MY DREAM - PART 02

  Рет қаралды 48,361

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Пікірлер: 282
@victoriaedfonss727
@victoriaedfonss727 Жыл бұрын
Aiseee,nimekua mzembe Leo nimechelewa ,naomben like zen bass,☺️🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏💪
@Salma-id4yl
@Salma-id4yl Жыл бұрын
Wow.safi.sana❤️❤️
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 Жыл бұрын
Anko asante ila X....... unasemaje 🤣🤣🤣🤣🤣
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc Жыл бұрын
Daaah kumbe imefika yaani ipo more than fire fire,❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥moto sana
@Fatum112
@Fatum112 Жыл бұрын
MashaAllah leo top ten like nipewe hapa maana ckwa kuwahi huku😅😅😅😅
@LyidiaSilayo
@LyidiaSilayo Жыл бұрын
Mm pia naipenda ❤❤❤❤🎉🎉
@Imma-o3d
@Imma-o3d Жыл бұрын
Wakwanza leo laki zang 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🙏👌
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
😂😂😂😂 safi,safi,huna kosa,hakuna namna
@Kellyperry947
@Kellyperry947 Жыл бұрын
Nimewahi🎉❤
@bijouxbigaya2116
@bijouxbigaya2116 Жыл бұрын
Nimewahiiiiii jamani asante anko
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 Жыл бұрын
Eeeh munashinda na kukesha uku jamani
@Rukia-pv7by
@Rukia-pv7by Жыл бұрын
Lazima tuulizie si wote wapenda .............😂😂😂😂😂😂😂
@QueenShirima
@QueenShirima Жыл бұрын
👍👍👌👌❤❤❤❤dah! Simulizi ni nzuri sana
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf Жыл бұрын
Waoooo❤❤❤❤❤ namtasema
@lisazainabu3626
@lisazainabu3626 Жыл бұрын
Taratibu jamani leo nimewai kidongo kwani nduguzanguni kwanini amukosi bando mbona munakimbia sana😂😂😂😂 like zangu
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c Жыл бұрын
Part 3 plzzzzzz ankojoy mapesa ❤❤❤
@DAUDFARES
@DAUDFARES 9 ай бұрын
ndamu nzito kuliko maji ,weeeeeee T utaumbuka et jaman
@mariamkameesee
@mariamkameesee Жыл бұрын
Daah apo mwanzo yaan nika jiona napata raha mpka nika koma anko j ww 😂😂😂❤❤tupevitu baba
@Eric-q9k7l
@Eric-q9k7l Жыл бұрын
Tuma sehemu ya 3 yani imenifurahisha sana
@BethJj-p9c
@BethJj-p9c 11 ай бұрын
Hii ya lisa ni motoooo 😂😂😂😂nimependa vile lisa ana ujasili hakuna atakaye mshinda anko tupe ya25 naya26❤❤❤❤❤
@deborahkavira2415
@deborahkavira2415 Жыл бұрын
Asante sana enkojay kwa simulizi tamu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JujuShabani-y7t
@JujuShabani-y7t Жыл бұрын
Ankojayyyy habari ❤❤🎉🎉🎉
@ConsoSeba
@ConsoSeba Жыл бұрын
Anko j unajua kuchombrza na sauti yako tamui ah maipenda hiyoo❤❤❤
@wilkisteradhiambo3072
@wilkisteradhiambo3072 Жыл бұрын
Mnyanduwano hehehe❤❤❤❤❤ napenda sana Tu kuisikiliza ila Kwangu Mimi NO😂😂😂😂😂
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Tecla wow wow i love this story thnkx Anko kwa simulizi nzuri 😂😂😂❤❤❤❤
@BlessingsKelvin-c9u
@BlessingsKelvin-c9u 9 ай бұрын
Simulizi kali sana ❤❤❤❤
@omerrashed9080
@omerrashed9080 Жыл бұрын
Nice story ankojay 👍👍
@bakarifatuma5004
@bakarifatuma5004 Жыл бұрын
Nice story ankojay🤪🤲
@racheluwda6552
@racheluwda6552 Жыл бұрын
Asent Ankojay nimakuwa kwa mwasho😂😂😂🎉🎉🎉
@rizrizriz1771
@rizrizriz1771 Жыл бұрын
Final juu nilikuwa nahamu yakumaliza story ina tupa hope watu wa gulf nakututowa mawazo
@GraceBakari-wo8ly
@GraceBakari-wo8ly Жыл бұрын
Asante anko jay unatupa frh
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Tecla tulia tu na wewe,mtu aliyekuacha zamani huko mbali,wa nini sasa,kauka kabisa,kwanza alikudanganya hata jina,isitoshe,huyo mtoto ni kweli mjukuu wa humo humo shida ni nini, huyo ni Chris,siyo Liam,kauka kama humjui
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 8 ай бұрын
Kiwewe cha kutolewa bikra,atulizane maana amempata anayempenda mwanaye kama wake kbs anataka nin tena?
