MY DESTINY EP 01 | love story 💕 || House Girl

  Рет қаралды 92,680

Tam Tam Tz

Tam Tam Tz

Күн бұрын

Пікірлер: 247
@PetronelaAdam-b9l
@PetronelaAdam-b9l 3 ай бұрын
Jamn zuu jamn anajua San kuekit kam unapenda zuu weka like
@AbedMmm-o4p
@AbedMmm-o4p 3 ай бұрын
Kazi yenu nzuri sana niko hapa kwa sababu ya zuuri
@JohnThomas-mq5fw
@JohnThomas-mq5fw 3 ай бұрын
Zuu unaigiza vizuri 🎉
@EnjoyJosephElikana
@EnjoyJosephElikana 3 ай бұрын
Wanae mupenda zuu comment
@WitnessLohn
@WitnessLohn 13 күн бұрын
Tup pamoj
@BahatMwelelwa
@BahatMwelelwa 3 ай бұрын
Jamani Kaz zenu nzuri ila napend kufuatilia move zenu kwaajili ya zuu
@JumaMachellah
@JumaMachellah 3 ай бұрын
Nakubali mnatuelimisha hongera sana wanangu
@BahatiNelsonLotisia
@BahatiNelsonLotisia 3 ай бұрын
Nawakubali sanaaaa wadau sema Sania kanaonekana kna roho mbaya
@RosebellahNambiro-gf5ot
@RosebellahNambiro-gf5ot 3 ай бұрын
From busati tv show nko hapa
@ZulfaChai
@ZulfaChai 3 ай бұрын
Jmni zuu wewe ndo uko juu ..kimamula n malaika 😅😅..ongereni🎉🎉❤
@ChausikuKhamis-zt4rp
@ChausikuKhamis-zt4rp 3 ай бұрын
Naomba like👍👍👍 zuu ni msichana mzuri katik wote tn zidi kwa sania
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna 3 ай бұрын
Kazi nzur snaa nawapenda nyte n nawakubali sna
@johactor
@johactor 3 ай бұрын
Safii sana kazi nzuri
@AlinaNizigama
@AlinaNizigama 3 ай бұрын
Marayikandada usizarau kazi kazi mbaya inareta kazi nzuri sawa dada
@NadhifaKhalifan
@NadhifaKhalifan 3 ай бұрын
Hongereni kazi mzuri
@JumaMachellah
@JumaMachellah 3 ай бұрын
Nawakubali wanangu kazi NZURI sana Tena inaburudisha na kuelimisha sanaaaaa
@DianaAnatos
@DianaAnatos 3 ай бұрын
Zulu sana🎉🎉🎉🎉
@Johar903
@Johar903 3 ай бұрын
❤❤❤❤yaani zuuu pole sania mpende zuu basi
@NashSeleina
@NashSeleina 3 ай бұрын
Zuu pole sana unaigiza vizuri❤❤❤
@SomoeBatuli
@SomoeBatuli 3 ай бұрын
KAZI nzuri sanaa
@ZamdaMouhammed
@ZamdaMouhammed 3 ай бұрын
Nampenda sana zuuu❤❤❤
@NoorAli-gk8bj
@NoorAli-gk8bj 3 ай бұрын
Hongereni kazi nzur
@irene-pw4dw
@irene-pw4dw 3 ай бұрын
Sania my Dear KAMA mama yako Alishindwa kukufunza DUNIA ni mwalimu mzur sana atakufunza mm nahis huo ndo uharisia wako😄😄😄🎉🎉🎉🎉
@RachelThobias
@RachelThobias 3 ай бұрын
Jamn hiyo ni mv sania ni mpolee sana kuliko zui😊
@lidiamageta9958
@lidiamageta9958 3 ай бұрын
Vikoswa nyama naa roho mbaya undugu wao haujawai isha. Pole Zuu
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤
@SaumuWanje
@SaumuWanje 3 ай бұрын
Hongera kazi safi ❤❤❤
@Mail-z5q
@Mail-z5q 3 ай бұрын
Alafu hivo kumnanga Zuu kumuita majina yote hamjijui tu mijuso yetu jimtapwile rangi lkn Zuu na weusi wake nimzuri kuwazidi mpo
@rahemh1234
@rahemh1234 3 ай бұрын
😢😢😢yani huskia vibaya pale ninapoona mnamnyanyasa zuu 😢😢aswa hilo lisainia 😢
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 3 ай бұрын
Mme wa Malaika c ndio mganga kwa house girl
@georgefondo-x2e
@georgefondo-x2e 2 ай бұрын
😅😅😅😅𝙚𝙚𝙚𝙚 𝙗𝙖𝙣𝙖
@EVODIANDOMBA
@EVODIANDOMBA 3 ай бұрын
Hongeren Kwa kazi nzuriiii 🎉🎉🎉
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 3 ай бұрын
Pole Zuu nakpe ndasana unavyo kua na nidhamu hongela kwajiti hada zako Ahsante
@كازاكاهيند
@كازاكاهيند 3 ай бұрын
Sania jmni Dunia hii inafunza mama roho yako mbaya iko siku na mm nahisi ndio halisia yako juu movies zote hakuna Ata moja umekuwa na roho nzuri
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 3 ай бұрын
Yaniiiii 😅
@johactor
@johactor 3 ай бұрын
Kusema kweli muv hii inafundisha sana jaman tuendelee kufuatilia kunavingi vya kujifunza
@AlinaNizigama
@AlinaNizigama 3 ай бұрын
Rakini unajiuriza kwakitu.unaona kweri anaroho mbaya yagupitiliza
@MagdalenaZephania
@MagdalenaZephania 3 ай бұрын
Kila mwenyeuhalisia wake ndoanawekwa kwenyesehemu yake konyekuigiza😂😂😂
@MwanalimaAbdallahkea
@MwanalimaAbdallahkea 3 ай бұрын
Umeona hee pia ww
@UmmiGanja
@UmmiGanja 3 ай бұрын
Mmmmhh Masikini da zuu
@SelinagabrieliMtenga
@SelinagabrieliMtenga 3 ай бұрын
Oya mnatisha Sana wanangu❤❤❤🎉🎉
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz 3 ай бұрын
Kazi nizuri sana
@HyasintaWisdom
@HyasintaWisdom 3 ай бұрын
Hahhaha mbn zur unapend kuw wakunyanyaswaa
@irene-pw4dw
@irene-pw4dw 3 ай бұрын
Sania my Dear KAMA mama yako Alishindwa kukufunza DUNIA ni mwalimu mzur sana atakufunza mm nahis huo ndo uharisia wako😄😄😄
@neemamrikaria5139
@neemamrikaria5139 3 ай бұрын
Nakupenda sana zuuu
@YunisMwambeta
@YunisMwambeta 3 ай бұрын
Jmni zuu pole sana unaigiza vzurii jmn
@EdwardAdoni-p2t
@EdwardAdoni-p2t 3 ай бұрын
Kazi nzur
@AdolfuChibwete
@AdolfuChibwete 3 ай бұрын
Mbona mnapenda kumtesa sana zuri kila move jamn kwan sania ammuoni au shida mpaka zuuu jamn
@user-ef2zw3db3v
@user-ef2zw3db3v 3 ай бұрын
Move kali sana, pia inafundisha sana yapo haya kwa jamii yetu Jamani
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 3 ай бұрын
Mmm jaman kila movie nzuri kwenu mnajua mno 🎉🎉🎉❤❤❤
@AnnaKilagwa-sn3gs
@AnnaKilagwa-sn3gs 3 ай бұрын
Zuu mbona wanapenda sana kukuonea duh
@khantz974
@khantz974 3 ай бұрын
ii ni noma sana❤❤
@GhaniaNasser-d9p
@GhaniaNasser-d9p 3 ай бұрын
Jamani zuuu kaniskitisha sana duh
@StellaMichael-x7n
@StellaMichael-x7n 3 ай бұрын
Zuli unaigiza vizur sana hongera
@MohamedMd-q3f
@MohamedMd-q3f 3 ай бұрын
Nzuri mwendelezo
@ChausikuKhamis-zt4rp
@ChausikuKhamis-zt4rp 3 ай бұрын
Zuu mbn movies zote unaonewa mpnz mpole❤❤
@soniarajabu1000
@soniarajabu1000 2 ай бұрын
Nakupendagaaa Zurii
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤Zuu pole sana😢
@SaraS-b4o
@SaraS-b4o 3 ай бұрын
Malaika jmn na hicho kijola jaman kulikoni kukileta huku tena duuuhh!! 😁😁
@SitiSaid-ol9rm
@SitiSaid-ol9rm 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MomJghj
@MomJghj 3 ай бұрын
❤❤🎉😅😅😅 siombaya
@qatarabcde8228
@qatarabcde8228 3 ай бұрын
😂😂 kila mmoja sania povu limewajaaa😅😅hay wee Sani basi ubadilike bwana watuchosha
@ZawadiMasha-r9b
@ZawadiMasha-r9b 3 ай бұрын
Haha😂😂😂😂nimefurahi sn kumuona zuu na sania
@AyubuMathayo-k7h
@AyubuMathayo-k7h 3 ай бұрын
Sania hajawai kumpenda zuuh pole zuuh
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 ай бұрын
Mjomba ake chiko nakukubali unajua sana leo unaongea kizungu😅😅ila kiswaili haaaaa😅😅
@LitaJoshuwa
@LitaJoshuwa 3 ай бұрын
Sania huo ni uhalisia wako dada 😂😂😂😂😂😂
@GedeonNyishuyimana
@GedeonNyishuyimana 2 ай бұрын
Pole Sana zuu 😢😢😢😢 mbona unanyanyasw San duh😮😮
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 3 ай бұрын
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Kai_bey_manyoya
@Kai_bey_manyoya 3 ай бұрын
Mapinduzii🔥
@avulaibacarmocim
@avulaibacarmocim 3 ай бұрын
Zuu love you ❤🎉❤ nakupenda sana
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 ай бұрын
Kazi ya kumwagilia ni gani tena😂😂😂
@SofiaSofia-nc9rw
@SofiaSofia-nc9rw 3 ай бұрын
Courage 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PriscaBusiga
@PriscaBusiga 3 ай бұрын
We marikia umevaa sale yetu ya harus jamani 😂😂😂😂😂
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 3 ай бұрын
Jamani Sania Sania umezidi mnoo
@saudakayanda
@saudakayanda 3 ай бұрын
Habari zenu wazima watu wa tamthiya hebu punguzeni hiyo tamthiliya yenu hamjaliza hii mushalete kibao tungalie ipi mpk tutakuwa hatufaham 😊
@JustaMartinsEduardo
@JustaMartinsEduardo 3 ай бұрын
Sania we noma,nakuogopa😅
@RaphaelGidion
@RaphaelGidion 3 ай бұрын
Yani nyie mnatisha kweli maana sio kwaburudani izo naelimu munazotupa tia🙏🙏💐💐🥀🌺🪷🌸🏵️☘️🪴🌴🌳🌲🤝
@AlinaNizigama
@AlinaNizigama 3 ай бұрын
Maraika maharange ndo chakura chakwanza kipenzi unajuwa ukiwa nasubra utakuja kura vizuri
@AnnaSillo-mn8mq
@AnnaSillo-mn8mq 3 ай бұрын
Mmmmmh Sania unaroho mbayaa duuh kuwaga na huruma mda mwingine khaaaa
@AMILIHASSANI
@AMILIHASSANI 3 ай бұрын
Nahuku zuu yupo
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 3 ай бұрын
Ngonde mjuba mboga ya taifa safiiii
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 3 ай бұрын
Hee huyo muhindi baba wk saniya muhindi mweusi😂😂😂Naona movie hii anaogoe kihindi
@ESTERSAMWEL-u1b
@ESTERSAMWEL-u1b 3 ай бұрын
Sania anaroho mbaya mpaka sula wembamba kama stiki zakuchomea nyama simpend sania jaman mimi
@mercykazungu
@mercykazungu 3 ай бұрын
Pameanza kuchangamka😂😂
@NoaKyando-c9q
@NoaKyando-c9q 2 ай бұрын
Kweli anajua kuigia
@AndawileMwakapila
@AndawileMwakapila 3 ай бұрын
Nawakubali
@MANGALANATURALMEDICINE
@MANGALANATURALMEDICINE 3 ай бұрын
Noma Noma
@WardaSalumu-xl8dz
@WardaSalumu-xl8dz 2 ай бұрын
Uyu Mzee kaongea vbya
@zainabuabduliulomi
@zainabuabduliulomi 3 ай бұрын
Sania pia we n msichana hee punguza mdomoooo
@asiahhassan1539
@asiahhassan1539 3 ай бұрын
Jamani mbon munamuonea zuu wet
@faithcherotich6058
@faithcherotich6058 2 ай бұрын
Nampenda zuu❤❤❤
@AminaKidare
@AminaKidare 3 ай бұрын
kwahyo mganga ngonde umemuoa malaika😂
@JemaMachael
@JemaMachael 3 ай бұрын
acha roho mbaya
@FATMARAHMA12
@FATMARAHMA12 3 ай бұрын
Yatima mungu anamulipisiza hp hp dunia dazuri pole iposiku watakuomba masamahaa namusada sania ww jamni sijui nikuchukie ama ni acte tu maisha mengine nazani uko saw nuta tabia hizo
@BenadethaPaul-s4n
@BenadethaPaul-s4n 3 ай бұрын
Ngonde kimamula conglatulations kwako 😂😂😂😂😂
@FaridaMtema
@FaridaMtema 3 ай бұрын
Zuuu ❤❤❤❤❤❤
@Pili-n3l
@Pili-n3l 3 ай бұрын
Mnapupa mnatoa move nyingi nyingi heb toen moja moja imalize then nyengin
@manofthepeople5014
@manofthepeople5014 3 ай бұрын
Acha uchawi wewe....tulia watu watafute pesa.
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf 3 ай бұрын
Nilijua kajibiwa anavotaka 😂😂😂😂😂​@@manofthepeople5014
@SikuAmon
@SikuAmon 2 ай бұрын
Zuuuu love u so muchhh
@SABRINASHAMSI-j4l
@SABRINASHAMSI-j4l 3 ай бұрын
Waafrika pambe niljua my destiny ya Korea tu
@AgnesMiyi
@AgnesMiyi 3 ай бұрын
Jamani nauliza huyu bint sania ndio huarisia wake roho mbaya kama mwiliwake ulivyo ulivyo zuu pole sana😂😂😂😂
@PendosimonDenis
@PendosimonDenis 3 ай бұрын
Mm sijawai kupata ata like moja
@kidempunga4337
@kidempunga4337 3 ай бұрын
Kanz nzul sana
@EliwazaBetweli
@EliwazaBetweli 3 ай бұрын
Jamani zuuu 😢 Lakin unaweza mwaya kaza
@TumainiMbati
@TumainiMbati 3 ай бұрын
Kamukondeeee❤
@Umal-w5c
@Umal-w5c 3 ай бұрын
Zuuu tena maskini
@AnnastaziaVicent
@AnnastaziaVicent 3 ай бұрын
Safi sana
@FelistusKimanzi-f2g
@FelistusKimanzi-f2g 3 ай бұрын
Nice one
@Fatma-t3h6z
@Fatma-t3h6z 3 ай бұрын
Zuu aki uwa unachukua party ngumu 😢aki fanya na ww utese jamni wanitoa machozi😅😅😅😅😅mwaya
@SekanjimmyMpherembe
@SekanjimmyMpherembe 2 ай бұрын
Sania ni balaaa duuuuuuuu kira movie ni mwendazim
MY DESTINY EP 02 | love story  💕 || House Girl
15:00
Tam Tam Tz
Рет қаралды 52 М.
PETE | Episode 1 |
10:55
KIM VEVO
Рет қаралды 126 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
MY DESTINY EP 03 | love story  💕 || House Girl
22:31
Tam Tam Tz
Рет қаралды 49 М.
MACHOZI __ Episodi 1 | Love story 💞💞
24:06
OXYGEN DRAMA FILMS
Рет қаралды 469
NEVER GIVE UP 💪 Full movie
1:37:31
BabaJoan
Рет қаралды 616 М.
ALIKUWA AKIMTAFUTA DADA YAKE ALIYE POTEA - Part 1
16:21
Movie Recap swahili
Рет қаралды 52 М.
MY DESTINY EP 12 | love story  💕 || House Boy
20:58
Tam Tam Tz
Рет қаралды 36 М.
MY DESTINY EP 05 | love story  💕 || House Girl
19:10
Tam Tam Tz
Рет қаралды 46 М.
MWALI  KIGEGO PART 01 💞 Love Story | DONTA TV
30:04
Donta Plus
Рет қаралды 531 М.
MY DESTINY EP 06 | love story  💕 || House Girl
22:18
Tam Tam Tz
Рет қаралды 47 М.