Bwana Yesu asifiwe! Tunamshukuru Mungu kwa kipande hiki mlichotuwekea, Mungu awabariki tunaomba watumishi mtuwekee somo lote la siku ya tano maana tulilikosa lote kwa sababu ya shida ya internet tunawaomba sana
@jacksonlumelezi44017 ай бұрын
Amen, nibariki na Mimi bwana
@floreswanyt54443 күн бұрын
Hili Neno limenijenga sana.Glory be to God
@DizzevenDamasКүн бұрын
Be blessed Mtumishi.
@LucyLwiva-h9l7 ай бұрын
Ubarikiwe najifunza kitu katika mahubiri
@blessedtumaini5168 ай бұрын
Mungu Baba asante kwa kunifundisha kupitia Mtumishi wako na Mwalimu Christopher Mwakasege mbarikiwe na umpe neema juu ya neema daima na wote watendao kazi pamoja naye na familia yake. Asante sana kutuwekea somo hili watu wa Mungu Baba. ❤❤❤.
@emykimaro5648 ай бұрын
Masomo haya ya nyakati hizi za mwisho ni muhimu sana tunaomba mtuwekee somo lote tafadhali
@EstherMbise-j7xАй бұрын
Ubarikiwe mpakwa mafuta wa Bw
@jescarwegoshola17548 ай бұрын
Asante sana,hili somo lilikuwa na vita kitu cha uchumi ni nyeti adui anapambana tusivuke,nilijua kabisa Internet ilikorofisha kwaajili ya hili somo. Mungu ni mwema tunavuka watashindana hawatashinda💪🙏
@jescarwegoshola17547 ай бұрын
Dah,niliota sku moja miaka imepiata,nikiwa naenda sehemu,niliko kuwa naenda mji nauona kwa mbali mzuri ajabu ,unag'aa ajabu nikiwa na kazana kwenda,ghafla nikiwa kny ndoto nikaona nimesimama kny sehemu ya msitu umefyekwa lkn magugu yanaanza kuota,ila aridhi ilikuwa nzuri,nikanza kusikitika mji ukapotea nikiwa nasikitka nikaamka. Lkn mji ulikuwa mzuri saaana,sijawahi kuona nimeenda ulaya hata kny mitandao tunaona lkn kweli sijawahi ona,ila hapo Mimi nikutengeneza kujiandaa.
@GeorgeNanyaro-g3o7 ай бұрын
Mungu nimwema moyo tupe kwayale yanayokuja kwetu mazuri
@yuliahenry33838 ай бұрын
Ahsante YESU KWA ROHO MTAKATIFU: ROHO WA MAFUNUO. TUOE ROHONYA KUPONDEKA TUKUTUMIKIE KATIKA ROHO YA KUPONDEKA NA KWELI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO. AMEEN
@sambinzaka19327 ай бұрын
Asante kwa neno hili
@EvKennedyEvkennedy-pu9up8 ай бұрын
amen ubarikiwe mwalimu
@AyubuDeus-dl5gi8 ай бұрын
Mwl Mungu abarki sana kazi yake
@winiemajengo16797 ай бұрын
Mungu atukuzwe mbarikiwe ksana watu wa Mungu asante kwa kipande hiki.
@Faith_Fabouh8 ай бұрын
Asante Yesu. Nakupenda u mali yangu.
@herrymasika43868 ай бұрын
Mungu awabariki kwa kipande hiki lakini tunaomba tupate somo lote maana tulilikosa. Ktk Hali hii ya kukosekana utulivu wa internet Mungu awawezeshe🙏
@upendotwina98488 ай бұрын
Glory to God..Asanteni sana
@MaryGoldence7 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@janetjanet86698 ай бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa neno
@MathaMollel2 ай бұрын
Kwaimain napokea
@neemasenso45637 ай бұрын
AMEN
@godsbeloved98558 ай бұрын
Naomba mutuwekee somo lote....this 5th session we missed
@faithhewitt66228 ай бұрын
Ingia page yake utaona somo lote.
@salmavicky60958 ай бұрын
Page gani@@faithhewitt6622
@TonnyMamkwe7 ай бұрын
Ameen
@tumainimushi6208 ай бұрын
Tunashukuru sana,tunaomba somo lote.
@waithirahnaomy15738 ай бұрын
Asante sana ninashukulu ..ninaomba somo lote
@isakwisambyale55148 ай бұрын
Asante Kwa kushare hii session ya Mwanzo, we missed it because of the internet shutdown.
@HaniphaMpita5 ай бұрын
Sawa
@elishangomele99378 ай бұрын
Afadhari Leo mtandao umekubali japo kidogo
@MekridaElick9 күн бұрын
Bab sin lakusem ila Mungu akupe maish amrefu ili tuzid kupat vitu vya kiroho
@carolinederi56908 ай бұрын
Hii clip iko fully jamen angalieni mkutano wa injili week hii na week ilio pita mtapata fully
@rehemamwamundela27178 ай бұрын
Mungu awabariki sn
@GeorgeNanyaro-g3o7 ай бұрын
Tunashukuru sana mungu tupe riziki namazuri mengi
@priscasanga76807 ай бұрын
Jaman tunawaomba mtuwekeeni yotee😢
@Mary-lw5vg7 ай бұрын
Kila somo linalokuja linakuwakwangu ni kama lingewahi lingenisaidia kama lingekuja mapema niomber mtumishi
@TimothyMerumi8 ай бұрын
Tunaomba mtuwekee somo lote tafadhali
@peterjohn20998 ай бұрын
❤
@richardcasmir56428 ай бұрын
Yes please tulikosa we are trying to catch up
@eng.kivuyo128 ай бұрын
Roho mtakatifu alifikishe neno hili kwa kila muombaji, kwa kila kiumbe, katika jina lake Yesu.Amen
@MabelKaaya-hl2je8 ай бұрын
AMINA AMINA AMINA
@daudimhoha3207 ай бұрын
Hakikà.kilajambo.linakusudi
@daudimhoha3207 ай бұрын
Hakika.kilajambo.linakusudi
@oliversanga26818 ай бұрын
Asante kwa ku share sehemu ya mafundisho ubarikiwe
@MabelKaaya-hl2je8 ай бұрын
Hallujah.
@stephanosospeter17098 ай бұрын
Ameen
@selemanjames81908 ай бұрын
Mwl.hii siku ya mwisho mbona mmerusha vipande vipande? Turushieni tukio zima