@BahatiGracia-e1c
@BahatiGracia-e1c 5 ай бұрын
@SophiatembaTemba
@SophiatembaTemba Жыл бұрын
Anko j simulizi SS wana familia yako tunakupenda sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mayasamayasa1205
@mayasamayasa1205 Жыл бұрын
Duuuh rafiki wengine sio poa❤❤❤❤
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani Жыл бұрын
Mashallah shukran anko Jay kwa muendelezo
@rukundoclementine6472
@rukundoclementine6472 Жыл бұрын
Kwamala yakwanza tangu nianze ku tazama simulizi ya ankojay nafurahi 😂😂😂😂😂
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@SophiatembaTemba
@SophiatembaTemba Жыл бұрын
I lake this story ❤❤❤🎉🎉🎉
@salmasasha
@salmasasha Жыл бұрын
😂😂😂chezea mechi wewe tumetia kambi lete mambo tuenjoy sie❤❤❤
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn Жыл бұрын
God bless 🙌 🙏 ❤️
@Aishasaiddachi-gt9bw
@Aishasaiddachi-gt9bw Жыл бұрын
Yaani siku anko unasema unaacha hiz simuliz utatuumiza kweli jamannnn
@DAUDFARES
@DAUDFARES 9 ай бұрын
hiv anko haupat hisia kwel kwa michambooo hiyo yakunyaduana, au uko na my wiiiiiii anakupozaga ukiwa kwenye kazi tamu hiziiiii!!!!?
@JumwaBaya
@JumwaBaya Жыл бұрын
🎉🎉 asante sana anko wetu
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i Жыл бұрын
❤❤❤ simulizi ya kusisumua
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Nice story be blessed my wetu kipenzi anko Jay mapesa ❤❤❤🎉🎉🎉
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq Жыл бұрын
Wow finally tunaendelea ku enjoy na saut taaaamu ya msimuliz wetu mahir anko Jay a.k.a mapesa😂 🎉🎉ila anko Jay kusema ukweli kama ukituacha tutakua wapweke sana a wenye stress ila ss kama wanafamilia wako hatuna bud kukuombea kher na mafanikio kwenye maisha yako kwokwote na chochote utakachofanya we love you ❤❤❤
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
Wa kwanza kama kawaida yangu chezea kulala you tube kwenye simulizi za anko Jay 😂😂😂😂😂😂nyie nyie nyie njoeni mzigo ushatuwa😂😂😂😂😂
@fatmasalum8334
@fatmasalum8334 Жыл бұрын
Waoo😂😂❤❤❤
@MohammedAlhabsi-ji4ux
@MohammedAlhabsi-ji4ux Жыл бұрын
Wakwaza leo🎉🎉🎉🎉
@SumayyahKinumi-fz8oy
@SumayyahKinumi-fz8oy Жыл бұрын
Kwa style hii kweli sjawahi kupenda😂😂😂😂😂😂
@BerthaChanila
@BerthaChanila Жыл бұрын
Umeona eeeh
@SumayyahKinumi-fz8oy
@SumayyahKinumi-fz8oy Жыл бұрын
@@BerthaChanila yeeeeeeah
@FadhilunMohamed-je8en
@FadhilunMohamed-je8en Жыл бұрын
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
@victoriangasa
@victoriangasa Жыл бұрын
Nmechelewa nmekuwa wa mwisho 😢😢❤❤🎉
@dashuushu6883
@dashuushu6883 Жыл бұрын
Waooooo.asante ank Jay
@ShukuraniMapunda-lz3un
@ShukuraniMapunda-lz3un Жыл бұрын
Yaah!Hatimae twafika tamati simulizi tamu,
@NadzuwaGofwa
@NadzuwaGofwa Жыл бұрын
Hii simlizi ni nziri Ankojay mungu akubariki sana
@ElianasoMrema-wl3ym
@ElianasoMrema-wl3ym Жыл бұрын
Simulizi ni nzuri jamanii kama najiona ni Tekla vileeee
@Amina0098-i5t
@Amina0098-i5t Жыл бұрын
Bira Ankojy wangu nimekuwa nimeboweka munoo 😢😢😢😢
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Hi Dunia Hina mambo meingi jamani ndoa ya lazima. Tana rafiki yako ni adui kweli Mungu tusahidiye watu wako asente Sana ANKO JAY mungu hakupe maishe marifu na uzima tele
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 Жыл бұрын
Nimewai❤❤🎉😂🎉
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 Жыл бұрын
Tnx ancojay kwa part 2❤❤❤❤
