MWL MGISA MTEBE MAADUI WA IMANI Na 2

  Рет қаралды 18,283

Mgisa Mtebe

Mgisa Mtebe

4 жыл бұрын

BWANA Yesu alituonyesha wazi kwamba, Safari ya Mbinguni ni vita vikali kwamba "Tujitahidi kuingia kupitia ule mlango mwembamba; n kwamba Wengi watataka lakini waziweze." (Luka 13:24). Je ni vitu gani vinaweza kusababisha mtu wa Mungu asifanikiwe kuingia mbinguni? Vitu hivyo tumeviita "MAADUI WA IMANI" katika somo hili. Unaweza kupata vipindi vyote vya wiki nzima kwa kuwasiliana nasi kwa +255753497655. Barikiwa na tafadhali, SHARE link hii kwa wengine wengi, nawe utakuwa umemtumikia Mungu pamoja nami.
Asante, ni mimi Mwl. Mgisa Mtebe

Пікірлер: 20
@famillestalis6391
@famillestalis6391 2 жыл бұрын
Amen Naipokea iloneno achaikuwe uchindi wangu kwauwezo wajina la yesu kristo Nazareth
@fredycheyo4703
@fredycheyo4703 Жыл бұрын
@hosenisamweli5500
@hosenisamweli5500 4 жыл бұрын
Barikiwa xana mtumixh
@luccabosslugendo9722
@luccabosslugendo9722 4 жыл бұрын
Usitusahau kwenye mwendelezo mwalimu nabarikiwa Sana kujifunza kwako
@jorammasinga3786
@jorammasinga3786 4 жыл бұрын
Amina kubwaaa
@fredricksenya5902
@fredricksenya5902 4 жыл бұрын
Ahsante mtumishi nime elewa vizuri
@nickodemmwandambo8924
@nickodemmwandambo8924 4 жыл бұрын
Aminaa mwalimu
@mwl.elishafredrickmwambeng8921
@mwl.elishafredrickmwambeng8921 4 жыл бұрын
Baraka nyingi kwako Mwalimu
@blackqueen3532
@blackqueen3532 3 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na mafundisho ya mwalimu mgisa mtebe kwakweli nilikuwa sijui position yangu lakini nilipoanza kufuatilia somo la mauti aiseee nimemuona MUNGU wa ibrahimu nilikuwa nasumbuliwa na chembe ya moyo baada ya kupata maarifa na kujua jinsi ya kushughulika na uasi uliosababisha uovu ambao ni uharibifu chembe ya moyo imepona kabisa
@princeammit516
@princeammit516 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@Shalom418
@Shalom418 4 жыл бұрын
Blessed
@slimsan3859
@slimsan3859 3 жыл бұрын
Amen baba
@barakalutherson5265
@barakalutherson5265 3 жыл бұрын
Huwa nabarikiwa sana na Wewe mtumish mwl
@lomnyakisaitabau4184
@lomnyakisaitabau4184 4 жыл бұрын
Naomba mwendelezo wa hili somo jmn linabariki sana
@jacklinestephano1844
@jacklinestephano1844 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana mwalimu
@alexmichael8950
@alexmichael8950 4 жыл бұрын
Amina 🙏
@vincentndinyuka2927
@vincentndinyuka2927 4 жыл бұрын
Nabarikiwa na neno la Mungu mtumishi naweza pata audio zako jinsi gani mtumishi
@farajahrogath2506
@farajahrogath2506 4 жыл бұрын
💖💖💖
@pakchalemanoel6017
@pakchalemanoel6017 3 жыл бұрын
Mafundisho ya Siku ya kwanza napataje
@joabyared2436
@joabyared2436 3 жыл бұрын
God of heaven bless u
Mwl. Mgisa - NAMNA YA KUBADILISHA AHADI KUWA HALISIA
22:24
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 32 М.
DAY 1: B: IMANI YA MTU WA MUNGU KTK SIKU ZA MWISHO: KURUDI KWA YESU (Mwl. Mgisa Mtebe)
26:25
MWALIMU MGISA MTEBE OFFICIAL CHANNEL
Рет қаралды 1,4 М.
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,3 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
Mch.DKT WILLIAM KOPWE-SEMINA YA NENO LA MUNGU-KKKT LONGUO  DAY 1.
1:27:59
LONGUO LUTHERAN PARISH
Рет қаралды 415
Wajue MAADUI wa IMANI | Prophet Nicolaus Suguye
31:38
PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Рет қаралды 10 М.
Masomo ya Biblia kwa njia ya mtandao. SoMo . IMANI
32:24
F P C T DODOMA MAKULU SHALOM CITY CENTER
Рет қаралды 9 М.
If you wake up between 3AM & 5AM...DO THESE 3 THINGS
19:39
Miz Mzwakhe Tancredi
Рет қаралды 8 МЛН
Nguvu ya Sadaka Day 2 | 25 September 2023
2:40:41
AICT Chang'ombe Online
Рет қаралды 743
MUNGU HUWAPINGA WENYE KIBURI - Mwl: Mgisa Mtebe
22:46
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 34 М.
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН