kaka H-mkoa tunaomba utuulizie kwa kaka mdogo kuhusu KITAA CHA MJUMBE,ni series nyingine safi sana lkn sijui walifeli wapi.ningeomba ukae nao chini mushauriane mawazo ata kama mutafanya new cast sio mbaya,ila KITAA CHA MJUMBE ilikuwa na maudhui,maisha halisia,jaribuni kufanya kitu tafadhali mashabiki wenu tunaomba mutuzingatie maoni yenu.shukran,niko Jeedah Saudi Arabia.
@hmkoafilm9182 Жыл бұрын
Sawa kaka soon utaiona inaendelea
@mwalimumlaula6167 Жыл бұрын
@@hmkoafilm9182 Shukran sana Kaka kwa mrejesho na kuthamini maoni yetu.tuko pamoja nanyi