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 Жыл бұрын
💕
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi Жыл бұрын
MashaAllah ❤️❤️🇴🇲🇴🇲 woyooo
@mariaferuzi7556
@mariaferuzi7556 Жыл бұрын
Hivi Anko jay acha kwanza nihulize Hii kutiya yenye wewe unahongea utamu ahusikiaki nyege unajuwa katika family yetu wengi ni wa single kweli wanapata usingizi kweli na hiyo utamu Mpaka hivi mimi na wifi yangu tunazaka kuhitana utamu alafu tunahulizana hivi wewe ulisha wayi kutiwa sawa anko jay tunakupenda sana kwa kazi yako hata kama Niko mukazi nikifungua simulizi na chapa kazi wala sichoki thank you
@SalomeSavery-el8zj
@SalomeSavery-el8zj Жыл бұрын
Tamu sana tupeni sehemu ya tatu
@LenathaSyridion
@LenathaSyridion Жыл бұрын
Mmmh watu mko chapu xana thank you anko j mambow ni motoo
@CatherineWaweru-y4j
@CatherineWaweru-y4j Жыл бұрын
Hoyeeee🎉🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤
@fatmahmkuzi
@fatmahmkuzi Жыл бұрын
Imeniumiza kweli na imenito🎉🎉wa machozi aki hii simalizi kweli ila baba mtoto hawezi bandilika ila mm sijuwi asate Ankoj kwa kazi zuri sana tuwe wawazi kwenye mahusiano ili kila mmoja asijutie mamzi alio chukuwa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 Жыл бұрын
Wow,kazi nzuri Anko Jay,listening from Kenya,much ❤
@TausiMwanjibiri-rm7ny
@TausiMwanjibiri-rm7ny Жыл бұрын
Thanks again anko jay wetu kila siku unatupa vitu vizur jmn tunainjoy
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 ай бұрын
Mpaka. Hapo. Kwa. Mm. Usimkbalie. Huyo. Liii. 😊😊utilità. Mvurugano. Wafamily. Achana. Nao. Odokaa. 🎉anjo. Jeii. Unasemajeee. Kwa. Upande. Wako🎉🎉
@susansamira8137
@susansamira8137 Жыл бұрын
Woow Asante sana Ankojay kwa mwendelezo
@TatyntihebuwayoUmmulawi
@TatyntihebuwayoUmmulawi Жыл бұрын
Sinabahati,dakika7 wa136😂😂😂kunawatu hamlali hakikweli
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 Жыл бұрын
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️
@Shadia544
@Shadia544 Жыл бұрын
Wakwanza na miee LIKE basi kama umewahi kama mimi tunainjoi na wikiendi hii 😂😂😂raha tuu 🥰🥰🥰🥰
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Nimekupa na wewe nipe like 😊😊😊😂😂
@Shadia544
@Shadia544 Жыл бұрын
@@aisharamadhani1948 teyari nimekurudishia like yako 😂😂😂
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
@@Shadia544 Asante sana 🥰🥰🥰
@AMINAMOHAMED-de7gb
@AMINAMOHAMED-de7gb Жыл бұрын
Unachangamsha sana wallahi siboeki
@gladyssamba8370
@gladyssamba8370 Жыл бұрын
Wa kwanza leo ❤❤ thanks Akol jay wetu❤❤
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Huyu anataka kumharibia maisha Tekla,si afunge kalomo kake
@jamilanahimana-wc4nd
@jamilanahimana-wc4nd Жыл бұрын
😂😂eti afunge kalomo kake😂😂😂😂
@CarmellacarlyIteka
@CarmellacarlyIteka Жыл бұрын
Jaman mpaka n sisimuka😂😂
@magrethgabriel3940
@magrethgabriel3940 Жыл бұрын
Thank you anko j Good bless you
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Wa 75 team gulf team hamamu njoeni basi au leo ijummah mpo bize kupika gahawa😂😂😂
@RakaPk
@RakaPk Жыл бұрын
Yani leo atarii 😂😂😂🎉❤
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
@@RakaPk sanaà yani ya motoo
@onekisstv8412
@onekisstv8412 11 ай бұрын
Broo umetupiga France akuna shida ya damu hospital kupo full nondo nishawahi kwenda once na hao damu zinaendana ni ndugu broo
@GiftClement-i2j
@GiftClement-i2j Жыл бұрын
