km mnaweza kuzipita mbingu na kuzifikia hizo ardhi basi piteni! hamtapeta ila kwa kupewa madaraka. Na hayo majini ndio wanaofundisha watu kutengeneza rocket,wako marekani na ulaya na urusi na china n.k. Na huku Africa majini wamewaletea tunguli,vinyamkela na wa ganga wa kitabu. Naictoshe bara la Asia majini wamewapa mungu ngombe,tembo,panya,n.k😂😂😂😂😂
@alzawahirabdallah22997 ай бұрын
Hili litakuwa kafiri nishalijua
@rayisadesigns26467 ай бұрын
KAFIRI @USER ACHA POROJO, KAMA WEWE KIDUME KWELI LETE AYA MOJA NDANI YA BIBILIA YAKO INAYOZUNGUMZA KWA UHALISIA ELIMU YOYOTE YA SAYANSI KAMA INAVYOJIPAMBANUA QUR'AN.
@Zainabnoor0087-ze29 күн бұрын
😂 makafiri wa antokia, wanagawana maji ya Kilimanjaro kawe kwa mwamposa eti ni tiba ya kupata utajiri😮😅@@rayisadesigns2646
@vivamadiba28697 ай бұрын
Samahani sheikh nataka kujua ikiwa kila nikiangalia saa au muda naona namba zinajirudia kwa mfano 22:22 naomba nisidie ina maana gan