MWL GOODLUCK MUSHI"MAVAZI NI UTAMBULISHO WA MTU.Je mavazi ya kikahaba ni yapi?

  Рет қаралды 8,203

KKKT KARIAKOO

KKKT KARIAKOO

Күн бұрын

Mithali 7:10
Na tazama, mwanamke akamkuta, Ana mavazi ya kikahaba, mwerevu wa moyo. ni yapi hayo mavazi ya kikahaba?
Je wewe unavaa mavazi yanayokutambulisha sawasawa kwenye jamii?
MAROHO YA YEZEBELI NA VICHWA VYA NYUMBA
MW. 6:12; 38:4
HES 25:14-15
MITH. 7:10, 25-27
1TIM 2:9...
Kwa mlio mbali karibu Subscribe ili tuungane pamoja kupitia KZbin Channel yetu (KKKT KARIAKOO) katika ibada zetu zote #LIVE. Pia waweza kufuatilia mafundisho mafupi mafupi kupitia Instagram (@lutheran_kariakoo)

Пікірлер: 15
@furahasanga2534
@furahasanga2534 3 жыл бұрын
Da Mwl Gooluck umetumwaga Kwangau, nina manguo marefu tu Nimeamua kununua mtuma Mifupi na nilikusudia kushona Nguo fupi fupi, lakini kila nikikutana Na soma lako live au mtandaoni Unajibugi maswali yangu, Namshukuru Mungu sana kwa Ajili yako, hata sasa nilitaka kuvaa Nguo fupi asante Yesu kwa Kunipenda ajabu.
@williamnamende1023
@williamnamende1023 2 жыл бұрын
Chunga sana ,linda sana ulichonacho asije mwovu akakunyan,ganya wala vazi lisije kukutenga na MUNGU
@nancyregnard4886
@nancyregnard4886 6 ай бұрын
Amen❤❤❤❤❤❤
@makoyespmakoye6645
@makoyespmakoye6645 4 ай бұрын
T
@halisimaridadi7962
@halisimaridadi7962 Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Sos sad aki Mungu tusaidie wanawake😭😭....Mungu akubariki eng.goodluck mushi
@reumgimba387
@reumgimba387 3 жыл бұрын
Amen
@suechipeta4223
@suechipeta4223 3 жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu... Sema tupone. Hakika kwa suala la mavazi Mungu atusaidie.. Ahsante Yesu kwa kukutumia kuwa Kisemeo..
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 2 жыл бұрын
Mungu akulinde na mabaya yote mtumishi wa Bwana unaponya wengi
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Amen Mimi niliyeokoka sifai kuvaa chochote
@fathefirst1935
@fathefirst1935 Жыл бұрын
Fikiri mara 2 ndugu
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 Жыл бұрын
Wapendwa Mwenye namba za Mtumishi Mwl GUDLUCK MUSHI Plz nisaidieni plz
@jayp5871
@jayp5871 Жыл бұрын
ee Mungu kw hili neno kla alosikia natumaini ameponaa katk jina la Yesu
@MagokoNikolaus
@MagokoNikolaus 5 ай бұрын
Nahitaji semina za saikolojia Pamoja naanuani zavit abu vinavyo patikana
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 3 жыл бұрын
Hahaaahaaahaahahaaaa
MWL. Eng. GOODLUCK MUSHI|KIBALI CHA ESTA.
1:01:31
KKKT KARIAKOO
Рет қаралды 5 М.
DHAMBI YA UZINZI INA ANGAMIZA FAMILIA-MWL GOODLUCK MUSHI.
44:06
KKKT KARIAKOO
Рет қаралды 30 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 33 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
Wazo, Sadaka, Utii na Imani -MWL JAMES KAMERA.
31:21
KKKT KARIAKOO
Рет қаралды 4,3 М.
MADHARA YA ROHO ZA UZINZI ZINAA NA UASHERATI
1:43:50
ADM Ministries
Рет қаралды 9 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
MWL GOODLUCK MUSHI - VITA YA ULICHOBEBA (OFFICIAL VIDEO)
49:05
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 5 М.
UNYAKUO PT 1. JE, UNYAKUO NI KABLA AU BAADA YA DHIKI KUU?
31:20
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 26 М.
MWL GOODLUCK MUSHI - SHAUKU NA BIDII YA KUONGEZEKA (OFFICIAL VIDEO)
1:28:56
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 2,8 М.
NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:15
Reality of Christ Church
Рет қаралды 49 М.
Mwl Goodluck Mushi ''Tabiri Juu ya Maisha Yako'' Morning Glory 05-01-2018
39:20
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 33 МЛН