Wakwanz mieee jamn
@jasminetarimo6952
@jasminetarimo6952 Жыл бұрын
Jamani ndo tupandishane nanii ivo 😂😂mwanaume ambae yupo single alike hapa tujuane
@KaviraDivine
@KaviraDivine 8 ай бұрын
Wanaume nao huwa wana fataga izi simulizi niajabu eti single hmmmmm si zani na zani mimi pekeyangu ni single
@CarmellacarlyIteka
@CarmellacarlyIteka Жыл бұрын
Mpaka mimi iv s chat n baby kwasababu simuliz z Ankojay jamani
@RakaPk
@RakaPk Жыл бұрын
Asante bro tunainjoy wana familia wako😂🎉❤
@alinaaa-e2s
@alinaaa-e2s Жыл бұрын
Nimechelewa kweli
@sharifamassud8187
@sharifamassud8187 Жыл бұрын
Ndoa ya kiislam mwisho wake wanne na sio wake kumi. Hiyo haikuwa ndoa ya kiislam
@Nawmi-p9b
@Nawmi-p9b Жыл бұрын
😂😂😂Anko Jay mapesa hujambo
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Melanda kwann umuuze mwezako kwa pesa jamani kweli moyo wamtu nikichaka
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Waooo ❤❤❤❤❤❤💐💐💐💐💐🥀🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹🌹
@winniekwamboka4229
@winniekwamboka4229 Жыл бұрын
Wau kazi nzuri Ankojay
@mwanasiti83sete63
@mwanasiti83sete63 Жыл бұрын
Tnx ankojay ❤❤❤😂❤
@rukundoclementine6472
@rukundoclementine6472 Жыл бұрын
Wakwanza Leo jamani nipe like zangu 😂😂😂😂🎉🎉🎉
@MaddieMoreno-i7i
@MaddieMoreno-i7i Жыл бұрын
Tunao penda kunyonywa chuchu tujuane 😂😂😊
@Joseph-pp5og
@Joseph-pp5og Жыл бұрын
Hello naomba Léo niwa kwanza ❤❤❤
@MaliamAntony
@MaliamAntony 8 ай бұрын
24:52 jamani huyu tecla vipi siatulie tu na carsony
@selfamitche3530
@selfamitche3530 Жыл бұрын
Wow ❤❤❤❤
@hdhjdh775
@hdhjdh775 Жыл бұрын
❤❤❤❤ Asante San
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi 2 ай бұрын
Pattttaaaaam hapo!! Yes msimamo wako ni noma! Tecla pokeea iyoooo🎉🎉🎉 Wewe ni Mallkia wa nguvu!!!
@khadijashabani6167
@khadijashabani6167 Жыл бұрын
Anko jey tuletee sehemu ya 3 please 🙏
@asmahassan5661
@asmahassan5661 Жыл бұрын
Alhamdulinllah mie wakwanza anko j umeniona lkn😂😂❤
@zenahasan7603
@zenahasan7603 4 ай бұрын
Ako. Asantee. Hadithi. Tamu. Sana. Inasisimua❤🎉🎉🎉 muokowe. Tecla.
@TsfighoCjkgoyy
@TsfighoCjkgoyy Жыл бұрын
Utmu huo jmni ❤❤
MY DREAM - PART 03 [ MWISHO ]
2:33:45
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 45 М.
MY DREAM - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
3:06:25
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 73 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
PRINCESS - SIMULIZI YA MAPENZI
3:05:10
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 59 М.
CHRIS  (MWISHO)
1:56:43
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 21 М.
MMHH SITAKI NDOA JAMANI
3:47:19
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 49 М.
Repeat This 3 times in Sujood and See How Your Destiny Changes | Islam
17:28
At the heart of Islam
Рет қаралды 29 М.
LIGHTNESS - SIMULIZI MPYA
3:07:49
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 33 М.
MY DOCTOR
2:37:47
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 110 М.
DUNIA (Ep 41)
22:18
ASMA FILMS
Рет қаралды 252 М.
NORAH | PART 02
2:48:40
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 27 М.
SIMULIZI YA MAPENZI - BUSU LA SHEMEJI
3:08:15
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 57 М.
SIMULIZI MPYA : ANITA, by Ankojay
2:13:18
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 142 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН