Nimeshangaa Mtumishi wa Bwana, tena sana. Imenichukua zaidi ya miaka 10 kusikia ujumbe Kama huu. Kuwapa watt ‘’jembe’’ badala ya chakula. This needs over a Billion views, if only people knew what it is.
@Roselyne-o5y Жыл бұрын
Very powerful
@madamleticia94 Жыл бұрын
Wow!❤❤❤❤Mungu awabariki Sanaa watumishi wake hallelujah 🎉🎉🎉🎉
@elizabethchengula47906 ай бұрын
Aisee hili somo it's amazing I wish kila mtu alisikie. Natamani Mungu aniwezeshe lisitoke moyoni mwangu na niliishi.
@ElizabethJames-r6n3 ай бұрын
Ameeen🙏🙏
@joycenuhu15666 ай бұрын
Mungu naomba unisaidie Baba yangu
@elizabethmabula6044 Жыл бұрын
Aiseeeee MUNGU ni wa Ajabu saaaana🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@stellawilson74535 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@ledwinajamesmasulube7884 Жыл бұрын
Nimependa sana mwongozo huu barikiwa sana Mtumishi ❤
@EsterNyamizi6 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@elizabethmabula6044 Жыл бұрын
MUNGU awabariki saaana🙌🙌🙌🙌
@joanelvalentina99562 жыл бұрын
hakika Jitihada zahitajika katika kumtafuta Mungu aliye hai speed up speed up
@veronicamyovela23272 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana, Mungu awabariki kwa kazi njema
@MadamRehemaRamadhani2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi, nimeelewa sana na nafanyia kazi mara moja
Mtazamo mtazamo wa kuwaza kuwa Mungu anaongea na watu special sio mtazamo. Issue ni kutafuta Muda sahihi na ni kila siku wa kujenga mahusiano na Mungu. Glory Glory
@vivianshalua2383 Жыл бұрын
Hakika! Mungu ni wa kila mtu ampokea kwa dhati ya moyo. Amina amina.